Leo
HTML-код
- Опубликовано: 29 окт 2024
- Leo #MariaSpaces : Bunge na Mahakama Vinataka Tujilinde?
Nchi imerudishwa kwa wananchi?
Baada ya Bunge kukataa kujadili utekaji na Mahakama kukwepesha uwajibikaji wa polisi pamoja na ushahidi wa uhusika wao katika utekaji, nini kinafuata? Tunajilindaje?