HEE ABIUDI AFIKA MPAKA HUKU?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 71

  • @ErickMunga
    @ErickMunga 2 месяца назад +3

    Thanks dad.This is the true gospel which you are spreading.Utapingwa na wengi but usiache kuhubiri ukwel.Mungu akupiganie.

    • @eliatobiasi6346
      @eliatobiasi6346 2 месяца назад +1

      Ameeeeeeeeeen abiud hakika MUNGU kawasha taaa

  • @eatlawe
    @eatlawe Месяц назад +2

    Hubiri Neno; kuwa tayari wakati ufaao na wakati usiofaa; karipia, kemea na utie moyo kwa uvumilivu wote na kwa mafundisho mazuri (2 Timotheo 4:2 NEN). Wacha wa kunyoa wakanyoe! Wewe hubiri Injili!

  • @rosemerycharles
    @rosemerycharles Месяц назад

    Mungu akupe maisha marefu uzidi kusema neno la MUNGU Maana wahubiri wa injili kama wewe mpo wachache kwa dunia hii 😢

  • @amosmwandemba
    @amosmwandemba Месяц назад

    Mtumishi Mungu akubariki sana na neno lako maana wewe si mchungaji wa sadaka ni mchungaji wa kunena kweli

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f Месяц назад

    Ubarikiweee sanaaaaaa

  • @YeremiaYohana-o9j
    @YeremiaYohana-o9j 2 месяца назад +1

    Mtumishi Mungu akubariki Sana ni kweli watu wamekuwa hawataki kuhubiriwa ukweli

  • @MARYVICENT-m9c
    @MARYVICENT-m9c Месяц назад

    Mungu akubariki mtumish wa Mungu .Hubiri injili ya kweli ,Mungu akupe nguvu zaidi

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit Месяц назад

    Kweli kabisaa maneno haya

  • @IsayaSanga-oi2ii
    @IsayaSanga-oi2ii 2 месяца назад

    Asante kwa Mungu kwa hili na abarikiwe mtumishi wa Mungu lakin wenzetu mliotangulia kuwa na pakusemea

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe mtumishi unaongea UKWELI kabisa Dunia yasasahivi hatuitedei HAKI kabisa.Tufike Mahali tumrudie MUNGU.

  • @GidionMwanyambo
    @GidionMwanyambo Месяц назад

    Asente mtumishi

  • @rachelmruma3767
    @rachelmruma3767 2 месяца назад +2

    Yesu tusaidie powerful

  • @PaulinaMajengo
    @PaulinaMajengo 2 месяца назад

    Amina Mungu akubariki sana mchungaji

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 2 месяца назад

    Ahsante baba yng Mcungaji wng Mbarikiwa wewe unazua haya yote toka zamani

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 2 месяца назад

    Uko sahihi ni kweli wananengua hawana ata aibu zaman kulikua jofu unamuogopà mwanaume kwanza moto unapwita unawaza itakuwaje hapo baadae maana hujui mume sa Leo SI kunengua kunyonyana denda ni ujinga ulopitiliza

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 2 месяца назад

    Mungu tusaidie kweli kwa Baba yng Mbarikiwa hata kunyolewa ana yolewa na mama yng kipenzi Salome.

  • @amashapatrick211
    @amashapatrick211 2 месяца назад

    Aisee Mungu tusaidie sana

  • @ExaveryMbalwa
    @ExaveryMbalwa 2 месяца назад

    Nakuelewa Sana mutumish

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE 2 месяца назад

    Ni kweli watu wapindana sana

  • @paulbwanana7886
    @paulbwanana7886 2 месяца назад

    Dunia iko mbali sana,

  • @IbrahimKamwela-vp8nd
    @IbrahimKamwela-vp8nd Месяц назад +1

    daa kweri dunia iliko ni mbali sana na inahitaji watu walioingia ndani sana kiimani katika kumtafuta mungu ,mwanadamu mimi nahitaji kushtuka mapeeema mno kuyatambua hayaa🎉😢

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka 2 месяца назад +1

    Abiud waambie viongozi watu wana tekwa pia

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 2 месяца назад

    Kweli mm nakumbuka Kuna dada mmoja aliniambia aliwahi kwenda kunyolewa sehemu nyeti duuuuh nilibaki mdomo wazi Dunia imeisha

  • @JoyceMabesa
    @JoyceMabesa 2 месяца назад

    Ubarikiwe baba

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 месяца назад

    Mtumishi kweli kabisa uhuru umezidi

  • @LydiaMuhoja
    @LydiaMuhoja 2 месяца назад +1

    MUNGU wangu tusaidie

  • @RaulTech-pp3gc
    @RaulTech-pp3gc 2 месяца назад

    Yesu tuzahidiye

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 2 месяца назад

    Mtumishi Mambo imagum sana saivhadi watoto WA wachungaji wamecharuka wanacharurana na wakimwengu Sisi waumini tutatoboaaa!!!? Kama WA wachungaji wametoboka!? Tatizo ni malezi au rohomtakatifu ametukataaa!!!? Maa roho gahai pachafu😢😢😢

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 2 месяца назад

    Kabisa mtumishi yani mpaka aibu kunyolewa sehem za siri inatisha

  • @abushilimichael9777
    @abushilimichael9777 2 месяца назад

    Biblia haifichi kitu kama inavyosema ziko njia zionekanazo njema machoni pa watu ila kwa Mwenyezi Mungu ni ubatili mtupuuu .Amina mtumishi wa BWANA

  • @frankmahenge5943
    @frankmahenge5943 2 месяца назад

    Kweli kabisa

  • @DancanEsena
    @DancanEsena 2 месяца назад +1

    Kikosi KAZI cha injili,kwa mbarikiwa mwakipesile kumekuwa na harusi kamilifu sana , hakuna kukisi baina ya biharusi na bwanaharusi.

  • @LesianaBizimana
    @LesianaBizimana 2 месяца назад

    Baba wengi hawapendi kuambiwa ukweli,twambie tu mwenye sikio na asikie,dunia inatia kinyaa kwakweli

  • @AtughanileSholla
    @AtughanileSholla 2 месяца назад +1

    Kanisa linahitaji kurudi kwenye msingi Bora tuonekane washamba

  • @bubujikadaimatv
    @bubujikadaimatv 2 месяца назад

    Hatali sana mh!!

  • @ErizicDaud
    @ErizicDaud 2 месяца назад +3

    Nimependa sana haya mahubili matam Asante mbalikiwa chapeni ijili umeambukiza upupu kwa abiud endelea muwe wengi Zaid watakuelewa tu

    • @salomemgaya1244
      @salomemgaya1244 2 месяца назад +1

      Tangu namjua Abiudi zamani alikuwa na injili hii hii , sasa huyo mwingine kamwambukiza upupu saangapi ? Mbarikiwa aliwahi kipindi fulani kumtukana Abiudi , huo upupu kamwambukiza saa ngapi ? Wivu utawanyonga nyie endeleeni na kujiinua hivyo hivyo .

    • @KhadijaJacob
      @KhadijaJacob 2 месяца назад +2

      Abiud namfaham ata kabla ya mbarikiwa mahubiri yake niya hivi hivi ndugu

    • @salomemgaya1244
      @salomemgaya1244 2 месяца назад

      @user-ls2nq2eq3l umeonaeeeh , leo wanataka kujipachika kwenye koti la Abiudi 😄 🤣 khaaa , ngoja basi tuendelee kusubiri kama kweli kaambukizwa huo upupu na huyo aliyetajwa basi Abiudi naye ataanza matusi na kulalamika kila kitu si muda mrefu 😄 🤣 .

    • @Jordanmwakalebela
      @Jordanmwakalebela 2 месяца назад

      ​@@KhadijaJacob Tatizo la Mbalikiwa amejiinua akiona kwamba watumishi wengine wapo chini yake

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 месяца назад

    Ms anafagilia mpira ukumbini harusi imefungwa kanisan da inauma sana tutoke Kati yao jamani

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 2 месяца назад

    Iko Kenya uku pia

  • @eliatobiasi6346
    @eliatobiasi6346 2 месяца назад

    Ameereereeeeee

  • @TOWASHIMUSA
    @TOWASHIMUSA 2 месяца назад

    Hallelujah

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 2 месяца назад +4

    😮😮😮😮😮 Kunyolewa sehemu za sili saluni?🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱
    Hii imekaaje jamani

    • @RestitutaNjau-k8x
      @RestitutaNjau-k8x 2 месяца назад +1

      Ni kweli mwenzangu,huduma hiyo ipo inaitwa waxing, 😅😅😅😅 nacheka kama mazuri

    • @JofreyMsigwa
      @JofreyMsigwa 2 месяца назад

      Kusagana ndo kunanzia hapo ebanae

    • @DancanEsena
      @DancanEsena 2 месяца назад +1

      Hii ni injili kamili

    • @ErizicDaud
      @ErizicDaud 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂kizazi Cha mwendo Kasi no stop

    • @ErizicDaud
      @ErizicDaud 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂kizazi Cha mwendo Kasi no stop

  • @MozesPaul-h6i
    @MozesPaul-h6i 2 месяца назад +1

    Ongea abiudi wapone

  • @sylviaswai5102
    @sylviaswai5102 2 месяца назад

    Hatari sana

  • @DareAziz-g3s
    @DareAziz-g3s 2 месяца назад

    Kweli baba

  • @sombestudios
    @sombestudios 2 месяца назад

    Kizazi kikahinde kizazi chazinaha inawezekana unahingiya kanisani lakini ahujapita jiya nyembamba kweli kabisa

  • @zionembassytv5672
    @zionembassytv5672 2 месяца назад

    🔥🔥🔥💪🙏

  • @GodlistenMariki
    @GodlistenMariki 2 месяца назад

    Nikwel baba hongeq

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 2 месяца назад

    Ukweli mtumishi ni huzuni

  • @daudirubibi9601
    @daudirubibi9601 2 месяца назад

    hiki ni kikzazi cha zinaa. MUNGU naomba nishike nisianguke kwa zinaa.

  • @elizabethchiwamba8372
    @elizabethchiwamba8372 2 месяца назад +1

    Mchungaji, sema ukweli tupone

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 2 месяца назад

    Mathayo 8:28

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 2 месяца назад

    Kweli wa Afrika tunaiga mambo ya kijinga hatuingi wenzetu hawasumbuki na maumbile wanasumbuka na ubunifuni wa Technology.Mungu tunashukuru sema sema watu wapone

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 2 месяца назад

    Mzinifu huyo mchungaji ndiyo maana anasuguliwa na makahaba

  • @MrBaraget
    @MrBaraget 2 месяца назад

    Mpaka turudi kwenye tamaduni zetu dini ZIMESHINDWA lazima zianguke alafu tukiinuka tutakua kwenye ukuu wa Waafrika na maadili .

  • @WinnieResian
    @WinnieResian 2 месяца назад

    Na mwanamke akijifungua mototo bado ataonyesha shehemu za siri ama

    • @HamisiSamweli
      @HamisiSamweli 2 месяца назад

      Kumwonesha nani zaid ya mumeo 2

    • @WinnieResian
      @WinnieResian 2 месяца назад

      @@HamisiSamweli Na mtu akijifungua mototo kwani ni mme humzalisha 😂 kwa hivo tuzalishwa na Waume zetu

  • @eliatobiasi6346
    @eliatobiasi6346 2 месяца назад

    Ameereereeeeee