DAVIDO Amshtaki Mama Mtoto wake Kisa Hiki/Adai kumwaga pesa nyingi lakini hapewi mtoto

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 июн 2024
  • Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria #Davido amemfungulia Mashtaka mahakamani Mzazi mwenzie #SophiaMomodu, mama wa mtoto wake wa kwanza, #Imade.
    .
    Katika ombi la msingi lililowasilishwa na mawakili wake, #DkOlaniyiArije, #OkeyBarrah na wengine, katika Mahakama Kuu ya Jimbo la Lagos, tarehe 17 Aprili 2024, #Davido aliiomba mahakama hiyo amri ya kutoa ulinzi wa pamoja wa Mtoto wao #MissImadeAdeleke.
    .
    Staa huyo anaiomba mahakama itoe amri kutolewa vikwazo vya kumona Mtoto wake bila kizuizi chochote.
    .
    #Davido anasema kutokana na upendo kwa mwanae aliamua kumpa nyumba #Momodu yenye thamani ya N200m (Tsh.Milioni 350) huko huko Oniru, Kisiwa cha Victoria, Lagos lakini ilikataliwa.
    .
    Mbali na hivyo Staa huyo anasema aliamua kumnunulia Mtoto wake Gari aina ya #RangeRoverSportUtility kwa ajili ya matumizi yake na Mama (Mlalamikiwa).
    _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe RUclips channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии •