5 years ago ,this song was a hit song to me.i don't know why it never made it but it's those songs that you love from the word go.i loved it but never knew that Bahati loved it more than me.Big up Butera Knowles for inspiring Bahati with your nice song.
😂😂😂😂From Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪I will raise this flag PEKEE YANGU 😂😂Bahati amemaliza tu akasema PETE YANGU.. SO HARUSI TUNAYO HATUNA😂😂❤ You're pretty thou.. Ukona fan mwingine hapaaa 🔥🔥I love this song more🔥🔥🔥❤Nakupenda pekee yangu 😂 Udaku ndo imeniletaaa uku thou 😂😂
Kenyan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumefika huku Kwa mpigo ,Butera ako sawa😍 #Nairobigossipbroughtmehere ,nice to know sister Butera❤️ lakini Bahati do cover ama ni kuiba aliiba?!
This song is very beautiful. She brings life to the song by her performance skills. Mwizi ni mwizi, Bahati tu. Kwanza mwizi wa nyimbo. much love from Kenya.
Sure like me i didn't know her. Halafu views za hii video zimepanda sana from yesterday after Nairobi gossip kupost hoyo issue. I feel hata kama bahati amekopi imesaidia huyu dem in one way or the other.
I'm Kenyan and there is a certain Kenyan Artist we Know that Plagiarized this songs catch tune. Mr Sir tunakuona
Kenyans have been supporting our artists from Meddy,Andy and now Knowless.
Thanks Alot 🇷🇼❤️🇰🇪
💝💝🇰🇪🇰🇪
We really love rwanda🔥🖤💖🇷🇼💖🇰🇪
They're not supporting ni moshene imewaleta huku💔😹😹
@@romainahishakiye3738 Wacha kusema ukweli😂🙌
Wakenya should we tell her😂😂🇰🇪
Sasa hii ngoma ni tofauti sana na ya Bahati iam already convinced Bahati is a genius hii sasa you can see the difference pekee yangu Pete yangu 😂😂😂😂
Nakupenda Sana ♥️♥️🤞👌 from Nairobi Kenya 🇷🇼🇰🇪
Wakenya oyeeeee!!!! Wagapi tumekuja kuconfirm uyu dem ako peke yake 😂😂😂😂 go go go Bahati go 🎤🎵🎶🎼🎻🎹🎷🎧🎺🎸 yako ni ♨♨♨♨🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I still love dis song manzeh❤❤Haunipendi pekee yangu...
Wale tumeletwa huku na Nairobi gossip confirm kwa kulike wakuu.
✋😂😂😂
🤣🤣
Tuko wengi😂😂
😂😂😂
😂😂udaku itatumaliza
5 years ago ,this song was a hit song to me.i don't know why it never made it but it's those songs that you love from the word go.i loved it but never knew that Bahati loved it more than me.Big up Butera Knowles for inspiring Bahati with your nice song.
I loved her from the song Tulia... Naona sai ndo watu wanamjua she's such a talented lady
This lady should thank Baha for promoting her song. Kenyans have already flooded here like wtf.😀😀🔥🔥
Walai tumemwongezea tu views za bure
I know at first she was like what's up with all this comments 5 years later
Likewise
Mm si kuwa namtambua before
Ashukuru bahati sana
Hawakukosea. Bahati made us know this girl. Nairobi Gossip club kudos
Nimeletwa na Nairobi gossip. I never knew such a good song existed. Nipeeni like wakenya wenzangu
Buyers just thank bahati on his behalf we Kenyans in solidarity we have come to view your song and it's at 500+ views
Mmesema hii ngoma iingie trending vile inafaa...Song was a hit and should hit now again...Io ya bahati ni cover ya hii
Kenyans never disappoint, Dada yetu ameongezea views because of bahati
"Peke Yangu" by Butera Knowless is 👌👌👌 bahati alichange tu sentensi ya mwisho nadia akaongeza chorus za SDA.
😂😂😂wuuuueeeeh
It's the SDA for me 😂😂
@@paulineonditi6679 🤣🤣🤣🤣
Ndo tumefika kuconfirm copy paste😂🔥🔥... piga like tujuane
Eeeee nairobi gossip imetufikisha hapa😜😜😜
Same here 🤣🤣🤣
@@MercyKinyanjui254 aky
kweli
Kabisa
😂😂😂😂😂same
Im here from Kenya after The Bahati. I have subscribed
Nakupenda peke yako Butera Knowless ...siku tegemea unngekuja na swahili song nyingie nzuri saana.
Girl u rock!
Love the pronunciation pekeyyangooo🔥🔥😃😀
Umefika uku?😃
Flaqo najua Nairobi gossip ndio imekufikisha huku😂😂
Wasifanyie baha iyo kitu😂😂😂😢😢
Pete yang😅😅
Flaqo amefika kutoka nairobi gossip,pia mimi
I used to listen to this song kitaaaambo,hadi nimeshangaa nimeicram,wooow🔥🔥🔥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Peke yangu 😂😂😂😂 who still here 2024❤
Bahati ndio ametuleta hapa...na hii ngoma ilikua wapi hizo siku zote na vile ni🔥🔥
Wow!! any one still listening to this song in 2023??❤❤❤😂
Like kama nairobi gossip ndo imekuleta uku🤣🤣
Wenye Meru TV Ndio imetuleta pia
😂😂😂😂From Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪I will raise this flag PEKEE YANGU 😂😂Bahati amemaliza tu akasema PETE YANGU.. SO HARUSI TUNAYO HATUNA😂😂❤
You're pretty thou.. Ukona fan mwingine hapaaa 🔥🔥I love this song more🔥🔥🔥❤Nakupenda pekee yangu 😂
Udaku ndo imeniletaaa uku thou 😂😂
wakenya si tumekuja na maubaya huku..msimtrendishe vile mlifanyia bumuntu siku kiasi tu
I love this original song. Bahati hukumfanyia uyu dem poa
Kenyans lets show some love to this beautiful queen
One of my best song ❤ who still here 2023
Nani ameletwa huku na story za bahati na Nairobi gossip?, but this lady is pretty..akuje tu kenya nimuoe😂😂
😹😹😹
Mimi but ni nyimbo mbili tofauti
😂😂
Kenyan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumefika huku Kwa mpigo ,Butera ako sawa😍 #Nairobigossipbroughtmehere ,nice to know sister Butera❤️ lakini Bahati do cover ama ni kuiba aliiba?!
This song is very beautiful. She brings life to the song by her performance skills. Mwizi ni mwizi, Bahati tu. Kwanza mwizi wa nyimbo. much love from Kenya.
Si hii Nairobi hutuzururisha na gossip aki,wapi likes.
Nairobi Gossip Club Ndio Wamenituma Homework Huku, If You Know, You Know 😂😂😂😂
Sasa tumuongezee views
haha pia mimi bro...Bahati ameiba hii for sure.
Pia mim niko hapa😂😂😂😂
Hii Mushene nayo itatumaliza😂
😂😂😂😂
Nairobi gossip ndo imenileta huku🤪🤪
Udaku muhimu
We are many
Tuko wengi kumbe
Views ii song itapata juu ya udaku waaah
Pia mimi
HAHAHAHA
It's true that Rwanda kills in the Democratic Republic of Congo but take Butera Knowles out of this story, I'm such a fan of her 😁
Woow,,, nice song nimeletwa na udaku thank baha for d support
There is a very big difference kwa hii wimbo na ya bahati ,but Kenya ni kenya
If my lady sings to me this song, Tears will surely roll. Good song Knowless. I believe one day I'll get an opportunity to work with you. You rock
Kenya tumekuja huku juu Ya udaku🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ata mimi nimekuja pekee yangu ili pate Pete yangu #bahati Kenya
I'm from Kenya.. nairobi gossip club has brought me here. 😂😂 Lovely song though😍
we as kenyans lazima tuhakikishee, we fix the country, 😉😂baha kumbe ulitangulia huku
Wangapi wamekuja confirmation😂😂, Hebu nijue mko wangapi
nairobi gossip inatuonea .team bahati..hii kitu aifanani hata kidogo🔥🔥
Who is here 2020...butera let me speak in swahili.hii nyimbo ni nzur kwannn sikuiona mapema jaman
wewe ulikuwa wapi???? Lol
wenye tuko apa courtesy of nairobi gossip club mnipe likes😂
How many Kenyans are here after baha scandal?
Kama umetoka Nairobi gossip gonga like
Much love from Congo DRC Specialty Bukavu we love u butera
Still being here in 2022! Nyimbo hii ninayipenda sana kwa nyimbo zote za Butera Knowless 🆒🆒🆒💔💔💔
Pekeeee yanguuuu, Peteeee yanguuuu. Uweeeeh 😳 Kwani kunaendaje huku
But Pete yangu iko chonjo yawa. Nyinyi mmesahau song ya Stella wangu venye ilitumiwa.. Ayyy kwenda
I don't knw how many times I watch yo songs I'm proud of my Rwandan mum
Wadaku wenzangu ama NIKO PEKEE YANGU🤩🤩
Hehee...Nairobi gossip imenifikisha huku. Cha kusema ni kuwa pekee yangu na Pete yangu ni twins..lovely music..hehee
Wale tumefika juu ya Pete yangu from bahati si ata mlike hapa
Sigwesiii achaliwa 😂😂😂😂😂 , tabia za wakenya, gonga like if umeletwa huku na Kenyan spirit 😂
Umenifanya nikubuke fideli munyemana hio kiswahili yako si mchezo
@@shaffigaromar1018 😂😂😂😂😂😂
Wale tumeletwa na nairobi gossip club😂😂😂
Kumbe sijakuja soli
You have just won a soft spot in Kenyans hearts. Great Work.. Meet Bahati for a mega remix.
I'm here courtesy of Nairobi gossip.
Sweet voice gal.
who else is here after bahati's pete yangu song, huyo jamaa ni mwizi
Aki the audacity
Wevu tu mwizi wapi toa song zako
@@serahann1795jameni "wevu" ndio nini sasa, kajifunze kiswahili kwanza , siwezi kubishana na jike ambalo hata kuandika jina "wivu" ni shida
Walae🤣
Mm
She should be happy because all kenyans will flock here to watch this jam because of bahati
Team Nairobi wenye tumefika na Bukinya gonga like...
Wow sounds so sweet, hata Bahati na Ka Nadia...bado u can't match this song is dope and better than "Pete yangu" ...
Bahaa yako is no a bruh'..pole !
Matamshi ndio inasound similar. All songs are dope .
Ata kama Bahati alicopy amefanya tumjue this beautiful musician from Rwanda.
Sure like me i didn't know her. Halafu views za hii video zimepanda sana from yesterday after Nairobi gossip kupost hoyo issue. I feel hata kama bahati amekopi imesaidia huyu dem in one way or the other.
Wow, peke yangu 😍nakule ni Pete yangu yangu
butere should visit kenya we need her she is talented
Wooi nimeanza kuhurumia bahati dada yetu Nadia wasimfanyie ile kitu
Lazima ningefika huku , niskiee hii pekeeeeee yanguuuuuu
Kenyans 🇰🇪confirming kaa ni 'pete yangu' has given her +views. Anyway pia mimi imenileta huku.
Ni fikra za bahati zilimleta huku...hii ngoma ni kali for sure
Very nice video! Iyi ni number 1 mu Rwanda kabisa, iyi video ni yamateka mu Rwanda! Knowless u are the great!!! P6
tufikishe hii Ngoma 2 million views
wow wow wow u got yourself a new fun. nice song. peke yangu and pete yangu!!!
Shukuru Bahati,umeget move views.
I love the prounounciation😍😍though bahati he is stealing in name of the lord🤣🤣
Am here after bahati's "pete Yangu "
Who else?
Wachaneni na wivu let baha shine in peace hizi ngoma haziendani
Nimekuja kuconfirm kutoka Nairobi Gossip Club 😂😂😂
My reaction: Alaa 😌😌😌
Mimi nimeletwa na Mpasho huku. Kwani president wote especially wa Kenya ni wezi?? 🤔 IYKYK
Bahati just gave BUTERA a major shoutout,
I just can't get enough of this song, it's so sweet❤️❤️
Tuko wengi😂😂😂😂😂😂😂 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thnx Nairobi gossip kwa kunileta huku this song is a vibe🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂
One of my all time favourite songs .2024 and I am still in love with it
Am here on behalf of thieves and kenya society of romour mongerers 🇰🇪
she can sing in Swahili ,thats is an advantage,Big up Knowless
Anyone in this 2024❤❤ gimi like please ❤
Mko sure ata hizo beat zinaendana😂😂😂😂😂😂😂#team bahati tuko huku❣❣❣❣❣❣ Pete yangu inahit 1m🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍👌👌🤞🤞🤞
Creative property ina exist
Walai hazifwanani
@@delvin.vuguza5824 hun waambie😂😂😂😂😂😂😂
Watu na wivu.. Sasa zinafanana wapi?
Walai ni hating tu...nothing in comparison, hate,hate,hating ndio mingi in Kenya na ndio hatuwai fikia TZ!!!!maubwa tu hawa!!!
Atleast bahati amefanya song yake ikapata views since 2015 leo ndio tunajua hii song bug up baha mimi bado ni your fun
Wapi likes za Kenyans wametumwa hapa na Nairobi Gossip Club?
💪💪 Kenya mm nmekuja apa kudakua Pete yangu🤣🤣🤣npewe like
Bahati hakuiba wimbo tu,yaan aliiba hadi mkwajo wa diamond(🔨)
If you're here juu ya Pete yangu, say hi
From Kenya because of bahati the thief💯
Bahati is officially a thief!! Great song!! You were 5 years ahead of bahati!!
If you are here because of Pete Yangu by Bahati nipee like😉
Nakuambia hutajuta kama utanipenda pekee yangu. I can't stop listening to this music.
also
Ii ni peke yangu Ile nayo ni Pete yangu.... know the difference 🤷🤷😂😂😂... Nairobi gossip can never let one be
Lets get to 500, 000 guys 💪💪💪💪🙌🙌🙌. This is good music.
Its time
I have had this song on ration at my home media center for the past 2 weeks. Great job. I owe you.