Ninalo swali. Hapa unaposema unaelekezwa na mchungaji hutaki, na mkuu yeyote kanisani, na kusema ni kumpinga Roho mtakatifu. Kila maongozo ya mchungaji, kiongozi yanatoka kwa Roho Mtakatifu? Je ikiwa ni mchungaji ambaye Roho hayiko naye, unakuta anakuongoza kinyume na neno la Mungu, je tutakubari kabisa kwa kusema tusimpinge Roho Mtakatifu. Asante kwa msaada wenu kuhusu swali hili.
Nimeipenda hiyo ufalme usiotikisika kweli Baba Mungu azidi kukutu
mia
Ameeen Amen
Mungu azidi kwashoria nguvu zake Dani yako akupe ujasili kwa jili ya Utukufu wake
Amen ubarikiwe sana mchungaji
Mungu nisaidie nisiwe mzembe
Mimi huyu mchungaj namuelewa sana jaman mungu anamtumia vyema
Amina Mtumishi wa Mungu! Mafundisho yako yako yamefanya hata huduma yangu ipande viwango! Mungu akubariki!
Amen baba hakika Mungu atusaidie hapo kwenye kusema ukweli maana😭
Songa Miele na bwana unawasaidia washirika na wachungaji bwana aendelee kukutia nguvu nakuombea mtumishi WA mungu
Barikiwa mtumishi
Na sisi Kenya tunawasikiriza Muchungaji
Muchungaji kitabu hicho kinaweza patikana kwa njiya Gani"Lakini mutapokeya Nguvu"
Matendo 1:8
Ameni mtumishi ubarikiwe sana
Amena. Sisi tunachangamuka. Mambo yao ya dunia hayatuhusu, hatuhusiki. Ninabarikiwaaaa, haleluyaaaaaaa
barikiwa san
Mungu azidi kukutumia mtumishi
Nabarikiwa Sana na kila mahubiri yako baba mchungaji nikiwa tag busenda napenda unavyo lifafanua adiko
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
Amen hii ndio kweli sasa
Mungu mwema, I love the annointing 😊
Ameen
Ninalo swali. Hapa unaposema unaelekezwa na mchungaji hutaki, na mkuu yeyote kanisani, na kusema ni kumpinga Roho mtakatifu. Kila maongozo ya mchungaji, kiongozi yanatoka kwa Roho Mtakatifu? Je ikiwa ni mchungaji ambaye Roho hayiko naye, unakuta anakuongoza kinyume na neno la Mungu, je tutakubari kabisa kwa kusema tusimpinge Roho Mtakatifu. Asante kwa msaada wenu kuhusu swali hili.
iwapo hakimtukuzi Mungu usishiriki, Hivyo kiwe cha Bwana.
@@julieteshehiza4097 yes. Kipimo chetu ni Neno la kweli la Mungu kwa kila kisemwacho haijalishi anasema nani
Amen
Naomba nipewe namba ya simu ya yule missionary wa Lubumbashi.
asante sana baba na kuitaji marekani ,tena naomba contact number, mimi nikotayari.
🙏
🙏