YESU ALIKUNYWA MVINYO JE WAKRISTO TUNARUHUSIWA KUNYWA POMBE?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 79

  • @ElihurumaThomas-kz8nq
    @ElihurumaThomas-kz8nq 6 месяцев назад +2

    Mwalimu nakukubali sana ila hapa mwisho umetoka nje ya mada kwasababu Yesu ni mfalme wa wafalme lakini alikunywa je mbona alikunywa ilihali yeye nimnathiri na mpakwa mafuta wa Bwana

  • @geraldsenkondo4334
    @geraldsenkondo4334 10 месяцев назад +1

    Mwalimu umekuwa muwazi sana.Kunatofauti kubwa sana kati ya unywaji na Ulevi ,TUACHE ULEVI NI MBAYA SANA.

    • @akilisaba8944
      @akilisaba8944 10 месяцев назад

      For this today Am with you🎉🎉💯💯💯🙏🙏🙏.

    • @tetritetrino693
      @tetritetrino693 3 месяца назад

      Hakika hata chakula ukila ukazidisha nayo ni dhambi, hata Kileo ukizidisha sana ni dhambi kama kilivyo chakula

  • @MartinNduwayo-ju8df
    @MartinNduwayo-ju8df 6 месяцев назад

    mungu akubaliki sana wewe upo saihii

  • @RoseMwanga
    @RoseMwanga 11 месяцев назад

    Haya yoote ningeyajulia wapi Mimi na wengine wengii Hakika Mwl Isaya wewe Ni mwalimu Bora kwa Dunia nzima ::Pombe Ni haramu haileti maendeleo na unazo sababu zaidi ya 75 Hakika Mungu akupe maisha marefu mwalimi wa Neno la Mungu Isaya Benson Mwakilembe🎉🎉😊

  • @SamNecessity
    @SamNecessity 11 месяцев назад +1

    Umeanza kutaka sifa.....pole kwa kuanza kujibia Yesu maswali. Roho mtakatifu hawez kumruhusu mtu alewe....alivyo na wivu....

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 месяцев назад

      bibilia imeruhusu tena imeamrisha ila yesu hakuwa mlevi

    • @SamNecessity
      @SamNecessity 11 месяцев назад

      @@sabihaibrahim143 wakisha lewa wanabariki ile ya papa

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 месяцев назад

      @@SamNecessity hahahaaaa

  • @edwinchisala4954
    @edwinchisala4954 11 месяцев назад +2

    Mwalimu tunaomba kujifunza neno la Mungu wanafunzi tupo Wengi andaa mahali

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 11 месяцев назад +3

    👍👊✌️.

  • @MartineJoseph-u6i
    @MartineJoseph-u6i 19 дней назад

    Uneruka sababu ya nne mathayo 11:18-19,Yesu alikunywa pombe,Kuna kunywa pombe na kulewa pombe,Yesu anasema mwana WA adamu alikuja akinywa na kula wakamwita mlevi ,usirukeruke,Kuna kunywa na Kuna kunywa na kulewa usituzunguke

  • @ErnestHassan-nj7jl
    @ErnestHassan-nj7jl 6 месяцев назад +1

    Kama Yesu alikuwa anakunywa (hakuwa mlevi) sisi ni akina nani tuseme ni dhambi!? Biblia mafungu karibia yote uliyosoma yanakataza ulafi na ulevi. Ila hayajakataza kula na kunywa. Wengi mnasimamia ulevi unaotokana na kunywa kupita kiasi. Kumb Biblia inasema tuwe na kiasi, Ila kwa kweli hakuwa anyezungumzia ulafi unaotokana na pupa ikiwemo kula kupita kiasi! Hebu rudi kwenye hiyo mifano yako kama mlevi kupiga kelele, ulevi huleta umasikini, alilala na mabinti zake kwasababu ya ulevi n.k. nizungumzie miwili. Ninanza wa kulala na mabinti zake "" Je! Umesikia wanywaji kikawaida wangapi waliyo baka mabinti zao!? Je! Ni kweli kwamba wanao kunywa pombe hawana maendeleo!? Ama unawazungumzia mafukara wa kipato!? Hebu tafakari vizuri usipotoshe. Ninaitwa Ernest Hassan Kasekwa nipo Tunduma.

  • @LosotwaMichael
    @LosotwaMichael 2 месяца назад

    Hii ndiyo safu yako si ile ya kuwatetea dada wanaodhalilisha ukristo wetu

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 11 месяцев назад +1

    Yeremia 25:27
    27“Nawe unapaswa kuwaambia, ‘Yehova wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: “Kunyweni, mlewe, mtapike na kuanguka hivi kwamba msiweze kusimama kwa sababu ya upanga ninaotuma miongoni mwenu

    • @theodorythobius3965
      @theodorythobius3965 10 месяцев назад

      Mpendwa ukisoma biblia jitahidi kuomba Mungu akuongoze na sio matakwa binafsi,jitahidi usome kwa upana anzia mwanzo itakusaidia. Hata huo mstari uliouchukua utakugundua M/Mungu hajamaanisha unachokiamini.
      YEREMIA 25
      Adui kutoka kaskazini
      1Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Yehoyakimu mwana wa Yosia, katika Yuda, Mwenyezi-Mungu alinimpa mimi Yeremia ujumbe kuhusu watu wa Yuda. Mwaka huo ulikuwa wa kwanza wa utawala wa Nebukadneza mfalme wa Babuloni. 2Mimi Yeremia niliwaambia ujumbe huo watu wote wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: 3“Kwa muda wa miaka ishirini na mitatu sasa, yaani tangu mwaka wa kumi na tatu wa utawala wa mfalme Yosia mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda, mpaka hivi leo, nimekuwa nikipata neno la Mungu na kuwaambieni kila wakati, lakini nyinyi hamkusikiliza. 4Hamkutaka kusikiliza wala hamkutega sikio msikie, ingawa Mwenyezi-Mungu aliwaleteeni watumishi wake manabii kila wakati, 5wakawaambieni kwamba kila mmoja wenu aachane na mwenendo wake mwovu na matendo yake mabaya, ili mpate kuishi katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu amewapa nyinyi na wazee wenu tangu zamani, muimiliki milele. 6Mwenyezi-Mungu aliwaonya Mmsifuate miungu mingine wala kuitumikia na kumkasirisha Mungu kwa kuabudu sanamu ambazo mmejitengenezea wenyewe. Kama Mmkimtii Mwenyezi-Mungu basi, yeye hatawaadhibu. 7Lakini Mwenyezi-Mungu asema kuwa nyinyi mlikataa kumsikiliza. Badala yake, mlimkasirisha kwa sanamu mlizojitengenezea wenyewe, na hivyo mkajiletea madhara nyinyi wenyewe.
      8“Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema hivi: “Kwa kuwa hamkuyatii maneno yangu, 9basi, nitayaita makabila yote ya kaskazini, pamoja na mtumishi wangu Nebukadneza, mfalme wa Babuloni. Nitawaleta waishambulie nchi hii na wakazi wake pamoja na mataifa yote ya jirani. Nitawaangamiza kabisa, na kuwafanya kuwa kitu cha kuchukiza, kuzomewa na kudharauliwa milele. 10Tena, nitakomesha miongoni mwao sauti za furaha, sauti za bwana arusi na bibi arusi. Sauti za kusaga hazitakuwapo, wala mwanga wa taa. 11Nchi hii yote itakuwa magofu matupu na ukiwa, na mataifa ya jirani yatamtumikia mfalme wa Babuloni kwa muda wa miaka sabini. 12Kisha baada ya miaka hiyo sabini kukamilika nitamwadhibu mfalme wa Babuloni pamoja na taifa hilo. Nitaiangamiza nchi hiyo ya Wakaldayo kwa sababu ya uovu wao na kuifanya nchi iwe magofu milele. 13Nitailetea nchi hiyo mambo yote niliyotamka dhidi yake na yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki ambayo Yeremia alitabiri dhidi ya mataifa yote. 14Wababuloni nao itawalazimu kuwa watumwa wa mataifa mengine na wafalme wengine. Nitawaadhibu kadiri ya maovu yao waliyotenda.”
      Kikombe cha hukumu
      15Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliniambia hivi: “Chukua mkononi mwangu hiki kikombe cha divai ya ghadhabu yangu uyanyweshe mataifa yote ninayokutuma kwao. 16Mataifa hayo yatakunywa na kupepesuka na kurukwa na akili kwa sababu ya mauaji nitakayosababisha kati yao.”
      17Basi, nikachukua hicho kikombe mkononi mwa Mwenyezi-Mungu, nikayanywesha mataifa yote ambayo Mwenyezi-Mungu alinituma kwao. 18Kwanza Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na viongozi wake, ili kuifanya iwe jangwa, ukiwa, kitu cha kuzomewa na kulaaniwa, kama ilivyo mpaka leo. Halafu: 19Farao, mfalme wa Misri, maofisa na viongozi wake, pamoja na watu wake wote; 20wageni wote walioishi nchini Misri; wafalme wote wa nchi ya Uzi; wafalme wote wa miji ya Wafilisti, Ashkeloni, Gaza, Ekroni na mabaki ya Ashdodi. 21Watu wote wa Edomu, Moabu na Amoni; 22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ya bahari ya Mediteranea; 23wakazi wa Dedani, Tema, Buzi na watu wote wanyoao denge; 24wafalme wote wa Arabia; wafalme wote wa makabila yaliyochanganyika jangwani; 25wafalme wote wa Zimri, Elamu na Media; 26wafalme wote wa kaskazini, mbali na karibu, mmoja baada ya mwingine. Falme zote ulimwenguni zitakunywa. Na, baada ya hao wote naye mfalme wa Babuloni atakunywa.
      27Mwenyezi-Mungu akaniamuru: “Utawaambia kuwa mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, nasema hivi: Kunyweni, mlewe na kutapika; angukeni wala msiinuke tena, kwa sababu ya mauaji ninayosababisha miongoni mwenu. 28Kama wakikataa kukipokea kikombe hicho mkononi mwako na kunywa, wewe utawaambia kuwa mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nasema kwamba ni lazima wanywe! 29Tazama! Sasa ninaanza kuleta maafa katika mji unaoitwa kwa jina langu; je, mnadhani mnaweza kuepukana na adhabu? Hamtaachwa bila kuadhibiwa, maana ninaleta mauaji dhidi ya wakazi wote wa dunia. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.
      30“Basi, wewe Yeremia utatabiri maneno haya yote dhidi yao, na kusema hivi:
      Mwenyezi-Mungu atanguruma kutoka juu,
      atatoa sauti yake kutoka makao yake matakatifu;
      atanguruma kwa nguvu dhidi ya watu wake,
      na kupaza sauti kama wenye kusindika zabibu,
      dhidi ya wakazi wote wa dunia.
      31Vishindo hivyo vitasikika hadi mwisho wa dunia,
      maana Mwenyezi-Mungu ana mashtaka dhidi ya mataifa;
      anawahukumu wanadamu wote,
      na waovu atawaua kwa upanga!
      Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
      32Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema:
      “Tazama, maafa yatalikumba taifa moja baada ya lingine,
      na tufani itazuka kutoka miisho ya dunia.”
      33Siku hiyo, watakaouawa na Mwenyezi-Mungu watatapakaa kutoka upande mmoja wa dunia hadi mwingine. Hawataombolezewa, hawatakusanywa wala kuzikwa; watabaki kuwa mavi juu ya ardhi.
      34Ombolezeni enyi wachungaji;
      lieni na kugaagaa majivuni enyi wakuu wa kundi;
      siku za kuchinjwa kwenu na kutawanywa zimefika;
      mtauawa kama kondoo madume waliochaguliwa.
      35Wachungaji hawatakuwa na pa kukimbilia,
      wala wakuu wa kundi hawataweza kutoroka.
      36Sikilizeni kilio cha wachungaji
      na mayowe ya wakuu wa kundi!
      Mwenyezi-Mungu anayaharibu malisho yao,
      37na makundi yaliyokuwa matulivu yameharibiwa
      kwa sababu ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
      38Mwenyezi-Mungu amewaacha watu wake,
      kama vile simba aachavyo pango lake;
      nchi yao imekuwa jangwa tupu,
      kwa sababu ya vita vya wadhalimu,
      na hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
      Biblia Habari Njema kwa Watu Wote .Jifunze Mengi Kuhusu biblia . Mungu akuongoze na akubariki .Karibu

  • @amangulunduelo8750
    @amangulunduelo8750 11 месяцев назад

    Amina , Amina

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 7 месяцев назад +2

    Sisi hatuko chini ya SHERIA

  • @alainethuranira7175
    @alainethuranira7175 5 месяцев назад

    but remember back in the days the tradition of the days there used to be fresh grape whine and fermented , it was custom for them to take whine while on feeds

  • @charlesstanslaus371
    @charlesstanslaus371 6 месяцев назад +1

    Ulivyoanza maelezo yako ya ki roho nilikuelewa. Ila hapa mwisho umechanganya unawahi wa pombe na ulevi wa Pombe. Nakubaliana na wewe, ulevi ni mbaya unasababishia walevi masaibu mabaya mengi. Umekiri mwenyewe kuwa; watu walikunywa pombe kwa ajiri ya tumbo zao. Je, iliwasababishia masaibu? Hapa mwishoni umeielezea pombe kama unavyotaka mwenyewe ieleweke. Lakini kumbuka Kitabu cha Mtakatifu Petro kinakataza mtu kuyafasili maandiko kama apendavyo mwenyewe!

  • @wellemawancogere6932
    @wellemawancogere6932 11 месяцев назад +1

    Tulewebilakutenda dhambi

  • @cliffdenis144
    @cliffdenis144 9 месяцев назад

    Nasikitika sana kwa ajili ya Geordavie alianza vizuri sana sijui kafla imekuwaje unaona hata watu walioko chini yake wamekuwa vibaraka wa shetani

    • @salummussa9871
      @salummussa9871 7 месяцев назад

      MAFUNDISHO yake ni sahihi kabisa usihukumi

    • @cliffdenis144
      @cliffdenis144 7 месяцев назад

      @@salummussa9871 pole ndungu tafuta mwalimu mzuri maana ww ni mkristo uliamia kutoka kwenye uislamu muombe Yesu ili upate mafundisho sahihi

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 11 месяцев назад +2

    DIVAI NI POMBE KAMILI, SOMA mwanzo 9: 20-21, hapo ndipo utajua matunda mengi Yana asili ya pombe. Ukinywa pombe kidogo kama afya ya tumbo, sio dhambi. Bibilia inasema tuwe na kiasi Kwa vyakula, tusifanye ulafi.

    • @wellemawancogere6932
      @wellemawancogere6932 7 месяцев назад

      Anamaanisha mwanza imejengwa na wasiolewa hakuna nyumbaya mlevi

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 месяцев назад +1

    Mama yake samsoni naye aliambiwa asinywe mvinyo na Samsoni pia. Na YOHANA pia. Nikweli hakuna ilipo katazwa moja kwa moja . Wanaziri wa Mungu mkuu walikatazwa. Lakini kwa ujumla pombe siyo nzuri na vingine vyote vinavyo sababisha binadamu kuharibu akili zao.

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 11 месяцев назад +1

    KILA KITU KINA MUDA KUTHIBITIKA. KAMA ALIOKUNYWA YESU NDIO MNAYOKUNYWA HAYA INGIENI KANISANI KWENU MNYWE KAMA YESU ALIVYOKUNYWA AKIWA NA WANAFUNZI MAANA HAWAKUNYWA KIFUNDA KIMOJA BALI WALIKUNYWA NA KULA MKATE NA KISHIBA NAKWENDA SAFARI NDEFU HADI NG'AMBO BILA KUONA MMOJA WAO ANALEWA. SASA KUNYWENI MLE HADI KUSHIBA TUONE MAJIBU MAANA IMEANDIKWA KWA MATENDO YAO MTAWATAMBUA

  • @daudilangat6123
    @daudilangat6123 11 месяцев назад +1

    Nakusihi urudi nyuma kwa dhambi yakuhalalixha manabii wa uongo na wakishetani eti tuwaamini uombe msamaha kwa kuhalalisha Lucifer ndo uzidi kuendelea na ujambuzi wako juu sitaendelea kunyamaxa ukipotosha watu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 11 месяцев назад +1

    bibilia imewaruhusu mulewe mutapike mpaka muanguke kwa kweli dini yenu mtihani kila chafu kwenu halali

    • @theodorythobius3965
      @theodorythobius3965 10 месяцев назад

      Mpendwa ukisoma biblia jitahidi kuomba Mungu akuongoze na sio matakwa binafsi,jitahidi usome kwa upana anzia mwanzo itakusaidia. Hata huo mstari uliouchukua utakugundua M/Mungu hajamaanisha unachokiamini.
      YEREMIA 25
      Adui kutoka kaskazini
      1Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Yehoyakimu mwana wa Yosia, katika Yuda, Mwenyezi-Mungu alinimpa mimi Yeremia ujumbe kuhusu watu wa Yuda. Mwaka huo ulikuwa wa kwanza wa utawala wa Nebukadneza mfalme wa Babuloni. 2Mimi Yeremia niliwaambia ujumbe huo watu wote wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: 3“Kwa muda wa miaka ishirini na mitatu sasa, yaani tangu mwaka wa kumi na tatu wa utawala wa mfalme Yosia mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda, mpaka hivi leo, nimekuwa nikipata neno la Mungu na kuwaambieni kila wakati, lakini nyinyi hamkusikiliza. 4Hamkutaka kusikiliza wala hamkutega sikio msikie, ingawa Mwenyezi-Mungu aliwaleteeni watumishi wake manabii kila wakati, 5wakawaambieni kwamba kila mmoja wenu aachane na mwenendo wake mwovu na matendo yake mabaya, ili mpate kuishi katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu amewapa nyinyi na wazee wenu tangu zamani, muimiliki milele. 6Mwenyezi-Mungu aliwaonya Mmsifuate miungu mingine wala kuitumikia na kumkasirisha Mungu kwa kuabudu sanamu ambazo mmejitengenezea wenyewe. Kama Mmkimtii Mwenyezi-Mungu basi, yeye hatawaadhibu. 7Lakini Mwenyezi-Mungu asema kuwa nyinyi mlikataa kumsikiliza. Badala yake, mlimkasirisha kwa sanamu mlizojitengenezea wenyewe, na hivyo mkajiletea madhara nyinyi wenyewe.
      8“Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema hivi: “Kwa kuwa hamkuyatii maneno yangu, 9basi, nitayaita makabila yote ya kaskazini, pamoja na mtumishi wangu Nebukadneza, mfalme wa Babuloni. Nitawaleta waishambulie nchi hii na wakazi wake pamoja na mataifa yote ya jirani. Nitawaangamiza kabisa, na kuwafanya kuwa kitu cha kuchukiza, kuzomewa na kudharauliwa milele. 10Tena, nitakomesha miongoni mwao sauti za furaha, sauti za bwana arusi na bibi arusi. Sauti za kusaga hazitakuwapo, wala mwanga wa taa. 11Nchi hii yote itakuwa magofu matupu na ukiwa, na mataifa ya jirani yatamtumikia mfalme wa Babuloni kwa muda wa miaka sabini. 12Kisha baada ya miaka hiyo sabini kukamilika nitamwadhibu mfalme wa Babuloni pamoja na taifa hilo. Nitaiangamiza nchi hiyo ya Wakaldayo kwa sababu ya uovu wao na kuifanya nchi iwe magofu milele. 13Nitailetea nchi hiyo mambo yote niliyotamka dhidi yake na yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki ambayo Yeremia alitabiri dhidi ya mataifa yote. 14Wababuloni nao itawalazimu kuwa watumwa wa mataifa mengine na wafalme wengine. Nitawaadhibu kadiri ya maovu yao waliyotenda.”
      Kikombe cha hukumu
      15Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliniambia hivi: “Chukua mkononi mwangu hiki kikombe cha divai ya ghadhabu yangu uyanyweshe mataifa yote ninayokutuma kwao. 16Mataifa hayo yatakunywa na kupepesuka na kurukwa na akili kwa sababu ya mauaji nitakayosababisha kati yao.”
      17Basi, nikachukua hicho kikombe mkononi mwa Mwenyezi-Mungu, nikayanywesha mataifa yote ambayo Mwenyezi-Mungu alinituma kwao. 18Kwanza Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na viongozi wake, ili kuifanya iwe jangwa, ukiwa, kitu cha kuzomewa na kulaaniwa, kama ilivyo mpaka leo. Halafu: 19Farao, mfalme wa Misri, maofisa na viongozi wake, pamoja na watu wake wote; 20wageni wote walioishi nchini Misri; wafalme wote wa nchi ya Uzi; wafalme wote wa miji ya Wafilisti, Ashkeloni, Gaza, Ekroni na mabaki ya Ashdodi. 21Watu wote wa Edomu, Moabu na Amoni; 22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ya bahari ya Mediteranea; 23wakazi wa Dedani, Tema, Buzi na watu wote wanyoao denge; 24wafalme wote wa Arabia; wafalme wote wa makabila yaliyochanganyika jangwani; 25wafalme wote wa Zimri, Elamu na Media; 26wafalme wote wa kaskazini, mbali na karibu, mmoja baada ya mwingine. Falme zote ulimwenguni zitakunywa. Na, baada ya hao wote naye mfalme wa Babuloni atakunywa.
      27Mwenyezi-Mungu akaniamuru: “Utawaambia kuwa mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, nasema hivi: Kunyweni, mlewe na kutapika; angukeni wala msiinuke tena, kwa sababu ya mauaji ninayosababisha miongoni mwenu. 28Kama wakikataa kukipokea kikombe hicho mkononi mwako na kunywa, wewe utawaambia kuwa mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nasema kwamba ni lazima wanywe! 29Tazama! Sasa ninaanza kuleta maafa katika mji unaoitwa kwa jina langu; je, mnadhani mnaweza kuepukana na adhabu? Hamtaachwa bila kuadhibiwa, maana ninaleta mauaji dhidi ya wakazi wote wa dunia. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.
      30“Basi, wewe Yeremia utatabiri maneno haya yote dhidi yao, na kusema hivi:
      Mwenyezi-Mungu atanguruma kutoka juu,
      atatoa sauti yake kutoka makao yake matakatifu;
      atanguruma kwa nguvu dhidi ya watu wake,
      na kupaza sauti kama wenye kusindika zabibu,
      dhidi ya wakazi wote wa dunia.
      31Vishindo hivyo vitasikika hadi mwisho wa dunia,
      maana Mwenyezi-Mungu ana mashtaka dhidi ya mataifa;
      anawahukumu wanadamu wote,
      na waovu atawaua kwa upanga!
      Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
      32Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema:
      “Tazama, maafa yatalikumba taifa moja baada ya lingine,
      na tufani itazuka kutoka miisho ya dunia.”
      33Siku hiyo, watakaouawa na Mwenyezi-Mungu watatapakaa kutoka upande mmoja wa dunia hadi mwingine. Hawataombolezewa, hawatakusanywa wala kuzikwa; watabaki kuwa mavi juu ya ardhi.
      34Ombolezeni enyi wachungaji;
      lieni na kugaagaa majivuni enyi wakuu wa kundi;
      siku za kuchinjwa kwenu na kutawanywa zimefika;
      mtauawa kama kondoo madume waliochaguliwa.
      35Wachungaji hawatakuwa na pa kukimbilia,
      wala wakuu wa kundi hawataweza kutoroka.
      36Sikilizeni kilio cha wachungaji
      na mayowe ya wakuu wa kundi!
      Mwenyezi-Mungu anayaharibu malisho yao,
      37na makundi yaliyokuwa matulivu yameharibiwa
      kwa sababu ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
      38Mwenyezi-Mungu amewaacha watu wake,
      kama vile simba aachavyo pango lake;
      nchi yao imekuwa jangwa tupu,
      kwa sababu ya vita vya wadhalimu,
      na hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.
      Biblia Habari Njema kwa Watu Wote .Jifunze Mengi Kuhusu biblia . Mungu akuongoze na akubariki .Karibu

    • @frankmugomba3484
      @frankmugomba3484 7 месяцев назад

      Kwakuwa ujui kitabu chako nitafute nikuonyeshe Mwamedi mtume wako alivyokuwa nakulwa pombe

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 7 месяцев назад

      @@frankmugomba3484 nyoooo pombe mmehalalishiwa makafiri katika kitabu chenu cha iluminati munywee mulewe mpaka mutapike na muanguke yani ni starehe tu mana mukishaanguka ni upinde tu unaofuata Mungu gani anayeweza kuwambia watu hivi kama sio shetani

  • @kingofrich6813
    @kingofrich6813 10 месяцев назад

    Hivi dunia imekosa vinywaji mpaka mnywe pombe 😂😂😂😂
    Najivunia Kuwa muislam ❤❤
    Uislamu hauruhusu mtu ata kuonja pombe.
    Ni Haram na wanaokunywa wote wanapata dhambi ata kama ni muislam.
    Mvinyo unamadhara tena makubwa ata kama utaonja tu.
    Allah Akbar

    • @AimeBirusha-j6u
      @AimeBirusha-j6u 9 месяцев назад

      Waislam njo wale I WA kwanza maana munakataza kwa midomo ila kwa matendo munakunywa tazama mwezi ramazani jinsi baa zinafungwa kwa kukosa wateja mukifunguwa zinajaa, heri wakatoliki wenyi kunywa azarani kuliko nyinyi wakujificha na koo zenu ni kama ngamiya hukumu inawachunga.

  • @bambuguyasamuel3107
    @bambuguyasamuel3107 10 месяцев назад

    Nime rithika Kabisa na Majibu hiyo

  • @wazirbashir7626
    @wazirbashir7626 11 месяцев назад +1

    Mwl IBM nimekuelewa sana lkn ntaendelea kunywa kamwe sitaacha kabisa labda kupunguza kiasi ili nisifikie hatua ya ulevi wa kupindukia

    • @cliffdenis144
      @cliffdenis144 9 месяцев назад +1

      Pombe ni dhambi asikudanganye mtu mr

    • @wazirbashir7626
      @wazirbashir7626 9 месяцев назад

      @@cliffdenis144 umeelewa nilichoandika? Iwe dhambi isiwe binafsi yangu nitaendelea kunywa

    • @cliffdenis144
      @cliffdenis144 9 месяцев назад

      @@wazirbashir7626 nikuambie brother ukijifanya aujali leo unachoambiwa siku utakuja itaji kujali itakuw too late ni Bora ukatii leo maana ata mfano ukakuta sio Bado itakuwa huna Cha kupoteza ni ushauri tu nakupa

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 11 месяцев назад

    Hizi imani za kuletwa Africa,ndizo zilizorudisha nyuma maendeleo ya Africa...,Mara unywe,mara usinywe...hovyo kabisa.UKIONA MTU HANA MAENDELEO KWA SABABU YA KUNYWA MVINYO,TATIZO LIPO KWAKE SIO MVINYO.

    • @salummussa9871
      @salummussa9871 7 месяцев назад

      Acha kujidanganya viongozi wa DUNIA na matajiri ni walevi

  • @rogatemsangi6418
    @rogatemsangi6418 8 месяцев назад

    Kilimanjaro tu!

  • @amangulunduelo8750
    @amangulunduelo8750 11 месяцев назад

    JAMBO , Mimi ninaishi marekani nina kufuata kwa vipindi vyote . Kulingana. YOELI 1: 5 sijaelewa kulingana na mafundisho hayo

  • @LenatussylivesterPetro
    @LenatussylivesterPetro 4 месяца назад

    Maan ya ulevi ni kulewa pombe TU au nikuzdisha chochote kile

  • @ErnestTomas
    @ErnestTomas 11 месяцев назад +1

    fanya kazi nyingine hii si yako

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 11 месяцев назад +1

    Mamake Samson ndio alikatazwa kunywa divai kwa sababu alikuwa abebe mnadhiri tumboni.so hakurusiwa anywe akiwa na ujauzito

    • @SamNecessity
      @SamNecessity 11 месяцев назад

      Km wew ni mtu wa hasara hasara kunywa.

  • @daudilangat6123
    @daudilangat6123 11 месяцев назад +2

    Enzi xa yesu ule mvinyo ulikuwa unatoka kwa mizabibu direct ndo maana unaona wanapungukiwa nayo wakati wa harusi kule kana ni kwa sababu ilikua inajukua mda ndo itoshelexe kwa sherehe soma historia ya hizo nyakati xa yesu utatambua divai ilikuwa ikitengenezwa aje

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 11 месяцев назад

      Kwani ss inatoka wapi

    • @philimonmmbaga4700
      @philimonmmbaga4700 11 месяцев назад

      Ile ya dodoma inatengenezwa na mapapai au em acha kupindisha ujinga.enzi yakiizraeli pombe ikiisha kabla sherehe haijaisha ilikua ni aibu kubwa

    • @daudilangat6123
      @daudilangat6123 11 месяцев назад

      ​@@AjiaMohamed-rt5pbya xaxa chemical xa kua watu

    • @daudilangat6123
      @daudilangat6123 11 месяцев назад

      ​@@philimonmmbaga4700huna habari wakati wa harusi waliishiwa na divai

    • @paulmwangi3438
      @paulmwangi3438 11 месяцев назад

      Ushasema. Tena hiyo fresh haikuwa inalewesha.

  • @jifunzeleo.8610
    @jifunzeleo.8610 11 месяцев назад +1

    Walevi wanajitetea 😂😂😂😂

    • @ruthmuja7792
      @ruthmuja7792 9 месяцев назад

      Na wanajitetea kweli na kujifariji

  • @yusuphbenjaminkugaiwa7608
    @yusuphbenjaminkugaiwa7608 5 месяцев назад

    Mambo haya yanamhitaji mtu mwenyewe kuamua wapi aelekee ikiwa tumepewa utambuzi vilevile akili na maarifa kuliko viumbe wengine hivyo hakuhitajiki nguvu ispokua imani na maamuzi!

  • @ChristopherManase-y4e
    @ChristopherManase-y4e 7 месяцев назад

    Kumuelewa mtu %100 aa ni kugumu utuluvu kwa m2 anapojifunza jambo au anapofutilia jambo kunakuaga hakuna ndiyo maaana kuelewa ni kugumu kama mti mkarati

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 11 месяцев назад

    Dini ya walevi😂😂

  • @deliverancechurchintmeliku3353
    @deliverancechurchintmeliku3353 10 месяцев назад

    MWALIMU UKO SAWA, NI VILE UKO NDANI KIBIBLIA NA WENGINE WAKO JUJUU. ENDELEA 😅😅😅😅

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 10 месяцев назад

    Je eliya ndiye yohana mbatizaji? Na eliya alikuja hapa duniani mara ngapi?

  • @jonathanmbilinyi9556
    @jonathanmbilinyi9556 11 месяцев назад +1

    Nina swali linahusu biblia maltini Luther alikuwa na hoja 99 akipinga kutoka Romani na waroma Wana biblia Ina vitabu 72 halafu waluteli na walokole Wana biblia yenye vitabu 66
    Swali je maltini Luther ndie Alie andika hii biblia yenye vitabu 66

  • @AsherleyIsaka
    @AsherleyIsaka 7 месяцев назад

    Nakusalimia mwalimu. Naomba niulize swali hivi kumuomba Maria mama wa yesu ni sahihi?

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 9 месяцев назад

    Ila mwalimu unaanza kwakuihalalisha pombe halafu mwishoni ndo unasema pombe si nzuri
    Tukueleweje ?!

  • @YohanaSalvatory
    @YohanaSalvatory 7 месяцев назад

    Mh kwaiyo mtumishi neno wape maskin pombe na kileo kusud wasahau shida zao,ktk kunyongwa walinyongwa maskini tu?

  • @AlfredySanga
    @AlfredySanga 5 месяцев назад

    Je? Kama mtu alikuwa mlevi na baadae haitaki tena pombe maana yake nn?

  • @paulmwangi3438
    @paulmwangi3438 11 месяцев назад

    Lakini mchungaji mie vile naelewa ni kwamba kulikuwa na wine mara mbili. There was fermented and unfermented wine of which the latter was commonly used in sacred feasts. Nafikiria yesu alitumia hiyo.

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 10 месяцев назад

    Kila kitu ukizidisha kinakuwa dhambi

  • @solomonrwabose7600
    @solomonrwabose7600 11 месяцев назад +1

    Mbona unakubaliana na hao waliokuwa wakishutumu Yesu eti ni mlevi, wakati Yesu biblia inasema walevi hawata urithi ufalme wa mbinguni. na ukumbuke waKristo tunaishi tukifuata mfano wa maisha ya Yesu ilivo ishi hapa duniani. Yesu ilikuwa hatumie pombe. na unakubali eti apo kwenye harusi Yesu alifanya maji kuwa pombe 😃 basi kama hivyo atakuwa ndie Mungu wa pombe, sasa iweje tena Yesu umutumie Paul kusema eti walivi hawata urithi ufalme wa mbinguni. you see your teaching how it's full of contradiction and confusion.

    • @marionoti5760
      @marionoti5760 11 месяцев назад +1

      Ulafi na ulevi ni dhambi, kwa vile unakosa kiasi. Hata maji ukinywa bila kiasi yatakuadhiri maana yake utaudhuru mwili wa kristo ambao ni Kanisa. kusema pombe ni dhambi ni mafundisho ya kibinadamu, na ndio dhambi kuu inayokaziwa na walokole(wamejitungia dhambi) usengenyaji na tungo za uwongo dhidi ya wengine kwao sio dhambi. Ni mwongo mwakilembe, pombe haijawahi kutenda dhambi, anayetenda dhambi ni mtu na dhamiri yake. Walio na maendeleo, akili nzuri, huruma, wenye kusamehe upesi, wasio na unafiki, walio huru, bidii, uvumbuzi, uvumilivu, wasio weza kujinyonga na utu wema, mara nyingi(kwa asilimia kubwa) huwa ni wale wanao kunywa pombe (sio walevi). Fanya uchunguzi.

  • @ErnestHassan-nj7jl
    @ErnestHassan-nj7jl 6 месяцев назад

    Biblia imekataza sana ulevi, ila haijakataza kunywa. Unazungumzia sana ulevi ambao ni kweli ni dhambi. Soma sifa za Askofu kwenye Tito 1 na 1Timoth 3 utajua vizuri. Mbn huzungumzii ulafi unaotokana na "kula"!?

  • @victorgodluck574
    @victorgodluck574 10 месяцев назад

    Kwahiyo unakunywaga pombe wewe?

  • @LosotwaMichael
    @LosotwaMichael 2 месяца назад

    Hii ndiyo safu yako si ile ya kuwatetea dada wanaodhalilisha ukristo wetu