Mca tricky i must saay uko na talent 👌🏾 But bado haujakomaa sana to do your own staff .. Rudi tu churchill if indeed unataka jina yako isikufe this early
Haha haha pia nlinotice.....hiyo dress ya red Inakaa ya Phill......alafu Huyu gatwiri.... Kumbe nlikua nmemwona Kwa desagu Bora uhai..... Phil gud job gal unaenda mbali
Desagu uko wapi,, MCA Tricky amechukua Gatwiri wako 😂😂😂
Ametoka mathare half term,,niokotwee
wazzah ,, heh
Gatwiri should open her own RUclips channel. She is fun fun fun fun!!!!!!!! i like Gatwiri ile mbaya. She is comedy herself
Unampango wa kuoga😂😂😂😂😂Nakupenda bure Tricky
Always on Top👍
Desagu uko wapi?Tricky anakucheza huku vibaya sana,haha
First view first comment so love kwa mca tricky sana,,,, nyumba imekuwa zero grazing ya wasichana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤔
😁😁😁
Elizabeta Ndundi kuwahi ni kuwahi
hi...unaitwa elizabeth nani???????
@@kyenallan3823 hahahaha hivyo unaona hapo
😂😂😂😂😂😂😂😂
In love with that Meru accent😀😀😀😀. It is part of what brings me here everyday, everyhour. Nyachio yaa naki bono?
This collabo is🔥🔥🔥 i hope gatwiri appears in more of your videos..🔥🔥❤
Gatwiri is highly talebted she should look for greener pastures
Sijaoga lakini niko na mpango wa kuoga. 💪💪💪💪💪💪 Ecstatic fan of Tricky always.
Mca tricky my all time Comedian 💝💝💝
Nyachio unimaliza mbaya 😂😂😂
Watching from somalia..mctricky and your team keep going guys.......nyumba imekuwa zero grazing😂😂
Mohamed Ibrahim amematch dress na viatu yangu 😁😁mcatricky sana
tricky nko na suggestion⚒️⚒️ 😂😂😂😂
love it Tricky , money is making your papa to be good person, aki pesa
Two maddest colabos....nyachio en tricky nani ana agree
🤣🤣🤣🤣Gatwiri wa desagu ati anavitu kwa masikio 🤣🤣🤣Tricky sanaaa
Watching from America in California Richmond hi show iko juu saana keep it up guys kwanza chachio na gatuiri mko juu tu sana
trickey sana 'enda ukatafute masomo', Nyachio said. not me
haaa haaa haaa Nyakio amechoma kila kitu 😂😂😂😂
Hii ni funzo kwa watu. Never judge a Book by its Cover 😂😂
😂
MCA should go back to Churchill who agree??
aya alitokaga...he should.comedy take bado ijakoma
He should take a break,he looked funny with his chokora outfit
Yes
Kwani ametoka
Yah
siku ingne usikawai niongelesha ..gatwiri you got it a mean talent
Huyu dem ako in black ana kiherehere🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
Unaleta msichana kwa nyumba ameathirika na light😂😂😂😂😂😂
Nyachio uko top🔝🔝🔝
Hehehe...love this.MC Tricky let me know how I can support you.
na wewe unasimama hapo akiniongelesha vibaya??.......wacha nipige magoti😎😎😎😎😂😁😀😂😁😀 good work MCA Tricky👍🏾👍🏾
Maslayqueen kuruka na nyumba yafungwa na nyororo ka DOGY😂😂😂
I love it when the notification shows up 'someone liked your comment" and ' you have a new subsriber' it always make my day
Omoghusii kabsa !!! Noma sana from +255
Nyachio bana unachomea tricky mbele ya ma slayqueen ati umeoga 😂😂😂😂
Banaeeee😂😂😂
Eeeeh
aise hii Kali sana MCA trick nipo Tz nakukubali sana
Gatwiri 😂😂
Napenda Hiyo accent yako vile unaongea kwanza😍😍 daaah
Aya subscribe sasa
mr tricky ninoma sana!
amekua affected na lugha😁😂😁
Yeey 🔥🔥first again
hhhhhhhh eti 'Ameathirika na lugha....nyachioooo utanivunja ribs
Aty amemuch dress na viatu yangu 🤣🤣😁 gonga like mca trick
Ckujua nyachio ni real actor 💋💋💋💋nyc collabo
Nice one Tricky and pleasure meeting you today In Kileleshwa
Wow tricky huyo dem yako phil imeweza mrembo kweli😘
ATI gatwiri ameadhirika na luga😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂....waaah aki uyu mkisii atanimaliza😂
Gatwiri my Girl hahaha. Mct ati unapangaje na hio panga????? Bora uhai
MCA bro rudi Churchill, u perform exceptional uko.
Mca tricky i must saay uko na talent 👌🏾
But bado haujakomaa sana to do your own staff ..
Rudi tu churchill if indeed unataka jina yako isikufe this early
Sage Gare point noted
4:50 Gatwiri struggling hard to hold that smile, breaking character, these guys are funny, I can't blame her 😂
Lkn nyachio hii kofia yako inavaliwaga na pythogras theorem
😂😂 mtaacha kuniua,Nyachio sema kumalizwa n yet you can fight your own battles🤔🤔,Tricky hizo nguo maa😉😉
tricky kaleo kameweza acha wapigane 😁😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁zero grazing ya wasichani, mca tafuta pesa si wasichana, hahaaa
eti unataka nyumba yngu ikuwe unity of zero grazing ya wasichana😄😄😅ni noma sana
keep up the good job main chiq, hustle hustle hustle hustle # hustle.
Ndio asikuwe chain smoker kama akina Jonte...😂😂😂😂
Gatwiri Na Nyakio please appear on Real House Help of Kawangware, and meet Awiti to see what will happen💥💥💥
iko tu sawa lakini sauti ya Tricky iko down sana
Na io Nguo ya ako kadem inakaa ingine Phil alivaa in one of there videos na Tricky😂😂. Haidhuru good stuff.
Haha haha pia nlinotice.....hiyo dress ya red Inakaa ya Phill......alafu Huyu gatwiri.... Kumbe nlikua nmemwona Kwa desagu Bora uhai..... Phil gud job gal unaenda mbali
Vyenye dady alifanya si poa, kupenda ni ugonjwa
nyachio i like your role as a dad..awesome.
Mca Tricky,personally nakumiss Churchhill show....
Victor Vaati Muinde next show
tricky wetu ni mnoma, si arudi churchil, nani akona mm
Noma sana... Ati kuathirika na lugha? 😂😂😂
Tricky sana#number one fan
Nyachio hapo kabisa omoisia omobe bad character
nagupendasana nagusikiriza hatanikia kwe2 Burundi hatanagusikiriza gutoka 📻 mayiyasha rakinisahiyinimekujakenya
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂philloh kumbe uko na sauti kubwa ivo😂😂 ni kama ikipigania gathika primo😂😂
Love love love you MCA TRICKY
Woooow the girl In black Ameua gud job
umenichekesha sana jo!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
I love you tricky.... hahaha tricky sana....😂😂😂
Umeoga 🤣🤣🤣💯💯 umeoga kweli leo 💯🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣✌️☝️☝️☝️
Hahaaaa...ati si unaona hata mimi nauliza
zero grazing unit ya wasichana!!!! kwisha aki tricky sana
lool eti leo umeoga kama unaogopa kujibu mbele ya hawa ..... savage
Aki c hwa madem wko na ujinga kwa kichwa wnapigna kwa boma ya mwnywe 😂😂😂😂😂 alfu hpo kwa zero grazing....
Omg tricky umefanya nyumba zero grazing hehehe
The true colors of Kisii dads wenye wanakunywa busaa
Akhi yaaaao ii Imekuwa trigy gapisa
Umechange nyumba ukuwe zero grazing unit ya wasichana..........😂😂😂😂😂
amazing yawa mca
Wametoka Mathare half term😂😂😂🔥
Nakupenda tu bure
Phil naye na drama, 😂😂😂😂😂😂😂.she is good at what she is doing though.
Heeeehee Tabs Gatweri😂😂😂😂
Gatwiri 😂😍😂😂
So talented
Atii wametoka Mathare half term 😂😂😂😂
Ati wametoka mathare half term 😂😂😂😂😂
wakenya shikamoni????🙏🙏
Trickyyyy saaana kip it up!!!!
Nyachiooo 😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣 ati ametoka mathare halftime
Half term
Love this two.
Zero grazing unit ya madem😂😂😂😂😂😂
Hhh sijaoga lkn nimpango wa kuoga😅😅😅😅😂
He should go back
Nyajio uko saws bro
Ati nyumba amekuwa zero grazing ya wasichana tricky sana hhhh
Alienda wapi?
Kwani desagu alichapwa compe na mc tricky kwa gatwiri
Hehehe! Pole anty!
Leo kijana ameiba kademu ka desagu
Mapenzi
Mapenz
Ulieka wapi kifunguu wewe!? Io usi? Badala . Hehe walalala!
Feel like liking twice
Wow!NYC one
Tricky kwani ume retire Churchill naongoja jibu
Hamza aden alcadala Niko bado...next show
ame match dress na viatu zangu😂👍👍
ety alikua analetewa salary... mca tricky wooooiii appologise on behalf
MCA Tricky rudi churchil.. Hizi achia desagu