NYUMBA PEKEE ILIYONUSURIKA MOTO - MMILIKI AFUNGUKA MAZITO - AIBUA SIRI ya AJABU....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 79

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  14 дней назад +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @NeemaMwashambwa-s4g
    @NeemaMwashambwa-s4g 9 дней назад +2

    Ni Mungu tu asijisifu kabisaaaaaaaaa

  • @BarakaFrancis-e8r
    @BarakaFrancis-e8r 13 дней назад +8

    Wakiokolewa wanajsifu,, wanasahau kuwa Mungu ndye alye wawezesha

  • @Zainab-f9w5x
    @Zainab-f9w5x 15 дней назад +37

    Mwenyezi mungu amemuokoa tuuuu sikwaujanja wake

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 14 дней назад +1

      Zainab hujambo?

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 14 дней назад +1

      Kabisa

    • @gracendaki4515
      @gracendaki4515 14 дней назад +1

      Haswaaaa

    • @fatmaomar5783
      @fatmaomar5783 14 дней назад +1

      Huyu jama kafiri .. zilzila ardhi ni guvu za allah na kunawakati itapigwa teke kwa nguvu za mola ..
      allah wakbar

    • @Zainab-f9w5x
      @Zainab-f9w5x 14 дней назад

      Sijambo bwanamkubwa wambaje na hali

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 14 дней назад +13

    Ni Mungu tuu...

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 14 дней назад +5

    Nyumba ilijengwa kwa ubora sana.... Na Mungu aliingilia kati

  • @COMPASSIONMEDIA
    @COMPASSIONMEDIA 15 дней назад +7

    Yaani badala ya kumtukuza MUNGU kwa kumrehemu, bado anajisifu dahhh

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 14 дней назад

    Alhamdulilla ,nivyema kumshukuru Mungu, hio ni kama somo Kwa jamii, mana mwenyezi Mungu na maandiko yake amesema Hakika yeye anauwezo wa kumuokoa amtakae na kumuangazmiza amtakae, ni vyema tuangalie maandiko zaidi

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb 14 дней назад +5

    Mhh!!! Mshukuru MUNGU ndugu !!!

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 14 дней назад +1

    Amshukuru allah sio kwa ubora wa ujenzi

  • @AbulAbbas-yp5ph
    @AbulAbbas-yp5ph 14 дней назад +5

    Anajisifu afadhali ashukuru allah akisema kun fayakun inakuwa hakuna anayeweza kuzuia

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 14 дней назад +3

    HUYU NI MPUUZI SANA
    ANAHISI NI UJANJA WAKE KUMBE NI MUNGU TU 😊

  • @VioletBasli
    @VioletBasli 13 дней назад

    Hayo ndio maakosa ya wazungu .. hawajui kumtanguliza Mungu.

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 14 дней назад +1

    MUNGU amemuona hana hatia kamlinda ilitakiwa amshukuru pia nakuhimiza watu waache uchafu hilo ni onyo la mungu kwa marekani na ulimwengu mzima kua yeye ninani

  • @maryammaryamm9548
    @maryammaryamm9548 14 дней назад +1

    Allah hakuamua kuibomoa tu muda wake lkn asijisifu mjenzi Wala mwenye nyumba tatizo l wazungu hawaamini mungu ndipo tatizo lilipo ukafiri uliokithir ck yake ikifika ht mvua tu au upepo itasambaratishwa yote

  • @catherinepaulo4246
    @catherinepaulo4246 14 дней назад +3

    Mshukuru Mungu

  • @rukiamadati336
    @rukiamadati336 14 дней назад +1

    Mmh bora angeshukuru Mungu tu

  • @DatiusExavely
    @DatiusExavely 14 дней назад +12

    Huo ni uongo sasa kama badala ya kumtukuza Mungu anafikili ni ujenzi .Hiyo kuna uwezekano kumaliziwa na radi.

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 14 дней назад +3

      Na Allah ameiwacha hiyo ili waongee kufuru kama hizi ili tuendelee na kufanya ufisadi bila kumsujudia Allah

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 14 дней назад +1

      Amesahau kama Kuna volcano inaweza ikachemka huko chn na hzo gesi na umeme ukamalza kabxa.

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 14 дней назад +2

      @@FatumaJumanne-p4d kafiri anajuwa hayo? Hawa wanajiendea tu wanadhani Dunia na wao wanajiendesha wao na hawatambuawagi Allah ndio mwenye kuiendesha hii Dunia na vilivyomo na ndio Mliki wa Dunia na Vilivyomo.

    • @RechoMsii
      @RechoMsii 14 дней назад

      Mung n mwema

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 14 дней назад +1

      @abuumuhammad7133 Mthan WALLAH

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 14 дней назад +1

    Meli ya Titanic tu ilizama itakua hicho kijumba ama kweli imani ni ngumu bado hajaamini kadari ya Allah, bado mnajisifia mko makini na mnachokifanya.

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 11 дней назад

    Ujenzi sawa ila mungu kwanza amepnda iwe hivyo

  • @AminaIssa-ee6kl
    @AminaIssa-ee6kl 11 дней назад

    Ucjione mjanja baba. Yaja anguka peke yake hiyo licha ya ujenzi ulotumiwa, achana na mungu kabisa.

  • @MAKMICHAMassawe
    @MAKMICHAMassawe 11 дней назад

    Amesema miujiza😅

  • @TalibMuhsin
    @TalibMuhsin 9 дней назад

    Haina sabab yoyot isiporomoke wazungu mipagani hiyo inafanya kila mbinu ipinge uwezo wa Allah ila Hajui Allah kama kaibakish makusudi kumtahini

  • @GlauryHaule
    @GlauryHaule 8 дней назад

    Watu hawajui kumtukuza mungu jamani

  • @NassorHassan-o8c
    @NassorHassan-o8c 11 дней назад

    Subir ajisifu izamishwe

  • @joshuajackson3827
    @joshuajackson3827 15 дней назад +9

    Sasa ingawa haijaungua lkn ni kama ipo jangwani saizi

    • @Stafamuigizaji
      @Stafamuigizaji 15 дней назад

      😂😂😂😂

    • @Stafamuigizaji
      @Stafamuigizaji 15 дней назад

      Ulaya ni ulaya Kaka watakuja kuokota watu Africa kama watumwa wao Na watajazwa hapo ndugu Yangu wazungu wana akili sana

    • @JumaSelemani-gd2py
      @JumaSelemani-gd2py 15 дней назад

      Wakwanza kuokotwa utakua ww ​@@Stafamuigizaji

    • @zuwenashabani7100
      @zuwenashabani7100 14 дней назад +1

      ​@@Stafamuigizaji halafu hapo siyo ulaya ni America

  • @tinaLsla
    @tinaLsla 14 дней назад

    Mungu kampa one more chance

  • @ndakichuwa7618
    @ndakichuwa7618 13 дней назад

    Yaani badala kisema Mungu kainusuru bado hawaamini ktk Mungu?

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 14 дней назад +3

    Wazungu kwa kukufuru

  • @piusrweyemamu3900
    @piusrweyemamu3900 14 дней назад +2

    Futi hamsini kwenda chini hii imekaaje

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 14 дней назад

    Ashukuru mungu kama hakujenga na mbao tu lakini ingekiwa mbao hooo sasa angekuwa akiliia chooni

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 14 дней назад

    Mnajibabaisha tu lkn sio kwakua ameidhibiti ...kwa hakika Mola hashindwi na kizuizi chochote ila Allah alimnusuru huenda nae alimnusuru mja mwenzake kwa kubwa .ndio nae akamnusuru

  • @chieffofofoodinternational4102
    @chieffofofoodinternational4102 14 дней назад +1

    😂😂ashukuru tu mungu Huyo hajaamua

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 14 дней назад +1

      Kweli Mungu yupo lkn ukizingatia vitu fulani lazima uwe vzr, sababu Mungu ndo katupa akili na utashi

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 14 дней назад

    Kuna nyingine Nyumba ina Mabaty Mekundu sio hiyo tu

  • @UbandaTester-e6y
    @UbandaTester-e6y 9 дней назад

    🎉

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 14 дней назад

    Huwenda anamatendo mazuli mbele zamwenyezi mungu wala siyo kuta imala moto wakutabiliwa na manabii hawa nawakutoka kwamungu

  • @Drsilo-v5k
    @Drsilo-v5k 14 дней назад

    Makafir cku zote hawaamin km kuna MUNGU mm nashangaa kuna mtu mijitu wanawafataa mikafir

  • @MgeniRamadhani
    @MgeniRamadhani 14 дней назад

    Mungu ni mkubwa, yeye ndiye ajuaye kwanini imepona

  • @LuluAquai
    @LuluAquai 14 дней назад

    Ama kweli hawa hawamjui M'mungu,haah!!..

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 14 дней назад

      Sasa vitu hivyo alizingatia ndomana ni logical thinking tu

  • @JahidaRashid
    @JahidaRashid 14 дней назад

    Amna cha ujezi mwenyezimungu ajataka tu kikumbwa amshulu mungu tu

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 14 дней назад

      Tumpe muda tu,naye atamwelewa Mungu hivi karibuni

  • @ellykibale190
    @ellykibale190 14 дней назад

    Ni Mungu

  • @hassanalfredy8222
    @hassanalfredy8222 14 дней назад

    Poleni

  • @FrancesMachelela-g4y
    @FrancesMachelela-g4y 12 дней назад

    Watu ban moto kidog kelele kibao kama watoto wakike sasa hapo ajabu nini kuna mgeni na moto

  • @deborahjustinerwambogo8490
    @deborahjustinerwambogo8490 14 дней назад

    Angemrudishia sifa na UTUKUFU MUNGU....

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 15 дней назад

    Nyumba ya p.didy vipiii

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma 14 дней назад

    Sasa hapo si ataishi kama jangwani

  • @geofreymgeni2668
    @geofreymgeni2668 14 дней назад

    Jamaa yumba zao za mbao aslikia kubwa

  • @JuriethShaban
    @JuriethShaban 14 дней назад

    Ndio shda ya wamelekani acha wapingwe na MUNGU yanakibuli

    • @MariaShehemba
      @MariaShehemba 14 дней назад

      Usiseme acha wapigwe hata wewe unaweza kuwaka kwako ni kuwaombea tu

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 14 дней назад +1

    HIZI NI HABARI ZA UONGO NDUGU ZANGUNI MSIAMINI MATANGAZO YA GLOBAL TV WANATAFUTA TU HELA KAZI YAO KUTUNGA TU

    • @tambatambamangala
      @tambatambamangala 14 дней назад

      Wewe sasa njo unaonekana muongo

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 14 дней назад

      @ tambatamba elewa hio nyumba ilianguka wasikudanganye hao ningekutumia video yake ni vile sikujui na jina lenyewe ndilo hilo tambatamba yani ukinya hutambi yani hunawi wajifuta na tissue waigiza mabwana zako wazungu 😀😀😀

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 14 дней назад

    Haya baba zamu yake ipo njiani

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 14 дней назад

    Huku kumbe kuna fukwe ndio laana ikazidii

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 15 дней назад

    Ni kuchukua TAHADHARI kabla ya hatari.

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 11 дней назад

    Dah akae kwa utulivu asijisifu kwa lolote, tena hasira ya MUNGU ikiwaka, how nyumba itaungua had misingi isibak hata historia yake

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 14 дней назад

    Ni Mungu tu si kwa ujanja wako

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 14 дней назад +1

    Hivi anaweza sema yeye ni jesus na wajinga wakamuamini