Heshma - Nonini ft. Boneye (Official Video) [SMS "Skiza 6110076" to 811]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 147

  • @michaelnjema2214
    @michaelnjema2214 8 месяцев назад +13

    If you here 2024 kindly like.

  • @benjaminoningu3720
    @benjaminoningu3720 9 месяцев назад +3

    God father nakuona uki pepeta dimba ⚽️

  • @mombasanews3024
    @mombasanews3024 4 года назад +37

    Music will make you realize how fast time flies.
    Anyone who knows this song he/she by now Must be over 25 years !!!! wapi likes zangu.

  • @ericmwanza1470
    @ericmwanza1470 2 года назад +11

    lyrics
    kuzaliwa... mwezi moja na mzee Ghandi
    na mashujaa... wengine wengi tu zaidi
    ndoto... kujisaidia kuepukana na mtaa
    heshma... kwa mtaa ikamjenga kuwa star
    California... mtaa moja, balaa
    mahali ma-star... huzaliwa tu, kila saa
    kuhama... aende aende wapi?
    Calif... bado iko kwa hiyo moyo ndani
    Genge... familia jo kuingia
    Kenya... mzima mziki kuiskia
    kama... kuuza unga kaanza polepole
    hit... baada ya hit akawapa baada ya colle
    rap... kupanda kule kukikucha
    wengine... kando wajaribu kumchuja
    kujiangalia... mbele akiwa kwa ukuta
    mgenge... ndio amekuwa mzee wa nyumba
    (CHORUS) (Bon'eye)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    (Nonini)
    mziki kwangu ni kucheza tu chess
    kaa chini... songa kwanza na all the best
    karibu... tena kwa hii mchezo ya genge
    masoja... wako wote pia walete
    sacrifice... masoja wa mine mi sijawahi
    defence... ndio wananipa tu nikuwe hai
    frontline... ya mine pekee inatesa
    mkipenya... kunifikia mtaweza?
    ma-spy kibao mi huskia jo mkiongea
    hakuna hunilipia bill hakuna mi hutegemea
    isipokuwa mafans wangu naitanga wagenge
    bila wao singewahi panda hizi ndege
    maisha ishageuka siku hizi sipandangi Akamba
    guess ndio maana waniitanga the Godfather
    kimziki ukipenda niite bwana Mayor
    bling ni awards juu ya meza si unamezea
    (CHORUS) (Bon'eye)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    (Nonini)
    kila kukikucha ndevu mpya inatoka
    twazidi kuwa wazee tukitafuta njia ya kuomoka
    wao husema ya tatu ni bahati fiti
    kwangu ni foundation ndio inamaliza simiti
    nimekaa chini nikabonga na beste yangu fulani
    akani-show yuko na mi kila mahali
    kwa hivyo nisikuwe na wasi wasi nisitie shaka
    watakubali bado jo uko huu mwaka
    mafia ni mmoja mi huwanga namheshimu
    akisema nile machungu anala mpaka ndimu
    simpigiangi simu siwezi jaribu
    mi hupatana na yeye place fulani tu mausiku
    kitu funny haniongeleshangi, hanipangi ganji
    alinipa kitu muhimu zaidi ya hii kipaji
    mafia ni God wangu nimemweka mbele
    ndio maana waniitanga Godfather wa genge
    (CHORUS) (Bon'eye)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa

  • @elaijagrandson7305
    @elaijagrandson7305 10 месяцев назад +2

    Am here 2024 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nonini made the living Hits🎉🎉Mgenge ni 2rue

  • @ericmurithi9693
    @ericmurithi9693 5 лет назад +38

    Most underrated song of nonini's career views ni kidogo sana

    • @robinthaking5299
      @robinthaking5299 2 года назад +1

      Naona mnaanza kutumia jina underrated vibaya

    • @konestunthassan3380
      @konestunthassan3380 Год назад

      True I rarely hear it on mixes na imagine mimi kwangu it’s my best Nonini Track ever.

    • @johnwesley5496
      @johnwesley5496 Год назад

      💯

    • @edwinkana6289
      @edwinkana6289 6 месяцев назад

      Walai na penda hii song.... One of the best songs ya king of Genge

    • @mercynyokabi3813
      @mercynyokabi3813 5 месяцев назад

      Napenda hii ngoma walai, nonini I salute you

  • @ODIMZJR
    @ODIMZJR 3 года назад +4

    MAHATMEEEEEEEE BROUGHT ME HERE

  • @victortungiru
    @victortungiru 6 лет назад +15

    2019 anyone...

  • @noahsande4969
    @noahsande4969 4 года назад +3

    Bling Ni award juu ya meza si unamezea

  • @Coach_Andy22
    @Coach_Andy22 4 года назад +6

    Io beat musyoks!!!! 🔥 🔥 🔥

  • @josiahabiya7885
    @josiahabiya7885 3 года назад +8

    Nonini the godfather. The kind of songs i meed to uplift me. They uplift me more than gospel music

  • @makhanu91
    @makhanu91 4 года назад +9

    Haoo wadhi 6 kudislike ni WATIAJI. Heshma CLASSIC. 👌🏾 [2k20] 💯🇰🇪🖤🤸🏾‍♂️

  • @elaijagrandson7305
    @elaijagrandson7305 Год назад +1

    Who's here 2023

  • @steveoluoch8531
    @steveoluoch8531 4 года назад +6

    Heshma kwa mtaa KUANGUKA TULIKATAA HESHMA....

  • @maxbradley2811
    @maxbradley2811 2 года назад +4

    This song was soooo underated..one of the best jams za Nonini ever.

  • @sockcity
    @sockcity Год назад +1

    Heshma kali💥💯baka 2023

  • @cellebshot
    @cellebshot Год назад +3

    Nonini once said " strategy ndio jina ya hii mchezo" that never aged well for these rappers always asking for help everytime 😹💔 Mgenge True was way ahead of his time ❤

  • @ditok2547
    @ditok2547 3 года назад +4

    Kumbe kuomoka ilikua izo enzi🔥🔥🔥

  • @ugkcreations4895
    @ugkcreations4895 5 лет назад +7

    Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa heshma wagenge wanatambaa!!! 2019 na bado inatubamba!!

  • @edgeroba6185
    @edgeroba6185 2 месяца назад +1

    uyo boy ako na tsho ya signs of hope anaitwa nani anakuanga kwa ngoma zote za calif🙂

  • @eliastevez001
    @eliastevez001 3 года назад +7

    Wapi likes za nonini 2021?

  • @abduljabbar-jg2hz
    @abduljabbar-jg2hz 3 года назад +2

    Kama uko hapa 2021... Pewa heshma

  • @rachealwangechi2091
    @rachealwangechi2091 5 месяцев назад +2

    legends songs

  • @josefndegwa9700
    @josefndegwa9700 5 месяцев назад +1

    Hii ngoma yushika sana kwanza ukichonga jaba. kumedi mbaya

  • @michaelnjunge3903
    @michaelnjunge3903 4 года назад +8

    the most underrated musician.. Nonini ni babayao

  • @majestic_links
    @majestic_links 6 месяцев назад

    Wazee wako jamaa itabidi uwapatie HESHMA

  • @johnmainamwangi3768
    @johnmainamwangi3768 Год назад +1

    WAANDAMANE NA HESHMA

  • @ugkcreations4895
    @ugkcreations4895 3 года назад +5

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥 Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa heshma wagenge wanatambaa!!
    Hii bado ndio ngoma ya kuanzisha kila day
    Big up bless up kwa kila mse na mtaa unarepresent!!
    #NoniniMgenge2Ru
    #KenyasFinest
    #254FLOW
    2021 na bado wagenge tunatambaa 😎

  • @kapuchu16
    @kapuchu16 4 года назад +6

    Sammy science Bavon nakuona 1:08 big up your self

  • @kihuromaina6583
    @kihuromaina6583 4 года назад +3

    Mistari safi

  • @aliyowkheiryow5053
    @aliyowkheiryow5053 5 лет назад +2

    Kwa musiki call bonamia
    Salute ndugu
    Itabamba miaka 100 ijayo

  • @joskaymechanics
    @joskaymechanics 2 года назад +1

    Heshima👊🏾✌🏾wagenge hao

  • @tuk_talk
    @tuk_talk Год назад

    Heshma 2023... Beat noma 💯

  • @wanjirukarago9308
    @wanjirukarago9308 3 года назад +2

    Tbt moja safi sana.

  • @user-nd4bz6xt5n
    @user-nd4bz6xt5n 4 года назад +6

    2020 na bado inanibamba mbayaaaa...big up Nonini heshma kwa mtaa

  • @okokomkavi4345
    @okokomkavi4345 3 года назад +9

    I was in a matatu yesterday that played a music mix of Kenyan Old skul genge, including this one. This song took me waaaaaaaay back. 2021 and it's still a vibe.

    • @Ga_ceri
      @Ga_ceri 2 года назад +1

      Same I came here looking for it cause Mat nilikua ilicheza hii ngoma

  • @maxlusenaka996
    @maxlusenaka996 4 года назад +2

    kumbe kuomoka ni sheng ya kitambo....mbona sijawai jua

  • @chriskoech4993
    @chriskoech4993 2 года назад +1

    Music video iko juu tuu sana

  • @felixonyango2340
    @felixonyango2340 4 года назад +2

    Heshma muhimu hadi sai 2020

  • @cliffkidd_
    @cliffkidd_ 5 месяцев назад

    July 2024 ❤ Heshmaaaa 🇨🇦🇰🇪

    • @cliffkidd_
      @cliffkidd_ 5 месяцев назад

      Mgenge Timezone 💯 Kuja Show New Liskard Ontario ,ama Kuja to ziwake 😅

  • @sakweezy
    @sakweezy 4 года назад +9

    02:41 So this "kuomoka" word has been around for years...I just knew it recently! Nonini baba yao!

    • @MrRascarter
      @MrRascarter 3 года назад +1

      Iko kwa wimbo flani pia ya Kleptomaniacs freak It kitambo sana early 2000s

    • @fredrokish
      @fredrokish 2 года назад

      Even in Tafsiri hii by k shaka infact it evolved to " kukafunga"

    • @stillbeborn
      @stillbeborn Год назад +1

      Hamna kipya chini ya jua

  • @cliffaliwa
    @cliffaliwa 2 года назад +1

    mgenge ashakuwa mzee wa nyumba. ❤‍🔥🔥🔥🔥🔥

  • @situmaraphael7073
    @situmaraphael7073 2 года назад +4

    A song that just urges you to work hard, never give up, and give your all.

  • @ephantusgichane6533
    @ephantusgichane6533 3 года назад +2

    Noma sana Nonini hii ngoma no noma kuruka

  • @sammytokore9386
    @sammytokore9386 2 года назад +3

    The true Kenyan music, i love the creativity

  • @leenjiru7766
    @leenjiru7766 Месяц назад

    2024 Nov on that Nonz Playlist 🫶🫶 motoo 🔥🔥🔥🔥

  • @peshable
    @peshable 4 года назад +4

    OG for real

  • @felixchebor494
    @felixchebor494 3 года назад +4

    Legendary forever! I miss this kind of jams.

  • @hunchotheboss6119
    @hunchotheboss6119 5 лет назад +3

    2019 WATU WAMEKOSEANA HESHIMA UNGEDHANI WATU HUKUA JABA 24/7 🚫LAKINI BADO ITADUMUU😂👊👊💯...KWENYE VIDEVU NA MAKAHASHOO😂😂👊👊💯

  • @josephmark-gm2dj
    @josephmark-gm2dj Год назад +1

    Mtv they were supposed to nominate this song for any of their rewards in 2010v neeeds a grammy mr nonini for ths track

  • @allangodi3041
    @allangodi3041 3 года назад +2

    nonz alirudi homeground, i can see mahatma, the 2 jamaz (tito and the guy na kitamba) wenye wamekuwa vida za calif since tene. my 2nd fav nonz song. i wonder why nonz anaita God "mafia"

  • @davidlemeria5055
    @davidlemeria5055 Год назад

    I remember the first time we heard this song with my bro and he was like 'sasa nonini akitoa Ngoma Kali hvi si anafanya upcoming waogope kutoa ngoma'😂😂

  • @richardmunyao4607
    @richardmunyao4607 9 лет назад +4

    Akisema nile machungwa nala mpaka ndimu!!!
    Big up nonini...God bless

  • @kiharasamuel
    @kiharasamuel 4 года назад +2

    Nonini is the GOAT

  • @DonKhalifah
    @DonKhalifah 4 года назад +1

    Naona Mahatmeeee na Tito kwa vida...Calif mtaa imekulea msee big up

  • @fredrickireri7583
    @fredrickireri7583 5 лет назад +6

    I will always support you, you the best

  • @larryngala1784
    @larryngala1784 4 года назад +2

    🔥🔥 heshima kwa mtaa

  • @falamangaa7222
    @falamangaa7222 Год назад

    2k23 ...heshma!!

  • @oyugiotieno5243
    @oyugiotieno5243 3 года назад +2

    Mistari dopest always

  • @Santiagokevin254
    @Santiagokevin254 3 года назад +2

    Still listening to it

  • @mommskenya
    @mommskenya 14 лет назад +4

    ths guy never dissapoints.... Nonini is jst the king!!! i like th flow! Nonini, yoz is th only original album i have n i wud have bot 2 jst to support u but mfuko mbaya!!

  • @paulnantulya
    @paulnantulya 3 года назад +2

    A level of creativity that can only be found in Africa.

  • @grujames
    @grujames 3 года назад +4

    classic hit never to be forgotten🦎

  • @UrbanCraftTv
    @UrbanCraftTv 2 года назад +1

    This one 👌

  • @fettymukii5105
    @fettymukii5105 3 года назад +1

    2021 na bado yatubamba big up mgenge true

  • @anthonysadera4524
    @anthonysadera4524 Год назад

    heshima kwako mzing ,miaka ni mia sita hamsini

  • @shawnkimathi186
    @shawnkimathi186 4 года назад +2

    tupe season nyingine la genge finnest

  • @kimanimwangi9655
    @kimanimwangi9655 8 месяцев назад

    07.04.2024💪🏿
    Bado tunapiga M21😅

  • @BabakeNazBeel
    @BabakeNazBeel 13 лет назад +2

    hii beat ikianza tu hivi manzeh mi hunyonji!!!! hii beat imeiva ka rice imepikiwa kwa pressure cooker!!

  • @MadeInShibuya
    @MadeInShibuya 5 лет назад +2

    Heshma kwa mtaa🔥

  • @abdulahibeats1947
    @abdulahibeats1947 8 лет назад +1

    Heshima kwa mtaa kuanguka tulikataa Wagenge wanatambaa

  • @Kevo_Bingy
    @Kevo_Bingy 2 года назад +2

    Living Legend

  • @Gichuhiful
    @Gichuhiful 14 лет назад +1

    Biggup Nonini?.....u affi b di badest..

  • @shereheafrikachuchu7189
    @shereheafrikachuchu7189 3 года назад +2

    Godfather ❤❤❤

  • @nakupendatanya
    @nakupendatanya 14 лет назад +2

    Umenena!!!

  • @AliChiraghdin
    @AliChiraghdin 9 месяцев назад

    Mgenge utabidi unijenge

  • @mohanleroy4654
    @mohanleroy4654 2 года назад +1

    Heshma

  • @SalahAbdi007
    @SalahAbdi007 Год назад

    Godfather album 🔥🔥🔥💖💖

  • @henrywaweru377
    @henrywaweru377 4 года назад +2

    💯🙌

  • @atotijaber
    @atotijaber 14 лет назад

    Uwiiiiii bon-eye mad luv hadi kifo godfather naye iz hatari

  • @MrRascarter
    @MrRascarter 3 года назад

    Kila kukikucha ndevu mpya inatoka, twazidi kuwave maze njia ya kuomoka

  • @mikekamau2977
    @mikekamau2977 Год назад

    Twende qwa msuro njeva,,,Desah the ground,,,Anfield,,,, calif records nonini btw highschool ulienda macha

  • @chrisantusmokua7885
    @chrisantusmokua7885 2 года назад

    AKAMBA BUSES DEM WERE DA DAYS

  • @sikomaggto
    @sikomaggto 14 лет назад +2

    sick beats

  • @josephsimiyu6984
    @josephsimiyu6984 3 года назад +2

    One of my biggest Nonini song.

  • @vikimabwa
    @vikimabwa 14 лет назад +2

    Big up Habo! Ngoma video imenimailza bana! MGENGE DAMU!

  • @kamunyushadrack
    @kamunyushadrack 6 лет назад +3

    Dope forever

  • @salehkiprotich9524
    @salehkiprotich9524 Год назад

    2023 niko

  • @everwoodsolutionsltd6455
    @everwoodsolutionsltd6455 6 лет назад +1

    nakutafta nonini

  • @TheWordpath
    @TheWordpath Год назад

    Hakuna kitu kubwa kuliko Kipaji

  • @thomasngahu2263
    @thomasngahu2263 2 года назад

    Where are the comments?? Genge love

  • @TheWordpath
    @TheWordpath Год назад

    Gengeeee

  • @stephenndasaba3862
    @stephenndasaba3862 9 лет назад +1

    Nonini u mst back again ndani ya p unit

  • @Faxminds
    @Faxminds 2 года назад +1

    WHAT HAPPENED TO KENYAN MUSIC....i always think we time travel and beginning from the top going down

  • @primezz1
    @primezz1 14 лет назад +1

    aha..hii nayo iko yuu tu xana

  • @ToniMasha
    @ToniMasha 13 лет назад +1

    mambo badest,,, mara that that,,,

  • @7_h54_fgdfgd
    @7_h54_fgdfgd 14 лет назад +1

    Californiaaaaaaaaaa enyewe ndo hii sasa

  • @directedbyvideoguru
    @directedbyvideoguru Год назад

    Musyoka ni mnoma 🤐

  • @benardkorir4497
    @benardkorir4497 Год назад

    Respect nonini

  • @EmbaPesa33
    @EmbaPesa33 2 года назад

    4/24/2022 here to listen