Niliumia sana jahazi ilipovunjika ila kwa sasa nimepata tumaini jipya nakshi nakshi modern taarabu ngoma zenu3 zote kali mnajua Sanaaaa natumaini hamtotuangusha.
Ahsante sn pia pole kwa kuumia lkn naona maumivy yako muda sio mlf yatapoa na kufarijika sisi km naksh naksh modern taarab tutapambana kadri ya uwezo wetu ili kurudi shall mzik wetu na uwe juu tunaomba mtupe dhaman iyo na inshallah atutawaangusha ndg yng
@@nakshnakshmoderntaarab mungu haendelee kuwasimamia moja ya sababu iliyokuwa inanifanya ninyanyue mguu wng kwenda kwenye shoo za jahazi sababu haikuwa bendi ya kusubiria nyimbo moja kila nyimbo iliyokuwa inapigwa ilikuwa ni nzuri ndo kitu ambacho kimekuja kutokea tena kwa nakshi nakshi modern taarab nyimbo zenu3 zote kali bila shaka kwenye shoo zenu mtanipata nimetokea kuwakubali saaaanaaaa!
@@DAVIDMLINGO kbs iyo ndo ilikua silaha yq jahaz kuanzia nyimbo ya kwanza mpk nyimbo ya mwisho wewe unacheza tu kwaiyo iko kitu kinaamia naksh naksh modern tutaakikisha ukija aukai chini mwanzo mwisho
@@GraysonMwinuka-y4l Duh ife wap bhana bend ipo na inaendelea kuachia ngoma kali kila kukicha Ingia kwenye hii chanel yetu ya RUclips ili usikilize ngoma zetu mpya
Wagwaaaan Amina.
Very nice song.... So sweet.
Naomba zaidi.... Download please.
Kenyan soil
Rest in peace tarehe 21 mwez wa 3 mwaka 2022 sitoishau umefariki jmn😭😭😭😭😭
Uyu Dada namjua ntapataje no za ndugu zake jamanii
Homa la jiji hilooo.....kazi nzuri Sana'a.....tunangoja video kwa mpigo....
Ahsante sn na inshallah kwa uwezo wake allah video sasa hv mtaipata
Duh! Yani ktk nyimbo ninazo zifuatilia hii nimeikubali kwanza imepata mtunzi,epata wapoga vinanda akina fadha mauji ,na imepata muimbaji amina mnyalu piga keleleeeeeee
Ahsante sn na tunashukuru km unafatilia na mpk ukaona huu wimbo ni mzur inshallah tuombe mungu mambo mazur zaid yanakuja
Weweeeeee
Hongera Sana ,ujumbe umetulia na wenye vina vyote
Ahsante sn sapot ndo muhim sn kwetu
Taamu sana. nimechambika. sound quality, mistari mizuri, melody hatari na vyombo vimepigwa swafi sana. Asante Fatha Mauji
Shukuran sn kiongoz nafurahi kusikia hv tunazid kupata nguvu ya kufanya kaz mzee pamoja sn
Dada anguuuuu daaaaah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭👨💼
R ip dada ila ujumbe uliutupa kama I mungu akupe kauli thabiti huko ulipo rip🙏🙏🙏😭😭😭😭
Niliumia sana jahazi ilipovunjika ila kwa sasa nimepata tumaini jipya nakshi nakshi modern taarabu ngoma zenu3 zote kali mnajua Sanaaaa natumaini hamtotuangusha.
Ahsante sn pia pole kwa kuumia lkn naona maumivy yako muda sio mlf yatapoa na kufarijika sisi km naksh naksh modern taarab tutapambana kadri ya uwezo wetu ili kurudi shall mzik wetu na uwe juu tunaomba mtupe dhaman iyo na inshallah atutawaangusha ndg yng
@@nakshnakshmoderntaarab mungu haendelee kuwasimamia moja ya sababu iliyokuwa inanifanya ninyanyue mguu wng kwenda kwenye shoo za jahazi sababu haikuwa bendi ya kusubiria nyimbo moja kila nyimbo iliyokuwa inapigwa ilikuwa ni nzuri ndo kitu ambacho kimekuja kutokea tena kwa nakshi nakshi modern taarab nyimbo zenu3 zote kali bila shaka kwenye shoo zenu mtanipata nimetokea kuwakubali saaaanaaaa!
@@DAVIDMLINGO kbs iyo ndo ilikua silaha yq jahaz kuanzia nyimbo ya kwanza mpk nyimbo ya mwisho wewe unacheza tu kwaiyo iko kitu kinaamia naksh naksh modern tutaakikisha ukija aukai chini mwanzo mwisho
Yaani nailudia mara kwa mara taarabu tamu mmejua kupiga vyombo hatariii sana 😂 😂
Ahsante sn kula raga bhana
Wimbo hatari sana Mungu amlehem kipenzi chetu
Sanaa aliniumiza sana alipofariki😢😢😢
🔥🔥🔥🔥👌👌👌pambe tuuuu
Ahsante sn
Punzkn kwa amn na mama ang zot njia moj
kazi ya mungu haina makosa😂😂😂😂😂🙏🙏
Nakshi nakshi kazi nzuri sanaa.....keep it up.....nshawapendaa mm natarajia nyimbo nzuri nyingi
Ahsante sn tunakupenda pia kwani naksh naksh modern taarab aiwez kufika mbal bila sapot zenu km hv tunawaaid kuwaletea kaz nzur ili mfurahi na kucheza
Hpoo sasa
Ahsante sn tunashukuru kikubwa sapot tu ndo muhim pia tarajia mambo mazur kutoka kwetu
Ahsante sn tunashukuru kikubwa sapot tu pia tarajia mambo mazur kutoka kwetu
Wimbo mzur kila kitu kimetulia sehemu yake
Ahsante sn tunashukuru
Amina nyimbo nzur sana Fanya haraka utupe video hongeren sana naksh naksh
Ahsante sn tunashukuru sn tutafanya ivyo soon video mtaipata inshallah
Ahsante sn tunashukuru sn tutafanya ivyo soon video mtaipata inshallah
endelea kumpuzika mdg ang kila ninapoisikiliza saut yko naumia mwenzio.mmeniacha peke ang
Amina mnyaru amefarik bass tena vedio zaka
Nyimbo mzuli sana
Pumzika kwa Amani Amina Rashid
Nice Nice Nice Kweli
Nakubali ❤❤❤❤❤❤❤❤
Fazaaaaaaa maujiiiii tishaaaaa sanaaaa
Ahsante sn tena sn sapot muhim ili tufike marengo
@@nakshnakshmoderntaarab pamoja sanaaaa fazaaa
Hatali Dunia kweli tunapita
Nimeipenda Bure iinyimbo jmn
Ahsante sana wng
Naipenda sana nyimbo yenu
Ahsante sn tunashukuru 😚
nakshi nakshi kweLi
Rip Dada mwenye saut tamu
Umenigusa kabisaaaaa 💃🇧🇭✈️🇰🇪
Hahahhahaha ahsante jisomg limekugusa kumtima kbs
😂😂😂ulichukua bwana wa mtu nini?
Hongera nyimbo tamu
Ahsante mdau wetu
Nakupenda dada
Naksh naksh kiboko ya mjini huku kenya 254
Dah ahsante sn ndg yng nashukuru km Naksh Naksh Modern Taarab uko mjini Kenya ni sheedah
Atar songi
Nyimbo nzuri yni pambeeee
Ahsante dua tu tutafika malengo na sapot yenu muhim sn
Ahsante dua tu tutafika malengo na sapot yenu muhim sn
Msijari kwa hilo
Nikweli kajua kuimba
Ishupape
Pambe pambeeee
Gd
Ahsante sn
Duhuu ni hatar
Balaaa mambo ni moto
R.i.p dada
Mama yangu yani mmi ndo nakula malingwa haahaaa wenye mwanya tutaambia nni watu
Hahahhahaha pole sn kumbe na wewe unamwanya wa wastanmi bhana bas ndo wewe nishakujuaaaa
😂😂😂😂😂
R l p Amina mnyaru😭😭😭😭
Punzk mber yak nyum yetu kam mama yang punzkn kwa amn
Hivi hii bend imekufa au?
@@GraysonMwinuka-y4l Duh ife wap bhana bend ipo na inaendelea kuachia ngoma kali kila kukicha Ingia kwenye hii chanel yetu ya RUclips ili usikilize ngoma zetu mpya
Sathaaaaaa
Ahsante sn
R.I.P 😭😭
R.I.P
ahsanteeeeee
Pamoja sn kula Radha
Kula Radha
😂😂😂😂😂hii kiboko
Kinanda 100
Shairi 100
Muimbaji 100
Tuache majungu mkikazana kidogo tyu wakuwashika sioni.
Hahahahha aina kufel iyo tunakaza mwanzo mwisho hii
Nakuunga mkono
Ahsante sn kila atua dua tu inshallah tutafika shukran sn
nyimbo nzuri 😋
Ahsante sana wng
@@nakshnakshmoderntaarab ila hiii ngoma noma wallah yani najikuta kila dakika naisikiliza hongera kwa mtunzi🙌🙌🙌🙌🙌
Miziki
R ip dada 😭😭
Napenda sana nyimbo
Ahsante sn wng
Father mauji piga kinanda babaaa nakutegea kila kona
Hahahhahahah aya sawa baba pamoja sn
Nimeipenda
@@mwajumakitindi1038 shukran sn kwa kuipenda nymbo yetu
Nyimbo nzur sana hongera sana Dada ang nyalu og penda sana toto ya mamkubwa
Haahahhaha ahsante sn kaz kaz tu
Hatari umeuwa mama umbea mtupu hodi za nini
Hatar sn aliekuambia na yeye kaambiwa
Vyombo vimepigika jamani
Oyoooooooo
Ahsante sn shukran kwa kuliona ili
R.I.P Amina
Atamjua tu haaaahaaaa
Hahahhahahaha hatar hatar
Innalillah lajuun
Nafuga Maya
Innalillah wayna illah rajioun
Unajua kuimba nmeipenda iyo
Wimbo nimeulewa pongezi kwa mtunzi
Ahsante kwa kuyelewa ni moja ya sapot kwetu pia pongez zimefika kwa mtunzi
woyooooooo
Hoooooi hooooh kaz kaz tu
R . I . p bi Amina nyimbo yako inanizibia sana
R.I.P😭
R.I.P😭