Kutoka kwa Hafswa bint Omari bin Khattwabi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote, akamsadikisha, haitokubaliwa kwake swala yoyote siku arobaini". Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim
Muogopeni ALLAH .....HUU NI USHIRKINA NYIE ....MSIUNASIBISHE NA UISLAM.......ACHENI KUTUKANA DINI HII TUKUFU NYIE WALOZI....NJAAA INAWEPELEKA PABAYA SANA JAMAAAA
Huyu ni mshenzi au ni sheikh...Sheikh gani anayetaka kuwatia watu kwenye shirki,,,,pumbavu mkubwa huyu...Sheikh wa kweli hajishughulishi na wala hafundishi watu ushirikina kama huu.
Kutoka kwa Hafswa bint Omari bin Khattwabi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote, akamsadikisha, haitokubaliwa kwake swala yoyote siku arobaini".
Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim
From 🇰🇪 kenya, thank you so much. Mafundisho mazuuuri sana
Acha ushikina soma nguzo za iman
@@nkeshimanamohamed8099 kajifunze kuandika vizuri kwanza
Wewe kilichokufikisha kwa hii chanel ni nini
Most welcome
Assalaam alaykum wallahamatullah wabarakatu
Nimeanza leo kufatilia Chanel yako upo vizuri
Waalykum.msaalam waramatulah wabarakatul. samahani maalim mm sielewi
Naomb nijue
Muogopeni ALLAH .....HUU NI USHIRKINA NYIE ....MSIUNASIBISHE NA UISLAM.......ACHENI KUTUKANA DINI HII TUKUFU NYIE WALOZI....NJAAA INAWEPELEKA PABAYA SANA JAMAAAA
Mbona hamleti hujja zenu huku +255 713 351781.
aloleta Uchawi ni nani kama sio Allah???
Hakuna hoja hapo ..shirki hiyo
Acheni shirki nyie jifunzeni TAWHEED
Muogopen mung achen shirk
Waijua SHIRK kilugha na kishria ww!! 🤔
Njoo huku +255 713 351 781
@@MAALIMishHana ajualo huyo ni kukurupukia mambo tu kichwa kichwa
vp kusu kazi inakuwa
Mkitumia kiislam sis wengne mtatusaidiaje?
Mm mizani yangu ipo tofauti na yako
Jamani wew nishehe ila unatufundisha ushirikina nin umekusudia
Nimera ya kwanza kufatiliya chainel yako napenda sana na nakuelewa maana unaeleza kweli
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 maokoto ayoooo
Mwarim shukuran naomba niwe mwanafunzi wako naomb uniunge
Karibu sana.
+255 713 351781
Nataka kufahamu kuna dada nataka kumuowa nifanyeje
Subhanallah
Shukran sana mwalim .naomba msaada wako .kama majina yangu ni ....Shaki juma bogoro ,,asili yangu nii IPI .shukran
Hewa
Unaongea Sana shehee nenda keenye pwent
Naomba mwendelezo
Xaw
😢
Shekh vip nakupata nashida na wew
Asante mwalim natakanielewe
Karibu sana ndg yangu
@@MAALIMishasww
@@MAALIMishasww
@@MAALIMishasallam alleykym shekhe naweza pata namba yako tafadhali
Je hakuna mazambi yoyte nukiimvuta kwa njia hiyo kwa nia njema
Ok
❤
Hii ni ilmu feki jameni jitahadharini nayo
Mbon haijamlinz
Mm nko tayari
Huyu ni mshenzi au ni sheikh...Sheikh gani anayetaka kuwatia watu kwenye shirki,,,,pumbavu mkubwa huyu...Sheikh wa kweli hajishughulishi na wala hafundishi watu ushirikina kama huu.
Nani alie fanikiwa Kwenye hili anijuze
kbx ni ukweli
Ifanikiwa wew??
Acheni kuleta mambo ya ushirikina katika dini unasema kumvuta mpenzi wako ili iweje,
Mkazini sio au niaje
Naomba namba zako
Kwenye mshumaa naandika jina langu au lake
😅😅😅
Mimi nimependa kusoma hii ilim
Ss huu mshumaa wauchorawapi?nahio herufi nitakayoichora niyangu au niyauyo mpenziwangu?
Jina marsela inamaana gani
Innalillahi wainnaillaihi rajiun
naomba namba yako.
Maalim asalam aleykum warahamatulah wabarakatuh mi naomba utufundishe namna yakujuwa kitu ndicho au sicho samahani kama nimekukwaza
Sawa... Japo njia ndefu mtachanganyikiwa
Kama wote tuna erufi moja mfano mimi F nae ni F hapo nafanyaje
Utaendelea na hisabu tu.
Hlw naomb no ako ya tsup
Naitwa malian nna mpenz anaitw ibrahim je nawezaje kumvuta mpenz wang
Uongo mtupuuuuuuuuuuuuu
Shekhieh nipe number yako
Bj je? Namvutaje
Hii video hujamaliza maelezo
Ko naandika kwenye mshumaa katikati au pembeni nanaandika jina moja au yote mawili
Sikiza somo vzuri dada
Somo gumu
From Burundi 🇧🇮, thank you but me sijaelewa maelezo video yako ni fupi sana, maelezo hayatosh mwalim!!
Tuko na mimi niwa burundi video ni fupi sana maelozo hayatosh mwalim
Karib sana ndg yangu.
+255 713 351781
Kunamtu nitamvuta alafu namuacha
Hahaha
Unakichaa ww
@@asiangassa1140 hahahaha
Ulifanikiwa?
Hahahaha Nina mpango huo pia hahahaha
Nimeipenda lkn hakuna kitu nimeelewa hata hujasema vile mtu anafanya Yako ni maamdishi tu
😂😂😂
Usipoelewa hapo... Unayo nafasi ya kuuliza.
Japo hapi ndio rahis zaid ww kupaelewa.
Jambons baba
Assalaam Aleikum
Namba ya Simu yako
Shukra n kwamafundisho
A,a sijaelewa hiyo ya kuandika kwa mshumaa
Ulipo shindwa kufahamu... Tumia sim kuuliza zaid.
+255 713 351 781.
@@MAALIMish hata mm sijaelewa
You talk too much 😢
Kwenye mshumaa naandika jina langu au lake
Bj je? Namvutaje
We umeelewa
Alieelewa anieleweshe jmn
Maalim naomba no
Nauliza swali .jina la kwanza ni Lile la kupewa ni wazazi ,au la kubatiza .kama vile peter . James .shukran
lile umepewa na wazazi
@@mohammedndirangu6081Shukran ata mie hujiuliza hili swali
J iko kwenye udongo, lakini unasema kwa upepo, umetuacha cjaelewa, 3 na 5 zimetoka wapi?
Tazama darsa sehem zote mbili.
Utaelezwa ndugu
Mukue making nau mutu atabakufulisha munjia musizojua
@@MAALIMish Mimi namwenzangu yeyeH mi nataka kumrudisha nitumie njia zipi?
@@MAALIMish Mimi namwenzangu yeyeH mi nataka kumrudisha nitumie njia zipi?
@@agathawilliamagathawilliam9552 tumia namba hizi Tuwasiliane... 255 713 351 781.