Imanueli - Usa River SDA Youth Choir - Arusha, Tanzania

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 40

  • @reginaurassa3287
    @reginaurassa3287 3 года назад +5

    Wimbo mzuri mnooo😊😊. Kweli sifa na utukufu ni kwake Immanuel hakika nabarikkiwa🙏🙏🙏

  • @esthermasatu2386
    @esthermasatu2386 3 года назад +4

    Wooooow❤ jeshi kubwa familia ya MUNGU,wimbo mzuri mmechangamka mmpendeza,MUNGU awatunze atukuzwe kwa ajili yenu mfike mbali.

  • @Pianist_B
    @Pianist_B 3 года назад +5

    Mbarikiwe sana vijana USARIVER

  • @rumonaapiyo3370
    @rumonaapiyo3370 3 года назад +5

    Amina...we serve a faithful God...! His word must accomplish that which He sent it to do...beautiful and uplifting words there from the scripture...blessings to the choir 🤗🤗🤗

  • @anithabinagiofficial
    @anithabinagiofficial 3 года назад +5

    Mbarikiwa Sanaa jamn hakika mnanibariki mnoooo

  • @chibalilomasatu7184
    @chibalilomasatu7184 3 года назад +5

    WoW, Thank u thank u USA River for this beautiful song, Am blessed 🙏

  • @lameckjacob2433
    @lameckjacob2433 3 года назад +3

    Hakika Mungu pamoja nasi wimbo unaujumbe mzuri sana Mungu awabariki kipekee

  • @jeiaskahema2240
    @jeiaskahema2240 3 года назад +4

    Hakika inapendeza Sana...
    Hongera kwa vijana usariver

  • @onikeelifuraha7031
    @onikeelifuraha7031 3 года назад +3

    Wooooow wimbo ni mzuriiiiii....saaaaanaaaaa mbarikiwe vijana wa USA....💞

  • @franklinmireri7408
    @franklinmireri7408 3 года назад +7

    Powerful words, reminding us of the reason why Jesus Christ was born.
    God bless you Mhina Mbwambo for writing this powerful song.

    • @jeiaskahema2240
      @jeiaskahema2240 3 года назад

      Hakika amefanya jambo jema mnooo.
      Mungu azidi kumbariki mwali Muhina....

  • @newlifeambassadorschoir9197
    @newlifeambassadorschoir9197 3 года назад +6

    Mbarikiwe sana Usa River AY

    • @jeiaskahema2240
      @jeiaskahema2240 3 года назад

      Aminaaaa....
      Ameni....
      Tunawapenda Sana #Newlife Ambassadors Choir

  • @tangentmediaafrica
    @tangentmediaafrica 3 года назад +4

    Such uplifting praise! Mbarikiwe wana Usa River.

  • @queensamuel9998
    @queensamuel9998 3 года назад +4

    Waoooooooh am proud jmni hiii kwayaaa naipendaaaaaaaaaaaa mno, hatimae leo tumetimiza lengo, jina LA bwana liinuliwe

  • @pendompanduzi8335
    @pendompanduzi8335 3 года назад +5

    God bless your Usa River

  • @priscahrongoei9074
    @priscahrongoei9074 3 года назад +6

    🙏 Amen. The word of God is powerful. We thank God for using you to compose such powerful song. May you continue to let God use you.

  • @janethmjinja963
    @janethmjinja963 3 года назад +4

    Wimbo mzuri mno,, nabarikiwa na hii kwaya❤️☺️

  • @ennamsafir3477
    @ennamsafir3477 3 года назад +5

    Amina wimbo mzur sana unanibariki

  • @mirauaram
    @mirauaram 3 года назад +5

    Keep on praising God and stay blessed

  • @gracekatani3669
    @gracekatani3669 3 года назад +5

    Powerful message 😍

  • @singwithlenin
    @singwithlenin 3 года назад +5

    Amen Amen Amen Amen Amen and Amen

  • @zakariarechady8124
    @zakariarechady8124 3 года назад +2

    Hakika inapendeza Sana hongereni vijana usariver kwa wimbo mzuri.
    Mungu awabariki mfike mbaali katika utume wake...

  • @suzanikwabe7483
    @suzanikwabe7483 3 года назад +6

    Amina💙

  • @mwascreatives3674
    @mwascreatives3674 3 года назад +4

    woow! good music and visuals

  • @yasinimdee9413
    @yasinimdee9413 3 года назад +3

    Amen barikiweni sana muende mbali

  • @beattyadhiambo
    @beattyadhiambo 3 года назад +5

    Amen

  • @raymondshayo7161
    @raymondshayo7161 3 года назад +1

    Amen tunabarikiwa sana wimbo huu mzuri

  • @thecofeles
    @thecofeles 3 года назад +4

    Amina.

  • @ketchadams
    @ketchadams 3 года назад +3

    Amen! amen! amen!

  • @isacksamwel7432
    @isacksamwel7432 Год назад

    Mna nibaliki sana

  • @gracekatani3669
    @gracekatani3669 3 года назад +2

    Happy preparation of Sabbath dears

  • @msamalasdachoir-songea
    @msamalasdachoir-songea Год назад

    Barikiweni sana

  • @piusnizy7950
    @piusnizy7950 3 года назад +2

    Amina!

  • @nattyelirehema2293
    @nattyelirehema2293 2 года назад

    Mbarikiwe sna jmn

  • @WitnessAthumani
    @WitnessAthumani 3 месяца назад

    Mnanibarik snaaa😅

  • @alfrednsekiete1750
    @alfrednsekiete1750 2 года назад

    Waooo Emmanuel hatar

  • @esteryebete7974
    @esteryebete7974 2 года назад

    Be blessed