Poland yatishia kumkamata Netanyahu iwapo ataenda nchini humo mwezi ujao

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 47

  • @asmaalghafri449
    @asmaalghafri449 9 часов назад +13

    Hata asipokamatwa ipo siku moja mwenyezi mungu atamkamata atakosa maji na chakula

    • @amournassorsaid7694
      @amournassorsaid7694 8 часов назад

      Na oxygen

    • @yusuphkabora7685
      @yusuphkabora7685 6 часов назад

      Hadi Mungu amkamate lini huyu ni kumuwashia tu

    • @princemichael3023
      @princemichael3023 6 часов назад

      Kumbe wewe utaishi milele

    • @Awatee
      @Awatee 5 часов назад

      ​@@yusuphkabora7685Lakini ukumbuke wakati wa Mungu ni sahihi kwa hakika wapalestina Mwenyezi Mungu anawatosheleza na yeye ni mwingi wa hekima na huruma mwenye nguvu mbora wa kutegemewa

    • @amournassorsaid7694
      @amournassorsaid7694 5 часов назад

      @@yusuphkabora7685 mungu hana haraka nao hata pharaoh Aliishi ila mwisho wake ulifika alikua akichinja vichanga vyakiume vikizaliwa tu kumuogopa nabii musa ila mwisho wake ulifika kwaio hata huyu hana hata miaka 50 mbele atabanwa na ardhi na atakufa kifo kibaya sana

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 9 часов назад +6

    Netanyahu shetani mungu atamuangamiza

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 3 часа назад +1

    Safi Poland mmefanya jambo msingi

  • @shukurundume8181
    @shukurundume8181 9 часов назад +2

    Ansante sana kwa taarifa Sns

  • @digitalfeelings3031
    @digitalfeelings3031 9 часов назад +5

    Netanyahu Mnyama sana😂😂😂

  • @hassanisaidi5422
    @hassanisaidi5422 6 часов назад +1

    KUNA MWANAJESHI MMOJA HAPO KAFICHWA SURA,Ukute nd wale wanaojifany viongozi wa magenge ya magaidi

  • @FredCharles-u3z
    @FredCharles-u3z 5 часов назад +1

    Lkn poland s mmoja wa wanachm wa NATO kwann wamkamate sas

  • @Missionary_work
    @Missionary_work 8 часов назад +2

    Hawa waongo. Unamtangazia mhalifu Kuwa watamkamata. Ili asiende. Kama Lengo lao ni kumkamata hawakutakiwa kufichua. Kuwa watamkamata ili aende wakamkamate hukohuko. Marekani Ku . Mba. Fu Sana.

  • @absm8084
    @absm8084 11 минут назад

    Nyumbani ni USA huko kwingine ni njaa tupu😂😂😂😂😂😂

  • @سعدههوام
    @سعدههوام 8 часов назад +2

    Nyeta paka nishetani mmbwa huyu dam za watoto wa dogo zita kuangamiza shetani huyu

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 2 часа назад

    Mtoto Hamas aliutaka sasa kapewa analialia..
    Ni kichapo tu mpaka waachie mateka waliowateka mwaka jana.

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 8 часов назад +3

    Shetani Netanyahu ipo ck ataangamizwa kama alivyo angamizwa firaun

    • @nanyangahustler4305
      @nanyangahustler4305 7 часов назад

      Kwan firaun aliangamizwa?????

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 7 часов назад

      @nanyangahustler4305 wavivu wa kusoma vitabu vya dini mnafata mazingaombwe kanisani ,ujui kama firauni na jeshi lake liliangamizwa baharini ,Firaun akatolewa maiti yake iwe mfano, someni ndugu zetu

    • @nanyangahustler4305
      @nanyangahustler4305 6 часов назад

      @@mangulimanguli3974 hahahaha😀😀😀 kwani vitabu vya dini wameandika wakina nani?
      Na vina lengo gani.
      Na huyo firauni ni firauni gani
      Maana firauni ni CHEO. Sio mtu
      Kulikua na wafalme zaid ya kumi misri
      Na miili yao ipo mpaka leo kwenye museums.
      AMKA VITABU VYA DINI VIMEANDIKWA NA WAPUMBAVU KWAAJILI YA KUWAFANYA MUWE WAPUMBAVU ZAIDI

    • @nanyangahustler4305
      @nanyangahustler4305 6 часов назад

      @@mangulimanguli3974 siwezi kusoma dini maana ni vitabu vya WAPUMBAVU.

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 9 часов назад

    😂😂😂 hapo kwenye ikiwa ndio tatizo lenyewe ,they know hawawezi

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 8 часов назад +1

    Sasa kwanini wasinge subiri aje tu wamkamate,Kuna haja gani ya kumwbia kabla??

  • @Bahati47
    @Bahati47 3 часа назад

    Hata km ni mm siendi

  • @saidkhatib9146
    @saidkhatib9146 6 часов назад

    Time will tell

  • @absm8084
    @absm8084 13 минут назад

    ICC hawawezi kwenda Israel kumkamata au na mbona Putin' yupo pia anadunda nendeni mkamate

  • @songamberetv2219
    @songamberetv2219 9 часов назад +1

    Mi mwenyewe ntamukamata ikija kwangu sio kwa ubaya lakini

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 7 часов назад

    Duh ....maneno tu

  • @WadySaidi
    @WadySaidi Час назад

    Likamatwe lingiluwe hilo

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 4 часа назад

    Sasa Poland mafala sana ,itakuwa ni miomgoni mwa wafuga majini

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 6 часов назад +1

    ❤😂😂😂😂😂😂

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 2 часа назад

    Atafuata nini huko Poland kwa masikini hao?

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 7 часов назад +1

    Wasingetangaza bali wangelimsubiria tuu afije na wamkamate

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 часа назад

      Atafuata nn huko hao masikini tu

  • @ziggysamson5956
    @ziggysamson5956 8 часов назад +1

    Sasa kwanini watangaz kama watamkamata,kama nihaki na sheria siwangekaa kimya kisha akienda Poland akamatwe

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 часа назад

      Wanajishauwa tu hawana wowote

  • @mussaisaac
    @mussaisaac 9 часов назад

    Kwani ni lazima aende, sio lazima kwenda.

  • @ahmedAwesu-g8o
    @ahmedAwesu-g8o 9 часов назад

    Mhhh bas haya

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 5 часов назад

    Sasa wale ambao huwa wanasema kuwa Netanyahu ni damu ya Poland wala si Myahudi mko wapi... anyway yeyote anayeilaani Israel huko Uingereza Mungu atamtumia Urusi kuwaadhibu hata kama Urusi yenyewe pia haina maelewano na Israel...🇮🇱🇮🇱💪..

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 7 часов назад +3

    Wale WA Israel weusi wako wapi?😂😂😂 Asante sana Poland Sisi kama Warusi weusi tunatoa shukrani za dhati kwenu😂💪💪

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 5 часов назад +1

      Tuko hapa

    • @Patrick-w1j
      @Patrick-w1j Час назад

      Tupo mpalestina mweusi 😅..mtoke kwenye nchi ya wayahudi wenye historia ya maelfu ya miaka...
      Mtachapwa tu mkiendelea na chokochoko

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 13 минут назад

      @@Patrick-w1j nchi inaitwa Palestina, Israel ilipandikizwa tu

  • @edmundjackson4611
    @edmundjackson4611 8 часов назад

    Siku hizi siwaoni wale ambao mlikuwa mnasapoti Hezbollah kabla ya vita n Israel

    • @Awatee
      @Awatee 5 часов назад

      Kwani hizbullah wanapigana saiv? au unataka fujo tafuta kazi ufanye mambo ya hizbullah Hayakuhusu 😂😂😂😂pambana na nafsi yako ndio adui yako

    • @Patrick-w1j
      @Patrick-w1j Час назад

      Hezbollah wamevunjwa uti wa mgongo...Wanauguza majeraha