Kumbe bongo waswahili WaPo wengi, sasa uyo dada ana kosa gani, wanaish kizungu miaka mingi wapo pamoja ,uyo mwana mke wake na miaka yote waliokaa ndo hajui watu wa karibu na kwisa. Ana hashuo tu.
Mueleww hii ni siku yawatu wawili tuu na mtu watatu katoka wapi, tena anampenda kuliko hata aje nani,,jamani kiukweli mdada amevuka mipaka natena huenda akawa, ndio kitenganish cha ndoa hii,wadada tafadhali rafiki yako anapokuwa na harusi jaribu kuzuia mengine aio kuongea tuu ,utakwaza wenye sikuku yao
Janamke hili litakua limemloga kwissa ...janamke baya na tabia mbaya hata kuficha kisiran chake mbele za watu hanashindwa ..kama hapa hv je huko kwengine yukoje
Bhana wewe yani ni balaaaaaa mwanamke kakomaaaaaa hadi anatia kero kisirani live kweli duuuu yani kila wakati kisirani kila muda kisirani ila wamakonde wachawi tena alikuwa muislam kabadili dini hapo ndio kazi kudadadeki hahahhaha🤣🤣
@@lysandrasalv2908 Ni dada poa sana ika tatizo lake anafunguka mpaka ya kabatini. Utasema sasa alipata nafasi ya jukwaa. Sio tatizo lake ila atafite la kwake ili wa tz tujue na tumuelewe. Hapo tu! Ala
@@beautyibrahim8428 ndio xhida ya nyie wabongo mkipewa tuuu kipande mxhajadili km mlikuepo .. harusi wenzenu tumeiangalia mwa....mwiii ndio maana twawashangaaa hamjui msemalo mxyuuuuuuuuuuh
Yani jana niliangalia hiyo harusi live clous tv yani huyo bibi harusi hakuna kiti hapo amenuna hadi kwenye zawadi yani watu wanamtunza pesa yeye amenuna tuuuu ila pesa anakumbatia tuuuu huyo sio mke kabisa hayuko romantic kabisa yani
Kwenye uromantic hapo hata mm cjaona Mana mwanaume kazoeya Mambo ya ulaya ulaya kukumbatiana SA kumbe wamesha zaa sa mbona hata wanalishana cake no mikumbatio Hadi waambiwe jamani daaah NDO NINI MAMA KWISA UGWE IFINDU FIKI MWE?!
Yaan kaongea had bwana harus kaenda kumkumbatia ili tu asiendelee kuongea lkn wapi kaendelea alafu sijui kama alilia nika ma niliona kalia kwakwel chefu sana kama huna chakusema bana kona kausha
@@scholaredwardo6383 ndomana sikuhizi watu , wanafanya sherehe za kizungu, watu wachache na mtu spesho wa kuongea basi siyo kila mtu,, manaweka watu wengi, halafu mnatiana aibu, hizo harusi za watu wengi zimepitwa na wakati
Sijamwelewa kabisa uyo dada,mbona kaongea pumba🙄😏😏
Umezingua Leo umemsababisha bi harusi anune😏😏😏
Bi harusi hajapenda kabisa hayo maneno 😄
Uyu dada Vipi anaongeya mengi amejisahaw kama Iko ku harusi,mama harusi amenuna
Jamani bi harusi pole najua umeumia 😥😂😂
Bi harus amechukizwa na hayo maneno ya huyo dada anayejiita rafiki wa kwisa ,yani ameongea hadi anakera
Sana huyo dada anakera jmn
Kama kakasiriswa na huyu dada basi atakuwa na shida sio bure
😅kumekuchaaaa
Dah! Huyu rafiki anaongea sana hata sijui hiyo story inamaanisha Nini ! Jamani jamani jamani kumbe
Watz mnamaneno,maisha ya kizungu ayo
Yaan ningekuwa mimi ningemtoa nishai 2 bahati sijakuwepo kwenye hiyo harusi nipo mbali, yoko wewe. Kwendaaa
Jamani jamani hyu dada mweeee
Biharusi 😀😀😀😀
Bi harus kakwazik muone anavyoangalia,mara kapinda
Shingo,mara kakuna kichwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kana wivu ako ka bi harusii!!
Love iyo kwema jamani mbona kama kaleta wivu apa
Dada mshenzi,iv mnamwelewa jmn
Huyu Dada hafahamu neno aibu.kuna mengine sio ya kuongea
Yaaaan seeeee
Namsubiri aje nyumbani atanikoma,atalipia yote
Kumbe bongo waswahili WaPo wengi, sasa uyo dada ana kosa gani, wanaish kizungu miaka mingi wapo pamoja ,uyo mwana mke wake na miaka yote waliokaa ndo hajui watu wa karibu na kwisa. Ana hashuo tu.
Hahahhaa bibiarusi
Mbona km bi harus ana jealous fulan
Au Dada uyu Dada anampenda kwisa????
Yaaaaan kwakweli huyu dada ni xhida
Mmh
Mueleww hii ni siku yawatu wawili tuu na mtu watatu katoka wapi, tena anampenda kuliko hata aje nani,,jamani kiukweli mdada amevuka mipaka natena huenda akawa, ndio kitenganish cha ndoa hii,wadada tafadhali rafiki yako anapokuwa na harusi jaribu kuzuia mengine aio kuongea tuu ,utakwaza wenye sikuku yao
Mimi binafsi nisinge KASIRIKA hadharani Ila natamani wifi yetu amhug hug Kaka yetu hayo ndo Mambo yake
Anajifanya mzungu hana lolotee ....anakua km cyo m2 mzima Hana limits kabsa nae kwisa tukwambie ukweli unamuachaje mke wako juu anaenda kwa hicho kimwanamke ulikipa bichwaa
Huyu dada kamtolea modi bi harusi kbx
Moto moto tuu,
Mbona demu lenyewe limenuna
Kumbe na nyie mmeona jaman afu libaya usoni
Kwani kwisa mzuri😂
Janamke hili litakua limemloga kwissa ...janamke baya na tabia mbaya hata kuficha kisiran chake mbele za watu hanashindwa ..kama hapa hv je huko kwengine yukoje
Bhana wewe yani ni balaaaaaa mwanamke kakomaaaaaa hadi anatia kero kisirani live kweli duuuu yani kila wakati kisirani kila muda kisirani ila wamakonde wachawi tena alikuwa muislam kabadili dini hapo ndio kazi kudadadeki hahahhaha🤣🤣
Hapana hajamloga dada dah Ila tu hakumkumbatia Ila hajamloga jaman daaa msiseme ilhivyo dhambi Mungu HAPENDI
Sawa lv nmekuelewa
Hahaa
@@josephmanyama9012 yaaaan hana adabu amenyooooka utazani nn cjui kweli penye ukweli ubaya hujitenga
Mbona Bi Harusi yuko kawaida tu mlitaka afanyaje?
Rahaaa
Sijui umeongelea stori ngapi
Yan story mchanganyiko kma kachumbari
Kama bibiharusi kakasirika kisa huyu dada basi atapata tabu sana
Sijapenda anavyoongea
Urafik wakaida tuu hapo watu wanafikiria niwapenz hapana
Eti bi harusi nae kajibu " raHA" 🤣. Do huyo dada anaongea mpaka kazidi kero.
Kabsa cjui yukoje
@@lysandrasalv2908 Ni dada poa sana ika tatizo lake anafunguka mpaka ya kabatini. Utasema sasa alipata nafasi ya jukwaa. Sio tatizo lake ila atafite la kwake ili wa tz tujue na tumuelewe. Hapo tu! Ala
@@jayjay4313 kabsa 🙌
Sasa unampa ujumbe gan biharus
Khaa unaongea sana mpaka unamuuzi bi.arusiii
Masikini bi harusi ametia huruma
Ssa hyo dada ndio alitakiwa awe mke kwisa
Hahahhahaha
@@sabahiali6021 kweli yaan wamependezana sio hyo mke wake anaonekana anakisiran ata kutabasam kazu
We dada unayeongea hivi umeolewa tayar ???? Ama unataka uje upigwe kibao unachostahili na muumba wako
@@beautyibrahim8428 ndio xhida ya nyie wabongo mkipewa tuuu kipande mxhajadili km mlikuepo .. harusi wenzenu tumeiangalia mwa....mwiii ndio maana twawashangaaa hamjui msemalo mxyuuuuuuuuuuh
@@lysandrasalv2908 hivyo vibao ntakuwa wa kwanza mm
😂😂
Yani jana niliangalia hiyo harusi live clous tv yani huyo bibi harusi hakuna kiti hapo amenuna hadi kwenye zawadi yani watu wanamtunza pesa yeye amenuna tuuuu ila pesa anakumbatia tuuuu huyo sio mke kabisa hayuko romantic kabisa yani
Yatamkuta makubwa ndugu yetu maana km wa nje mmeona hili ndani moto utawaka
Ni kweli kaka hata mm nimeliona hlo Jana mpaka nikajiuliza Yan hatak hata kukumbtiwa na watu afu libaya uson
Huyu mmakonde atakua kamliga kwisa janamke gan hata kuficha kisiran mbele za watu hawez🤨🤨
Kwenye uromantic hapo hata mm cjaona Mana mwanaume kazoeya Mambo ya ulaya ulaya kukumbatiana SA kumbe wamesha zaa sa mbona hata wanalishana cake no mikumbatio Hadi waambiwe jamani daaah NDO NINI MAMA KWISA UGWE IFINDU FIKI MWE?!
@@joycehaule9717 andegheeee
Sifa
Khaaaa
Kwa nini unajidai kwa lugha sio yakwako
Umekunyw nn jmn
Kkk abduly huyu bure Sana.kiherere Sana.
Sasa Mimi nimeshanga.huyu kkkk
Punguza maneno dada unaonge utumbo mtup harus sio yako
😂
Kwani hamwezi huongea kiswahili. Mbona. Mnakuwa washamba, , umeonges vitu ambavyo havihusiki kwenye harusi
kabsa yaan
Kanikera kama nn
@@scholaredwardo6383 watanzania tunaasili ya ushamba jamani,, wanataka spich za wazungu halafu hawaziwezi, , aibu tupu
Yaan kaongea had bwana harus kaenda kumkumbatia ili tu asiendelee kuongea lkn wapi kaendelea alafu sijui kama alilia nika ma niliona kalia kwakwel chefu sana kama huna chakusema bana kona kausha
@@scholaredwardo6383 ndomana sikuhizi watu , wanafanya sherehe za kizungu, watu wachache na mtu spesho wa kuongea basi siyo kila mtu,, manaweka watu wengi, halafu mnatiana aibu, hizo harusi za watu wengi zimepitwa na wakati
,
Wivu wa kijinga