MBOWE AIBUKA TENA: ATAJA USHETANI, UONGO, MBINGU AKIONGELEA NENO LA MUNGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 37

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 9 часов назад +2

    Jamanii uongozi ni kerooo pumzika tu baba Mungu kakupa maisha marefu sana manake ingekuwa Mimi duh sina moyo huo Wa polisi kila siku wewe sasa kaishi na familia yako ulale usingizi ingawa ni ngumu kuzoea ,manake ukiwa muimbaji muziki Dram's, speakers na magitaa ,hutosikia kelele Ila ukiwa nje ya muziki utatamani uzibe masikio

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 8 часов назад +5

    Ulitakiwa kutogombea Period! Ona sasa umegeuka mwinjilisti😂

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 10 часов назад +2

    Glory to JESUS Amen

  • @RenatusMayeka
    @RenatusMayeka 4 часа назад +1

    Mzee,wangu nyakati hupita.tulia tu Mungu anajua yote

  • @lutufyojason2598
    @lutufyojason2598 10 часов назад +3

    Pole mzee , wakati haudanganyi

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 10 часов назад +3

    Ww uliluwa Ustahafu mapema tatizo wapambe.

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo 10 часов назад +1

    YAKOBO 3:13-18 "Je ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi aonyeshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima.." Mr. Mbowe ameyaishi maneno hayo katika uongozi wake. Binafsi nina mengi ya kujifunza kwake!

  • @jeromewilliam3009
    @jeromewilliam3009 8 часов назад +2

    Taarabu Tena zimeanza

  • @FrankworldwideTV
    @FrankworldwideTV 5 часов назад +1

    Ooh wajumbe wamenilazimisha mara oooh wajumbe wananisindikiza kurudisha form kikowapi aibu tupu🚮

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 часа назад

    Nyie wabangaizaji!!acheni kumsema mbowe vibaya!!hiyo chadema kailea mbowe!!
    pale sasa hakuna anayeweza kuingoza chadema!!siku za chadema zinahesabika!

  • @FrederickMuzimaRutikanga
    @FrederickMuzimaRutikanga 11 часов назад +2

    Freeman nakushauri turia ukaiywe mzee

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 9 часов назад

    MUNGU Amepanga Uondoke Utekaji Ugaidi Ufisadi Utaisha Hata Waliomwagiwa Tindikali Nao Kama Mnahusika Mtajibu Kwa Mungu

  • @hamadsalim5641
    @hamadsalim5641 10 часов назад +3

    hayo yote ni pumba. tu

  • @InnocentBirdNest-nl4eg
    @InnocentBirdNest-nl4eg 3 часа назад

    Khaaaaaaa! Hivi nyie watanzania kwan mtu kutoka madarakani ni kitu cha Ajabu sana😒

  • @ordafabian5172
    @ordafabian5172 10 часов назад +2

    Ningekua mmi ngemwambia mke wangu tupike supu tunywe

  • @RhodaPaul-lw5pq
    @RhodaPaul-lw5pq 4 часа назад

    Mpaka ikafike uchaguzi atakuwa na sale za mboga za majani huyu😂😂

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 5 часов назад

    Pengine anataka kuanzisha chama kingine😂😂😂

  • @Shedrackwilfred
    @Shedrackwilfred 10 часов назад

  • @Drsilo-v5k
    @Drsilo-v5k 11 часов назад +2

    Hamn chamaaa bna nyie

  • @philipokihwele7620
    @philipokihwele7620 9 часов назад +1

    Sasa ivi anafungua kanisa huyu Maana hajazoea kuishi bila kuchunga kondoo

  • @AndersonAloys-cu9bd
    @AndersonAloys-cu9bd 10 часов назад

    We ni mbwa to hujui

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 7 часов назад

    Hivyo ni vijembe kwakuwa pembeni kwani sikuzote alikuwa anaongelea maandiko, au leo ndio kakumbuka maandiko kwakutokuwa mwenyekiti , kuwa mpole na mnyenyekevu wa moyo mzee.

  • @johnchonde4873
    @johnchonde4873 9 часов назад

    Yani hizi midia zinalipwa ili ziandike trash about chadema. 😮

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 10 часов назад +2

    Za ndani anafungua kanisa

  • @hermanndongolo1550
    @hermanndongolo1550 11 часов назад +3

    sawa sawa tumeelewa

  • @godfreychaula3969
    @godfreychaula3969 11 часов назад +5

    dalili za awali za kumpinga lisu,inaonesha mbowe ana maumivu fulani ambayo hayasemi wazi kwa sasa,muda ukifika tutaona mengi

    • @jdanny497
      @jdanny497 11 часов назад

      Umaskini na wivu wa qmaendeleo ndio tatizo kubwa Chadema...Mbowe ni tajiri ngoja tuone bakuli litafika wapi

    • @georgepewa9624
      @georgepewa9624 11 часов назад

      Walimsingizia vitu vingi ila muda utaongea

    • @georgepewa9624
      @georgepewa9624 11 часов назад

      Haswaa

    • @ramadhanichuma7925
      @ramadhanichuma7925 10 часов назад +1

      ​@@jdanny497 nyerere aliongoza chama kwa michango ya wana chama kani alikua tajiri

  • @sethmwakangata1871
    @sethmwakangata1871 9 часов назад

    ILA WATAKUKUMBUKA TU,NA HUU NI MWISHO WA CHADEMA TUSUBIRI

    • @benjaminlawi1400
      @benjaminlawi1400 9 часов назад

      Hayo ndiyo madhara ya kumtegemea mtu mmoja awatawale kana kwamba ni Mungu

    • @benjaminlawi1400
      @benjaminlawi1400 9 часов назад

      Hayo ndiyo madhara ya kumtegemea mtu mmoja awatawale kana kwamba ni Mungu

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 11 часов назад

    Mmenda na content hi nayo ni habari? 😮