MWENYEKITI CHADEMA DODOMA AFIKA POLISI, AHOJIWA SAKATA LA VURUGU UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 97

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 23 часа назад +4

    Hongera sana mwanamke shupavu unaejitambua Aisha Madoga, nakupenda sana kwa kujiamini na kujisimamia.
    Chadema tunahitaji viongozi mfano wa Aisha.
    Huyu ni kioo cha jamii kwa vijana wazalendo wa Taifa hili,asante sana.
    Endelea na msimamo huohuo Aisha.
    Ikiwezekana mshitaki askari aliyekuwa anakushika shika siku ile ya tarehe 27 Nov 2024. Hawana hoja hao mashetani! Siku ya anguko na maangamizi yao inakuja! Mbele za Mungu,Ameeeni.

  • @sethkivuyo3342
    @sethkivuyo3342 День назад +3

    Asante Dada kwa kumuaibisha shetani.. Nguvu ya Mungu ipo ndani yako....

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 2 дня назад +9

    Aisha mimi sio chadema wa CCM tuko pamoja wewe ni ktk wanawake wewe ❤❤🎉🎉🎉💪🏻

  • @MajutoKanamazi
    @MajutoKanamazi День назад +3

    Bright woman, I admire you

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 День назад +1

    Hongera sana dada na mungu akubariki na kukulinda

  • @julianakhahima6409
    @julianakhahima6409 День назад +4

    Aisha nimekupenda bure, nimekuona ulivyo mwanamke jasiri unayeamini ktk kile unachosema na kufanya. Keep it up, Tanzania hii inahitaji sana watu kama wewe.

  • @ZakhariaMazengo
    @ZakhariaMazengo День назад +2

    Nakupenda mpenda haki Aisha madogo

  • @RobertKajege
    @RobertKajege День назад +3

    Dickson matata ,John Mallya ,peter madeleka ,peter kibatala ,long live

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 2 дня назад +4

    Anayepinga maovu anakamatwa na kuhojiwa. Polisi, polisi, badala ya kumkamata mwizi, mnamkamata anayeibiwa!!! Mungu awabariki kwa mambo yenu. Dada Mungu akubariki na kukulinda.

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 дня назад +8

    Upo strong kamanda na MUNGU atakusimamia ktk hili kwani lapita...
    Una mawakili wasomi makini sn. ❤

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola День назад +2

    Mungu husimama Kwa mwenye haki,dada usihofu

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 2 дня назад +4

    Ulifanya sawasawa kabisa.Mungu ambaye ndiye chanzo cha upendo,uhuru,haki na kweli akupe msaada unaohitaji.

  • @InnocentBakengesa
    @InnocentBakengesa День назад +3

    Usikate tamaa mungu atawpambania viongozi wa chadema.siku sio nyingi bwana atawafuta machozi mliyolia miaka mingi

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 2 дня назад +8

    Hongera sana kwa kusimamia haki

  • @lonelysanga9328
    @lonelysanga9328 День назад +1

    Hongera sana dada

  • @mpelasokampelasoka490
    @mpelasokampelasoka490 День назад +1

    Pole dada haki ya mtu hucheleweshwa kama ipo ipo tu . Pendent mahakamani palipo na haki .

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 дня назад +4

    Ccm elimu yenuni 😂😂😂.ufahamu wenu😅😅😅 Yani sijui niwafananishe nanini kilicho chaajabu hakipo Yani 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 2 дня назад +5

    Huyo levo yake ni bungeni angetufaa sana watanzania sijui alikuwaga wapi

  • @ephraimsaimon3125
    @ephraimsaimon3125 День назад +1

    Mungu akuongeze nguvu maana unao mzigo wa kuwatumikia watanzania

  • @mgawetv434
    @mgawetv434 2 дня назад +3

    Pole dada,WE NIMWAMBA NA MUNGU YUPO NA WEW

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka День назад +1

    Pamoja makamanda ndo nchi yetu hii ila najua tutafika hatakwakuchelewa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 дня назад +3

    We lifisiemu. Mambo. Ya uchaguzi hayataisha na hayatasahaulika kwa unyama mliotufanyia watanganyika

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c День назад +2

    Sio polisi hao ni CCM

  • @HenryMBwaga
    @HenryMBwaga 2 дня назад +7

    Kesi Hainakichwa Wala miguu!

  • @donaldmaziku7915
    @donaldmaziku7915 2 дня назад +4

    Wewe ni mwamba kabisa hongera kwa kutetea haki.

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 дня назад +4

    Hii nchi inavituko

  • @ArenJoseph-f5x
    @ArenJoseph-f5x День назад +1

    Safi dada

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 2 дня назад +5

    Mambo ya kipumbavu kabisa,

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 2 дня назад +4

    Nchi ni ya CCM na polisi wameajiriwa na CCM wengine wote hatuna haku 😢

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 21 час назад

    Dada smart sana huyu.

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 День назад +1

    People eeeeeeee❤❤❤

  • @IsmailKidongo
    @IsmailKidongo 2 дня назад +5

    Polisi CCM kuweni na haibu nchi simali ya ccm nimali ya watanzania wote

  • @enocepaulkumba9362
    @enocepaulkumba9362 2 дня назад +3

    Askari wa siku hiz bhana!
    Wameweka akili miguuni wanalazimika kutumia miguu kufikiri.
    Hii ni hatari sana!.

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l 2 дня назад +2

    Niseme ukweli dada kichwani akili zimo na zimejaa

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 День назад +1

    Chama cha majambazi ngoma imelia sana nadhani imekalibia kupasuka

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako День назад +2

    Mwanamke shupafu na mwenye akili

  • @adoniasr.nyamjulirwa5528
    @adoniasr.nyamjulirwa5528 День назад +1

    Dada wewe mpambanaji kwelikweli. Tunahitaji watu kama wewe katika nchi hii

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 День назад +1

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo День назад +1

    Tumtarajie Aisha Madoga katika bunge lijalo. Nchi hii inahitaji wanawake wenye akili kubwa, ujasiri, ushupavu na kujiamini kama dada huyu!

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi День назад +1

    Pambana dada ni kiongozi shupavu hao wanaoshabikia maovu Kun mwishowe wao

  • @GodwineMuchunguzi
    @GodwineMuchunguzi 23 часа назад +1

    Wapo wakina mdee wengi wajaoo

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c День назад +1

    Kuiba waited na bado waendelee kumsumbua

  • @annasitaziakamtewe
    @annasitaziakamtewe 2 дня назад +4

    Hongera umenikonga moyo.

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 22 часа назад

    Aisha Madoga awe mbunge zile bongo lala akina Halima Mdee watoke bungeni

  • @ThadeiAndrea
    @ThadeiAndrea 2 дня назад +4

    Yani mtu kakamata wezi wa kula nyie mnamwita mumuhoji hii mbona haingii akilini

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 2 дня назад

      Kenge wewe mwambie asiende poli

    • @charlesshitobelo6870
      @charlesshitobelo6870 8 часов назад

      Kwa kuangalia comment yako tu mtu atakutambua wewe ndiye Kenge.​@@EmmanuelMlowe-u1v

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 12 минут назад

      ​@@EmmanuelMlowe-u1vona usivyo na akili wewe mwenye jina la haki LAKINI shetani ameuteka ufahamu wako bora ya kenge kuliko chawa mchafu

  • @songombingo108
    @songombingo108 2 дня назад +2

    Mambo ya uchaguzi yameshapita. Achaneni na mambo ya Kesi. Maisha yaendelee

  • @HamisiSheka-lr4vh
    @HamisiSheka-lr4vh День назад

    Dada we ni shujaa wetu

  • @alexbujenja2750
    @alexbujenja2750 10 часов назад

    Hii ndo kazi ambayo Polisi wanaiweza kwa 100% zikilenga chadema tu. Ila zingine ni 00000000%

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 дня назад +1

    Polofisiemu tumeyachoka na fisiemu. Yao

  • @SelemanMohamedi-s6x
    @SelemanMohamedi-s6x 2 дня назад +2

    Mbona kila siku chadema

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 2 дня назад

      Mi I nilipokuwa mdogo tulikuwa tunachapwa Sana na baba.nilikuwa nakalamika kwamba baba hapigi watoto wa like kwann? Nikakumbuka kuwa sisi wakiume zimezidi kufanya makosa

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 4 часа назад

    Kiukweli huyu dada alikuwa yuko sahihi sana alikuwa anatetea haki ya kiuchaguzi sheria ya uchaguzi ilisema yule asiyeandikishwa asiige kura na ndicho alichokifanya hata yule askari aliyekuwa ndani yakituo aliambiwa na aliona

  • @jovankishamba9424
    @jovankishamba9424 День назад

    Uko Sawa.

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 2 дня назад

    Inaeleweka kabisa kuwa Mungu anapendezwa na watenda haki tu, lakini neno HAKI linafaa litafsiriwe na wataakamu wa wizara yakatiba na sheria. Huo ni mtihani.

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 дня назад +1

    Hivi ccm nyie namasikali wenu hamna makosa hamlipoti polis nichadema tu wakati makosa yapo kwenu mkowapuzi Sana Tena wajabu Sana hamfai sana.nyie nimbulu kama mbulu wengine

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d День назад

    Hii nchi tuna viongozi wa ajabu sana mtu ukitenda haki et ndiyo unakuwa mharibifu sasa huyu dada kosa lake ni lipi ccm na viongozi wetu mnakela sana

  • @masoudmongomongo244
    @masoudmongomongo244 День назад

    Wewe dada ni kamanda haswaa.

  • @JackKanyigo
    @JackKanyigo 2 часа назад

    Yaani kuna midume mizima tena ina midevu lkn haijitambuhi iko CCM inazdiwa akili na huyu binti..yaani unayakuta yanakimbizana mitaani yakiimba kidumu huku mfukoni lina buku tu

  • @PaschalKiteaKitea
    @PaschalKiteaKitea День назад

    Ccm wakae wakijua sisi sio mivugo yao ipo siku MUNGU atatupigania

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 День назад

    Upuuzi wa kiwango kikubwa kabisa! Waliofanya mauaji Wala hawazungumziwi kabisa.

  • @JohnMalina-k7o
    @JohnMalina-k7o День назад

    Dada kweli wewe ni mpenda haki,hapo mapolisi vibaraka TU wa Demokrasia uchwara

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka День назад

    Mungu Yuko upande wako hao waovu siku zao zinahesabika

  • @ThobithMwasile
    @ThobithMwasile 12 часов назад

    Imi nikupongeze kwa kutimiza wajibu wako vyema, natamani kuwa kiongozi shupavu kama wewe.

  • @AmimIigeni
    @AmimIigeni День назад

    Unaweza kutetea haki be careful wasikuteke ukisafir kuwa makini wanakutruck kwenye cm kukujua upo wap zaid unapoenda dar es salaam

  • @MakameAly
    @MakameAly День назад

    Ww unahitaji mauwa yk

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 2 дня назад

    Kamanda Aisha Madoga oyee

  • @KasalamaAlly
    @KasalamaAlly 2 дня назад +1

    Hivi Tanzania nzima waliofanya fujo ni chadema tuu?

  • @SALEHSALEH-lk5jr
    @SALEHSALEH-lk5jr День назад

    Asingekwenda kabisa ndiyo ningemuona mwamba

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 День назад

    Naona vyama vingi vifutwe ibaki ccm tuu ndio tutakua naamani,fyuu

  • @ThobithMwasile
    @ThobithMwasile 12 часов назад

    Unastahili kuwa kuongozi

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m День назад

    Bonge la aibu kwa polisi

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise День назад

    Hata samia anaitajika kufika kituwo cha police ambacho kinafanya kazi na ccm nawaita wote wasenge hata Abdul na mchengelwa akiwemo

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg День назад

    punguzeni uchawa

  • @amosmangura
    @amosmangura 2 дня назад +1

    Dada shule ipo

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 2 дня назад

    Usiingeenda state kwa ufee kama beni sanane azori gwanda au ally kibao hao wasiojurikana

  • @asinahussein2176
    @asinahussein2176 2 дня назад

    Leo Tarehe 13 wewe wakili mbona unasogeza Tarehe ya kesho.

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 2 дня назад

    Huyo mzee mwenye kitambi ni nani

  • @geofreyanania1108
    @geofreyanania1108 2 дня назад

    Umepiga mwingi

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 22 часа назад

    Ujinga tu mnamuonea

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 дня назад

    Mjinga mama yako liinzi kijani

  • @Shabani-uz1sb
    @Shabani-uz1sb 2 дня назад

    Ww, nimjinga