The Blackchair: Mapacha walioonana baada ya miaka 20 wazua utata Kenya, Kiba na Ommy kuja hivi tena

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 111

  • @entertainmentplace3460
    @entertainmentplace3460 5 лет назад +52

    Wakenya tuko wangapi hapa?🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇯🇴🇯🇴🇯🇴

  • @eveimbusi5940
    @eveimbusi5940 5 лет назад +19

    Mambo ya DNA imefikia wapi na hili changa plz anaeuliza kama mimi..likes hapa tuki suburi majibu.

    • @johnbizabishaka9030
      @johnbizabishaka9030 5 лет назад

      Nami pia nina hitaji kujua majibu ya hao mapacha wa kakamega

    • @jackynemalala7058
      @jackynemalala7058 5 лет назад

      Results are already out,those two are twins and the Brown gal belongs to ather Brown mum

    • @eveimbusi5940
      @eveimbusi5940 5 лет назад

      Yeah Jacky nimeona thanks a lot

  • @RynlizzyTheBoss
    @RynlizzyTheBoss 5 лет назад +8

    I always love this channel mko juu sana. Na mtafika mbali.

  • @pililanimrambia8752
    @pililanimrambia8752 5 лет назад +4

    asante mungu, kila liliro fichwa litaonekana wakati ukifika

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 лет назад +8

    Hii story imegusa wegi na pia naamini tutajifunza mengi kupitia hii story ya hawa mapacha hakika wacha Mungu aitwe Mungu

    • @romzget1892
      @romzget1892 5 лет назад +2

      Apa kuna wizi ulifanyika 20 yearz ago maan hosptal zetu za ki africa dah shida tupu 😍😂😋😎😍

    • @chainbre275
      @chainbre275 5 лет назад +2

      @@romzget1892 ndo hapo sasa

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 5 лет назад +2

      @@romzget1892 nakubal maneno yako

  • @venancemwakyoma8735
    @venancemwakyoma8735 5 лет назад +6

    Nakubali mkuu sijutii kumaliza bando kwa vipindi vyako (toka tbt yako sita sahau)

  • @ashanalinga8719
    @ashanalinga8719 5 лет назад +4

    Aisee iyo stori ya mapacha umenisisimua sana, Mi. Nahisi kunammoja anadanganya labda aliuziwa mtoto na Docta

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 лет назад +2

    Bila shaka ma nensi watakua walisahau kwa huo mtoto mwengine ambae hawafanani ndo atakua wa yule mama mwingine ila hao weusi niwa mzazi mmoja kbs

  • @sharonokuyo7413
    @sharonokuyo7413 5 лет назад +8

    Lets wait for the DNA,,,DNA ndo msema yote....

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 5 лет назад +9

    Doctor of the hospital them must know the true anywhere blood is thicker than water😘

  • @margretkamau360
    @margretkamau360 5 лет назад

    It's a blessing from for this girls and they parents. Thanks to God. Continue blessing them God

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 5 лет назад +4

    254 for life hawa watoto wa me chukua hisia za watu wengi kenya kila channel wanatrend kwa kweli# the lost twins

  • @vickiekenyan5356
    @vickiekenyan5356 5 лет назад +1

    Kakamega mko wapi like zenu mungu hanatupenda

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад +4

    Hmmm kuhusu hao mapacha isije kuwa kuna mchezo ulichezwa maana kuna wale wanaodanganyaga wana mimba kumbe wanasubiri kuiba watoto hospital wanajifanya wako bed rest wanadili na madaktar so lolote linawezekana acha tusubiri DNA

  • @jacobmasyaga1293
    @jacobmasyaga1293 5 лет назад +1

    Mpaka Leo hii, Watoto wote no Group O: Damu yao

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 5 лет назад +6

    Kumbe ilikuwa watoto watatu wakampa 2 njia ya mwizi in fupi kaibiwa huyo

  • @fetymwamba8685
    @fetymwamba8685 5 лет назад +3

    Mh!mama yangu aliambiwa anapacha wakati mjamzito naakaandikiwa hospitali ya kubwa alipo na akajifungua kwa oparation ila nashangaa akaru di na mtoto mmoja 😭😭hii stori leo imenigusa sijui na mimi nitakuja kumona mdogowangu??

    • @ARi-gp3cm
      @ARi-gp3cm 5 лет назад

      Fety Mwamba mtafute utampata...mtafute na wanahabari...investigative journalists....

    • @fetymwamba8685
      @fetymwamba8685 5 лет назад

      @@ARi-gp3cm weachatu tena aliambiwa wstoto wakubwa akapasuliwa kurudi namtoto mmoja hayamambo yapo jamani😭😭😭

  • @mohamedmbulu4293
    @mohamedmbulu4293 5 лет назад +2

    Jaman hiv vipimo navyo pia vinaongopag ,kuna ndugu yangu alikuwa hivyhivy ,huyu mweupe ni wa pekee

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 5 лет назад +1

    vzr kwakukutana maan kwenye mahospitarin watoto wanabadilishwa sana t wazazi wawe makin

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 5 лет назад

    Thanx allot

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 5 лет назад

    Msikosagikutujulisha😍😍Love sns😘

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 лет назад

    Inshaa aallah tungojee D.N.A

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 5 лет назад +2

    Damu ni nguvu kuliko maji.. 🙏🙏

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 5 лет назад

    Leo nimechelewa thank you my love baby sky kwA habari nzr

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 5 лет назад +1

    Sns always on top

  • @janekiruki6305
    @janekiruki6305 5 лет назад +1

    May the baby that was born by melons mother was stolen and she was given one of the 3 twins.
    We have heard babies stolen from parents at pumwani hospital.

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 5 лет назад +4

    Basi huyo ambae afanane na hao wengine pengine ni wa huyo mama mwengine inshort let's wait for the DNA test ammeen tunawaombea kila la kheri.

    • @josylinefamily3632
      @josylinefamily3632 5 лет назад

      Huyo mama wa sharon hazai yaani juu sharon useme ni yy pekee yake kwao na mama melon aliambiwa atazaa watatoto watatu

  • @khadijalubuva2629
    @khadijalubuva2629 5 лет назад

    kweli kabisa itabidi muifatilie ili tujue ukweli kama Sharon aliibiwa au alibadilishwa ..big up sns ..

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 лет назад +1

    Au baba ndi o alichepuka

  • @mariamkaaya8639
    @mariamkaaya8639 5 лет назад

    Black chair sweet home

  • @angelbenward6933
    @angelbenward6933 5 лет назад +1

    Nice

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 5 лет назад +3

    wa kwanza hapa leo

  • @officialamris7954
    @officialamris7954 5 лет назад

    Blessed

  • @elibarickngomaitala156
    @elibarickngomaitala156 5 лет назад

    Itakua walichanganya watoto hao wawili wanao fanana ndio mapacha Ila huyo mwngne mweupe ni wa yule mama mwingne mweupe Ila huyo mama hakujifungua mapacha wa3

  • @alialio2784
    @alialio2784 5 лет назад

    Daa kama kweli wameibiwa noma san

  • @sheillachisika2600
    @sheillachisika2600 5 лет назад +1

    Lakini ni baada yA19not20

  • @kingsmedia3520
    @kingsmedia3520 5 лет назад +2

    yebabaaa #tehe_rockstar_party lvi soon🌎🌎🌎🌎

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 5 лет назад +1

    Kwakuangalia tu huyo mweupe ni wa yule mama mweupe

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 лет назад

    Mashallah, good job Bro sky

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 5 лет назад +2

    Me nahisi mtoto alibadilishwa akapewa uyoo wa brown lkn kama yule mama mwingine alizaa kweli bas huyu Ndy wake ambae afanan pia huyu meron alitakiww kuzaa watatu sasa mmoja yukowap jaman navurugwa 😂😂 DNA ndy kilakit

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 лет назад

    Hao watoto wote watatu ni wa mama Rose,kwa kuwa alipokuwa mja mzito aliambiwa na daktari kuwa ana watoto watatu tumboni.kwa hiyo watoto wote ni wake.

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 5 лет назад

    Rockstaaaaar 👑👑👑🥊🥊🥊🥊🎶🎶🎶

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 лет назад

    ROCKSTAR TUNASUBILI👌👌

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 5 лет назад

    Rock star ni🔥🔥🔥🤗

  • @philipondabazaniye1048
    @philipondabazaniye1048 5 лет назад

    Watoto wote niwafamilyemoja wote watatu

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 5 лет назад

    Hao watakua walibadilishiwa hosptali ni kweli wanafanana sana

  • @ruthemile6144
    @ruthemile6144 4 года назад

    wakenya jamii ya waluhya husema hata nini ifanyike watoto hao hurudi

  • @justinealbert2633
    @justinealbert2633 5 лет назад

    Dah pamoja sana

  • @manalibaby4192
    @manalibaby4192 5 лет назад +1

    Acha tuone kitakachoendelea baada ya DNA.

  • @RynlizzyTheBoss
    @RynlizzyTheBoss 5 лет назад +3

    Nadhan yule mtt wakatkat ambae hawafanani atakuwa wa uyu mama mwengne.

    • @lovenesstweve8569
      @lovenesstweve8569 5 лет назад

      Kama ultrasound ilionesha mapacha watatu Kwa rosemary na hakika walimuiba huyo pacha mmoja akauzwa duuu lifatiliwe hilo

  • @selinalukwembe7363
    @selinalukwembe7363 3 года назад

    Ifatelie cikai naisubuli sn

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 5 лет назад +1

    Yaani wa tz wambeya 🤣🤣🤣🤣🤣ety tutafuatilia mpaka mwisho

    • @mligombuma2287
      @mligombuma2287 5 лет назад +1

      Ww ndio mmbea zaaidii umefatilia wambea wenzio hahahaaaaa si ungekaa kimyaaa tujue kweeelii umbea huutaki wala huupendi

    • @shillingicaren1749
      @shillingicaren1749 5 лет назад +1

      Umbeeya c kazi kani n ksutwa

    • @elisawangare3296
      @elisawangare3296 5 лет назад +1

      @@mligombuma2287 hahaha hii imefanyiwa Kenya so sijui mbona Yana wasumbua

  • @eliasaphbussa9332
    @eliasaphbussa9332 5 лет назад

    Nahc umexema Ommy dimpoz alikuwa anafunga ndoa badala ya Ali kiba

  • @zulfatothman1051
    @zulfatothman1051 5 лет назад +1

    💪

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 лет назад

    Ni miaka 19 sio 20

  • @entertainmentplace3460
    @entertainmentplace3460 5 лет назад +1

    Baby sky si lagemi ni kakangemi

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 5 лет назад

    Tunasubiria mwendelezo hao mapacha

  • @hashimkakozi7752
    @hashimkakozi7752 5 лет назад

    Miaka 19 siyo 20

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 5 лет назад

    Yani mungu nimkubwa waganga wanatabia yakubadili watoto

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 лет назад +1

    miguu sio ya kuvaa kaputula dah

  • @enggeorgemarcomabogamarco3884
    @enggeorgemarcomabogamarco3884 5 лет назад

    Nona sana sms

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 5 лет назад

    duuuuuuhhhh naisubiri na mm piya

  • @khadijaqatar9080
    @khadijaqatar9080 5 лет назад +2

    DNA ndo itatuambia ukwl inshallah

  • @Togolay
    @Togolay 5 лет назад

    Toa rangi nyeusi kwenye mic inakuwa ngumu kuyasoma/kuyaona maneno weka hata rangi nyeupe kaka #Maoni

  • @idayakei8349
    @idayakei8349 5 лет назад

    Yeebaba rockista mutabaki kua juu

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 лет назад

    Yaan hii story n shida ya mapacha maan ht vyombo vy habari vimetangaza cn kuhusu iyo story

  • @velmaelvis4748
    @velmaelvis4748 5 лет назад +2

    It's after 19yrs point of corrections

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 5 лет назад

    Me siondoki apa nasubili muendelezo

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 5 лет назад

    Patam hapo

  • @kanyasicongo7918
    @kanyasicongo7918 5 лет назад

    Sauti yako imefanana sana na millard oya

  • @rashikaje2450
    @rashikaje2450 5 лет назад

    Wasita leo

  • @kingdjuma7160
    @kingdjuma7160 5 лет назад +1

    Kama movie ya kanumba vile ett maybe

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 лет назад

    😎😎😎😎😎😎😎

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 лет назад

    Ben katisha

  • @sylviaecke1772
    @sylviaecke1772 5 лет назад

    WE are tired of this movie

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 лет назад

    Bado wajatoa

  • @mariammussa2540
    @mariammussa2540 5 лет назад

    #SNS

  • @angelherman5464
    @angelherman5464 5 лет назад

    duu

  • @RynlizzyTheBoss
    @RynlizzyTheBoss 5 лет назад +30

    Nadhan yule mtt wakatkat ambae hawafanani atakuwa wa uyu mama mwengne.

    • @mawazorose755
      @mawazorose755 5 лет назад +1

      Mawazo yako kama yangu

    • @chamichasuka8559
      @chamichasuka8559 5 лет назад

      Yule mtoto wa kati mbona anatengwa sasa, yule ndiye wa yule mama mwingine kabisaa. Wote watatu wapimwe DNA