NYARAKA ZA SIRI ZAFICHUKA/ UJERUMANI KUINGIA VITANI NA URUSI WAKATI WOWOTE/VIKAO VYAENDELEA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 123

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 3 дня назад +5

    Kweli Putin ni mkubwa aisee kuipiga urussi sio jambo rahisi Yaani mataifa makubwa yote yanamchangia mtu Mmoja na bado hawajaona hata mwanya wa kumpiga Russia lazima ishinde hii vita au wote waumie asipatikane mbabe 🔥🔥🔥

  • @ShabaniNuru-o1y
    @ShabaniNuru-o1y 4 дня назад +11

    Kisingizio tu hakuna kuvuja hakuna nini wajichanganye wamwagwe ubongo

  • @HamadJuma-kj5td
    @HamadJuma-kj5td 4 дня назад +14

    Hawsubut kuingia vitani na uruci hao hizo ni mbwembwe t wajaribu waone

    • @paulvimbamvula9508
      @paulvimbamvula9508 3 дня назад

      Ku wewe unaongeatu...unaifahami Germany wewe....Mu Russia vita hajuwi..anebaki na nucleatu basi German Wana pesa na wanauzowefu wa vita ...pia Wana Nuclea

  • @anny19988
    @anny19988 4 дня назад +11

    Yaani hata gesi ya matumizi hawana halafu wapigane😂😂😂😂😂. Kichekesho cha karne.

    • @ahamadiyusuphu6011
      @ahamadiyusuphu6011 3 дня назад

      Wanakila kitu ndio maana wanasaidia hadi inchi yako....kila kitu ..hadi dawa tb niwaho.....

    • @anny19988
      @anny19988 3 дня назад +1

      ​@@ahamadiyusuphu6011Uingereza ina gesi😂😂😂. Mwalimu wako wa jiografia akurudishie ada. Halafu hakuna nchi inayosaidia Afrika msaada ni asilimia 1 ya wanachoiba. Wanaiba halafu wanarudisha eti msaada. 😂😂😂

    • @ahamadiyusuphu6011
      @ahamadiyusuphu6011 3 дня назад

      @@anny19988 wana akili kwa kifupi.....hakuna inchi ya inje inaiba hapa kweli .....viongozi wako ndio wezi........then kuhusu gas....inauzwa unaweza nunua popote pale....hata wewe kama unayo kawauzie....

    • @anny19988
      @anny19988 3 дня назад

      ​@@ahamadiyusuphu6011Wangekuwa na akili wasingepeleka pesa Ukraine hadi wazee wao wakose pesa za kulipia Bill za kupasha nyumba joto msimu huu wa baridi😂😂😂. Acha kutukuza wazungu wewe walichotuzidi ni roho mbaya za ukoloni na kuweka vibaraka wao kuja kubeba raslimali za Afrika😂😂😂. Wangekuwa na akili wangejenga nchi kihalali sio kwa wizi na ukoloni. Tena hao waingereza ndio wezi kabisa hadi makumbusho yao yamejaa vitu walivyoiba kwenye makoloni yao😂😂😂.Malkia Elizabeth hadi vile viurembo vyake vilikuwa vya kuiba. Hao ni majambazi tu halafu wametuaminisha eti wana akili kuliko sisi. Kama Ufaransa mwaka jana kafukuzwa Niger kidogo akawaue maana hakuna tena wizi wa Uranium hao utasema wana akili😂😂😂Halafu kuhusu gesi Uingereza inanunua gesi ya Urusi. Hawana gesi kama tuliyonayo Mtwara. Ninaposema gesi simaanishi ile ya kupikia inayotengenezwa na Petrol( LPG) namaanisha gesi ya asili inayotumika viwandani na kwenye kupasha nyumba joto( LNG). Kwa vile Sisi tunaishi nchi zenye joto hatujui ni kwa jinsi gani nchi za baridi wanakufa kama Urusi akiwakatia gesi.

    • @anny19988
      @anny19988 3 дня назад

      ​@@ahamadiyusuphu6011Kama wana akili wangejenga nchi zao kihalali sio kwa ukoloni 😂😂😂. Wasingepeleka pesa Ukraine hadi wazee wao wakose pesa za kulipia Bill za kupasha moto nyumba zao wakati wa baridi. Wenye akili ni waliojenga nchi kihalali sio hao wezi waliojaza vitu vya wizi hadi kwenye makumbusho 😂😂😂

  • @mbinonyoso7501
    @mbinonyoso7501 2 дня назад

    Haaaaaaaa wanajuwa sana watapigwa kama kenge pumbafu kubwa

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 3 дня назад

    Nchi zao zinamaeneo madogo na idadi kubwa ya watu .. hawatomaliza wiki hakutakuwa na vita tena

  • @alphonceelias2551
    @alphonceelias2551 4 дня назад +4

    Hata Vita ya pili ya dunia ilianzia hapo.

  • @eliasndomba7937
    @eliasndomba7937 4 дня назад +9

    Hakuna kitu hapo , Russia wanaweza kutumia siraha za hatari kuondoa Adui kwenye eneo lake wapo mbele ya muda , ulaya wanaona Russia anakwenda kugeuza uso wa Duniani

    • @ekimnkande2873
      @ekimnkande2873 3 дня назад +1

      Tusubiri

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 3 дня назад

      Darasa la 7! Mnavituko sana,, ulaya,😂 ramani yako inaonyesha Russia ipo Africa.

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x 4 дня назад +1

    Mtashindwa2 kwa urusi ndio taifa kubwa Duniani sv mungu ilinde urusi

  • @MukungulwaBienfait
    @MukungulwaBienfait 3 дня назад +5

    Urusi iko tayari na kupambana na adui kwa wakati wote na kwa kilakituchote.
    Atashinda tuuu.

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 4 дня назад +4

    Wanzunguu wanatumia hesabu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 4 дня назад

      Wewe sikuzote huwa ni kibaraka wa mashoga leo vip😂

    • @salimfaraj5509
      @salimfaraj5509 4 дня назад

      Hesabu gani wanayotumia shoga we

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 3 дня назад +1

      Mpaka Joe Biden ataondoka madarakani utaendelea kusema wanatumia hesabu 😂, mfa maji bana

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 4 дня назад +5

    piganeni tu juu mushachoka kuishi uwaneni kwani shida ikko wapi

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 День назад

    Wacha waende mana wajeshi wa urussi wanapelekewa madam

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 3 дня назад

    Acheni maneno Russia inawasubiri sisi tz hatuna shida chakura iko yakutosha

  • @EmanuelMinja-fv9dn
    @EmanuelMinja-fv9dn 4 дня назад +5

    Putin wew jibu upuuzi huu watu wamechanganyikiw hawaelew waanzie wap Putin wew piga

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 4 дня назад +11

    mrusi ana gesi yake.
    mrusi ana chakula chake.
    mrusi ana mafuta yake.
    mrusi ana vitu kibao bila ya kumtegemea mtu.

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 4 дня назад +5

      Ndio hana shida na Europe wala Marekani

    • @JohnValle-xn1dx
      @JohnValle-xn1dx 3 дня назад +1

      Urusi sio tajiri kama unaviowaza mwenye uchumi wakutisha ni USA kwenye uchumi wa dunia 100% 50% ni za USA hizi zilizobaki 50% tunagawana nchi zote akiwemo na huyo
      Murusi , nadomaana hutokuja kusikia vijana wanaenda kutafu pesa urusi na wakafanikiwa kwasababu na wao wanajiungaunga pia

    • @CAPTAIN_ABDULLATIF22
      @CAPTAIN_ABDULLATIF22 3 дня назад

      ​@@JohnValle-xn1dxsasa ww jidanganye wakati USA mwenyewe anaitegemea Saudi Arabia kuhusu mafuta USA ikiwa imefika ni asilimia 20

    • @MOSESIMCHUNGUZI
      @MOSESIMCHUNGUZI 3 дня назад +3

      USIJIDANGANYE, HAPA DUNIANI WANADAMU TUNATEGEMEANA

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 3 дня назад +1

      ​​@@JohnValle-xn1dxMzee utapoteza muda kubishana na watu wasio na elimu ya kutosha, bali hujaa mihemko ktk bongo zao.

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 4 дня назад +1

    Asanteeee 🎉🎉🎉🎉🎉sana ujeruman

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 3 дня назад

    Wanasiasa wengi huwa na maneno matamu lakini midomo yao hunuka.

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 3 дня назад

    YAANI MPAKA WASEME : HAO MASHOGA

  • @oscarmwambwelwa7208
    @oscarmwambwelwa7208 3 дня назад +2

    Hawawez kupigana... Hizo zinabaki km taarifa tu... Ujerumani uchumi umeyumba sanaa. Hana Uwezo WA kupigana hata na elshaabab tu . Sembuse urusi

    • @catherinecostantino2034
      @catherinecostantino2034 3 дня назад

      Raia wa German, uk na us hawawez kubali huu upuuzi

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      Urusi imeyumba kiuchumi. Sasa NATO wakiingia vitani watammaliza kirahisi. Acheni ushabiki maandazi. Hata hivyo hao wote yaani warusi na nchi za NATO ni wazungu wanajuana Kwa vilemba. Hapo hakuna mwarabu, mwafrika Wala mhindi sijui mchina. Maana Kuna wengine wanashabikia Urusi utafikiri taifa la kiyaudi au kiarabu. Hao wote asilimia kubwa ni dini Moja.

    • @anny19988
      @anny19988 3 дня назад

      ​@@isaacdavid3997Urusi imeyumba😂😂😂. Hebu kapitie kwanza pale kwenye tovuti ya IMF uone uchumi wa nchi gani Ulaya umeyumba.Halafu Siku nyingine punguza kuamini habari za BBC, DW, VOA maana wao ndo wanasema uchumi wa Urusi umeyumba 😂😂😂 wakati nchi nyingine za Ulaya ndo zina hali mbaya

    • @oscarmwambwelwa7208
      @oscarmwambwelwa7208 3 дня назад

      @isaacdavid3997 heeee we una data za wapi ndugu yangu... Urusi imeyumba kiuchumi🤣🤣🤣🤣🤣 achana na data za BBC wanaoaema urusi anatumia chip za dishwasher Kweny mabomu mara anatumia shovels...! Wake up bro

    • @anny19988
      @anny19988 3 дня назад

      ​@@oscarmwambwelwa7208Data za BBC 😂😂😂. Aliyeleta BBC Afrika alaaniwe maana watu wamedanganywa haswaaa. Viva NATO😂😂😂VIVA UKRAINE 😂😂😂

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 3 дня назад

    Huyoo jerumani ni shoga pia kama mashoga wengine tuu

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 3 дня назад

    Kumbukeni mjerumani amewahi kutawala dunia

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma 3 дня назад

    Wajerumani mareni na uingereza.
    Wamezoea. Kutawala dunia
    Kwasasa msilete mazoea yenu mtaleta Vita ya tatu ya dunia wapuuzi nyie😭😭😭😭

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 4 дня назад +1

    Mashoga hali za uchumi ni mbaya sana na wanajua tukimuacha mrusi basi watadhalilika kiuchumi

  • @isaacdavid3997
    @isaacdavid3997 3 дня назад

    Urusi au ujerumani wote ni wazungu tena asilimia 90 ni dini Moja hawawez kupigana bali wanatishana TU

    • @paulvimbamvula9508
      @paulvimbamvula9508 3 дня назад

      Wa Russi SI wazungu

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 2 дня назад

      @@paulvimbamvula9508 unaona ujinga wenu. Kwa hiyo Urusi ni race gani? Angalia warusi ni wazungu wa mashariki. Kwa hiyo Putin ni mwarabu?

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 3 дня назад

    😂waendetu maana wajerumani wengi aswa wanajeshi wamesha choka kuishi majeneza yao yapo tiyali Ukraine 😂😂😂 akuna kuludi mpele ya Urusi 😂😂😂

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 4 дня назад +3

    Kuna nchi apo mpaka ipigwe na Nyuklia

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      Hao wote ni wazungu tena dini Moja hawawez kupigana bali wanatishana TU kama ilivyokuwa mwanzo enzi za vita baridi

    • @paulvimbamvula9508
      @paulvimbamvula9508 3 дня назад

      Na zitapigwa upande wote

  • @KimNikita-o6m
    @KimNikita-o6m 4 дня назад +1

    Vita huwa haina mshindi subirini muone

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 3 дня назад

    Urus anamtaget mmarekani hata kama atapigana na Germany au Uingereza akifikia hatua ya kutumia nyuklia anaweza akarusha Marekani coz Marekani ni mchongajishi alafu haingii vitani wakati vita mnapiganq yeye anaimarisha uchumi wake😂😂

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 3 дня назад

    Urusi kweli kidume NATO wanalialia tu

    • @paulvimbamvula9508
      @paulvimbamvula9508 3 дня назад

      Nenda kwenye historia bro....Mu Russia no Nuclea zimebaki combat ya mwana jeshi na mwana jeshi mu Russi ameshindwa....na Ukraine

  • @kbiaboss1231
    @kbiaboss1231 3 дня назад

    sante 😊😅😮😢😢🎉😂❤❤

  • @adamchaka-vl7yk
    @adamchaka-vl7yk 3 дня назад

    Ujerumani uchumi wake umeyumba vibaya kwa kuwa anategemea nishati ya mafuta na gesi kutoka Urusi.Uwezo wa kupigana na Urusi hana.

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      Urusi au ujerumani wote ni wazungu. Hakuna mwarabu hapo. Msijitoe ufahamu

  • @AdamStephen-h2x
    @AdamStephen-h2x 4 дня назад

    Ipoje hii wachambuzi wa kivita?

  • @RamadhanRamdhan-i2c
    @RamadhanRamdhan-i2c 4 дня назад +1

    Hawo maghribi wote hakuna kuwaacha piga mpka basi

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      Urusi au ujerumani wote ni wazungu hakuna mwarabu hapo. Msijitoe ufahamu

  • @SalimAllyMsigi
    @SalimAllyMsigi 3 дня назад

    Hawata muweza putini waache wakafe uko kwakua hao ndiyo magaid

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 3 дня назад

    Kwani marekani anategemea mtu vitu vyote anavyo

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 3 дня назад +2

      we pimbi ana nini sasa wakati bila kuiba kwa mataifa mengine hajala na anakufa kwa njaa

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      ​@@IshipalemyPaskoAcha upimbi wako we mavi

  • @salehmbarouk5867
    @salehmbarouk5867 3 дня назад

    Watu wazima wanapo zungumza nyinyi watoto ondokeni sasa ukiskia barobaro kuhangaishwa na balehe ndo huko nyinyi Ujerumani kaeni kimya watu wazima wana jambo lao

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      Urusi au ujerumani wote ni wazungu. Hakuna mwarabu hapo. Msijitoe ufahamu

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 3 дня назад

    Umeisahau urusi mjarumani humuwezi mrus hata maandiko yanasema hataiweza taifa la urus

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      Urusi au ujerumani wote ni wazungu . Hakuna mwarabu hapo. Msijitoe ufahamu

  • @eriasondieki
    @eriasondieki 4 дня назад +3

    C hawa wajeruman wakumbuke wakati wa Hitler chenye urusi iliwatendea

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 4 дня назад +2

    😂😂😂❤❤kichapo KIENDELEE PUTIN/RUSSIA oyeee endelea kuwapa kichapo zaidi na zaidi

  • @salehmbarouk5867
    @salehmbarouk5867 3 дня назад

    Ikiwa nikweli wataamua kupigana urusi inaweza kupigika ila nchi zinazo unda umoja wa nato zitakuwa tepe tepe uji zitwangiwe maama kiduku ataka aanziwe tu amfanye mtu majivu

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      Yaani wazungu ndo wagunduzi wa silaha za nyuklia. Na ndo hao hao Wanajua namna ya kukabiliana na silaha hizo.

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 4 дня назад +1

    Bomu jipya la Russia
    Km 3 kwa sekunde 1
    Km 168kwa dk 1
    Km 10,080 kwa saa 1
    We huogopi😂😂😂

  • @CharlesFadelis-te5fp
    @CharlesFadelis-te5fp 4 дня назад

    Watavuna watakacho taka awaoteshee uyoga mkubwa

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 3 дня назад

    kuna vitu vingt-neuf jmn

  • @victorvancharlz9125
    @victorvancharlz9125 4 дня назад +1

    Hapa hakuna Cha nyaraka kuvuja bali ni mbwbwe za kuitisha urus kua inaweza kupigana na ujeruman wakat huo huo wanampigia sim Putin na kumuomba apunguze kichapo

  • @SelemanIsmail-c3z
    @SelemanIsmail-c3z 4 дня назад

    Hawa ni wahuni! Anajifanya kuongea na Putin wakati huohuo anasema hataki kuipa Ukraine makombora! Hawa ni wanafiki sana! Majeshi ya Ujerumani yako Ukraine na wanajiandaa kwa mapigano na Urusi

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      Kwani Urusi ni waarabu? Mbona mi sielewi. Kaka hao wote ni wazungu tena asilimia 90 ni dini Moja. Hawawez kupigana

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 3 дня назад +1

    URUSI MSENGE, ATAANGAMIA

  • @KhamissSuleiman-w8j
    @KhamissSuleiman-w8j 4 дня назад

    Hakumbuki kichapo alichokipata kutoka kwa mrusi kiukweli mrusi vita anavijuwa

  • @zachariamakoba8368
    @zachariamakoba8368 4 дня назад

    Taifa la Mungu ni Russia ila wazungu wengi wameshindwa kulijua

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 3 дня назад

      Ni kweli, maana taifa lako wewe la mashetani,, maana nyie watanzania ni mafisadi wote, kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho,, ht wewe ukipewa kitengo! Utaiba mbaka kodi ya mmbeba beseni la nyanya,, na hiyo laana mtaingia nayo jehanamu.

    • @zachariamakoba8368
      @zachariamakoba8368 3 дня назад

      @BenjaNetanyahu sawa Ila kama mnauhakika netapaka ni wa Mungu na kizazi chake uguseni 💥🔥🔥wa Putin ili mchezee za uso Hezbollah yenyewe inawatoa jasho xaiv je kwa Putin Mnaruhusu kufilana na Muumba wenu amezuia mnategemea nn, ngoja xx wanaume sasa wawaonyeshe shoo tena kwa akili kubwa nyie mashoga,, vile watu wa Mungu wa kweli hawataki ushoga maana ukiwa shoga una athari cio ndogo, nakwambia ivi ndioo kwanza kunaingia giza tuwamimbe mapacha ya makombora, mkilegeza malinda

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад +1

      Urusi au ujerumani wote ni wazungu tena asilimia 90 ni dini Moja

  • @JosephAmos-z4g
    @JosephAmos-z4g 4 дня назад

    Wacha tuone

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 4 дня назад

    Mabishow hawana llote

  • @MikeSairo
    @MikeSairo 4 дня назад

    😂😂❤❤

  • @SuolFat
    @SuolFat 4 дня назад

    Pigeni uyo babu

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 4 дня назад

      Babu yako

    • @isaacdavid3997
      @isaacdavid3997 3 дня назад

      ​@@fatmafatu1128Urusi au ujerumani wote ni wazungu tena asilimia 90 ni dini Moja