TANDI SERIES EP 5 staring RAY KIGOSI, FAIZA ALLY , ROSE NDAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • #raykigosi #raythegreat #filamumpya #filamu #movie #series

Комментарии • 63

  • @robertCharo-n1s
    @robertCharo-n1s 5 месяцев назад

    Kwa kweli hii filamu ni nzuri na inamafundisho katika maisha kwa hivyo pongezi sana kwa sanii wote wanoa cheza ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 iam really enjoying and educated❤❤❤❤thanks🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @NOELKATANGAZA-hk2ui
    @NOELKATANGAZA-hk2ui Год назад +6

    Ebwana Director Kigosi hii tamthiliaaa hatariiiii sanaaaa

  • @fatmajilo1513
    @fatmajilo1513 Год назад +3

    Muvi nzuri sana sema mnachelewa kutuletea muendelezo kwa wakati❤❤❤❤❤

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 Год назад +6

    Liliyana siyo mwanamke bora mwanamke apendi watoto tandi pore❤ 🇧🇮

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 Год назад +4

    Mshauri wa Jordan amemshauri vzr sana 😊

  • @الال-ج5ت9و
    @الال-ج5ت9و Год назад +2

    Hii movie imenikumbusha mbali Asante Roy❤

  • @NgongeJr
    @NgongeJr Год назад +4

    🎉🎉🎉kaka haujawahi kutuangusha mashabiki zako Mungu akutunze vemaa

  • @TabiaNchimbi
    @TabiaNchimbi Год назад +2

    Waoooh mzur sana4🎉🎉🎉

  • @faustinoeuricoeurico417
    @faustinoeuricoeurico417 Год назад +3

    Ray unatuchelewesheya sana,tunaomba utuweke kwa siku

  • @Frank-h2k
    @Frank-h2k Год назад +18

    Yaliyopita ni meng yanachukua nafac kubwa kweny muendelezo 2naomba ulipoishia ndo uanzie hap hap pia unatuweka cn baba ila kaz nzur

  • @salamah6715
    @salamah6715 Год назад +2

    Big up bro 🎉🎉🎉

  • @MwA-ni1uk
    @MwA-ni1uk Год назад +1

    Nawakubali sana wanangu nyote 🥰🥰😍🎉🎉🎉

  • @mtotowamsusi
    @mtotowamsusi Год назад +9

    Kama ww ndio wa kwanza embu gonga like apo

  • @minanietienne-sz8xu
    @minanietienne-sz8xu Год назад +3

    Lekker movie so emotions sir

  • @furahachristopher
    @furahachristopher 10 месяцев назад

    Ayawani sana liliani yaan kuish namtt wamtu mwingine anaona shida nakila kitu anapata 😂😂😂😂

  • @HamisiFaraji-ej5mf
    @HamisiFaraji-ej5mf Год назад +2

    Chukua mwanao leo mwenyewe 😂😂😢😢🎉🎉🎉🎉

  • @RamadhaniShadaGeorges
    @RamadhaniShadaGeorges 6 месяцев назад

    Kigozi ni mwamba sana ❤❤❤❤❤

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 Год назад +3

    Linda msubufu kweli!!

  • @danielswai3705
    @danielswai3705 Год назад +4

    Muwe mnarusha kwa wakati na kwa mfululizo,,all in all ni inatia kiu ya kufatilia🎉

  • @ValerianaMdendele
    @ValerianaMdendele Год назад +3

    Mama Lilian nimekupenda bureee jamani ❤❤❤

  • @nurumohamed5830
    @nurumohamed5830 Год назад +2

    Nzuri sana❤❤❤

  • @zlfhh3763
    @zlfhh3763 Год назад

    Usichelewe my kaka 🇸🇦🇰🇪❤

  • @AlestidaMbala
    @AlestidaMbala Год назад

    nimeipenda San Yan imenifnza ktu apa

  • @IsackMsigwa-t2i
    @IsackMsigwa-t2i Год назад +3

    big up ray

  • @gracengunga348
    @gracengunga348 10 месяцев назад +1

    Mapenz bhan unalala pazuri lakin unakesha unalia 😅

    • @AlexRichad
      @AlexRichad 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SalmaDk-c7c
    @SalmaDk-c7c Год назад +3

    Utakuja kulia na shetan kumbe mwenyewe hayawan😅

  • @ShaddyBoyComedy
    @ShaddyBoyComedy Год назад +2

    Lilian skiza mamako sana ❤❤❤

  • @Chance348
    @Chance348 Год назад +1

    Uyo dada wakazi sulambaya afukuzwe mana ana watesa wa toto wawatu jamani😢

  • @BarakabalumeJean
    @BarakabalumeJean 4 месяца назад

    Safi saana kiukweli

  • @MuratStephano
    @MuratStephano Год назад +1

    Movie nzur sana hii

  • @zaryaawazi
    @zaryaawazi Месяц назад

    Kz nzur

  • @walengamwamaua-ws6io
    @walengamwamaua-ws6io 11 месяцев назад

    Mama Lilianę mkweli mama bora nakupenda bure

  • @saidaal1679
    @saidaal1679 Год назад +2

    ❤tandi

  • @gideonmollel4173
    @gideonmollel4173 Год назад +1

    Move nzur kaz nzur kk

  • @AminaRajabu-nf6zp
    @AminaRajabu-nf6zp Год назад

    Jaman mtuongezee vipande jaman ikiwa tam ndio inaisha😅😅ila huyu Jordan Yuko ktk wkt mgumu jaman😢😢na Hawa watoto wapo ktk wkt mgumu😢😢😢mungu watie nguvu ktk kipindi hiki kigumu

  • @veronicawilliam7276
    @veronicawilliam7276 Год назад +1

    Ina fundisho zuri

  • @ankochoka
    @ankochoka Год назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamisisalim
    @hamisisalim Год назад +1

    Movie inafunzo sana hongereni

  • @Imanisamuel-xq6il
    @Imanisamuel-xq6il Год назад +1

    Big up

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl 3 месяца назад

    🔥🔥🔥

  • @UmutoniwaseRosine-re3rs
    @UmutoniwaseRosine-re3rs Год назад +2

    🔥🔥🔥🔥♥️

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 4 месяца назад

    Masikini ray amepanic

  • @AngelineSidi
    @AngelineSidi Год назад

    Kibajaji unaboesha wwe na huo umbea wako😮

  • @LuckyDaniel-fi9og
    @LuckyDaniel-fi9og 5 месяцев назад

    Naombeni ep ya 130 jmn movie za Ray jmn unyama

  • @NibitangaBelyse
    @NibitangaBelyse Год назад

    Nzur san movie nayippenda n'a inamafundisho

  • @AnnastaziaFrancis
    @AnnastaziaFrancis Год назад

    Mnakera na vingereza vyenu vingi kwani hamjui kuna watu wanapenda kutazama lakin hawajui vingereza?

  • @neemakarisa6117
    @neemakarisa6117 Год назад +1

    ❤❤❤

  • @teddytemu2897
    @teddytemu2897 Год назад +1

    Natamani niwe nazindownload jamani

  • @fuadabdalla7097
    @fuadabdalla7097 Год назад +1

    SAFI

  • @YusufYusuf-q8w
    @YusufYusuf-q8w Месяц назад

    😊

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 Год назад +1

  • @FrenkMwanjeza
    @FrenkMwanjeza Год назад

    ❤🎉

  • @mildredzainab170
    @mildredzainab170 11 месяцев назад

    Wanaume kwani mkisema ukwel kua uko na familia itakupunguzia nn

  • @AmanaK-u7z
    @AmanaK-u7z Год назад

    Swadakta gaspa unachokisema changamoto kawaida haikumbiliki

  • @Juliet_Adolphine_Amisi1911
    @Juliet_Adolphine_Amisi1911 Год назад +1

    Tupe vitu

  • @FrenkMwanjeza
    @FrenkMwanjeza Год назад

    Rete mamb

  • @Smart7-b5e
    @Smart7-b5e Год назад +2

    ❤❤❤

  • @زهرةكيني-ث3ل
    @زهرةكيني-ث3ل Год назад

    ❤❤❤❤❤