PART8:MCHAWI HASSAN TOKA KIGOMA ALIEUA WATU NA KUWAFANYA MISUKULE NA KUIUZA/NYAMA ZA WATOTO/NIMEUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 140

  • @thebeautifulone7982
    @thebeautifulone7982 3 года назад +2

    Kazi nzuri, watangaze kabisa! Damu ya Yesu ikuzunguke.

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 3 года назад +8

    Hongera sana umechagua sehemu sahihi sana

  • @drnow1528
    @drnow1528 3 года назад +3

    Bwana yesu asifiwe

  • @daphnedaphne1512
    @daphnedaphne1512 3 года назад +2

    God bless you my brother. Wow thanks for your good testimony.

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 3 года назад +5

    Bwana yesu asifiwe 🙏🙏🙏🙏

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 года назад

    Barikiwa saana mtumishi Meshack kweli ulipitia matisho mengi ya shetani na ushuhuda wako na watu wengi waliopita hata wale wanaopenda utajiri wa kichawi ushuhuda unafafana. Shetani hana huruma. Bwana Yesu azidi kukuinua viwango vikiubwa.

  • @work24onme
    @work24onme 3 года назад

    Holy Spirit 🙏, Asante!

  • @suleimaniyasri2166
    @suleimaniyasri2166 3 года назад +2

    Davistar mulize km anatumia maji au mafuta ya upakoo... Km anatumia amfate lwanda magere.... Amuleze,, mana yesu akutumia hayo mamboooo🙏🙏🙏.Na km anatumia bx naye miongoni mwaoooo

    • @johalisemalima6979
      @johalisemalima6979 3 года назад

      Inawezeka... kuwa uongo au kweli.. YESU ni mafuta na maji tosha

  • @selinamalasi9471
    @selinamalasi9471 3 года назад +2

    Good testimony can we have the tel no written on the screen please, need the healing prayers book

  • @jimmykazoya1749
    @jimmykazoya1749 3 года назад +3

    YESU anarudi soon

  • @tututz100
    @tututz100 3 года назад +2

    AMEONESHWA UJIO WA YESU

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 года назад +3

    Safi Sana

  • @fahadjinni5845
    @fahadjinni5845 3 года назад +6

    YANI NMEAMINI HUYU SIO MSOMI .....YAN HAJUI KUA MUNGU ANA POWER NA ALIWEZA KUUMBA MAJITU MAKUBWA NA VIJITU VIDOGO

    • @redeemed5380
      @redeemed5380 3 года назад

      Unateseka ukiwa wapi?

    • @kamgomoli3650
      @kamgomoli3650 3 года назад +1

      Tufundishe basi we uliye msomi mkubwa.

    • @rosemarry2020
      @rosemarry2020 3 года назад +1

      Wewe uliye msomi zaidi mbona hujatufundisha?

    • @kamgomoli3650
      @kamgomoli3650 3 года назад

      @@rosemarry2020 😅😅😅😅😅😅

    • @salmajuma9271
      @salmajuma9271 3 года назад +1

      May allah guide us all ameen

  • @obadiajonas9889
    @obadiajonas9889 3 года назад

    Mungu akutie nguvu kila wakati

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 Год назад

    Tumfuate Yesu mambo kama haya,yasitukute. Yesu uturehemu.

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 года назад +5

    Wachungaji wengi sasaivi ni wale waliokula nyama za watu. Wakishamaliza nusu ya family zao wanakuwa wachungaji na kukadhibisha uislam. Kuona waislmu tunamswalia lusifa. Wapo hima sama kucjafua uislam.

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 года назад

      Wanachafua waisilam ili wapate watu wa kuwapa sadaka kanisana

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 3 года назад

      @@aminaally863 shida yao ni kuraisisha maisha tu..kitu ambacho kipo, at panadol ukizidisha zaid ya mbili uwa sumu. Baada ya kusoma kwa ajili ya Mungu wao usoma ili wawe wauwaji na kufunga vizazi. Mtu kumchinja yan mtu kabisaaa.

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 года назад

      @@thumnathumna5946 siku ya mwixho waeandaa majibu

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 3 года назад

      @@aminaally863 acha tu uangaza wa dunia uwaangaishe.

  • @imash04tv20
    @imash04tv20 3 года назад +1

    قال الله "يُرِيدُونَ أَن يُطْفِئُوا نُورَ اللَّهِ بِأَفْوَاهِهِمْ وَيَأْبَى اللَّهُ إِلَّا أَن يُتِمَّ نُورَهُ وَلَوْ كَرِهَ الْكَافِرُونَ" wanataka kuizima nuru ya mwenyezi Mungu kwa kwa vinywa vyao (midomo yao) na mwenyezi Mungu ankataa ila aitimize nuru yake ijapo kua makafiri watachukia ...na anasema tena "هو الذي ارسل رسوله بالهدى وين الحق ليظهره على الدين كله ولو كره المشركون"yy ndie aliemtuma mtume wake kwa uongofu na dini ya hakki ipate kushinda dini zote ijapokua washirikina watachukia .......sasa huyu hakua muislamu alikuwa mshirikina ndani ya uislamu na ushirikina upo kila sehemu sio sehemu katika dini ufahamu wake ni mdogo sana katika anayosema lkn anajion ana elimu hatari wakati kwa waislamu wenye elimu zao wanamuona anaongea upuuzi ulokua haufahamiki watu wan aelimu zao hatoona kaongea la maana ispokua wakristo wenye elimu na ushindan katika dini sasa mm ni muislamu na hayo anayosema tunayajua sana tu na pia nitofauti kabisa na anavyoongeq yy yani elimu yak katika uislamu hata tako la kikombe cha kahawa haijai namuonelea huruma sana na huyo alokaa nae pembeni anaona kapata wakufanya auharibu uislamu ila hii dini mungu kailinda mwenyewake msisahau mtapata tabu sana yani kila tukipata mtu mpuuzi kama huyu anatuzidishia imani na allah na dini yetu na kuwafungulia watu milango wengine kuingia

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 года назад

    Pole sana kwa maswaib uliopitia. 19.08.21.

  • @macamezunguzungu5584
    @macamezunguzungu5584 3 года назад

    Mr everything together 💪 Mr dm🙏

  • @noelmusa2073
    @noelmusa2073 3 года назад

    Oki p mpendwa

  • @philipmbaabu6169
    @philipmbaabu6169 Год назад

    Dah!

  • @fahadjinni5845
    @fahadjinni5845 3 года назад +5

    MESHACK ...HUKUFUNDISHWA DINI, WALA HUKUFUNDISHWA UGANGA....HAKUN UGANGA KAM HUO ...NISHAFUNDISHWA UGANGA , TUSHAPEW MITIHANI LKN SIO KAM HIO ....WEWE ULIEND FUNDISHWA UCHAWI

    • @redeemed5380
      @redeemed5380 3 года назад +1

      Ndio kashasema ukweli wake utamfanyaje?

  • @rajabumlaluko2897
    @rajabumlaluko2897 3 года назад +2

    Jamaa ana logic rahisi sana...lakini anaonekana kuchanganyikwayo..

    • @lilhydon452
      @lilhydon452 Год назад

      Kama hizi ndo logic rahisi kwako..basi wewe akili yako imeganda

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 года назад +2

    Wachaw wanatesa sana watu mimi siwapendi kabisa pumbavu sana nyie wachawi

  • @OmaryMasambiro
    @OmaryMasambiro 3 месяца назад

    Uyo ni mwehu kutoka kongo ona panki yake,yesu anaenda choni ndo mungu wa walio potea,yesu aliinua kapu juu alikua anamuomba nani

  • @jafariemmanuel1694
    @jafariemmanuel1694 3 года назад +2

    Ukiongelea adhabu zakaburini kwa waovu huo niulimwengu mwingine na nimwanzo wa adhabu ya allah swalallah alayh wasalam haisuniani na duni sijui rungu wala nn huo niulimwengu mwingine waroh sasa hafi hapo napata kukuona upo shallow kwenye elimu ya dini upo kwaajili ya kukosoa sio kwaajili yakueleimisha ....nakuina upo shallow sana kwenye qur an.

    • @redeemed5380
      @redeemed5380 3 года назад

      Mnapenda kubisha nyinyi, wewe mtu mmoja usifikiri unaweza kupigania dini wewe. Watu wanaijua hiyo dini yako ndani nje upende usipende huo ndio ukweli .

    • @is-hakayussuf9981
      @is-hakayussuf9981 3 года назад

      Huyo jamaa mbn hana elimu ila tu anajua kusoma

  • @Amina-bq2xe
    @Amina-bq2xe 3 года назад +2

    Qur'an ni Kinga tosha kwa imani, Allah tuepushe na shirki

  • @GoldenDave01
    @GoldenDave01 3 года назад +1

    Salimia zabroni na marasta

  • @josephmaganga1931
    @josephmaganga1931 3 года назад

    Dah hii inasisimua sana

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 года назад

    No. 7

  • @abdibashir5794
    @abdibashir5794 Год назад

    Alisoma quraan kujidefend hajasema kuhusu damu ya yesu.

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 3 года назад +2

    Mpaka mambo ya kabulini unataka uyaone duniani eti lungu kucha wewe hasani wacha kumzalau mwenyezimungu kumbuka kabla hujaja duniani ulikuwa wap na unaelekea wapi

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 года назад +1

    Bamba.tu bamba

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 года назад

    Tupo makini kusikiliza mafumbo ya kiroho kuyajua inataji ufaham wa Mungu

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 года назад +1

    Yani coment zinaonyesha watu wakufia msalabani zinawafurahisha ila mimi ninachoamini uchawi upo na dini zote zinapinga uchawi na hakuna dini inayoruhusu uchawi wala majini ila tu kwakuwa katoka katik uislm basi ndio anaonekn alipotk ni pabaya na alipokwenda ni sahihi kumbe sio kweli ata ulipokwenda umeenda kupiga pesa na ushetan

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 3 года назад +1

      Kwa Yesu kristo hakuna usheteni unapomwamini kuwa yeye ni Bwana na mkombozi wa maisha yako

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 3 года назад

      Kwa Yesu kristo hakuna usheteni unapomwamini kuwa yeye ni Bwana na mkombozi wa maisha yako

    • @juliuskalama2746
      @juliuskalama2746 2 года назад

      Shida yako wewe unafuata dini badala ya kufuata Mungu

  • @rajabumlaluko2897
    @rajabumlaluko2897 3 года назад +2

    Uislamu haufunganishwi na uchawi....
    Hao wanaotumia dini kufundisha uchawi....ni washirikina.
    Na walikuaminisha kuwa ni dini ili iwe rahisi kukubali na kufanya vilivyo nje ya maamrisho!

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 года назад

      Kabsa mpaka wenye uelewe ndo wataelewa

  • @dallasabinchar5128
    @dallasabinchar5128 3 года назад

    Number 0 leo

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 Год назад

    Mitihani migumu kweli

  • @berthamghanga1093
    @berthamghanga1093 3 года назад +1

    Wachawi wanatesa sana watu,siwapendi, washenzi kabisa

  • @habibayusuph1570
    @habibayusuph1570 3 года назад

    We umeuwa usijishauwe

  • @salambaiya466
    @salambaiya466 3 года назад +1

    tupo na muendelezo

  • @barackabaracka7854
    @barackabaracka7854 3 года назад

    Waefeso 6:10

  • @chaseborgia
    @chaseborgia 3 года назад

    Ameni uchawi ni elimu ya siri ya kiovu

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 года назад

    🇰🇪🇸🇪⏰

  • @jongoathumani3690
    @jongoathumani3690 3 года назад

    Wanangu wanaa wanaaaa kama kawa hukuu walete walete mkuje sasaa

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 года назад

    Ngoja nisikilize

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 года назад

    Au ulikuwa unaota?

  • @hamidibrahim5369
    @hamidibrahim5369 3 года назад +1

    Huyo sheikh aliyemfunza huyu Qur'an kisha akamfunza kutumia hio elimu kwa uchawi ni nani? Amefunza wangapi? Bado anaendelea kufunza maana atakua amepotesha wengi kwajili yeye ni mtumishi wa shetani. Lakini bado uchawi uko katika ukoo ya huyu murtad,

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 года назад

    Aliyekuingiza uchawini ni nani siulipenda wewe ama

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 3 года назад

    Wa 101

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 года назад

    Kama ndoto yaan

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 года назад

    Kasema kasoma Dua ndiyo hilo jinn likatoweka

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 3 года назад

      Kumbuka kapelekwa kule na mzimu na mzimu una nguvu kuliko jini. Ndio maana aliambiwa Aombe wazee wamsaidie, kwa maana zile Dua hazina nguvu. Anaowaomba ndio huyo anaempa mtihani

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      @@igurusitv6553 aliomba dua kwanza ndiyo simba akatoweka. Alafu akaondoka kufika mbele akaanza kuomba dua, sauti ikamwambia asiombe aombe mizumu. Rudia tena usikilize

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 3 года назад

      @@pilimusa7770 pili hujaelewa, amesema alisikia sauti ikimwambia mfuate Simba hizo Dua sio mahala pake. Alipomfuata yule Simba akatoweka
      Kumbuka hizo Dua alizokua anasoma ni anayaomba majini hayo hayo yanayomjaribu😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 года назад

      @@igurusitv6553 👋

  • @sadiqmwafrica6759
    @sadiqmwafrica6759 3 года назад

    Duugh Simba kichwa cha mtu?

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 года назад +3

    Huyu boya ana kibaruwa kigumu kweli kaburini na siku atakayo tolewa roho na moto anao mitihani kweli mana ikikosa kujielewa ni matatizo kweli huyu jamaa mwanzoni alizaliwa ktk familia ya kiislam lakini hakuwa muumini wa dini ya kiislamu alikuwa muislam jina to na baadaye akawa mshirikina akamkufuru Mungu akatafuta waganga wanaojiita waislam wanafundisha uchawi kupitia vitabu vya kichawi na wakamzibaisha na kufundisha Qur'an kidogo baadae akawa Mwanga na akajuwa kama mungu amekosea na a Mungu hapendi ushirikiana wala mchawi amekataza mambo hayo na amekana Mungu akawa anamuabidu 😈 ibilisi akaona katika upande wa Mungu aliye muumba tayari ashampinga mana ukiwa mshirikina tayari ushatoka ktk dini ya mungu mana humuamini tena wewe unakuwa ni wa moyoni to akaona haitoshi akaamua abadili dini aende kumuabudu mtu au Yesu . Kwa hiyo mpaka sasa yupo gizani sawa sawa na mtu aliye ruka mavi akakanyaga mkojo mana hana Mungu aliye muumba yeye kwa sababu anazipiga Rehma za Mungu au uwezo wa Mungu anapinga haamini

    • @dallasabinchar5128
      @dallasabinchar5128 3 года назад

      Kabisaa

    • @saidhamad533
      @saidhamad533 3 года назад +1

      Yani huyu kazaliw katik familia ya kislam na familia yake ilikuw ya kichawi sasa alipofik huko kwa shehe wake mganga akaongezea nguvu ya uchawi ila maneno yake yasituchoshe kwani kama yeye kaona uislm unamajin mbona yesu alifukuza pepo kataik bibilia sasa atuambie huyo pepo mchafu yesu alimtoa katika familia ya kisalm kama sio mpuuzi tu

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 года назад

    Story tamkolea kolea

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 года назад

    Sasa kama huamini subiri

    • @redeemed5380
      @redeemed5380 3 года назад

      Utaenda kumloga kisa anatoa siri za kambi ukitumia Quran au kitabu gani?

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 3 года назад +1

      @@redeemed5380 subiri 🔥

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 года назад

    Kwa maana iyo sisi wote tunamswalia lusifa au?

    • @johalisemalima6979
      @johalisemalima6979 3 года назад

      Sio maana hiyo...soma vitabu vyoote uvimalize kisha fanya utafiti.... mshike sana Elimu...

    • @saidabdalla8996
      @saidabdalla8996 3 года назад

      Kwa mujini wa kunena kwako kwamba Quruani ni kitabu ambacho ilicho kiandika dove shetani bilisi uyo ni mtu mmja unapo sema Adhubillah minashweni rajjim inakuwa inamaani nini na akiwa kaandika yy itakuwa atuambie kabla atujaaza kitu chochote tuseme ivyo

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 3 года назад

      Nyie mnamsalia Allah ambaye ni JIWE JEUSI pale makaah SAUDI Arabia 🇸🇦 na ukumbuke ako kundini na akina Lucifer

    • @juliuskalama2746
      @juliuskalama2746 2 года назад

      Kabisaaaa. Swadaktaa

  • @dallasabinchar5128
    @dallasabinchar5128 3 года назад +2

    Sorry brother wewe ulikuwa na bahati mbaya uli pewa elimu ya uchawi si islam na maneno unaongea ya ushirikina tupu lakini ni vizuri kua mkristo than mchawi

    • @paulndoya5805
      @paulndoya5805 3 года назад +2

      Kumbe kusoma madrasatul na juzuu mpaka 30 ni ushirikina pia? Na hizo dua za kichawi kwenye Quran zinatafuta nn

    • @dallasabinchar5128
      @dallasabinchar5128 3 года назад

      @@paulndoya5805 uyu jamaa ali anza kusoma dini lakini bahati baya mwalimu mchawi aliyekutana naye alimtoa kwenye dini na kampa elimu ya kichawi na makmufanya awe mshirikina bila yeye kujua because umri ali anza kusoma uchawi ulikuwa mdogo dio maana anachanganya elimu ya kichawi zaidi na kidongo ya dini

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 года назад +2

      @@dallasabinchar5128 mpokee YESU KRISTO ndio njia ya kweli na uzima kwa YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote duniani zaidi ya yeye hapana hakuna Mungu mwingine

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 года назад +3

      @@paulndoya5805 kwa YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote duniani

    • @dallasabinchar5128
      @dallasabinchar5128 3 года назад

      @@marianachriss2444 wewe tena si tumesha malizana mimi na wewe
      Ume ni anza tena nitakuuliza ma questions uta leta jibu utaanza kunitukana kama juzi