Enzi kweli hairudi. Kila chombo kiko under control hadi manyanga. Solo Abel Batazar, mnenge Ramadhani sax kina Joseph Lusungu trumpet , Bass bwana Sama, Muhidin Gurumo sauti . wacha tu. Vijana wa sasa wamepotezwa na jini gani sijui kwa kuacha urithi wao na kuingia kwenye vitu visivyo utamaduni wetu.