Mungu atamsaidia Ruto hadi watanyamaza kimya..... Mungu yu upande Waruto juzi niliamshwa usiku na Roho MTAKATIFU nikaambiwa nimuombee Ruto nililia sana nikaomba hakika MUNGU HATA KUACHA RUTO
Mungu alifunua kwamba ruto aliuza nchi kwa 'a higher demon' na kwamba atangolewa mamalakani na atakufa.sasa nimechanganyikiwa.naamini sana ujumbe wa Mungu wako mama angel kwa maana hauchanganyiki na oungo .Alivyokwambia ni hivyo ndio ukweli nitakao uamini.raisi wetu Mungu amsaindie na avunje hio mikia miwili kwa jina la Ya mwanakondoo Yashua.
Jehova tuhurumie na utusamehe Baba, Mungu azidi kukutumia Mtumishi wa Mungu
Asante sister Mungu atulinde sote na azidi kukutumia.
Amen
Mungu atamsaidia Ruto hadi watanyamaza kimya..... Mungu yu upande Waruto juzi niliamshwa usiku na Roho MTAKATIFU nikaambiwa nimuombee Ruto nililia sana nikaomba hakika MUNGU HATA KUACHA RUTO
Asante mtu mishi
ASANTE mtumishi kwa ujumbe huu. Mungu tukumbuke na uturehemu
Mungu alifunua kwamba ruto aliuza nchi kwa 'a higher demon' na kwamba atangolewa mamalakani na atakufa.sasa nimechanganyikiwa.naamini sana ujumbe wa Mungu wako mama angel kwa maana hauchanganyiki na oungo .Alivyokwambia ni hivyo ndio ukweli nitakao uamini.raisi wetu Mungu amsaindie na avunje hio mikia miwili kwa jina la Ya mwanakondoo Yashua.
YESU atuhurumie sisi wakenya
Amen