Jamani watumishi wa MUNGU Naombeni mumuombee mtoto gadieli baltazari mlai anaesumbuliwa na marazi ya kansa na degedege. Amelazwa hospitali ya muhimbili gorifa ya tatu wodi ya watoto wenye kansa
Kwa majina ninaitwa winnie kutoka Kenya,kweli kuna Mungu Kwa haya matabau.Bishop kuhani Musa Mimi nimetezwa Sana na shetani,hata bwana sina,nimezeeka naomba yesu anizaidie kupitia matabau haya
Nipo mwanza mtimishi,naomba msaada wako familia yangu imekumbwa na wimbi la kichawi mpk mume katekwa na mwanamke mchawi kadahau watoto,ndugu na hana rafiki,naomba umfungue ana afya mbaya kwangu hakumbuki kurud japo ukipiga simu anasema atafika,wanangu wanne wire hatari hawaolewi wa kwanza ana miaka 34,maradhinkwangu hatsushi,hd Pepo la ahali limezuka ktk ukoo wetu watu nsne walipatwa na ajali kati Yao wawili wamakufa,japo wanaonekana mara kadhaa,NISAIDIE MTUMISHI
Pepo la ajali limetawala ktk ukoo wetu,watu wawili wamekufa ndani ya wiki moja lkn Leo wanaonekana na kusema maneno ktk familia zao,je Alotenda haya Yuko juu ya Mungu?????? Naomba unisaidie hao ndugu warud maana KUZIMU SI MAKAZI YA watu wema nipo mwanza mtimishi niombee
Mungu akubariki sana. Watching from Kenya 🇰🇪
Usinipinge....Khai....my people perish bcoz of lack of knowledge...let the Lord open your eyes...
Hii kazi yamungu nisili na mm natoka kenya naomba mutuopee kuetu vifo nimingi mungu wakuan musa atuokoe jemen tusadie
Mungu akusaidie mwl Musa mwasha kazi hii ni ngumu Sana eeee Bwana Yesu nisaidie
Kwa damu ya Bwana YESU KRISTO nisaidie nipone amina YARADI 🙏🙏🙏🙏
Amen
mtumisi Niko Kenya Manisha yangu ni gisa tu
Amiin
Mmmmmh
Ninaomba umfugue mchumba wangu apate mahari anione, dada yangu apone mangojwa yote yanayomsubua na mimi pia nipike kichwa na masikio
Hahahaha
Amina mtumishi tufungue wote
Kazi ya mungu inisaidia na mm sielewana na mume wangu
Mungu akupenguvu baba
amina mtumishi
I receive I receive I receive I receive I receive I receive
Amina baba
Asante mwlm Musa
Daa mungu wangu wanatumia hadi watoto jamani
Yes fichiwa na kwang nimfunguwe m niwez kuj hat hp kanisan
I receive
Yesu fichua nakwangu 🙏
Amina
What is the meaning of that sign on the wall.
Ninaomba unifungue nione siku zaku zangu na jini mahaba liondoke
Mungu anisadie kunipa uzima
Ameeeen
Ubarikiwe Kuhani wa Mungu.
Jamani watumishi wa MUNGU
Naombeni mumuombee mtoto gadieli baltazari mlai anaesumbuliwa na marazi ya kansa na degedege. Amelazwa hospitali ya muhimbili gorifa ya tatu wodi ya watoto wenye kansa
Alilah wainalilah lajuuni
Asante mwlm Musa 1:47 1:49 1:51
Kwa majina ninaitwa winnie kutoka Kenya,kweli kuna Mungu Kwa haya matabau.Bishop kuhani Musa Mimi nimetezwa Sana na shetani,hata bwana sina,nimezeeka naomba yesu anizaidie kupitia matabau haya
Taaayaaariii
🔥🔥🔥🔥🙏
Amen Amen Amen Amen Amen Amen
Namimi naomba
❤❤❤
Ameee
Nipone kichwa na masikio
Hahahaaa yaani wachungaji kwa wanawake wazurii hatari kesho utaona tatuu
Usidhihak usichojua MUNGU atashughulika na weae
Naomb unisaidie na mim naungonjwa hat sielewu
God bless you ❤❤😂❤❤
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
Leo
Abarikiwe Sana kuhani wetu anisaidie na Mimi changamoto nyingi naenda ngomeni sijasikilizwa. Anisaidie na Mimi.
Imani Amin
Kuhani miniko kahama shinyanga mungu akubark
Ubarkiwe karibu geita
Nabii naomba nisaidie na Mimi
Hapo kanisani wadada wakazi wote wachawi wengine hata hawaelewi yaani niwana bambikiwa tu sasa mbona hamuwambii wakachukue huo uchawi turned sasa
ngaii, kwani hamuoni ile sign iko kwa alter 2 triangles , my God it's demonic can't u see
Duu! Hatari sana, Inahitaji macho ya rohoni
Kwanza huyo mbochi alivyo vaa mgongo wazi,,, kuna hidden agenda!ana maroho fulani ya ukatili.
Naitaj uduma yamaombi ninamatatiz makubwa San nisaidie
Nipo mwanza mtimishi,naomba msaada wako familia yangu imekumbwa na wimbi la kichawi mpk mume katekwa na mwanamke mchawi kadahau watoto,ndugu na hana rafiki,naomba umfungue ana afya mbaya kwangu hakumbuki kurud japo ukipiga simu anasema atafika,wanangu wanne wire hatari hawaolewi wa kwanza ana miaka 34,maradhinkwangu hatsushi,hd Pepo la ahali limezuka ktk ukoo wetu watu nsne walipatwa na ajali kati Yao wawili wamakufa,japo wanaonekana mara kadhaa,NISAIDIE MTUMISHI
Pepo la ajali limetawala ktk ukoo wetu,watu wawili wamekufa ndani ya wiki moja lkn Leo wanaonekana na kusema maneno ktk familia zao,je Alotenda haya Yuko juu ya Mungu?????? Naomba unisaidie hao ndugu warud maana KUZIMU SI MAKAZI YA watu wema nipo mwanza mtimishi niombee
Maybe ajui kama ako uko
Ninahitaji maombi nateseka sana kutafuniwa wanangu
Unaishi pande zipi mama usaidiwe maombi
Kuna pyramid nyuma hapo kwa Church ya kifreenason
Hiyo nembo Kama nyota inamahana gani jamani mmmmhhh mungu tuongoze
Ni bendera ya israel
Kwahiyo wew hiyo bendera imeshakuchanganya sio😂😂😂
Kwanini umulazimishe nakwanini watu kazi njoo huwa unaita wachawi?
Shetan ashindwe kwa jin l yesu
Ee mungu tuokoe
Amiiiina
Baba
Musa lichard
Musa
Scripted nd drama
This is fake prophecy
Amen