Habari dada wa aroma Zanzibar napenda nikuite hivyo, na swali je naruhusiwa kuuliza kitu chochote kwani napenda kuoka keki je unanisaidiaje? Swali 2 nikihitaji mashine kama hiyo ni sh, ngapi,, Niko arusha,
Nakupenda bure mimi najifunza cake hii recipe nzuri tatizo langu natumia oven LA gas linaunguza sijui kuset moto ni chini na juu au chini tu nachanganyikiwa msaada jaman
Aleikum Musalaam, cherry sio tunda la kinyumbani kwa hivyo halina jina la kiswahili ni jina hilo tu la cherry kama utapata za kibati zinatakua ni za ugenini kwa hivyo zitakua kwa jina la cherry tu
Tunashukuru saana kwa kutuelimisha vizuri maswali yangu ni haya je hiyo keki isiyo na baking powder inachambuka? Je kwanini keki iwekwe baking powder na bicarbonate of soda pamoja? na kwanini maziwa mgando au kwa jina lingine maziwa lala uwekwa kwenye mchanganyiko ?
Cake za spongi kama hizi hazititiwi baking powder kwasababu zinapanda kwa mayai lakini keki kama hizi za sponge ni za kuweka mjazo wa matunda au cream zinachambuka pia. Sio cake zote zina baking powder na baking soda pamoja ni cake zenye matunda au ukali ndio zinawekwa baking soda. Unga wa cocoa una ukali ndio maana nimetumia baking soda lakini ukiangalia recipe ya mkate wa mayai ambao ni sponge cake haina baking powder wala baking soda . Kila recipe ni tofauti nyengingine zina maziwa ya kawaida nyengine zina maziwa lala inategemea na uzito na ladha unayotegemea kwenye cake hiyo , nyengine hazina maziwa ya aina yoyote ni siagi au mafuta au siagi na mafuta pamoja.
Salam dada Nataka unieleweshe vizuri jinsi ya kutungeneza hiyo cream ni unatumia maziwa yakawaidaaa mazito kama mtindi au cjaelewa na huku nikipo Niko uganda soo maziwa mtindi kuyapata shda ebu nielekeze vizuri au kama vipi nitumie picha ya cream unayotumia May be I can check in supermarket
Samahani dada naomba kujua kutoka kwako kuna kitu waita shira wanatumia kunyunyuzia kwenye keki wakianza kuremba hii ina maana gani inasidia nn kwenye keki
Kuweka shira ndani ya keki ni kufanya keki isiwe kavu ndani lakini pia umwe makini sio keki zote zinahitaji shira inaweza kufanya keki ikawa ina sukari sana au maji mengi
Naombe utoe video ya kuelekeza jinsi ya kutumia hivyo vikombe... mfano ukisema 3/4 au 96gms ya unga ni kikombe gani hapo... yaani kitu kama hicho I wish..
Mimi natumia standard measuring cups yaani vikombe maalum vya kupimia vinapatikana kila nchi , Inshallah nitajitahidi nionyeshe kwa kila pishi lakini nimeshaeleza kwenye video hii ya baking basics mafunzo ya kuoka ruclips.net/video/UxD44RI-zlI/видео.html
FOR ENGLISH VERSION PLEASE FOLLOW THIS LINK ruclips.net/video/UQcbqKxD64g/видео.html
Uga mweupe ndio nn
Habari dada wa aroma Zanzibar napenda nikuite hivyo, na swali je naruhusiwa kuuliza kitu chochote kwani napenda kuoka keki je unanisaidiaje? Swali 2 nikihitaji mashine kama hiyo ni sh, ngapi,, Niko arusha,
No one can compare to you in East Africa u r the best chef my sis. Congratulations
Thanks 🙏🏽
Nashukuru saaaana Dada kwa kunielewesha vizuri asante
I love all your recipes mashaAllah nzuri sana
Ma shaa Allaah .Islam edeyk.yammy yammy .shukran kwa mafunzo ya upishi habibty.
Video zako zina utaratibu na soo clear wallahi shukran kwa kutufunzaa Allahibariqfiii♥
Amin kwetu sote. Ahsante
Alhamdulillah tunajua mengi kupitia page yako tn bure wallah Allah akubarik na akuepushe na husda habibty
mallat ally Shukran habibty for your support x ahsante kwa Dua njema , Amin kwetu sote
asante kwa mapishi mazuri nimejua mengi kupitia wewe dada yetu.unafunza vizuri
Mashallah,this is so nice I am trying this soon😍
Thank you for the recipe
My pleasure 😊
Nimepika keki leo haina tofauti na yako I wish ungekua karibu nikuletee uonje.
Jaman asante sana nimejifunza meng
Wow mashallah asante habibty kwa mapishi mazuri nimependa hiyo cake nzuri sana inaonekana🎂😋👌
Alhamdulilah ni nzuri kweli
Asante sana Dada kwakutuelimisha MUNGU akuzidishie
Ahsante, Amin kwetu sote
your amaizing and so inspiring i cant wait to get home and start practicing
Inapendeza sana
Mashalaah, itabidi na mimi nijaribu.
Sio vibaya
Thanks aroma Aise Najifunza mengi kutoka kwako
Shukurani sn Mamy najifunza na nitatumia ubunifu km wako mana mapishi nayajua lkn sio yote km wewe shukurani sn mungu akuweke Mamy💕💕💕💕💕💕
Shukran, amin
Ooh jomoni mashaallah thnx aunty Fathiyah nilikuwa natamani eti uikate ahahaha.
Nimeonyesha kukata instagram , video ilikua ndefu sana
shukran dada ukovizuri kweli mashallah mungu akulipe
Shukran, Amin kwentu sote
Waaaooh is so nice
mimi sauti tu 👌👌
Nakupenda bure mimi najifunza cake hii recipe nzuri tatizo langu natumia oven LA gas linaunguza sijui kuset moto ni chini na juu au chini tu nachanganyikiwa msaada jaman
Pole sana, kama inaungua basi pungusa moto. Ulizia huko uliko jinsi ya kutumia wataalamu wapo wengi wanaotumia ma oven ya gesi
@@aromaofzanzibar thank you Allah bless you 🙏
Mashaa Allah. Nice work
mashaallah nami nitajalibu
👏👏👏👌looking forward to open my pastry shop
All the best
Nakupenda sana m'y nilipika Birian kwa récept yako ilikuwa tam San,,,,but nauliza je nikitumia Nestle cream inafaa
Nestle cream no nyepesi haiwezi kubeba uzito was keki
Shukran kwa mapishi
Khala MashaAllah tabarakallah. Nauliza Kama oven ndogo inachukua baking pan moja at atime, nifanyeje???
Unaweza kuoka moja ndefu halafu ikate mapande 3
Ma shaa Allah shukran habibty
MashaAllah ......awesome
hahaaa kukwangura nimeipenda hiyo lugha dada
Hahaa, mameno mengine inabidi tuyatafute sina uhakika kama ni sawa
Aroma of Zanzibar hiyo kukwangura au kupara ipo vizuri tu dada
I like your recept
shukran ddaty Allah akupe afya
Amin kwetu sote , shukran
A.a mbona sijaona baking powder ama si lazima
Swabrina Abdullrahmann Sijatia baking powder hiyo ni sponge sio lazima
Nice1
Unatengenezaje cream ,,,you mix what ?
Cream ni heavy whipping cream na sujari ya icing sugar tu
Kwa zanzbr inapatkana wapi plz maana nshatafuta cn
Mimi siishi Zanzibar lakini nasikia inapatikana kwenye supermaket kubwa inatoka South Africa huwa inapatikana sehemu ya kwenye fridge ulizia
Asnte sana kwa mapishi
😋 you are the best.
Ngoja najifunze hapa.
Wow wow amazing
hlw hii hakuna baking powder au hata baking soda!??
Sponge haina haja kama nilivyo onyesha hapo
Mie hicho Kisu kitanikata 🙈🙈🙈🙈 duu mashalaaah nimejifunza elimu asubuhi
Wewe vituko basi tumia hiyo grater
MashaAllah yummy yummy
Hi dear...I'm a new subscriber and I must say that I really love your channel.
Thanks, welcome to my channel
Cherry kwa Kiswahili ni nini? Matunda damu au?
Kwa kweli hilo silijui kwa kiswahili
Hauuzi viungo na vipimio?
Siuzi viungo vya cake mie nipo Marekani
Haya matunda cjayajua
Sidhani kama yana jina la kiswahili ni cherries
Hii cake haina baking powder ???
Sponge cake hazitiwi baking powder
Shukran ukhty
No baking powder dear?
No dear just how I explained and showed
ASANTE SANA NAFURAHIA UNAVYOELEKEZA
Unga mweupe ndio unga gani?
Unga wa ngano
@@aromaofzanzibar Ahsante. 😘
Masha allah habinty shukrani
Maaaashaaallah soo yummy
Wooow nice
mashallah mashallah 😍
Badala ya kutumia hyo cream wipping cream naweza kutumia butter cream¿
Sofia Seif Unaweza kutumia Buttercream lakini haitokua black forest halisi
Shukraan.....
Kama sina matunda ya cherries nitumie tunda gani?
Tumia matunda utakayo penda lakini haitokua na jina la black forest ni fruit cake tu
Oky shukran sana
Kama huna cherry mini kingine waweza kutumia?
Fruit yoyote kama strawberry lakini haitakua black forest itakua ni fruit cake tu
Nimeipenda sana . Ntamwambia mama mkwe anipikie 😂😂😂Christimas kaka nitakuwa kazini
Pole kama utakua kazini, basi kamnunulie mama mkwe ingredients na mapema utaarishe dada
Yummy😋
Dada chicolate ganache ni sawa na chocolate syrup
Sio ni kitu tofauti
ASALAAM ALAYKUM WARAHMATUH LLAH WABARAKATUH IS naomba maana ya cherry ni tunda gani kwa kiswahili
Aleikum Musalaam, cherry sio tunda la kinyumbani kwa hivyo halina jina la kiswahili ni jina hilo tu la cherry kama utapata za kibati zinatakua ni za ugenini kwa hivyo zitakua kwa jina la cherry tu
Masha Allah yummy
I like it
Nzur Sana. Mie napendaga kupamba hiyo chokreti juu
Nilikuwa nasema wa afanyaje hivyo kama imemwagika pembeni nilionaga video flani
Ya hata mie kwenye kupakazia nilikuwa natumia karatasi
Chokolet wanatumia cicowa au Unga wa kokakola
Hata mie napendaga keki ya kupanda. Halafu bola wanavyoikata wakimaliza pika wengine wanapika moja moja
Tunashukuru saana kwa kutuelimisha vizuri maswali yangu ni haya je hiyo keki isiyo na baking powder inachambuka? Je kwanini keki iwekwe baking powder na bicarbonate of soda pamoja? na kwanini maziwa mgando au kwa jina lingine maziwa lala uwekwa kwenye mchanganyiko ?
Cake za spongi kama hizi hazititiwi baking powder kwasababu zinapanda kwa mayai lakini keki kama hizi za sponge ni za kuweka mjazo wa matunda au cream zinachambuka pia.
Sio cake zote zina baking powder na baking soda pamoja ni cake zenye matunda au ukali ndio zinawekwa baking soda. Unga wa cocoa una ukali ndio maana nimetumia baking soda lakini ukiangalia recipe ya mkate wa mayai ambao ni sponge cake haina baking powder wala baking soda .
Kila recipe ni tofauti nyengingine zina maziwa ya kawaida nyengine zina maziwa lala inategemea na uzito na ladha unayotegemea kwenye cake hiyo , nyengine hazina maziwa ya aina yoyote ni siagi au mafuta au siagi na mafuta pamoja.
Salam dada Nataka unieleweshe vizuri jinsi ya kutungeneza hiyo cream ni unatumia maziwa yakawaidaaa mazito kama mtindi au cjaelewa na huku nikipo Niko uganda soo maziwa mtindi kuyapata shda ebu nielekeze vizuri au kama vipi nitumie picha ya cream unayotumia May be I can check in supermarket
Siwezi kuweka picha hapa wewe ukienda supermarket uliza heavy cream au heavy whipping cream au ni double cream majina yote hayo yanatumika
Thnx you
MashaAllah je nikiwe icing inafaa
Hio ni cocoa gan
Yoyote nzuri urakayopata huko ulipo
Lv mwaaaaaa mummy
Yummy
aunty ulikaa sana bila kutuletea mapishi
Naleta kila jumatona, week hii nimechelewa kidogo mitandao inanicheza iko slow sana kwa mvua
Aroma of Zanzibar
mashAllah nzuri cake
Samahani dada naomba kujua kutoka kwako kuna kitu waita shira wanatumia kunyunyuzia kwenye keki wakianza kuremba hii ina maana gani inasidia nn kwenye keki
Kuweka shira ndani ya keki ni kufanya keki isiwe kavu ndani lakini pia umwe makini sio keki zote zinahitaji shira inaweza kufanya keki ikawa ina sukari sana au maji mengi
Wooow!! Mashallah
👍👍👍👍
Mashaallah
Shira ni nini
Sukari ilopikwa na maji
Naombe utoe video ya kuelekeza jinsi ya kutumia hivyo vikombe... mfano ukisema 3/4 au 96gms ya unga ni kikombe gani hapo... yaani kitu kama hicho I wish..
Mimi natumia standard measuring cups yaani vikombe maalum vya kupimia vinapatikana kila nchi , Inshallah nitajitahidi nionyeshe kwa kila pishi lakini nimeshaeleza kwenye video hii ya baking basics mafunzo ya kuoka ruclips.net/video/UxD44RI-zlI/видео.html
Natamani hivyo vikombe ungekuwa unavionesha.... vipimo ni shida
Nitajitahidi nikumbuke kuonyesha kwa kila pishi
Mash Allah,naomba pia kwenye vipimo utumia vipimo vya gram na kilogram,mfano sukari 200grams
Shukran habbty
😘😘😘😘😘
Jina ya hio cream
Inaitwa heavy whipping cream nafkiri africa wainata double cream
Kama je sipendi cocoa niwekek nini mbadala
Ummy Miraji kama hupendi cocoa Fanya cake ya kawaida tu utakavyopenda sio black forest , Fanya white forest cake
Ya crimu ukitia ya kutosha keki Inakuwa nzur hata mie nasemaga hivyo
shukran
Huti siangi
Sio lazima inategemea matumizi ya Cali hapo nimetumia siagi ya kuyayusha
@@aromaofzanzibar ok
ok shukran