TRENI YA UMEME (SGR) YAANZA SAFARI YA KWANZA DAR - MORO “TUNATUMIA DAKIKA 90, NI AGIZO LA RAIS SAMIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 186

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 9 месяцев назад +78

    Ongera san john pombe magufuri kwa kazi mzuri

    • @bakarijumakupaza4351
      @bakarijumakupaza4351 9 месяцев назад +6

      Umemsahau na aliyekamilisha.

    • @PaulMsema
      @PaulMsema 9 месяцев назад +5

      Magufuri ni levo nyingine,hafananishwi labda baba wa taifa aliyetuunganisha

    • @josephambrose2215
      @josephambrose2215 9 месяцев назад +2

      Hakika, bila Yeye Bado ingekuwa Bado ndoto Kwa serikali kama hizi zilizopo

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 9 месяцев назад +2

      Hongera sana Rais Samia
      Tuacheni unafik na kazi iendelee

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 9 месяцев назад +9

      Samia nayeye kama mwamba aanzishe miradi yake. Tangu ameingia anatembekea michongo ya JPM

  • @PaulMsema
    @PaulMsema 9 месяцев назад +29

    John magufuri,angemalizia miaka 5 tungepiga hatua sana ama kweli maendeleo sio siasa

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 9 месяцев назад +5

    Asante Rais wetu Mpendwa J.P Magufuli kwa Kazi nzuri umetutengenezeya Mungu akuweke Mahali pema Kwenye Paradiso yenye amani na Furaha Amen

  • @christopherjoseph9981
    @christopherjoseph9981 9 месяцев назад +29

    R.I.P CHUMA JPM!!tutakukumbuka sana kwa miradi yako hii!maono yako etc!!

    • @Maria-uz7ni
      @Maria-uz7ni 9 месяцев назад

      Mhhhh

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 9 месяцев назад

      Kitu usichokijua, ukakivamia kiushabiki ni tatizo sana na hii inatugharimu sana wa Afrika, miradi yote ni sera za Chama cha mapinduzi za muda mrefu ila kila anaekuja anaona pagumu wanaipita tu kwa uwoga wa kuthubutu, uvivu pia ulichangia na hasa bank ya dunia inaogopewa sana riba ni kubwa lakini ukimudu pia wanaweza wasitoe mkopo kwa wivu mbaya na ndio mana Magu alikuwa anakopa Bank ya Afrika zaidi kuliko bank ya dunia, hivyo kwa uthubutu wake wa kutimiza ilani ya chama chake na kuwapita maraisi wote kasoro mkapa tu aliekuwa na damu mbaya watu hawakuona aliyoyafanya ikiwa udhibiti wa pesa za mapato kwa kuanzisha malamka ya mapato Tanzania yaani TRA huko nyuma ikiitwa forodha, lakini ujenzi wa madaraja barabara nk! Sasa anachokifanya mama inapaswa nae pia ashukuriwe kwa kuendeleza miradi yote aliyoiacha boss wake, Apewe sifa zake kwa kweli anafanya kazi kubwa sana maneno kidogo utendaji zaidi, shida ni moja tu anaangushwa na watu aliowapa dhamana kwa kumsaidia wengi sio waaminifu na hawaendani na kasi yake anayoitaka. Nchi za Afrika Magharibi raisi akifa au akimaliza muda wake basi miradi aliyoiacha inaishia hapo hapo na anaekuja huanzisha safari yake na mambo mapya hivyo wanaoumia ni walipakodi maana pesa yao imechezewa kwa vitu visivyoendelezwa, ki ukweli East Afrika tunajitahidi sana japo tupo na changamoto zetu ila hatuwazidi wenzetu.

  • @AloneChuga
    @AloneChuga 9 месяцев назад +25

    Bira Magufuli mungesubiri sana,hiyo ni miaka 5 tu ingekuwa miaka kumi ingekuwaje

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 9 месяцев назад

      Hasira ni za nini

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 9 месяцев назад

      Kwani MAMA SAMIA na HAYATI MAGUFULI walijenga nchi mbili tofauti?...Mbona watanzania muko na ujinga kila siku usiyopoa?...Hayati Magufuli na Samia ni boat 1, so alipopawacha Magufuli ndipo anaendelea na MAMA na ndivo tunavokwenda kiuongozi.
      Alipokua hai Magufuli mlimsema sana na alipokufa munamsifu sana hemu tusiwe hivyo badala yake tuongelee na tupende maendeleo na kwa sasa yanaletwa na MAMA na watanzania kiujumla.
      **KAMA UNACHUKIA HAMA TANZANIA HATUTAKI

    • @dancerboy2686
      @dancerboy2686 9 месяцев назад +3

      ww ndio mjinga mana akili zko zpo matakoni

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 9 месяцев назад

      @@hamadsuleiman5177 kuna watu wanaona magufuli hakutendewa haki kufa na kwanin asife yeye ni nani mpaka asife na wakati mtukufu wa daraja mtume mohammad s.a.w alikufa

  • @NyarushihaNyarushiha
    @NyarushihaNyarushiha 9 месяцев назад +8

    Daima na milele peponi magufuli❤

  • @HannaBakari-k4q
    @HannaBakari-k4q 5 месяцев назад

    Hongera sana baba John Pombe Magifuli

  • @massvpro
    @massvpro 9 месяцев назад +2

    Tungependa kujua Mliopanda Kwa Majaribio Mmetumia Muda Gani kutoka da to Morogoro

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 9 месяцев назад +3

    Asante sana raisi samia tujipongeze Watanzania.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 9 месяцев назад +3

    HONGERA MHE RAIS WETU KIPENZI CHETU WA TANZANIA KAZI IENDELEE MITANO TENA KWA MAMA WA TAIFA LA TANZANIA MHE DKT SAMIA SULUH HASSAN 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤.

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 9 месяцев назад +7

    Haya kazi iendelee mama pokea 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 9 месяцев назад

    Asante mzee wangu magufuli mungu akusamee ulio kosea🙏🙏

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 9 месяцев назад +3

    Hongereni, kumbe ndo.maana hapa kwetu leo umeme haujakatika. Basi endelea na majaribio kila siku. "Mgeni njoo mwenyeji apone"!

  • @martinemaganga5253
    @martinemaganga5253 9 месяцев назад +11

    Mhhh,kwa umeme huu unaosua sua kaaaa mimi hapana sitaki kulala njiani kisa umeme umekata na bahati mbaya ukate ukiwa karibu na Tabora utajua haujui 😂😂😂😂

  • @DanielKalembe-p2s
    @DanielKalembe-p2s 9 месяцев назад +3

    Hongeren sana maana tulisubir sana

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 9 месяцев назад +3

    Hii treni kwa ndinga yangu mnanikuta nieshalewa baaa😂😂😂😂

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 9 месяцев назад +6

    Kama ndio treni hii hakika tumepigwa sio tulio onyeshwa na JPM

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 месяцев назад

      Ndio maten pacent hayaachwi😅

    • @hamidudigogo5863
      @hamidudigogo5863 9 месяцев назад

      @@leokamil6284 tukubaliane na uwalisia kama tulipigwa kwenye pesa za ndege ya mizigo hapa kwenye TREN sizani kama tutaweza kwendesha mana umeme ukiwepo majenereta na petrol hazita uzika wapigaji waendelee

    • @dancerboy2686
      @dancerboy2686 9 месяцев назад

      hakika umenena kwel

    • @wiseproent8661
      @wiseproent8661 9 месяцев назад

      Hivi vichwa vya treni si tuliambiwagwa ni vya majaribio tu!!!! I970's

    • @hamidudigogo5863
      @hamidudigogo5863 9 месяцев назад

      @@wiseproent8661 SASA KAMA ULIWEZA KUPIGWA PESA ZA NDEGE YA MIZIGO WATASHINDWA VICHWA VYA TRENI HAKUNA CHA MAJARIBIA HICHO NDIO CHENYEWE

  • @febroniamsoma178
    @febroniamsoma178 9 месяцев назад +3

    Ukiipa basi liende bila kuwako foleni moro hope izo tisini inatoboa tu chap

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 9 месяцев назад

    SSH Hongera saana rais kwa kuhakikisha hili jambo litimie

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 9 месяцев назад

    Hongera saana Mhe Rais SSH, kwa hakika umethitisha kuwa tunaweza

  • @leilei82A
    @leilei82A 9 месяцев назад

    Hongera Tanzania, sisi huku Kenya mtuwachie uporaji wa nchi nyinyi jengeni yenu

  • @MariamuMokiwa-s6z
    @MariamuMokiwa-s6z 3 месяца назад

    Habari za leo

  • @JosephMathis-f5e
    @JosephMathis-f5e 2 месяца назад

    hiii tren ya mwendo Kasi dar mwanza inatumia mda gan

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 9 месяцев назад

    Muweke na power bank ya umeme ukikatika.
    Mbona spidi mdogo sana wanunue vichwa vya spidi kuanzia 360km/hr
    Nakumbuka mwaka jana tulipanda treni ya mwendo Kasi Kutoka Kumamoto mpaka Tokyo Japan kwa lisaa limoja badala ya massa manne na dakika arobaini na SITA. Ni vizuri wanunue vichwa vya spidi kubwa.

  • @JudithAdonis
    @JudithAdonis 9 месяцев назад

    💃💃💃 waaaaw Mungu atusaidie !!

  • @mabulamanonga8286
    @mabulamanonga8286 9 месяцев назад +3

    Sasa dk 90 mbn nyingi hvo. Wakati kwa basi dk 120

  • @Goodluck-p9y
    @Goodluck-p9y 9 месяцев назад

    Hongera Tanzania 🇹🇿 tukinia tutaweza

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 9 месяцев назад +2

    Lisaa limoja na nusu kutoka dar mpaka moro hapana hii sio tren ya umeme mm nakataa kabsa

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 9 месяцев назад

      Treni za umeme zina levels, miundombinu yetu ndio kwanzq inaanza, hatuna vichwa au reli zinazo support 300km/h kwa sasa

  • @katemachanda7035
    @katemachanda7035 9 месяцев назад +2

    Eti muda unaweza kupungua ikawa chini ya dk 90 au kuzidi ikawa juu ya dk 90. Basi tushawaelewa...

  • @salimshuba5804
    @salimshuba5804 9 месяцев назад +1

    Dkk 90 uko serious kwel ww kiongoz?!....huon ata aibu kuongea ivo!...sio bus ili icho ni kifaa cha umeme

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 9 месяцев назад +1

    Bado dkk 90 yaan saa 1:30 ni mda mrefu duuuh. Hiiyo ni kama speed ya gari

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 9 месяцев назад +1

    baada ya uchaguzi kukalibia majalibio yameanza na kusikiliza kero za wananchi nazo zmepamba moto walikua wp kusikiliza mapema

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 9 месяцев назад +1

    Shida iliyopo ni sisi wa Tanzania bado hatuwezi kujisimamia , mambo yetu wenyewe.
    Na dhani mnaona MABASI YA MWENDOKASI.

  • @mselematrans3474
    @mselematrans3474 9 месяцев назад

    Kazi iendelee hakuna kama Mama, 0:53

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 9 месяцев назад +1

    Utasikia anatafutwa muekezaji wa kuendesha hii kitu. Mabasi tu yametushinda

    • @baltazarlucas5000
      @baltazarlucas5000 9 месяцев назад

      Kabsa sio utasikia mm nadhani mpaka sasa kaleta mwekezaji

  • @gatuna6
    @gatuna6 9 месяцев назад +1

    Kweli hivi vichwa. Ndiyo alikuwa ameagiza mwamba au ndiyo yale wabunge wetu waliapigia kila bungeni tukamunue yaliyotumika kwa sababu sisi wafrika hatuwezi kutumia vitu vipya.

  • @erastomallya4644
    @erastomallya4644 9 месяцев назад +3

    Hongera sana, Ila mlisema ni kichwa cha mkandarasi hicho

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 9 месяцев назад

    Safi Sana Mama Samia suluhu Hassan kipenzi cha wazalendo wa Kweli Piga kazi Mama Wenye akili zitaanza

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 9 месяцев назад

    "Uhuru na kazi,Hapa kazi tu, Kazi iendelee.."

  • @HappinesJohanes
    @HappinesJohanes 9 месяцев назад

    Congrats❤

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 9 месяцев назад +3

    Hongera kwa safari ya kwanza ya treni na ukombozi wa usafiri wa uhaukika mama tena 2025

  • @emilytheonest6466
    @emilytheonest6466 9 месяцев назад +4

    RIP JPM

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 9 месяцев назад

    Mungu amlaani kiwete wa mzoga kwa kumuuwa JPM

  • @MansorJr-z3i
    @MansorJr-z3i 9 месяцев назад

    Ndio maana umeme mdogo aaaaaaaaaaaa hii nchi nahama😂😂😂😂😂😂😂

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 9 месяцев назад +1

    Tren za umeme ulaya kutoka mwanza mpaka dar ikiwahi sana ni lisaa limoja na nusu au mawl,lakin hii kutoka moro mpaka dar lisaa na nusu ni tren au gar moshi?mm sjaelewa nieleweshen

    • @MkisiStylish
      @MkisiStylish 9 месяцев назад

      🤣😂🤣😂🤣mi nwnyewe Sjaelewa si waache tyu tupande mabasi tuelewe moja

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 9 месяцев назад

    Machibya huna L hivi kweli Kuna mtu ktk Dunia hii hajui kusema LEO😢

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 9 месяцев назад

    hili shirika lingekua mbali sana ila kuna wahuni waliingia miaka flan hivi wakapiga pesa ila JPM akarifufua tena...R.I.P JPM japo hawakutaji sana hata hio route ya dar moro ingepewa jina jpm

  • @elina4113
    @elina4113 9 месяцев назад

    HATUNA BUDI KUMSHUKURU MUNGU KWA KUWAWEZESHA VIONGOZI WETU KUMALIZA MRADI HUU JAPO BADO UNAENDELEA.HONGERENI SANA WATANZANIA WOTE

  • @mselematrans3474
    @mselematrans3474 9 месяцев назад

    Kazi iendelee hakuna kama Mama,

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 9 месяцев назад

    Kwa Samiah asingetoa hilo agizo ndio mngefanya nini kama mbadala?

  • @KifaruTz
    @KifaruTz 6 месяцев назад

    Tureniyau,memeyachina 3:38

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 9 месяцев назад

    Hongera sana rais Samia

  • @EXCELMASTER-Wiseoption
    @EXCELMASTER-Wiseoption 9 месяцев назад +1

    Mbona hawajafika au umeme umakatika?

  • @storytownTv
    @storytownTv 9 месяцев назад +2

    Kwa umeme gan..!?

  • @febroniamsoma178
    @febroniamsoma178 9 месяцев назад +1

    Dakika tisini???? Daaah mbona mwendo wa kinyonga

  • @josephsamwel8145
    @josephsamwel8145 9 месяцев назад

    Sio ya mwendokasi hio ni standard

  • @EXCELMASTER-Wiseoption
    @EXCELMASTER-Wiseoption 9 месяцев назад

    Hii lazima ipate upinzani kwa watu wenye mabasi. Mungu saidia

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 9 месяцев назад +1

    Wakimaliza haraka wataomba na nini kura hizi ndo ndoano yenyewe

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 9 месяцев назад

    Rip magufuri ,hongera mama umealizia kilicho bora

  • @stevennenelwa3192
    @stevennenelwa3192 9 месяцев назад

    Jmn me mshamba mbona naonaga ya wenzetu yapo moja kwa moja hayana mabehewa ya kuunga msaada plzzz

  • @MysarahlongraMysarahlongra
    @MysarahlongraMysarahlongra 9 месяцев назад

    Ngoja tuone kodi zetu zikifanya kazi

  • @RehemaChemchem-vs8lm
    @RehemaChemchem-vs8lm 9 месяцев назад

    Unajitahidi Sana Kaka kutuhabarisha watanzania ila Kaka mie nandoto ya Kuwa mwandishi WA habar Ila Sina uwezo WA kulipa Ada nisaidie Kwa hilo takumbea paka siku naingia kaburini

  • @Worldunite
    @Worldunite 9 месяцев назад

    Semeni tu ukweli hapa, LEO TRENI IMESAFIRI BAADA YA BWAWA LA NYERERE KUANZA KUZALISHA UMEME, RIP JPM

  • @rodgersasu
    @rodgersasu 9 месяцев назад

    nimependa video na audio quality ila natamani kujua zaidi kama kuna longer interview it will be great maana maswali ni mengi. mliondoka mda gani Dar, Mlifika mda gani Moro, hali ya vituo barabarani , hali ya kituo cha Moro?? changamoto yeyote njiani? naskia kuna AC na WiFi je vilifanya kazi?????

  • @gilbertMguwa
    @gilbertMguwa 9 месяцев назад

    Wenzetu tren inatembea km 600 kwa lisaa sisi Tanzania Dar to moro masaa 2 na nakika 20 hapa tumepigwa.

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 9 месяцев назад +4

    Majaribio gani hayo yasiyoisha..... wstu tunataka safari zianze.. kila siku kujaribu tu, au hamna uhakika na hilo treni?

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 9 месяцев назад +1

      Bila kuwasha

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 месяцев назад

      Hata mimi nashangaa nchi hii utaskia treni inajaribiwa bwawa la umeme linajaribiwa.inamaana maisha yetu na Serekalini yetu yapo kwenye majaribio hayana uhakika 🙌

  • @richardmndolwa7111
    @richardmndolwa7111 9 месяцев назад

    Dreaming 🙏🙏🙏

  • @LaurentMatigili
    @LaurentMatigili 9 месяцев назад

    Mabehewa tuliyo yatarajia kuyaona kama alivyo tuahidi Rais wa Wanyonge sio kabisa🙆😭🛌

  • @paulojosephu8020
    @paulojosephu8020 9 месяцев назад +1

    samahn naomba kuuliz hyo tren ina sola au ...😂

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 9 месяцев назад +2

    Speed ya kobe

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd 9 месяцев назад +1

    Haya majaribio mbona ni kila mara 😊

  • @adilkarim4332
    @adilkarim4332 9 месяцев назад +1

    Umeme uki katika inakuwaje?

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 9 месяцев назад

    Hpo hmna tren gari ya abood ilikuwa inatumia dakika 180 hapo imecmama njian kuchukuwa abiria ya. Masaa mawili na nusu

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 9 месяцев назад

    Kila kukicha ni majaribio katika vitu 🙌

  • @candyvee8
    @candyvee8 9 месяцев назад +1

    Hee hii itatumalizia umeme wetu😂😂😂😂

  • @josephevaristi8923
    @josephevaristi8923 9 месяцев назад

    Mbona wamechagua rangi ya yanga,hii nchi maombi hayakwepeki

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 9 месяцев назад +1

    Tren ya arusha kwa sasa aiji

    • @husseinloyy1912
      @husseinloyy1912 9 месяцев назад

      Jpm angekuwepo isingekufa hats hi I haifikishi miaka 10

  • @TajielyGrayson
    @TajielyGrayson Месяц назад

    Nataka kukata online nafanyaje

  • @cantonaiddy6042
    @cantonaiddy6042 9 месяцев назад

    Mabehewa kama ya Reli ya Kati duh!

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 8 месяцев назад

    Kama dar had moro dk90 sasa had dodoma masaa6 au 7 kuna tofaut gan na mabasi ebu kwenden zenu

  • @ColdJoker255
    @ColdJoker255 9 месяцев назад

    Treni ya kasi dakika 90!? Hamna kitu. Ukipanda gari unawahi kufika

  • @steveofgodmusic3535
    @steveofgodmusic3535 9 месяцев назад

    Nyinyi mnajua train La umeme kweli

  • @eliasnjoolay6454
    @eliasnjoolay6454 9 месяцев назад

    Ni kweli Au mnaigiza?

  • @wiseproent8661
    @wiseproent8661 9 месяцев назад

    Hivi vichwa vya treni vya miaka ya 70's si tuliambiwa ni kwa ajili ya majaribio tu!!!??? Leo imekuaje...!!???

  • @HermanVitary
    @HermanVitary 9 месяцев назад +1

    Nauli ngap

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 9 месяцев назад

    Bora mm niendelee kushabikia timu yangu yanga. Kuliko haya mambo ya treni yanan stures sana😂😂😂😂

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 9 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 9 месяцев назад +2

    Very good my president

  • @jonakajigili6991
    @jonakajigili6991 9 месяцев назад +1

    Dkk 90 tenaaa ... tren haina kasi

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 9 месяцев назад +1

      Treni ya mchongo hapo itakuw ya mwendokasi tu na wala sio ya umeme, ilitakiwa nusu saa tu mpka moro

  • @alihussein4303
    @alihussein4303 9 месяцев назад

    Tanesco wamekwenda kuchekea chooni😂

  • @eliasnjoolay6454
    @eliasnjoolay6454 9 месяцев назад

    Kama kweli basi nimeamini Tanzania tumepiga hatua kubwa kabisa

  • @OG_20
    @OG_20 9 месяцев назад

    Hiyo rangi ya mabehewa kwakweli alochagua anyongwee 😅

  • @ISHISWAGElISHI-bz7tg
    @ISHISWAGElISHI-bz7tg 9 месяцев назад

    Umesema inahanza safar leo kwenyekichwa cha habal

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 9 месяцев назад

    Naulii itakua sh ngapi

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 9 месяцев назад

    Minaomba umeme usikatike kwausalama wa raiya na malizao

  • @Fritz_jr18
    @Fritz_jr18 9 месяцев назад +1

    Hii ndo ya umeme au umekosea picha🤔

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 9 месяцев назад

    Umeme 27 ukapanda ad mamilioni lkn umeme wenyewe unakatika ad kero

  • @swalehhaji7042
    @swalehhaji7042 9 месяцев назад +1

    Hiyo sio treni ya umeme wacheni kutuzengua treni ya umeme haina dereva

    • @baltazarlucas5000
      @baltazarlucas5000 9 месяцев назад

      Ukweli toka moyoni hata haivutii mwonekano wake wakizamani sana tofauti ni viti tu😢😢😢😢 ukilinganisha na ile tunaiita Express 😢😢😢

  • @nurasam5475
    @nurasam5475 9 месяцев назад

    Na huu umeme ai mtatuachilishia ndugu zetu hewani serikali imefanya kazi kubwa sana kuhusu treni ya umeme ila.huo.umeme.wenyewe sasa ndio kazi inapoanzia

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 9 месяцев назад

    Mi naona tumpe muwekezaji mwarabu

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 9 месяцев назад

    Umetumia masaa mangapi kufika moro