Not us meeting with Trevor and Dante at the maandamano...my friend was like 'hamjui 3 men army' 😂😂😂....not me just playing cool knowing vvv well how i lowkey love Trevor
Hapo kwa kueducate wazazi nakubali. Tunafaa kurealise pia wazazi wetu wamekuwa brainwashed not only by politicians but also by religious leaders. My mum juu kuna pastor alisema aliota Ruto atalead Kenya sahii huwezi mconvince despite everything we are seeing. Huwa inanidrain energy nikijaribu kuexplain vitu obvious kwake juu amekuwa brainwashed by religion mahn. We need to educate the older generations otherwise tutarudi hii point tena😢
Hii naerecomendia kila yout Kenya na Pia Elders waskize. Basic Civic Education. Politicians wanatuona makende sana tumekasirika vibaya sana hii ujinga itaisha walai one day. #Rutomustgo
Wagwan wadau im finally back from school missed you guys samn so much 😗😘😘😜🤣now im ready to get my ribs cracking from laughterr by catching upon every freaking episode i missed
Dante umefika full Brown stage uka dye 😂😂 happiness is free 3 men army all time
Nathani nimekuja apa kucheka nitake a break from politics zitanipandisha pressure bure kumbe pia nyinyi mmejam.... nkt!
I have actually watched the whole episode within 3 seconds, nimeskip the whole episode nikitafuta place naeza cheka NOTHING
Watu wamee jamm mbaya Sana
Yani ni smiles all round😊....naimagine vile travour ametusi Dan mara Mia juu ya hio die kwa kichwa😂😂😂😂namharakishe...
Not us meeting with Trevor and Dante at the maandamano...my friend was like 'hamjui 3 men army' 😂😂😂....not me just playing cool knowing vvv well how i lowkey love Trevor
Mschanaaa😂
Mafans kesho hatupo😂😂😂😂, Boeing 77
walàe hata mimi nimeona sijui kazi ya deputy presient tf😂😂
#Ruto must go
The 1st one to comment..thumbs up👍😊 WAGUAAAAAN WADAUUUUUU
Wagwan
na sasa comment ni gani....??
Waaaaaaaaaaaaaaaaguan😉
WAGWAAAAAN👊
@@ProianWaSarah😊
Hapo kwa kueducate wazazi nakubali. Tunafaa kurealise pia wazazi wetu wamekuwa brainwashed not only by politicians but also by religious leaders. My mum juu kuna pastor alisema aliota Ruto atalead Kenya sahii huwezi mconvince despite everything we are seeing. Huwa inanidrain energy nikijaribu kuexplain vitu obvious kwake juu amekuwa brainwashed by religion mahn. We need to educate the older generations otherwise tutarudi hii point tena😢
Man this is real,what u tak
Frank anahit the nail 💯. Main points tu
Naona frank nakumbuka the video they made today na Dante ya "fundi"😂😂
😂😂
Umeona hio wametoa Leo ya ghost 😂😂
😅😅😅😅@@lonahsteve906
Ile kaunda ya rais ni yeye alikaunda
aaaaah sa mbona montie amejam ivo 😂😂😂😂😂enyewe.ruto must go!
This Episode Shall…. mandatory…. Shall underline the word SHALL…. Mandatory…. Be shared widely and it Must…. Must…. Demand…. Must…. GO VIRAL
eroooooo
Hii podcast inafaa kuchezwa parliament!!!!
Manzee joh😂😂😂Mkebe ya mursik was just chilling...aki Trevor 😆
dante counting with his thumb like mr lies🤣😅😂
Yoooh...Ma fans bado mpo!!
tupo site bana
Hio stori ya nyumba imefanya many people mpaka sai they haven't settled...walichukua tu majina za watu na number wakaambiwa wangoje pesa inakuja
I love your vibes manzeee......fikeni laikipia university bwana
Tunajam kujam kujam‼️
6:47 Andrew Trevor was way ahead of us
Hii naerecomendia kila yout Kenya na Pia Elders waskize. Basic Civic Education. Politicians wanatuona makende sana tumekasirika vibaya sana hii ujinga itaisha walai one day. #Rutomustgo
Mnipee tu hiyo couch,,juu sasa wee
Frank amejam kweli...ASHUKEEEEE
Nice job guys,Na vijana wenye hatuna kura tuchukue tuvote tujuje bad leadership bana💯🔥
We Trevor na dan chekeni tu kuna time pia nyinyi muta hoa
Hio part ya kuiba tv unapeleka bedroom pure truth 😊😊
Mafans bado tupo
Every episode inabamba kivyake @goodvibes wadau🔥🔥🔥
If you love this podcast like 👍 here
Pole timo 🎶 pole timo 🎶😂😂😂
nice one guys three mens army continue growing. big ups
Walai monte umetoa hio kwa roho .....mama troy amefanya nini 😂😂
Ata mimi nimejaa, hao Wasee hutubeba Wana sana
Wagwan Wadau 🚀
Mafans bado tupoooo🚀😎🤘
tupooo
hii kitu mnafaa kupiganga 2 episodes per week banaa🔥🔥
The best podcast...#bigup3menarmy...make it two podcasts a week...kungoja moja kila wiki inatesa😂
Anytime anyday anywhere 3MEN ARMY
Dante aoshe matope kwa kichwa,... Mafans tupo😊
Gai seriously 😅dante ameamua aje tebu lemi wait to see how he looks ,, WAITING 🙋♀️
Dante ameamua kua Chris Brown😅😅😅
Makende iko😂😂...hio ndo imeninice kabisa wallahi
this guys are oozing wisdom
asanti kwa kufungua macho za watu
A moment for Montie,wanainfluence hadi marriage negatively....lakini sasa young lawyers mko huku nje mtuadvice vile unaeza impeach a sitting president
😂😂 na uku watu waendagi kazi.. anyway wadau siku zotee
Tunawatchia job 😂😂😂na usisahau tuliskiza Kwa Spotify but lazima tu watch tena 😂😂
@@lonahsteve906 😂😂😂
Wagwan wadau im finally back from school missed you guys samn so much 😗😘😘😜🤣now im ready to get my ribs cracking from laughterr by catching upon every freaking episode i missed
👊🏾💯 3 men army all time
Ati Dante akipewa 1 billion anatoka apo show mara that that 😂
Chuki by wyre😊😊 Trevor ushiki kituuuuu😅😅😅
Apo Kwa pwaa kitu Moto Kwa mguu imenikumbusha mbali😂😂
Akii wadauuuu mniiitee hata kwa shooow kama fun😅😊
Wadauuuu keeps me going❤
Respek 🫡🫡…. This one is maaad 🔥🔥🔥 no other like this one….. #60 Maaaaddeeeesssstttt🫵🏾🫵🏾
Big up 3MenArmy👊🏾👊🏾👊🏾
Nice one guys big up🔥🔥 Trevor,Nambale tuko ndani
Exactly sad truth😢
Wagwan wadau.🎉🎉Si tupatane event
50:20 eeh frank amejam😅
Venye me hushout intro maneighbour hufikiria naitwa Andrew Trevor
frank ame open up😂😂😂 aty ananyimwa😂 ruto must go...
Inject💥
cjai skia frank amebonga episode mzima enyewe kenyans wako na hasira
mko serious jameni😂😂😂
GUYS DON'T TAKE THIS LIGHTLY, SIJAWAI KASIKRIKA HIVI FOR MORE THAN 1HR NKT!!!
mama Troy commenting............😂😂
😂😂
wagwan wadau😅mtoe ii kitu haraka banaa
Next election tunalala polling station..
✊VIVA 😂
Aki Dante nikikushika hiviiiiii😅😅😅 anyway @3men army for life🖤🖤🖤
Drip dripping 😂😂😂hii nayo ni surprise wagwan wadau
Ahhhh 😢😢nimejam pia ..
Ruto must go banah wanatupima Kuna siku youths wataungana
Trevor alipredict DP atachujwa😂😂😂
Ati pole timo😂😂
Dante anacheza safe hataki kuabductiwa.Hadai kurisk.Amenyamaza sana kwa hii episode🤣🤣🤣.Hahah
My menh wagwan wadau...top content innit...❤
adi Dante ame dye😂...enyewe ruto must go😂😂
43:24 😂😂😂😂 Monti amejam😂
Dante umeanza tabia za kishebedu, 😂Hio nini umepata KICHWA BOMBOCLAT
Nawapenda ♥️♥️♥️♥️
Wagwan wadau💯,,,, tuning in from bungoma 🔥🔥😊
kabla niwatch nishacheka 😂😂😂😂😂😂thanks guys
Wagwan wadau.Another new week big up
Yoooh why cant we share this episode episode this part of civic education bana
We ni mnono na unataja man u🤣🤣
ati unataka kuwa boarding master kwa mkundu😂😂😂😂😂
Wagwan wadau nawatambua bna
Natii raia
Monty umesema serikali inakuharibia marriage.. sieet 😂
Mafaaaaans bado mpoo .....😅😅
tupo
Aah kumbe nmefika mapema i thot am late😩
Na ikuje haraka faster am from ksm big love to you guys
hii episode nimejam tu💀mmefanya vizuri kupanda pressure juu kesho ni tuesday!!
hii stori ya tirries tuesday imewauma sana 😂😂😂😂😂
Guys 😢🥹🥹💔i feel you 😔
I feel your pain
#rutomustgo
Nimengoja hii vinoma😂kwanza part monti anasema siku hizi mama troy anamnyima😂😂
mama troyyy 😂😂😂 eiii una nyimana
😂😂😂😂Mama Troy have Mercy on monte... 😂 😂 😂 😂 Aaah
Ruto wewe 😂😂😂😂❤
Tunataka ep kila wiki si kutuekea content ya two weeks ago
Manzee 😭
Awa utaskia wamepotea mmoja mmoja🤣🤣🤣
1:00:28 Gachagua wewe😅
Uyu jamaa aendee tu💀💔
We trevor achana na manjesta kabisaa😅
ushaidate dem anapiga 180😅