PART5:TIMO MCHAWI TOKA MOROGORO ALIEKUA MWENYEKITI WA WACHAWI AFRICA/NILIUA WATU MILION 5 KWA UCHAWI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 27

  • @rerisamba
    @rerisamba Год назад +1

    😭😭😭nimelia sana ndio tunaambiwa tuwe waombaji jamani mtoto anaombea mamake mpka wachawi wakashindwa

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt Год назад

    Kweli maombi yanayo nguvu sana ,hakika sitachoka kuomba mpaka hatima yangu itakapotimia. Wachawi ,waganga,mapepo,majini,natuma mishale katika jina la Yesu kristo

  • @rerisamba
    @rerisamba Год назад +1

    Nikifikiria nikiwa mdogo vile nilikua na shika vipepeo wacha tu

  • @bonniebaraka
    @bonniebaraka Год назад +1

    Jamaa anasimulia kwa ufasaha sana big up Davista

  • @gideonmaganga1522
    @gideonmaganga1522 Год назад

    Huyu anaemuhoji amekuwa na MASWALI mengi sana

  • @gabrielmwakima4629
    @gabrielmwakima4629 Год назад

    Naomba namba yake nimuulize maswali

  • @rerisamba
    @rerisamba Год назад

    🤣🤣🤣 yani mwovu anazikwa karibu na mtu waMungu hio ndio inakua pona yake

  • @ashasaid9056
    @ashasaid9056 Год назад

    Kwa nn humalizii stori baba ronardo Yuko wapi?

  • @josehkibona7565
    @josehkibona7565 Год назад

    Tupo pamoja

  • @flm1530
    @flm1530 Год назад

    Part 6 please

  • @tututz100
    @tututz100 Год назад +2

    J.boys 1999

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 Год назад +1

    Hamna stori humu huyu anaelezea tu jinsi wachawi wanavyofanya mambo yao huu ni uwongo mtupu na si kama anasimulia stori ya Maisha yake..

    • @zulekhasaud483
      @zulekhasaud483 Год назад

      Mhhh tunashaka na ww kwani kunaubaya akisimulia mhhh 😂Yesu ndio njia ya kweri na uzma

    • @jkkim3848
      @jkkim3848 Год назад

      Si anaeleza maisha yake na vile walivyofanya...Ama unataka aeleze vipi uelewe

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt Год назад

      Acha kuongea hvyo kama hutaki acha,fuata imani yako

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Год назад

    We 2

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 Год назад

    Mnatuchanganyaaa😢

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 Год назад

    Hivi waislamu wanafanyaga maombi gani? Wanamkemea shetani gani? Wewe kama unaambiwa jini linamuabudu Mungu na kitabu wanachokitumia na kukiamini ni koroani, sasa hayo maombi yao yanapambana na nani? Majini na uislamu ni ndugu😂😂😂
    Ukibisha kasome kitabu cha koroani wakati majini wanaslimu walisema nini

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 Год назад

    Unapofika apo kanisani mchungaji hawezi kukufaamu kutokana yeye ni mtu wa mungu na mtu wamaombi??🇹🇿🇬🇷

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 Год назад

    NAULIZA KITU KIMOJA MAOBI YA KISLAM YA KIKISTO YAPI YANAKUA KIZUIZI NA KUKUPENI USUMBUFU MUKIWA KATIKA KAZI ZENU ZA KICHAWI???🇹🇿🇬🇷⛴⚓☝️

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      Atasema wakristo

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 Год назад +1

      Waislamu wanafanya maombi gani? Wewe kama unaambiwa jini linamuabudu Mungu na kitabu wanachokitumia na kukiamini ni koroani, sasa hayo maombi yao yanapambana na nani? Majini na uislamu ni ndugu😂😂😂
      Ukibisha kasome kitabu cha koroani wakati majini wanaslimu walisema nini

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      @@igurusitv6553 Sasa majini yameumbwa na nani?