Huyu anatukumbusha Mtanganyika, Martin Kayamba, mzaliwa wa Tanga. Alipinga Tanganyika kugawanya. Rwanda na Burundi ni sehemu ya Tanganyika. Yeye alipinga kipindi hicho ardhi isigawanywe. Kuwa mataifa mengi.
Kwa hili la katiba hawaruki kama ccm wanaipenda inchi mbona wanapepesa macho wanazunguka inchi wanatuambia Irani ya chama ila hawazungumuzii bandari Wala katiba Bali wanasema kuwa viongozi wanatukanwa sio kuwatukana wanakosolewa
Mungu akutunze unaongea ukwel mtupu barikiwa sana no wanasheria wachache kuongea ukwel wengi ni mamluki😭😭
Mwambukusi uwanga sichoki kukusikiliza mungu akulinde
Uko sahihi kabisa mh, Mwabukusi
Nimekukubali. Huu ni wakati mwafaka wa kufanya mabadiliko ya kweli.
Mungu akulinde mtetezi we na lissu na John heche nawakubali sana
Safi sana jeshi,,,,Mwabukusi....
Upo Sahihi kuelimisha.ni kuhitaji uvumilivu wa Akili pevu.kumkubari.Mwl.Darasani.najifunza darasani.
Huyu anatukumbusha Mtanganyika, Martin Kayamba, mzaliwa wa Tanga. Alipinga Tanganyika kugawanya. Rwanda na Burundi ni sehemu ya Tanganyika. Yeye alipinga kipindi hicho ardhi isigawanywe. Kuwa mataifa mengi.
JESHI LA MTU MMOJA❤
Safi kabisa,,tuko pammoja
Watu wenyewe hata 1000 hamfiki mtampata wapi Rais Samia

Hongera sana