Soccer data kwa Simba hii na viongozi hawa hawa tusitegemee Kuna jipya litakalo fanyika yataendelea Yale yale tu viongozi wa Simba huwa hawajifunzi kutokana na makosa yaliyopita Kila siku mambo ni Yale yale tu
Nimeangalia chambuz zako nying ila hii ni MVP kwangu.But viongizi wa Simba hawanatofauti viongizi wa VYAMA VYA SIASAA.kitendo Cha kumleta MANZOKI wakati wa uchaguzi hapo ndipo nilielewa SIMBA Wanaviongozi wa namna Gani..itoshe kusema SIMBA Wanamisimu mitatu mbele ya kujakuchukua ubingwa Tena.Labda hao wakina mangungu watolewe ..
Mimi naona laana ya kutokuwa na imani na kocha mtanzania inawatesa Simba. Maana huyu kocha ilifika mahali akawa kocha bora wa wiki huku makocha wa kigeni wapo nyuma kabisa. Boli itembee.
Tatizo la Simba kocha akishinda mechi moja mnamuona kawapeleka peponi mnaanza kusifia ujinga Ila kwa sisi wajuaji me nilishasema toka huyu kocha anafika kuwa hapo hakuna kocha, kocha hajui kusoma mchezo, hajui amtumie nani kwa wakati gani, mzito kufanya sub, anaingia kwenye game kwa kukariri, atawaua Wana Simba. Sikuona tatizo la mgunda mpaka uongozi kumleta Robertinho, mmempa mgunda timu kaifuata ikiwa ugenini na kashinda na akaendelea kushinda game zote na timu ikicheza soka Safi na wachezaji wakiwa na amani na timu mwisho mnaenda kumleta kocha kisa mbrazil au kisa kashinda ligi ya Uganda ambayo ni ligi ndogo Sana kwa ligi ya bongo, Kama angeshinda ligi ya bongo halafu afuatwe na timu za Uganda tungesema jamaa wamefauta kocha mkubwa Sasa mtu anashinda ligi ya Uganda halafu analetwa bongo? Vinginevyo Simba na timu zetu zingine zilitakiwa kufuata kocha aliyeshinda ligi labda ya misri, Algeria, Morocco, South Africa hata Tunisia. Tatizo linaanzia kwa viongozi mamburula. Hata zile game za Simba Mara kashinda Saba sijui kampiga vipers nje ndani kwangu niliona ni maigizo maana timu inacheza vibaya mashabiki wanashangilia kumpiga vipers Tena kagoli kamoja ni uvivu wa kufikiri, yanga wenzenu wamebadilika pakubwa na wamejifunza mengi toka kwenu Simba lkn Simba anaenda kujifunza kwa vipers unawaangalia vingozi unaamua tu kuwacheka, wakishinda mechi moja Basi wanakwambia kocha la CAF hilo, Ila sawa kwa Sasa endeleeni kumshuhudia mwananchi akikusanya makombe na kukwea pipa nyie wamama kaandaeni chakula jikoni. Ninachomshukuru mungu sijawahi kuwa shabiki wa soka la tz maana sipendagi vitu vibovu na ningeshawatukana wababaishaji wote. Yote kwa yote hongereni Topolo kwa kuendelea kufanya vizuri nyie makolo kaeni mjifunze kitu kwa hao Topolo
MO umesema wewe ni mfanyabiashara mbobezi ktk kutafuta hela. Mpira ni biashara sasa kwanini umeitelekeza timu kwa TryAgain ambaye siyo mtu wa mpira na hajui biashara ya mpira? Mpira unafaida sana hasa Simba kama ukitumia Database ya mashabiki na Wanachama. Tukiitumia kikamilifu hata uwanja wetu tutajenga vizuri. Hayo yaliyosemwa kwenye clip hii yana maana kubwa sana yatafakarini hayo. Ukitaka faida kubwa lazima uwekeze kikubwa. Sajili vizuri tufanane na Mamelod halafu uone faida utakayoipata itakushangaza mwenyewe na utasema kwanini ulichelewwa kuwekeza kwa nguvu ktk Simba. Sisi ni watu wa kudharauliwa na manyokanyoka kweli? Tafakari. MO kama umechoka tutafutie mwekezaji mzito kutoka Uarabuni umpe hii timu kwa miaka mitano tu uone. Tunajua wewe ni mwanachama mwenzetu na unauchungu na timu sasa kwanini usibadilisshe mbinu Simba ikaja kivingine tukawashagaza CAF? Kama hivi tulivyo wabovu tumewapa Waydad ugonjwa wa moyo,; ukiongeza nguvu kidogo zaidi ya hapa kwa kusajili vyuma vikali tutashangaza dunia.
Nina hakika uongozi umeyasikia/ umesikia chambuzi za soka data wafanye kazi mashabiki watuweke sawa tunavoipenda team yetu hatuna shaka Kwa lolote linaloleta faida kwa team
Broo umeongea cler point maana Kama wewe umeongea point ya maan basi inabidi wapitie maoni kwako ili wajifunze jinsi gani wao wafanye maana hakuna wanaomia Kama mashabiki
Hakika uko sahihi, falsafa ya kutopanga watu kama Sacho wa kiatu cha Dhahabu, Okra wa Timu ya Taifa Ghana, Moses Phiri ambaye amefunga magori 10 haraka vile eti kwakuwa hawatumii nguvu, inashangaza sana
Kuna muda huwa nawaza kwann jamaa hataki kuiacha Simba nakumbuka kweli ni mfanyabiashara kwahiyo hawezi sema kama kuna faida zaid ya hasara ili waendelee kumnyenyekea daah akili mtu wangu
Nimekuflow brother uko sawa
Simba inashida ya muundo wa uongozi na viongozi waliopo ni walioweka mizizi yao yani ukiwagusa tu inakula kwako
Kweliiiiiii
Uongozi wa simba naomba msikilize haya na myafanyie kazi
uongozi wa simba uache uwongo kwenye usajili wa wachezaji walio bora na usikubali siasa ktk kujenga team
Kaka uko na jicho Pana mno mkuu💪 unaona mbali sana mkuu 🔥💯
kaka unajua kuchambua ukwel nimekuelewa Sana me nazani timu ipo imara tatizo ni viongozi wetu ndo wanatuangusha club hasa kwenye maswala ya usajil.
Ukweli usemwe, ikiwezekana ufanyiwe kazi!
Simba Jamanii basi tuu
.......sawa lakn si kihivyo.....
RIP SIMBA SC KAMA MO DEWJI HATAKI KUIWACHA HAIWEZI TENA KUKA JUU
Fukuza Mwenyeti
Ndo maana Zacharia anakumbukwa mpaka leo
Leo.naona umeongea tu hamna jipya
Umesema ukweli kabisa
Hpo namba 3 falsafa kwangu ndio point
Soccer data kwa Simba hii na viongozi hawa hawa tusitegemee Kuna jipya litakalo fanyika yataendelea Yale yale tu viongozi wa Simba huwa hawajifunzi kutokana na makosa yaliyopita Kila siku mambo ni Yale yale tu
Usajili making muhimu sana
Nimeangalia chambuz zako nying ila hii ni MVP kwangu.But viongizi wa Simba hawanatofauti viongizi wa VYAMA VYA SIASAA.kitendo Cha kumleta MANZOKI wakati wa uchaguzi hapo ndipo nilielewa SIMBA Wanaviongozi wa namna Gani..itoshe kusema SIMBA Wanamisimu mitatu mbele ya kujakuchukua ubingwa Tena.Labda hao wakina mangungu watolewe ..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kaka. kuwa. makini et.
kwakuwa simba inafanya vibaya basi kila litakalozungumzwa tutahisi ni kweli
Hapa uhakik jaman 2naumia waangalie hayo
Kakakweli ivi
Nimekulewa mwamba
Uyo mo mwenyewe muongo muongo tu hana jipya
Viongozi wengi ni wanasiasa pale Simba
Sababu ya nyongeza ili simba ifanye vizuri usche kua kimya
🤣🤣🤣
Kwel simba haina uongozi wachezi wazur wapo tena wengn na wakiwatoa kwa mihemko ya mashabik bas wamefeli.
Mhhhhhhh,unakujakuja,,Ila omba wasikusikie😂😂😂
Mimi naona laana ya kutokuwa na imani na kocha mtanzania inawatesa Simba.
Maana huyu kocha ilifika mahali akawa kocha bora wa wiki huku makocha wa kigeni wapo nyuma kabisa.
Boli itembee.
Wacha tu nimkumbuke zakaria hanspope 😭😭
Huu ndio ukweli mtupu aliyoongea huyu jamaa
Pigachi uongozi
Mo dewji bado sio mwekezaji kwakua mfumo wake bado haujakamika kwa sasa anatoa tu hela kama mpenzi wa simba
Simba mtumieni Aden Rage kusajili timu. Adeni aliucheza mpira. Anaujua mpira. Anawajua wachezaji. Ana uchungu na timu.
Hakawii kujilipa na tunaanza kudaiwa chapati kwenye kambi
Tatizo la Simba kocha akishinda mechi moja mnamuona kawapeleka peponi mnaanza kusifia ujinga Ila kwa sisi wajuaji me nilishasema toka huyu kocha anafika kuwa hapo hakuna kocha, kocha hajui kusoma mchezo, hajui amtumie nani kwa wakati gani, mzito kufanya sub, anaingia kwenye game kwa kukariri, atawaua Wana Simba. Sikuona tatizo la mgunda mpaka uongozi kumleta Robertinho, mmempa mgunda timu kaifuata ikiwa ugenini na kashinda na akaendelea kushinda game zote na timu ikicheza soka Safi na wachezaji wakiwa na amani na timu mwisho mnaenda kumleta kocha kisa mbrazil au kisa kashinda ligi ya Uganda ambayo ni ligi ndogo Sana kwa ligi ya bongo, Kama angeshinda ligi ya bongo halafu afuatwe na timu za Uganda tungesema jamaa wamefauta kocha mkubwa Sasa mtu anashinda ligi ya Uganda halafu analetwa bongo? Vinginevyo Simba na timu zetu zingine zilitakiwa kufuata kocha aliyeshinda ligi labda ya misri, Algeria, Morocco, South Africa hata Tunisia. Tatizo linaanzia kwa viongozi mamburula. Hata zile game za Simba Mara kashinda Saba sijui kampiga vipers nje ndani kwangu niliona ni maigizo maana timu inacheza vibaya mashabiki wanashangilia kumpiga vipers Tena kagoli kamoja ni uvivu wa kufikiri, yanga wenzenu wamebadilika pakubwa na wamejifunza mengi toka kwenu Simba lkn Simba anaenda kujifunza kwa vipers unawaangalia vingozi unaamua tu kuwacheka, wakishinda mechi moja Basi wanakwambia kocha la CAF hilo, Ila sawa kwa Sasa endeleeni kumshuhudia mwananchi akikusanya makombe na kukwea pipa nyie wamama kaandaeni chakula jikoni. Ninachomshukuru mungu sijawahi kuwa shabiki wa soka la tz maana sipendagi vitu vibovu na ningeshawatukana wababaishaji wote. Yote kwa yote hongereni Topolo kwa kuendelea kufanya vizuri nyie makolo kaeni mjifunze kitu kwa hao Topolo
Sasa kumbe nawewe hujui cocha Hana tatizo. Tatizo. Hapo ni uongozi mmbovu
Gazeti reeeefu, ujinga mtupu.
MO umesema wewe ni mfanyabiashara mbobezi ktk kutafuta hela. Mpira ni biashara sasa kwanini umeitelekeza timu kwa TryAgain ambaye siyo mtu wa mpira na hajui biashara ya mpira? Mpira unafaida sana hasa Simba kama ukitumia Database ya mashabiki na Wanachama. Tukiitumia kikamilifu hata uwanja wetu tutajenga vizuri. Hayo yaliyosemwa kwenye clip hii yana maana kubwa sana yatafakarini hayo. Ukitaka faida kubwa lazima uwekeze kikubwa. Sajili vizuri tufanane na Mamelod halafu uone faida utakayoipata itakushangaza mwenyewe na utasema kwanini ulichelewwa kuwekeza kwa nguvu ktk Simba. Sisi ni watu wa kudharauliwa na manyokanyoka kweli? Tafakari. MO kama umechoka tutafutie mwekezaji mzito kutoka Uarabuni umpe hii timu kwa miaka mitano tu uone. Tunajua wewe ni mwanachama mwenzetu na unauchungu na timu sasa kwanini usibadilisshe mbinu Simba ikaja kivingine tukawashagaza CAF? Kama hivi tulivyo wabovu tumewapa Waydad ugonjwa wa moyo,; ukiongeza nguvu kidogo zaidi ya hapa kwa kusajili vyuma vikali tutashangaza dunia.
Uongozi mmbovu nas tunajua wao wan AAA kimbilia kumfukiza cocha wanaachwa kamati ya kina mangungu wa bovu nawao watoke
Nina hakika uongozi umeyasikia/ umesikia chambuzi za soka data wafanye kazi mashabiki watuweke sawa tunavoipenda team yetu hatuna shaka Kwa lolote linaloleta faida kwa team
Broo umeongea cler point maana Kama wewe umeongea point ya maan basi inabidi wapitie maoni kwako ili wajifunze jinsi gani wao wafanye maana hakuna wanaomia Kama mashabiki
Hakika uko sahihi, falsafa ya kutopanga watu kama Sacho wa kiatu cha Dhahabu, Okra wa Timu ya Taifa Ghana, Moses Phiri ambaye amefunga magori 10 haraka vile eti kwakuwa hawatumii nguvu, inashangaza sana
Swali langu....ayoyote ungeyasema wangekua wamechukua ubingwa?
Ubingwa Upi huo😂😂
@@SoccerData. WOWOTE ULE
inaonyesha ww ni shabiki wa simba
Kisa nn
Achaaaa kumchafua kijana wawatu angekuwa mwanasimba hizi nguvbzakuchambua angekuwa anazitoa wapii😂
We huna akili.Unaonekana mgeni kwenye chanel hii,sasa kinachozungumzwa hapa kinahusiana nini na ushabiki
@@JayLastkingof hahahhaaha unalazimisha mtu ashabikie timu lako bovuu wepambn huyooo niyamga du tunamjua
@@ngorshermelody2021 daah nimecheka sana😂😂😂 kwamba simba saiv hawana nguvu tena😁😁😁😁💛💚💛💚