Pt1_

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Комментарии • 6

  • @marthaumazi2197
    @marthaumazi2197 Месяц назад +1

    Ameen Bwana akubariki sana utakatifu ndio vazi ambalo lazima kanisa linaloelekea mbinguni lihubiri hiyo Mungu akubarikiwewe promover TV.

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 9 дней назад +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa ukweli utakatifu wa inje nandani nimuhimu saana

  • @BishopNdegwa
    @BishopNdegwa Месяц назад +2

    WE GIVE THE LORD ALL THE GLORY HONOUR AND PRAISE. MAY THE LORD GOD OF HEAVEN TAKE PROMOVER TV TO ANOTHER LEVEL

    • @celestineashihundu7129
      @celestineashihundu7129 Месяц назад

      Mungu wa mbinguni akupe hekima na maarifa maana safari ya mbinguni ni mbali saaana kuongea ubaya kwa tumishi wa Mungu ni dhambi utahukumiwa usipotubu hakuna aliye mkamilifu Miele za mwenyezi Mungu kila mtu Ana madhaifu yake hatukataa,hata musa alipotenda dhambi dadake ambaye ni mirriam alianza kumsema ametenda dhambi lakini Mungu alimpa ukoma miriam kwa amesema musa ametenda dhambi ambapo ilikuwa ukweli lakini nini kilichotokea Mungu alikasirika na kitendo cha miriam kumsema ndungu yake,ambaye ni Musa alikuwa mtumishi wa Mungu.Mungu akampa miriam ukoma kwa kitendo cha miriam kusema Musa amekosea Mungu hakufurahishwa na hicho kitendo,wewe unaona huyo mtumishi anakosea jukumu sio kuzunguka na kumwongelea vibaya jukumu ni kuombea areje kwa njia ya haki hata kama unaona anakosea bado ni mtu mtumishi wa Mungu.Kukosana watu hukosana hakuna mkamilifu hata kwa ndoa watu hukosana lakini kama umeamua kutoka kwa usalama bila kuongelea ubaya,angalia mazuri ambayo ametenda ambayo ameeka ndani yako hadi sasa unapendezwa nayo ambayo ni injili ya utakatifu na hiyo ndio umetoka unahubiri hata kama umeamua kutoka ukiulizwa sababu zilizofanya utoke unaambia watu niliona ni muda wa kutoka nijisimamie ujue nilidhani ulipelekwa mbinguni na jehanamu venye watu hupelekwa ukaonyeshwa venye anapotosha watu kumbe ni porojo nakusihi ingia hapa promover tv tafuta Lilian blessing ama kwa barudhi othayo uangalie ushuhuda wa Jesus Ali you pelekwa jehenamu na alionyeshwa mchungaji ambaye alikuwa amemkosea akiambiwa amwombe msamaha kwa kumwongelea vibaya mchungaji wake kumbuka huyo mtumishi unashinda ukimwongelea vibaya Mungu kupitia huyo mtumishi alikueka wakfu sasa hivi unaitwa bishop kuwa na heshima kidogo.Mambo ni mawili it’s either utembe kwa baraka ama laana.Tuache kuongelea watumishi wa Mungu vibaya wewe unaona tu ubaya wake huoni mazuri yake hata tone😢😢hiyo injili ya utakatifu unahihubiri c ni yeye alipanda hiyo mbengu ndani yako tumwombe Mungu tuwe na mwisho mwema bure tusije tukawa kuni hata paulo anasema nisije nikawa mtu wakukataliwa 😢

  • @JoyceAvua
    @JoyceAvua Месяц назад

    Praise the lord 🎉🎉

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 9 дней назад +1

    Kuwamutakatifu niku jitakasa tu wa