Savara - Show You Off (Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 1 фев 2025
- Subscribe: / @savaraofficial
Stream Show You Off: createmusic.fm/showyouoff
3 Piece: drive.google.c...
Follow Savara
Instagram: / savarafrica
Facebook: / savarafrica
TikTok: / savarafrica
X: / savarafrica
Lyrics:
Hallo hallo nimekuaja tangazo
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off show you off show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off show you off show you off
Umenifinish kumalo
Roho zimegongana hii ni ajali ya mapenzi
Si tulishapendana
Ananienzi namuenzi
Alivyoumbika mashala
Katoto kanyoto yani star
Kanaleta meangaza
Staki kupoteza magidha
Wacha niringie duniaaaaa
Hallo hallo nimekuaja tangazo
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off show you off show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off show you off show you off
Umenifinish kumalo
Mapenzi yamejaa kwa hewa
Zima taa na upunguze AC
Ni nani aliyekukera
Anaishi wapi nimtumie jeshi
Nliapa sitapenda tena lakini leo nafungua Kesi
Kati yetu kuna zero sentimita
Hakuna kilomita
Kiuno chako chaniita naitika
My wangu sinyorita
Hallo hallo nimekuaja tangazo
Muoneni kwa macho
Ameifunga milango ya roho yangu mama
Girl I wanna show you off show you off show you off
Unawafinish kumalo
Girl I wanna show you off show you off show you off
Umenifinish kumalo
Credits:
Director - STEVE MUGO
Executive Prod. - SAVAGE KITCHEN
Creative Curator - YVONNE ENDO
Producer - FUADI MBIGI
1st Ac - MOSES MAINA
2nd Ac - ALOISE HUNGI
Prod. Mgr - MUDIGI HILLARY
Gaffer - KIWO LIGHTS
Editor - CLEAN GRADE
Make Up Artist - ZENNAH
Stylist - BRIAN BABU
Assistant Stylist - LEBAN WERU
Cameo - NASIEKU
Choreographer - COLLOBLUE
Photographer - PHOTOMAN254
BTS Videographer - SOLO
Camera Op - CREATIVE BEN
Location - EGERTON
Film Equipment - TAURUS FILMS
Prod. House - AMBITION MEDIA HOUSE
Dancers :
JUST CALL ME KLAUS
QUEEN AONO
YOUNG PUFFY
IT'S PRICKY
DANTELLO
ML STELLA
YUJO
DANCE WITH NANGA
WHO'S NINTON
MISS NAFULA
PKAEY 003
#Savara #ShowYouOff
How many international fans are here for savara❤
From Canada apo kwa stage
Watching from Vienna
Watching from Las Vegas Nevada, United States of America 🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃🏿🕺🏿🕺🏿🔥 Allo Allo Nimekuja na Tangazo, what a nice Zouk 🎉❤❤❤❤
Im hereeeeeeee❤❤❤❤
Bien said savage level 😂😂😂, nigga savara has released his cheat code😂😂😂❤❤❤
Savage level
Woow leo tume the second bien aime😂😂ngoma tam
Ni noma au sio
Kali sana 🔥
❤
🎉😊
Huyu jamaa ni mbad niliwasho!!🔥
Kabisa
Kwanza nyinyi mlienda wapi
manabadmanting
Ata mi nimekua nikiwasho hawakuniamini
Zaoo zao ziki zao zao, unapenda chipo na hunoni ass...mlienda wapi wasee..ebu mrudishe gengetone
Kuleni kwa Macho ❤🎉
Hii ndo timeless music. hapo ni 10/10. umeweza
🎸🎸
Hiyo baseline weweee super audio prodoookshaaan💥💥💥
Wagwan ngoma kali sana❤🎉
Pitia huku pia
inakubalika 💯💯💯💯💯💯💯
Wa Tanzania wenzangu tuweke likes zetu hapa kwa wingi kama tumeelewa mziki mzuri
SAVARA SAVARA SAVARA! 🔥🔥🔥
Her: Nikikupea usiende kutangaza
Me:Halo halo nimekuja na tangazo😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂noma
Huwanga baad😂@@wendyisambe7233
@kevintheligh😂😂t9796
🤣🤣🤣🤣
Nasieku to the World ❤❤❤
ruclips.net/video/Odp9sOllGOQ/видео.htmlsi=DEBYU-TcupzA6FG7ruclips.net/video/Odp9sOllGOQ/видео.htmlsi=DEBYU-TcupzA6FG7 guys I also have a new song I know you will love it
Am loving this... ❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Kompa lovers let's gather 🔥🔥🔥
Nani mwingne alikuja kuona nasieku 🎉 tujuane kwa likes❤
Karibu nitume DCI wagoogle huyu baddie
Mm wakwanz jamn Nikita nmuone nasieku
This should be A WEDDING SONG TO EVERYONE WHO IS WILLING TO DO A WEDDING spread the message to the The world 🌎
Exaaaaactly
Savara is underestimated. This is a work of art
ruclips.net/video/WUwxw9lrfT4/видео.htmlsi=yYHzV2y6Yvntadv7
underrated
Wallahi hapo minute 2:54 was just SUPER DUPER VIBEZ, I was literally in tears because how do you blend SALSA with ANGUKA NAYO ........AND IT RHYMES!! SAVARA Ume-Savaratisha moyo wangu!!!🤯🤯🤯 LOVE FROM TEXAS.
like??? my jaw dropped🙌🙌
manze . moto kabisa
ni vizuri kuona wakenya wameanza kujaribu kompa. watanzania hutuzidi kwa mengi sana hata kompa walitutangulia kitambo ila hapa umefanya kazi nzuri sana
Wakwanza ku watch naku like.. 🔥🔥🔥 wapi likes wewe mkenya mwenzangu 🤜🏾🤛🏾
The only problem with this song is short and sweet 💕 let's make it million views
Finally tumefikisha 1M🎉👏👏
Kenyan in US supporting Savara ❤
hallo hallo mnipe likes za SAVARA😊21st Dec SOLFEST kufinish kumalo,, piga moja na BIEN ya kufunga mwaka🎺🎹🎸
This song should have wayyyyyyyy more views. This is a HIT. I got it on repeat. 💕🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Ikr 😭😭
yeah
uiiii🔥🔥🇰🇪🙏🏾💪🏾
I don’t understand the lyrics but this slaps💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿
Definitely playing this at my wedding. Choreography and everything ❤
Kenyans in Canada 🇨🇦 🇰🇪 tunajua 2025 Savara is going to unlock his beast mode! Mtashangaa sana!
😊
1Million appreciation comment. How many likes for Savage?
Love 🇰🇪 from 🇭🇹!
That kompa instrumental at 2:30 before outro is everything
The entire beat's Kompa, dont let the leads kid you 😂
King of genre
hii inaka remix ya pwomet mwen ya akina Bedjine😂
2:30🎉🎉🎉
Ameifunga Mlango 🔐🗝 ya roho yangu mama ❤# KUFINISHKUMALO 🫡🫡🫡🔥🔥🔥🔥🔥Big tune SAVARA SAVARA NEVER DISAPPOINT
Savara savara savaraaaa ...napenda track za uyu mrasta💯🔥
Pitia huku pia
That 2nd verse is so FIRE!!!!!! What a beautiful song wow!!! Savara delivers again
I knew savara was the baddest in the group ever since dem days❤
This guy has always been better,although huwa mnapea ule bro wake spotlight sana😂(he is a G sijakataa)
Kenyan kompa introduced..by savara❤❤👌😍😘🥰
Kompa kompa
@@kalembe_ Kompa li ye, Haiti
Moto sana🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪❤❤❤
This is top top top🔥 from a top top G Savara
lots of respect
Feels like Kompa, and genge tone made a baby and gave it up to savara for safekeeping.
Lord Egerton Castle it is 🎉
Wazambia 🇿🇲 🇿🇲 hapa tunakubali this is 🔥 fire
noma sana bro
Kiuno chako chaniita naitika...🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽🔥🔥🔥
Best song of 2024
Egerton Nakuru❤
Ilikethissong🤘🤘
Ume finish kumalo na hii hit!!!🎉🎉,, uko zero centimeter hakuna kilometer na grammy,,, 😂🎉
Man, hii ni valid proclamation. And I claim it. 👊🏾
Still my fav among the sauti sol crew,rhyme,style,vibe and dressing🔥🔥
Savara Savara Savaraaaa
Cluster KE..good job everyone❤❤
Baldman approved...🔥🔥👌🏿Kompa kompa...🎵🎶
Halooooooooo
Hapa nayo umekuwa serious kidogo mr ..endelea
Naskiekuuuu ❤🎉
Thank you for introducing kompa to Kenya. One of the best music genres.
Hapa Savara wakhakhola vulayi, hands down!
Savara! Savara! Savara! 🔥 Pia Mimi Ni Msani #savara #showyouoff
Savara ni another level...Love from TZ
Hiyo choreo yaani choreography pia.. from 2:30 hadi mwisho... Hadi nimeskia thithi yaani goosebumps.... Love this song so much Savara!!!
This year ❤i tap blessings to all of you2025
Savara + Afro Zouk beats on a Friday? Perfect match 🔥💯 I love this track ❤️
Baana... Ka Kizomba na umbali apo kanaingia yaani kiasi ni moan na mi ni ndume. Tamu kama ile kitu.
Kompa.
This one is lite 🐐🤞🔥🔥🔥❤️❤️🏆🌟🎉🎉
Bien might have been the face of Sauti Sol but Savara was always its soul..if he finds himself artistically he will remain relevant for decades
Ameifunga milango
to us who dont understand a word but still love and repeat the jam
The production is dope 😎
Huyo jamaa ni mchafuu than any sauti sol members
Amewashow off🎉🎉
Tamu sana❤
Ugandans we missed the hit
Here for this so long anticipated journey ❤❤❤
Guys c'mon.....this deserves 1 million views. Savara nailed this one.
Heard it for the first time in a mat,,, the best gospel song I ever heard in years
love the whole production🔥🔥
Love from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦umetufinish kumalo❤❤
Niliapa sitapenda tena 😊 lakini leo nafungua kesi 🎁 💯💯💯🔥🔥 kati yetu kuna zero centimetre hakuna kilometre Dope vybz ☄️☄️☄️🔥🔥 #SHOWYOUOFF TO THE WORLD 🇰🇪🇰🇪🌍🌍 @savara so inspiring
Si we just declare this as 2025 Valentines Anthem!!! 💃🕺 ❤
2025 wedding song! Vigele gele za hioya 🎉
Bado niko hii area aki🔥🔥🔥♥️♥️
Savara is not pregnant but he delivers😂🔥
😂😂😂 that's a good one; never pregnant but delivers huh?
😂😂😂😂😂😂😂savage ✴️
Video creator, director and editor amazing work
let,s dance this song huko🇧🇷🇦🇮🇲🇭🇬🇵
The beats🔥🔥🔥🔥This one is a masterpiece.
Omg, this is a hit, the kompa beat, Kenyan vibe and choreography is on another level.
Egerton castle palee nakuru representen
d
Aaaah sijachelewaa leoo🔥🔥🔥🔥🔥nipewe zanguuu😂
Ama niaje wadau?kitu 🔥🔥
This is pure art …straight up classic
Hii ni kali Savara🎉
Hii ndio ngoma, sio mambo ya kifo cha kmnde😂😂😂😂 soo decent..... ❤❤❤❤ Savara representing E. Africa
Kifo cha?😂😂😂😂
Savara...hii ngoma ni kali sana!!! Nimeiskiza infinite times
Vida ni safi wueh🤏🏿
Kufinish kumalooooooooo daaaaaaamn bruh,this song is cleeaaaaan and the vusuals. Hats off❤🔥❤🔥❤🔥
Lord Egerton Castle,that was such a good location for this video,great music @Savara,keep em coming
My nieces love your song walidance karibu Dec yote
Hit of the year. Period, and by year I mean 2025!!! iyi kwanza ina funga mwaka! Savage level indeed!
I love it so much
❤😂❤
😊I think I should be able to get a chance to do it for you
😢
💕
This should be at 200million views by now
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Director on fire 🔥… brought the song from a 10 to an 11…
I love this song
The first time I heard balance,I knew we're witnesses of greatness🎉🎉🎉
Savara and Naiseku with the dance crew u're 🔥 this song should win a Grammy more that that the video grapher captured the angles in superb angles
He took his time ,thats a masterpiece right there 🔥🔥🔥
This is such a beautiful song with an even better video❤