TAHARUKI: ASKOFU AKAMATWA KANISANI, WAUMINI WAANGUA KILIO, MWENYEKITI AFUNGUKA "NILIMBEBA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 494

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 2 года назад +29

    Safi Sana mwenyekiti hakika mtaa wako wanajembe,Mungu amtetee huko aliko.

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 года назад +41

    Hongera sana mwenyekiti hakika maelezo yako yana hekima na busara hakika unajua kujieleza vizuri .

  • @donalddande6658
    @donalddande6658 2 года назад +20

    Huu ya m/kiti anajua kujielezea sana..big up kwake

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 2 года назад +24

    Kwanza hongera sana mwenyekit kwa kazi yako

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 2 года назад +13

    Mungu akulinde mwenyekiti, damu ya Yesu ikufunike mnyakusa wangu.
    Wasije wakakupoteza

  • @emanuelmaro875
    @emanuelmaro875 2 года назад +34

    Ila mwenyekiti Mungu akubariki cz umefanya Kwa sehemu yako

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 года назад +23

    Mwenyekiti shikamoo🙌

  • @jerryjackson3464
    @jerryjackson3464 2 года назад +12

    Mwenyekiti nimemkubali sana anajua kuelezea na kujieleza...yani ana maelezo smart sana.👏👏👏

    • @Philipoupdates
      @Philipoupdates 2 года назад

      Ana akili ndefu

    • @prosperthomas1808
      @prosperthomas1808 2 года назад

      Hii nchi ni ya kipuuzi sana, hivi mbona watumishi mlioaminika na raisi wetu, mama yet, mpendwa samia, hivi kichwani akili zimeenea kweliii au!!!? kwani mnashindwa mini kuwambia ndgu zake mlikomficha? Au ndyo mmemnanihii

  • @estomiailomo7844
    @estomiailomo7844 2 года назад +2

    Hi selikali ya ajabu Sana kumshika mtumishi wa mungu na hawatoi maelezo aliko jmn hii inchi tunako elekea sio salama mungu wa mbingu na inchi shuka waazibu watu wenye tabia chafu km hizi nimejisikia vby na hapo nilicho gundua ni vita iliopo hapo ni wachungaji juu ya utumishi wake Kwa kusingizia mhamiaji lkn tuombe hili taifa liondoke kwenye Hali hii

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 2 года назад +76

    HUYU SASA NDO MWENYEKITI WA MTAA, SIYO WALE WOGA NA WANAFIKI. MWENYEKITI MITANO TENA! UMEUPIGA MWINGI! HONGERA SANA!

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 года назад

      Kabisaa huyu mwenyekiti yuko vizuri sana

    • @godfreyapolnary5856
      @godfreyapolnary5856 2 года назад

      Alafu Kama vile aliwahi kuwa mwigizaji huyu Mwenyekiti

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 2 года назад +3

      Kwa kweli mi nimempenda bure.
      Mitano tena inamhusu.

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 2 года назад

      Kabisa miaka mingi mingine. Naomba Mkiti uje huku kwetu Viwege utoe somo kwa wenye viti. Nimekupenda bure

    • @mwigarleysaid5406
      @mwigarleysaid5406 2 года назад

      👍👍

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 2 года назад +14

    Tukipata wenyekiti wengi zaidi apa Tanzania tutafika mbali Sana shelia zinaanzia mtaani Safi Sana🙏

  • @moringelangas7276
    @moringelangas7276 2 года назад +2

    Safi sana mzee mwenyekiti wa mtaa,nimekuelewa upo vizuri kiutendaji mzee.

  • @estomiailomo7844
    @estomiailomo7844 2 года назад +2

    Naomba 2025 huko kinondoni mchagueni awe diwani Ili apitie kuwa mbuge Hawa ndo viongozi wenye hofu na mungu sio hofu ya wanadam mungu akulinde siku zote za maisha yako huku tuna wenyeviti watetea matumbo

  • @muttae2
    @muttae2 2 года назад +6

    Alivyoonza kutaja vyeo nikajua utopolo kumbe Mwenyekiti Yuko Vizuri Sana. Safi Sana M/KITI

  • @sarahclement3599
    @sarahclement3599 2 года назад +45

    Mwenyekiti anafaa Sana anajua kujieleza na anaelewa Nini anafanya, bigup kwake

    • @tonyboss6556
      @tonyboss6556 2 года назад +1

      Nilidhani nimeona peke yng. Lo sikumbuki nimeona wp mfano wa huyu ktk wenyeviti.

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 2 года назад +2

      Mwenyekiti huyu angekua mkuu wa polisi wanainchi wasiona hatia wasingekamatwa na hata kama wangekamatwa wasingedhulumiwa haki zao

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 2 года назад +1

      Magari hayana numberplate sasa kama yaweza kuonekana gari Ina plete number lkn ni namba feki sasa vipi ikiwa haina kabisa plate number, na waliokuja hata utaratibu hawaujui kwamba inaeawapasa kuanzia serikali ya mtaa,hapo inabidi maombi watu wa Mungu KUPATA Roho ya Elia juu ya manabii wa Baal moto ushuke uwarambe ijulikane yupo Mungu wa nyakati zote na UTUKUFU ni wake milele

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 года назад

      Yuko vizuri sana

  • @servaciosamadu82
    @servaciosamadu82 2 года назад +2

    Mwenyekiti mungu akulinde uko vizuri sana

  • @erickrichard3134
    @erickrichard3134 2 года назад +4

    Kazi nzuri mwenyekiti.

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 2 года назад

    Yes! Big up sana Mwenyekiti hakika umeitendea haki nafasi yako.... endelea kulifuatilia jambo hili hadi ijulikane alipo Mzee wa Yesu...ili haki itendeke.

  • @thevoiceofdeliverance6061
    @thevoiceofdeliverance6061 2 года назад +2

    Ni kweri laweza kuwa JAMBO la kusikitisha Ila Mara nyingi Serikali haifanyi Mambo kwa kukurupuka hapa Kuna Jambo nyuma ya pazia hasa Kama suala la Imani iko na mikanganyiko hapo lazima Serikali iingilie Kati
    Nakumbuka habari za Mungu wa mkombo binafsi niliwahi kufuatilia hiyo maana ya Imani ya Mungu wa mkombo siyo Mungu aliye Hai Ni Kama tu suala la Mungu wa Zumaridi.

    • @Emer998
      @Emer998 2 года назад +1

      Kweli kabisaa umenena kitu ndugu.Ila huyo mzee mmmh!!! Mungu atusaidie kwakwel 👐👐👐👐

    • @Emer998
      @Emer998 2 года назад +1

      Mim namfaham vizur!!! Lkn sikuzote Mungu hawatupi walio wake Mimi yalinikuta Mambo cyo ya kawaida,Ila jaman watu tunapoenda kuabudu tupige magoti kwanza tumwombe Mungu atuonyeshe Ni wapi penye uwepo wake kwel la sivyoo mh.

  • @estherrobart4070
    @estherrobart4070 2 года назад +2

    Mungu wa binguni akawashushie moto katka maisha Yao hao walimshikilia

  • @paschalmmari111
    @paschalmmari111 2 года назад +15

    AYUBU 19:25-27
    "Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi. Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi, Lakini, pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu; Nami nitamwona mimi nafsi yangu, Na macho yangu yatamtazama, wala si mwingine. Mtima wangu unazimia ndani yangu!"

  • @sarahmgaya4870
    @sarahmgaya4870 2 года назад

    Hongera sana mwenyekiti

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 года назад +7

    Mungu yupo wakimzulu mtumishi wa Mungu watajibiwa kwa Damu ya Yesu

  • @thawabuunique8054
    @thawabuunique8054 2 года назад

    Hongera Sana mwenyekit upo vzr mno

  • @jenjoseph7270
    @jenjoseph7270 2 года назад

    Mwenyekit uko vizuri utadumu

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 года назад +1

    Turudishieni Mchungaji wetu acheni mambo ya figisu. Hongera mnyakyusa mwenzangu umeupiga mwingi sana

  • @mbulicharles3819
    @mbulicharles3819 2 года назад

    Hatari Sana

  • @naomigathoni299
    @naomigathoni299 2 года назад

    Naomba mungo amrejeshe mtumishi wa mungu mzee wa mungu akiwa mzima , soo sad story

  • @Meshackkussaja
    @Meshackkussaja 2 года назад +7

    Mwenyekiti ameeleza vizuri sana

  • @amour8802
    @amour8802 2 года назад +24

    Huyu mwenye kiti anafaa kua DC/RC ni mtetezi mzuri wa raia wake

    • @hdjr4785
      @hdjr4785 2 года назад

      Kabisa yupo vizuri

    • @azizamohamed7692
      @azizamohamed7692 2 года назад

      Yaani anajuwa umuhimu wa kazi yake nawala ana hofu yoyote na kazi yake

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Год назад

    Uyu mwenyekiti apewe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ThiagoMessi10-f4g
    @ThiagoMessi10-f4g 2 года назад

    Nimependa mwenyekiti ana vibe la kutosha,,🙏

  • @gladnesssidiu4922
    @gladnesssidiu4922 2 года назад +2

    Hizi ni nyakati za mwisho watumishi wa Mungu watateswa sana
    Lengo Lao kufutilia mbali imani na injili ya Yesu kristo
    Ila watashindana nasi lakini watashindwa
    Wataingia kwa njia moja watatoka kwa njia saba
    Hatuogopi wale wauao mwili, Tunamwogopa Bwana wa Majeshi auaye mwili na roho
    Injili lazima isonge mbele no matter what
    For to me to live is christ, To die is gain

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 2 года назад +1

    MUNGU MKUU akusaidie sote. AMEN.

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 года назад

    Naomba kwa unyenyekevu mkubwa serikali imalize hili tatizo kwani linelekea kwenye kuvunja amani pia linafanya serikali isieleweke pia kwani mtumishi wa Mungu afanyiwe hivi yeye Ana haki sawa na we gone wahalifu wenyewe hawafanyiwi hivyo sembuse mtumishi wa Mungu kama mtanzania natamani jambo hili litatuliwe Baraka Mungu ibariki Tanzania yetu

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 2 года назад +2

    Aisee huyu mwenyekiti ana hulka zote za uongozi yuko straight forward. Inatakiwa apande cheo.

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 2 года назад +1

    Mmmmmmh......inawezekana Kuna something else sio kawaida,
    Lazima Kuna jambo hapo.

  • @endlessloveofchristlovewor9991
    @endlessloveofchristlovewor9991 2 года назад +2

    Msimguse masihi wangu, msimpangie mabaya yoyote nabii wangu (Zaburi 105:15)

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 2 года назад

    Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 2 года назад +38

    Huyu mwenyekiti hatakiwi kuwa tu mwenyekiti,,,,huyu anatakiwa kuwa kiongozi wa juu zaidi at least mkoani au wa kitaifa. Tuna viongozi wa ajabu sana,tungekuwa na vichwa kama cha huyu mwenyekiti Kuna kelele zisingesikiwa kabisa....

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 года назад +2

      Tatizo mfumo sio kwamba hakuna viongozi wazuri😊

    • @franciskibay8948
      @franciskibay8948 2 года назад +1

      Yani huyu zaidi ya mwenyekiti ni mtu na nusu au watu 1000000000000000000000

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 года назад +1

      Kweli aiseee huyu ni zaidi ya mwenyekiti🔥🔥

    • @4figure940
      @4figure940 2 года назад

      Apewe ulinzi tu huyo mwenyekiti maana dah naogopa asije kupotea

  • @Leahmjohn
    @Leahmjohn 2 года назад

    Mungu amjale awe hai atoke

  • @neemadionicmassawe9097
    @neemadionicmassawe9097 2 года назад +13

    Yaaan maaskari mnakuja kumkamata Askofu usiku na mabunduki yenu kama jambazi na huku mnatishia kumvunia mlango panya road wenyewee Wana njia zao hawavamii kama nyie mlivyomvamia Askofu wetu kanisani kwake.Tunamtaka Askofu wetu Mama Samia Rais wetu wa Tanzania tunaomba utusaidie Kwa hili.

  • @adamadamluoga6902
    @adamadamluoga6902 Год назад

    Aisee

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 года назад

    Mwenyekiti safi uwazi ni mzuri sana

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 2 года назад

    Ee Mungu tusaidie .ila mwenyekiti Mungu akubariki

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz 2 года назад

    mwenyekiti uko vizuri

  • @yustakipenya6231
    @yustakipenya6231 2 года назад

    Mungu atabaki kuwa Mungu shetani anambinu nyingi anaweza kumtumia hata binidamu tumkaribie sana Mungu

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 года назад +2

    Mama anahangaika kutuletea ma investor wengine mko busy mnawaficha...Mungu teta nao wanao teta na Askofu.

  • @michaelboaz8108
    @michaelboaz8108 2 года назад

    Mwenyekiti yuko vizuri sana

  • @omnsultan383
    @omnsultan383 2 года назад +1

    Jamani eee mm nasema mkizaa watoto wakiume msiwaite Peter huyu Peter katuharibia mama samia

  • @joshuaburton7531
    @joshuaburton7531 2 года назад +2

    Poleni washirika

  • @francisedson904
    @francisedson904 2 года назад +1

    Hii nchi kuna watu wanadhani mioyoni mwao kanakwamba ni mungu ILA mungu yupo upo wakati unakuja asieujua mtu awaye yote

  • @NewNew-yf1tf
    @NewNew-yf1tf 2 года назад +36

    Kuna vikundi vya watu wenye roho mbayaaa! Ni zileee roho tatu za uchafu zinazofanana na vyura zinatoka katika kinywa cha lile joka, mnyama na nabii wa uongo.Hizi ni roho za mashetani! Ufunuo 16:13-14
    Ndiyo zinazopinga tusipate huduma ya Mzee wa Yesu.Tupone,tufunguliwe tuwe hai, kutoka kwenye nguvu za giza kwa jina la Yesu Kristo ni ndiye Yehova hapa dunia!
    Mama Samia usilifumbie macho.Hawa ni watu wenye wivu wa huduma za kiroho kwa wenzao! Wameishiwa!

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 2 года назад

      SAMIA mwenyewe ni shetani

    • @rahmaally9159
      @rahmaally9159 2 года назад

      Huu upuuzi uliisha kabisa sasahivi umeanza tena.tuwe na utu pesa na madaraka vyeo vinamuda.ila utu unadumu hii siyo nzuri 🥺🥺🥺

    • @zablonnyanda6095
      @zablonnyanda6095 2 года назад +2

      Huyo sii Mungu jamani. Uhamiaji sii wajinga,

    • @JackJack-si7ne
      @JackJack-si7ne 2 года назад +1

      @@zablonnyanda6095 mama ni msikivu sana amempatia iliyo haki yake huyo so called askofu, saivi yuko kwao huko

    • @mage5371
      @mage5371 2 года назад +1

      mama yetu Samia ushatakata nakutakasika wasikutie doa wasiojulikana washindwe wafe na walegee Tz iko mikonon mwa mama mweupe wa ngozi na nafsi wasilete madoa nchini, kemea sana mama

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 года назад

    Tz mna shida sana nawahamiaji hiv mnajua kuwa Rwanda Burundi Congo Uganda hawanaga shida na wahamiaji kutoka inchi jirani!🤔

  • @petrongatunga266
    @petrongatunga266 2 года назад +14

    Maelezo ya mwenyekiti safi sana tunaomba Raisi wetu ingilia kati kukomesha unyanyasaji kama huu Kuna watu wana viupatu vyao binafsi vya kutaka kuchafua serikali yako. Mama Samia usinyamaze shughulikia watu kama Hawa wasio na weredi na kunyanyasa watu.

    • @jeffkonki8279
      @jeffkonki8279 2 года назад

      Jamani huyo raisi ashindwe kuwa bize na matajiri angaike na mchungaji wa hali ya chini wakati sio mama mwajuma ninae mfahamu mm

    • @4figure940
      @4figure940 2 года назад

      HUYU MWENYEKITI ALINDWE MAANA ASIJE AKAPOTE BURE

    • @imanihussein9457
      @imanihussein9457 Год назад

      anawatuma ye;e wakamate nakuua

  • @PeterNkilijiwa-ij3rw
    @PeterNkilijiwa-ij3rw Год назад

    Hawa watu sijui wanakoelekea,unakamata Mtu wa Mungu? Mimi sijui anajua Mungu.

  • @hellenmunisi6456
    @hellenmunisi6456 Год назад

    Yaani huyu mwenyekiti anajua kuelezea kitu kwa ufasaha mpaka basi,Mungu aendelee kukupa hekima uitumie hata kwa wengine

  • @charlesphilipo6443
    @charlesphilipo6443 2 года назад +1

    Mpaka mje mchomwe moto na hao wachungaji feki kama walivyofanyiwa Uganda na kibwetere ndipo mtaamini kuwa kuna shetani wamejificha nyuma ya makanisa au nyumba za ibada ,,,,,msiwe watu rahisi sana kuwapokea au mahusiano na watu wasioeleweka wanatoka wapi ,,,maisha yao ,,,nk ,,,dunia hii ni mbaya mno kwa sasa

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 2 года назад

    Kiongozi aliyewekwa na Mungu uishi maisha marefu

  • @victoriashayo1460
    @victoriashayo1460 2 года назад +2

    Tunawaomba viongozi husika na taifa kwa ujumla sisi ni taifa moja na utulivu kwa wote wapendao amani Sana tunawasihi kwa unyenyekevu wenu muangalie hili ijulikane hao Yuko wapi Mzee wa Yesu naomba tena tena Sana tunaomba ajulikane Mzee wa Yesu yupo gereza la wapi au Yuko wapi hatuelewi jamani watu wanalia kanisa linalia tunahitaji uponyaji kwa Nabii yesu anayemtumia angalieni hili.

  • @luganomwankyoko2653
    @luganomwankyoko2653 2 года назад +3

    mwenyekiti najiamini na ana akili hongera sanaaaa

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 2 года назад +6

    Panya lodi wamewashinda mnakamata wa sio na hatia

    • @edinawilliam2943
      @edinawilliam2943 2 года назад

      Wewe unashida ya kufikir ivi askr wa panya rodi ni wauwamiaji ivi nyie askr wote mnajua ni police tu kilakitengo kina majukum yake ndio maana mnawaoneaga police matusi yote yao walimkamata ni askr wa uwamiaji

  • @neemasungi7849
    @neemasungi7849 2 года назад +10

    Bwana Yesu kristo ni ndiye Yehova simama mwenyewe ili haki itendeke. Wewe peke yako Yesu ndiye mtetezi.

  • @raphaelhabiyaremye8548
    @raphaelhabiyaremye8548 2 года назад +4

    Mmmmh hii selikali yetu mbona nihatar Sana siisemetu Yuko wapi

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 2 года назад

    HUYU mwenye kiti Yuko vzr sana,

  • @BOOGLE_M
    @BOOGLE_M 2 года назад +9

    Uhamiaji wa Tz wanaitaji elimu maana lack of education inawasumbua sana pia wawe wahungwana maana dunia yetu Mungu kawapa wanadamu na wakumbuke mipaka imekuja kuwekwa 1884-1885 na wazungu kwaiyo wawe na hekima katika kutimiza majukumu Yao! Binafsi nawajua sana,Rushwa kwa wingi,wizi,kubambikiana kesi in short nawajua sana.

  • @petrongatunga266
    @petrongatunga266 2 года назад +8

    Mama Samia Raisi wetu kipenzi haya mambo usiyakubali hata kidogo huyu kibiriti na Gerald wahojiwe wawe mfano Kwa wengine wanaotaka kuchafua serikali yetu Makini.

  • @bishoparronmgaya1749
    @bishoparronmgaya1749 2 года назад +2

    Mw/kiti upo vizuri tunawaombea.

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 2 года назад

    ZABURI 105:15
    Usipange mabaya juu ya mtumishi wangu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 года назад +9

    mwenyekiti yupo vzr!
    nyie pelekeni ITV na vyombo vingine vya habari,mpk bungeni pelekeni taarifa

  • @sadiqadam7971
    @sadiqadam7971 2 года назад +5

    Hivi hawa wapuuzi wa uhamiaji wanajiona wao nani!? Hii ni kawaida yao, kwanini watu wanajiona wapo juu ya sheria!? 😡 MAMAE

  • @mereniaenzubery6045
    @mereniaenzubery6045 2 года назад +4

    Mungu tunakuomba ufanye kazi yako kwani mambo ni magumu sana

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 2 года назад +2

    Wamezoea hao mungu atawaumbua

  • @martinmngeni5319
    @martinmngeni5319 2 года назад

    Jamani kumbe bd watekaji wapo serikalin kililio Cha Tundu lisu kupigwa na wasiojulikana mambo hazarani je ngoja tusikilz kuwa tutasikia sauti mama Samia? Big up mwenyekt

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 2 года назад +1

    Hawa ndo walochaguliwa na wananchi. Unamchagua mtu anaeelewa wajibu wake ,sheria na taratibu za nchini. Ameeleza vizuri kiasi ambacho hata hao wasomi wanaonekana Kituko. Heko heko Mwenyekiti

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Год назад

    Huyu mzee wa yesu siyo mtanzania na srori zake ni nzito sana kwenye nchi yake alikotojea subirieni mtayajua mengi simsemei mtajua tuu soon nchi yake wanamtafuta ck nyingi sasa ndo wamempata watamrudisha nchini kwake kujibu tuhuma zake huko hivyo watanzania kuweni makini sana na hizi dini jiongezeni jamani duh mungu awateteee mimi sihami dini yangu ngo?

  • @francisprincemachage233
    @francisprincemachage233 2 года назад

    Mwenyekiti uishi maisha marefu

  • @josephmarwa7212
    @josephmarwa7212 2 года назад +3

    Daah 😭😭😭😭😭

    • @occulykweka8880
      @occulykweka8880 2 года назад

      Kweli yesu afanye njia pasipo na njia mama yetu Rais samia tunajua mungu anakutumia tunaomba usikie kilio chetu utusaidie tumpate Baba yetu

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 2 года назад

    Yajayo yanafurahisha.

  • @samiahmlimanzila6406
    @samiahmlimanzila6406 2 года назад

    Watumishi wa mungu wanakufa alokufa kwenye tenk la maji mwingine alochinjwa tunaingiwa wasiwasi na hili serikali mnajua

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 2 года назад

    Lazaro. 😂😂😂😂 Mdogo wangu unaupiga mwingi

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Год назад

    Tansania Tansania tunaelekea wapi

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 2 года назад

    kama mzee wa Yesu anamtumikia YESU aliye hai basi malango yakutimu kamwe hayata muweza funguo za mamlaka yote anazo YESU..''Bwana MUNGU ametamalaki nchi inatikisika maana yeye ndiye mkuu wa mataifa yote''mtikisiko wake uwafikie huko walipo watesi Amen

    • @coolsinare8824
      @coolsinare8824 2 года назад +1

      ''malango ya kuzimu'

    • @abrahamherry1974
      @abrahamherry1974 2 года назад

      🤣🤣🤣

    • @JackJack-si7ne
      @JackJack-si7ne 2 года назад +1

      Sa itakuwaje kama hamtumikii Yesu aliye hai?

    • @gh7naa
      @gh7naa Год назад +1

      Si kweli yesu kapoteza wachugaji wenngi waogo maslahi

  • @evodiakumburu2528
    @evodiakumburu2528 2 года назад +1

    Mheshimiwa raisi mama Samia tunakuonba mzee wa yesu amekuwa msaada wawengi wengi turikuwa wagonjwa kwamikono yake mungu ametuponya wengine warikuwa vichaa kwamikono yake wamepona vijana wengi walio kuwa wanatumia madawa yakureviy wameponjwa nareo niwatumishi wa Mungu mama tunakuomba utusaidie mzee wa yesu ajurikane wapi aripo naaki itendeke

  • @khadijamuro1036
    @khadijamuro1036 2 года назад +5

    Mh! Wampeleke mahakamani hi tanz inakuwa kama inaendeshwa na wapumbavu

  • @rechonasolwa1664
    @rechonasolwa1664 2 года назад

    Mwenyekiti MUNGU akutunze baba

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 2 года назад +7

    Wengi wamechukuliwa ivyoivyo na saut zimepazwa ad sasa ni kimyaaaaa.hawaonekani vituo vya police wala nguo zao.wwngine ad gar lao alijaonekana teena limemezwa😷

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 2 года назад +1

    Nimemuona uyo mchungaji kwenye mitandao kapelekwa kwao 🇨🇩

    • @catelucas1420
      @catelucas1420 2 года назад

      Thanks for the update,may God keep him safe alway

    • @martinakyoo148
      @martinakyoo148 2 месяца назад

      Ni kweli?,Kwa Nini SERIKALI haweki wazi basi?,Kuna ugumu gani?

  • @rwechungurajohn3592
    @rwechungurajohn3592 2 года назад

    Hii ndiyo kwetu jamani

  • @stelarugongo9793
    @stelarugongo9793 2 года назад +7

    Tunaomba selikali ituambie aliko Mzee wa Yesu. Hii sio Mara ya kwanza kwa Askofu kutendewa unyama huu.

  • @anitajacob3641
    @anitajacob3641 2 года назад +1

    wameanza mambo ya ajabu kha! kweli Magu tutamkumbuka sana

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 Год назад

    Katibha mpya ni sasa ikipatkana aya yote yatatoka mbona issue ndong2

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 года назад

    Serikali **mikono salama** pole mwenyekiti, umefanya ubinadam mkubwa ila hilo jibu walilokupa ni jibu ambalo siku zote hutolewa kukata maswali ili wafanye yao! Inauma sana

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 2 года назад +9

    Mwenyekiti uliyoyaeleza yote ni sahihi kabisa ndivyo ilivyokua usiku huo wa tarehe 15/5

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 2 года назад

    Waebrania 1:9 Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.*TUPENDE HAKI, TUCHUKIE MAASI NA TUPOKEE NEEMA YA MAFUTA YA SHANGWE IDUMUYO!*

  • @msellah1717
    @msellah1717 2 года назад

    Loooh Tanzania ishakua chafu 🙌🏻 mm simtetei mtu lkn ukamataj gan huu mtu asionekane ameenda wap??? Loh

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 года назад

    Mungu wangu! Hawo napolisi siku hizi nimeza meza watu wanapotea hata uki uliza hakuna majibu. Kama wale wavijana wali wameza hadi leo hakuna jibu

  • @vbnmmnbv5292
    @vbnmmnbv5292 2 года назад +6

    Tanzania yetu😭😭😭

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 2 года назад

    Mchungaji ameisha kuwa congo 🇨🇩

  • @alexanderjey257
    @alexanderjey257 2 года назад +1

    WATEKAJI WAMEANZA , MAMA SAMIA PLZZZ TAKEOVER THIS SITUATION