KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (MAOMBEZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Mithali 13:12
    [12]Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua.
    Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima.
    Maana yake adui akitaka moyo wako upate shida,yaani mahusiano yako na Mungu kutetereka anachofanya ni kuhakikisha anachelewesha vitu vyako kutokea katika wakati sahihi.Na haya huwa ni maandalizi ya kupelekea kwenye umauti wa vitu vyako.Anaweza akamchelewesha mke kupata ujauzito kwenye ndoa yake,lengo lake kuu sio kuzuia mtoto bali kuleta mauti kwenye hiyo ndoa(kuvunjika).Ukiona vitu vyako vinacheleweshwa jua kabisa kuna kinachotafutwa ambacho ni zaidi ya hicho,kuna mauti inaandaliwa.
    Karibu usikilize somo hili lililoambatana na maombezi,na kama ambavyo Mungu amefanya kwa hawa akafanye na kwako pia.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our RUclips: www.youtube.co....
    Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

Комментарии • 25

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 10 месяцев назад +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @patriciammbando5870
    @patriciammbando5870 8 месяцев назад

    Amina🙏🙏🙏asante Bwana wetu Yesu Kristo for permanent delivery in the name of Jesus Christ I pray Amen🙏🙏🙏

  • @joshuamutua3727
    @joshuamutua3727 3 года назад

    Am joshua from Kenya.....
    Na imani nilio nqyo nqjua familia yetu itafunguliwa na kuchukua mfumo wa kiungu na baraka

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 3 года назад

    Amen napokea kitika jina la Yesu Kristo aliye hai

  • @mariahmweni7110
    @mariahmweni7110 3 года назад

    Huuu ujumbe ni wangu najiunganisha na madhahu kwanzia Sasa 🙏

  • @joshuamutua3727
    @joshuamutua3727 3 года назад

    Am well assured that some day in this kind of a fresh water well some time my life will turn productive

  • @jeffbwalya925
    @jeffbwalya925 2 года назад

    God bless you man of God

  • @elizabethmwachiti7987
    @elizabethmwachiti7987 3 года назад

    Ameeeeeen

  • @SerenityChrist
    @SerenityChrist 3 года назад +3

    Shalom... i have eperienced manifestation and deliverance....

  • @carolinewairimu224
    @carolinewairimu224 3 года назад

    I believe I have been delivered from 🇰🇪 and I am going to walk in victory through Christ Jesus.

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 3 года назад +1

    Amen

    • @deborageophrey5899
      @deborageophrey5899 3 года назад

      Nimefunguliwa kupitia maombi yaleo niko huru natamka sitawezwa tena

  • @milinithomas8622
    @milinithomas8622 3 года назад +2

    Thank you Jesus Christ, if was not your love and mercy where I could be now ✝️🛐, I’m so thankful for the Roc ministry , what a deliverance in my life , to You only God be the glory 👏👏👏👏👏👏👏

    • @MunikoMohoni
      @MunikoMohoni Год назад

      Thanks God deliverance from Rocm , am in mwanza .

  • @dominamaganga164
    @dominamaganga164 3 года назад

    Asante Yesu🙏

  • @joycemaige6838
    @joycemaige6838 3 года назад

    Thanks lord

  • @heriethaissa5972
    @heriethaissa5972 3 года назад

    Amen baba

  • @bawilianitavibes
    @bawilianitavibes 3 года назад

    Que la gloire soit rendu Au Seigneur 🙏🙏🙏🙏

  • @upendomlelwa57
    @upendomlelwa57 3 года назад

    Nilikuwa nasikiriza haya mafundisho nakajisikia usingizi mzito kabla sijamaliza, nimelala kama dk 45 hivi nikiwa kwenye usingizi nimeota ndoto mtumishi amekuja kwetu Njombe na kwenye kanisa ninalo sali , na nikawa natamani kukutana na mtumishi ila nikashangaa nimekutana nae ofisin na nikamweleza sasa kulikuwa na kijana mdogomdogo amevaa suti ya dak bluu akaanza kuniombea baadae mtumishi akaanza kuniombea mwenyewe nikalipuka mapepo na mapepo yakaanza kuongea na nilikuwa sisikii ninacho ongea baadae nikafunguliwa, lakini kumbe na yule kijana nae alikuwa na mapepo akalipuka mapepo akawa analiita jina lake sahihi ambalo ni Yohana

  • @magdalenashija4326
    @magdalenashija4326 3 года назад

    Amen

  • @BenMagombola
    @BenMagombola 3 года назад

    Amen

  • @vicentkilonzo924
    @vicentkilonzo924 Год назад

    Amen