Nakuelewa sana jon nakutakia afya njema ili baadaye uje kuwa m/kiti wa taifa najua nafasi hii wapo wengi ambao 1 mbowe 2 lisu 3 wewe zaidi,sijaona mimi ni hawa watatu kaza buti
Heche na Lisu ktk hotuba zao, pamoja na mapungufu aliyokua kau nayo Magufuli hawakutakiwa kushambuliwa moja kwa moja. Magufuli ndiye angekua msingi wao dhidi ya Serikali. Zaidi ya 60% ya Watanzania wa kawaida mpka sasa mpka sasa wanampenda sana.
*Kongo [DRC] si landlocked; ina sehemu za bandari: Matadi, Boma na Banana! Ila sababu ya njia mbaya za usafiri, sehemu kubwa ya Kongo inatumia bandari za Mombasa au Dar es Salaam.* *Lake Victoria si kubwa kushinda maziwa yote. Ziwa kubwa ni Superior.*
Trein ya makunbusho kongo wana trein ya kuni au magogo iko makumbusho kuna trein ya mafuta yani dizeri iko makumbusho kuna trein ya umeme yadizeli na umeme zipo zinetumika miaka mingi leo tz ni
asante sana mhe heche. hakika watanzania tunakukubali mungu akutie nguvu pamoja na wenzako mlikomboe hili taifa kiutumwa.
uyu hapa uyu mwamba eche mpa mbanaji asiye na tamaa mungu akuweke sana tuya juwe mengi tanzania ii ya usingizi tua mshe mwamba
Asante mwamba chapa kazi
Heche mungu akubariki sana istoria itasma kweli umetimiza wajibu wako
Big up sana Kamanda hakika.... Huyo Mwamba ana hoja za Msingi sana.... Mungu azidi kukubariki unatuelimisha mengi...
Hakika chadema ina watu wenye maono na uchungu kwa watanzania hata hotuba zao unatamani zisifikie mwisho hakika MUNGU awabariki sana
😊😊0😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊0😊😊😊😊0😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊0😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😊😊😊
Mungu awatunze kwa kiwango kikubwa
Asante sana kaka @johnheche tuko pamoja kulikomboa Taifa letu ✌️✌️✌️✌️
Heche ubarikiwe sana,unaongea fact kweli kweli...hakika chadema tuna watu wakutusaidia shime viongoz wetu twenden tumewaelewa tuko pamoja!!!
Mungu akubariki sana
amina chadema wabarikiwe sana.
nilimis sana kamanda wangu henche
Nakuelewa sana jon nakutakia afya njema ili baadaye uje kuwa m/kiti wa taifa najua nafasi hii wapo wengi ambao 1 mbowe 2 lisu 3 wewe zaidi,sijaona mimi ni hawa watatu kaza buti
Point mku❤
Heche your my mentor
Ubarikiwe heche
Kamanda sijawai kujutia hoja zako ❤❤❤❤❤
Heche na Lisu ktk hotuba zao, pamoja na mapungufu aliyokua kau nayo Magufuli hawakutakiwa kushambuliwa moja kwa moja.
Magufuli ndiye angekua msingi wao dhidi ya Serikali. Zaidi ya 60% ya Watanzania wa kawaida mpka sasa mpka sasa wanampenda sana.
Chuma Hecheeee
kamanda uko vizuri.
Yes kikitoka chombo kinatua chombo hilo ndo chama la wananzengo chezea wananzengo wewe✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Ukweli mtu. Heche 💯💯💯
*Kongo [DRC] si landlocked; ina sehemu za bandari: Matadi, Boma na Banana! Ila sababu ya njia mbaya za usafiri, sehemu kubwa ya Kongo inatumia bandari za Mombasa au Dar es Salaam.*
*Lake Victoria si kubwa kushinda maziwa yote. Ziwa kubwa ni Superior.*
Upo vizuri sana Good sana
Utakuja kuwa waziri mkuu wa chadema.
Dar Nimelia Sana Tufanyeje Kujiokoa Nahawa Madalali wamali Zetu CCM
Ongeza John hech wenztu hawtak ukwl liserkari ra Cham kimoja limetuchsha✌️✌️
hongera sana
Yes verygood
Trein ya makunbusho kongo wana trein ya kuni au magogo iko makumbusho kuna trein ya mafuta yani dizeri iko makumbusho kuna trein ya umeme yadizeli na umeme zipo zinetumika miaka mingi leo tz ni
duu kamanda mungu atawapambani wote
Ongeza bab 👏👏👏
Ccm kunakuchaga jioni kinyume chake ni kwamba wanajipatia kipato cha gizani
Ndugu yetu jonh heche upo wapi?
Kwa heche kweri ni elim ni mwalimu wa kweri asiye kue lewa ni taira au nimweu
Good
Huyo Mzee tunaomba azunguke nchi nzima ahamasishe watu juu ya kuikomboa nchi hii
Hii nchi imekuwa na viongozi mbulala sana
Viongozi mbulula? Au wananchi ndo mbulula
Heche Kwa kweli unaesema ukweli baba uko sahihi
Unaongea point tupu brother heche
Nakubali.heche.pamoja😂
SERIKALI YA CCM NDO IMESHINDWA KUKUSANYA PESA ZETU NAULIZA TUTAFIKA KWELI.
Wana tarime mmebeba roho za watanzania turejesheeni uyu mtu bungeni tunawapa zamana iyo msifanye makosa nipo lindi fanyeni ivo
CHADEMA....CHAMA MBADALA WA CCM 2025.....WAZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
Pmj mkuu ila wengi mazezeta endelea kutoa elimu
❤❤
Kwa hiyo heche mnapango wa kushiriki uchaguzi bila ya tume huru?
Heche na mabukusi mnafaa kuwaongoza watanzania
CHAMA MAKINI CHAMA AMBACHO TUNAJIVUNIA KWA WIVU MKUBWA TUENDEREE KUERIMISHANA
ASANTE SANA NAFURAHI KUSIKIA MAONI KAMA HAYA CHADEMA NI TUMAINI LA WANAOPENDA TANZANIA. MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Wameuza nchi hakika?100 hatujijui am htujitambui😂
Hakika nchi hii Haina upinzani
Waalimu mnamchangia raisi kuchukuwa from!!!!!!!!!! Vioja
❤❤❤❤
Usitutetee bana Sisi niwajinga ckuzote kaka
😂😂😂😂ninafuraa kupitiliza mwakan tunakurudisha bungeni
Mlingoti chuma bendela chuma
❤
Heche tunaomba arundiswe wana tarime tuwe pomoja
Nikweli unacho sema ila mlikoseya mwazo
Jiwe hili anafaa kuwa raisi
Chama changu
Msikubari kupigwa picha nyinyi tu hata wananchi tuwaone mbona wao wanaonekana wote
Serikali ya mwenda wazimu
Jwtz wanapaswa kulaumiwa
Painful, wameuziana hao wakaenda kupiga bei kubwa
Jembe jembe heche ubarikiwe
kama hakuna alie kuelewa baas ni vichwa maji
Chuma milmiter 12 heche
Henche shupavu
Chuma cha pua
Eheeeee wewe acha basi
Na gesi nayo watapewa waarabu
ww ni jembe hakika
Unapoteza mda kuwafundisha wajinga hawajitambui watanzania
Mwamba
Muondoeni mbowe, ndio tatizo
Mlingoti chuma bendela chuma
kama hakuna alie kuelewa baas ni vichwa maji
unafaa kuongoza hili guludumu