Yani uliamua kuenda na MTB kwa hio safari? I can see you really had a tough time but you managed to keep up with the group. Alafu pia ume chukua picha as you were entering Tharaka Nithi County na uka nikumbusha ile mlima ina ngoja mtu hapo mbele kidogo. For me, for the whole route to Meru/Chuka, the Tharaka Nithi hill proved to be the most difficult hill for me to climb. I hope ili wabamba.
@@edwinodhialo137 sijui hata ni uchizi gani ilinishika, nilienda na bike hata haijafanywa service na disk brake zilikuwa zinashika. Kuchemka nayo kabla ziadjustiwe makutano. But ilikuwa true safari yote.
🔥🔥🔥 weka weka big fun ❤
@@AmirAli-ee7ug shukran
Cool, looking good guys weka weka 🔥❤
@@User_pn5mr4hv3f thanks
🔥🔥🔥
❤
Your endurance is crazy. Keep pushing.✊
@@briankinyua7118 Thanks bro🫶
Noma sana.. when l cycled to Meru pace yetu ilikua ya utalii hii ingehitaji hybrid.. ama Roadbike
@munenegideon8 last year nilicheza na roadbike, hii nikaamua mateso kiasi na mtb.
Nice one
@@SoftwareDevHub thanks
But si uli enjoy kushuka hizo climbs bila uoga..
@@munenegideon8 hapo ndio tunasema drop ni drop, usimalize brake pads bure😂
@@alimburu3333 na vile ni refu na wewe uko na kilo kuniliko top speed highest ulifika ngapi
@@munenegideon8 haha wewe nishakuwa 'muslim'
@@alimburu3333 😂mi niko 58kgs or 60bkama nimeongeza
@@munenegideon8 heri wewe, kilo imekataa kushuka 😂
Iitabidi nichape yangu full service sasa this is the real deal
@@dantekings4627 chapa alafu useme tutafute moja refu🫡
Yani uliamua kuenda na MTB kwa hio safari? I can see you really had a tough time but you managed to keep up with the group.
Alafu pia ume chukua picha as you were entering Tharaka Nithi County na uka nikumbusha ile mlima ina ngoja mtu hapo mbele kidogo. For me, for the whole route to Meru/Chuka, the Tharaka Nithi hill proved to be the most difficult hill for me to climb. I hope ili wabamba.
@@edwinodhialo137 sijui hata ni uchizi gani ilinishika, nilienda na bike hata haijafanywa service na disk brake zilikuwa zinashika. Kuchemka nayo kabla ziadjustiwe makutano. But ilikuwa true safari yote.