shida kenya ukiwa huna mtu anakusaidia juu hakuna mahali unaenda, hivi kalibu utaskia ametoeka ama amepigwa risasi na watu wasio julika, kenya hakuna haki labda tutapata haki mbinguni
Yaaani hata okuyu wana hii ujinga ya kukulia wenzake chini ya mwamba😳😳😳😳😳! Ashindwe na generation yake! Kinoti na sijui mutiabye nyinyi ndio huwa mnarusha vichwa juu wananchi wakisema nyinyi ndio mnachangia wizi... Ufisadi na mauaji kutoka kwa askari...
I see an honest man. God protect you. Itakua sawa
wuui kumbe ata mapolisi hudhulumiwa...Mungu akutetee.usiwe moyo Mungu amekuwekea kitu mbele
Kenya imeharibika sana,hope atapata haki yake
Mungu ako mbele huyu afisaa hope haki yake itapatikana
Woooi pole sana
MUNGU YUKO YEYE NI MWENYE HAKI ATA KUSIMAMIA WAKIWA NA NIA MBAYA NA WW YAWARUDIE WENYEWE..
Mungu wasaidie
That's sad...dhulma kama hii should not be happening...wananchi ndio wanaumia zaidi.
I hope he gets his due
shida kenya ukiwa huna mtu anakusaidia juu hakuna mahali unaenda, hivi kalibu utaskia ametoeka ama amepigwa risasi na watu wasio julika, kenya hakuna haki labda tutapata haki mbinguni
Ndo maana huwa wanajiua juu ya stress kazini
Bunduki ndani ya kichwa ya hiyo muiruri
Shame shame
Police wananyanyasana!!!!
Hawa wakubwa do maaana hulimwa risasii
Iunderstand why they kill their bosses....
Banana nation🤦♂️🤦♂️
Polisi polisi,
Kumbe izo pesa mnaibia makanga haziwasaidiii🤣🤣🤣🤣
Kuliko ushikwe si heri wakule hio 50 bob,hakuna wizi hapo
Gross salary ya fresh askari ni 30k...it helps but it doesn't cater everything that money is very little
@@hellenbettypaul3186 kuliko upelekwe court upatikane huna hatia the to remove those fingerprints with 70k si upeane hyo 50bob
@@hellenbettypaul3186 hakuna polisi huchukua 50.dhuluma ni mob kwa road
Ndomana wakubwa wa polisi wanapigwa risasi wajinga sana
Yaaani hata okuyu wana hii ujinga ya kukulia wenzake chini ya mwamba😳😳😳😳😳!
Ashindwe na generation yake!
Kinoti na sijui mutiabye nyinyi ndio huwa mnarusha vichwa juu wananchi wakisema nyinyi ndio mnachangia wizi... Ufisadi na mauaji kutoka kwa askari...
They are the worst😒when jealousy kicks in they sabotage you🥵Hopefully he gets justice this is sad😔😢