KUMEKUCHA KURA YA MAPEMA BADO UTATA ZANZIBAR MBUNGE WASTAAFU SINGA ATOA KAULI HII

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 98

  • @DuuSaid
    @DuuSaid Месяц назад +1

    Daa tamaa mbaya mi naona halbadirii zipigwe kabla. Uchaguzi adui yoyote mwenye kuleta hujuma kwa wazanzibari mungu amuondoe mapema😎

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 Месяц назад +4

    Wallah mara hii hatukubali

  • @AmarOmar-vh9pd
    @AmarOmar-vh9pd Месяц назад +1

    Tukifa tunakufa sisi raia haguswi mwinyi wala kiongozi wa ccm lkn Allah ndie ataehukumu kwa yote na siku ya malipo ipo

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi Месяц назад

    Weee kengee unasema omo anafos uongoz hukoo tumeka chuma. Bara mama samiaa japo.ccm tunamtiliaaa ilaa huku zenii sasa utajua ujui😅😅😅😅

  • @suleimanseif3290
    @suleimanseif3290 Месяц назад +5

    Tushachoka hatutaki kura ya siku mbili ni ghilba tu kura siku moja tu

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад

    Atakae jaribu kukandamiza au kuonea wananchi allah amuondoshe mapema katika mgongo wa ardhi

  • @SuolFat
    @SuolFat Месяц назад +4

    Ivi huyu mwinyi hawa sikii wazanzibar kile wanachotaka au ndio anaandaa mipango yake ya uzalimu na uuwaji

  • @omarabdallah3883
    @omarabdallah3883 Месяц назад +2

    SISI WAZANZIBARI UZANZIBARI WETU UNATUUMA NA TUNA UCHINGU NAO,TUNAJUA TUNACHOTAKA,WEWE BAIA KAA KIMYA.

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y Месяц назад +3

    Ngangari ngangari marahii

  • @dogoabdou
    @dogoabdou Месяц назад +1

    Iyo shria hajapotixhwa kisheria kura ya mapema munailazimisha lkn haipo kisheria

  • @Abdul-rrahmanOmar
    @Abdul-rrahmanOmar Месяц назад

    Nyie semeniii ila mwaka huu kitaeleweka tu tumechoka na haya mateso

  • @IsayaMala-v1r
    @IsayaMala-v1r Месяц назад

    Kwan iyo katiba si imeundwa bas ni kuwekwa sawa tu maana kura ya siku mbili watu wanakufa we muhindi wa wapi ww

  • @AhmedKhalfan-x7u
    @AhmedKhalfan-x7u Месяц назад +1

    Hawa mungu ndie atakae waona, lakin ccm haifai kabisa.

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 Месяц назад

    Chawa tu hili

  • @TahirAli-i9o
    @TahirAli-i9o Месяц назад +1

    Mjomba singa hakuna katiba wala kabati hawa ccm wezi watu laki tano kura siku mbili watu milioni 50 kura siku moja huu wizi na katiba si msahafu inabadilishwa lazima serekali isikilize maoni ya wananchi vyenginevyo uchaguzi utakua mgumu

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Месяц назад

      Iyo ndo maana ya mamlaka kamili watu kujipangia mambo yao wenyewe hata tungekuwa wawili tu wakati tumeamua kufanya tutakavyo acha tufanye.

  • @dogoabdou
    @dogoabdou Месяц назад +1

    Katibagan inayo fwata hapa zanzibar Kwan ccm wanafata katiba gn c wanafanya kwanguvi

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro Месяц назад

    HUYU SINGA SINGA ANAFANYA NINI ZANZIBAR SI AKAISHI KWAO INDIA

    • @SalumSaid-r7p
      @SalumSaid-r7p Месяц назад

      Hii dunia kila mtu anahaki ya kuishi popote, acha roho mbaya, dunia mapito, tunapokwenda nyanda moja, mbora wetu mchamungu rangi na makabila ni kujuana tu.

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman Месяц назад

      Wew wajiona kuwa Zanzibar ni kwenu? Usije kujishangaa ukawa ni mtu kutoka Burundi.

  • @NassorRashid-c2e
    @NassorRashid-c2e Месяц назад

    Bara Haku nawatuwatume'

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Месяц назад

    Hio sharia ya uchaguzi wa siku mbili ilipitishwa na chama tawala baada ya kulazimisha ushindi.Uchaguzi wa siku mbili kwa Zanzibar ni mbinu ya kuiba kura tu wala hakuna jengine.

  • @salyali7807
    @salyali7807 Месяц назад +1

    Ndio hawa wanakuja zanzibar kwa matumbo yao tu. Katiba gani? Wakati ule hata serikali iliingia sio kwa kikatiba wizi mtupu na utumbo

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر Месяц назад

    Kura ya mapema hatuitaki.

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 Месяц назад

    Na hii cahanel niyamachawa

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud Месяц назад

    Wahindi mnajitahidi kujipendekeza ila nyny ni watu musiopendeza kwa watawala hata kidogo

  • @AlawyAlawi
    @AlawyAlawi Месяц назад

    Weye malemba hiyo kura ya mapem humo ndan ya kariba iliwekwa kisharia au ni kinyume na sheria sio ubwabwaje kama ulieko ucngizini

  • @sinahajakhamisjuma
    @sinahajakhamisjuma Месяц назад

    Ww mzee Acha maneno mengi zanzbar hamna katba nakama ww unaona ipo bas haifuatwi

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b Месяц назад

    Peleka ndevu zako nyeupe India huko, sio Zanzibar mamluki mkubwa ww
    Mara hii hatumwi mtoto dukani mzee wangu, vijana tunataka Zanzibar yetu

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 Месяц назад

    Hatuwachaguwa na hawawezi kuamuwa tunalolitaka yote mijizi ndio iliyojazana barazani

  • @salyali7807
    @salyali7807 Месяц назад +2

    Jamaa hana uchungu na zanzibar muacheni aropokwe tu

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq Месяц назад +1

    Sisi ni wa Zanzibar uZanziabar upi tulionao chini ya TANGANYIKA ?

  • @AbdulMajidi-i9m
    @AbdulMajidi-i9m Месяц назад

    Huyu mzee han akil ten anaongea pumba maendeleo gn ayo magorofa unalinda icho kijio chko ongea kwel huwez tumechok na utawal wa ccm tunaitaj mabadilko

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary Месяц назад

    Kuanzia Leo utakuwa waziri wa feza

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp Месяц назад

    Mara hii mguu supu tu ndio dawa la si hivyo haki ikiporwa hapa znz hapatotawalika tena tumechoka kuuliwa mara hii basi wakilita twaleta kama iwe mbai tuu

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Месяц назад

    Wazee kama hawa ndio chanzo cha matatizo zanzibar na hii inaonesha zahir moyo wake wa roho mbaya ukoje

  • @WadyShaibumohammed
    @WadyShaibumohammed Месяц назад +2

    Huyu mzee nilimona anabusara kumbee pumba tupu

  • @dogoabdou
    @dogoabdou Месяц назад +1

    Cio wazee wananchi washirikshwe kwenye Sheria mnazo tunga

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u Месяц назад

    Hebu viongozi wa siasa na ccm kwa jumla niwaombe kaeni na viongozi wa uinzani pamoja na wananchi muone hii kura ya siku mbili inaulazima ai mpaka tuuwane ndio tuanze kukaa vikao vya kulipana posho na kulipana fidia majanga ya kitokea hayaangalii kiongoziwa juu wa mwananchi wakawaida sote tutakua ni waathirika mukitaka kujua angalieni wakati wa korona

  • @AmarOmar-vh9pd
    @AmarOmar-vh9pd Месяц назад

    Mshenzi tu huyo mbwa mkubwa

  • @DohaQatar-w4t
    @DohaQatar-w4t Месяц назад

    Hili vip

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud Месяц назад

    Katiba si msahafu sheria imewekwa kwaajili ya watu kama watu hawaitaki kwann musiiondoe?? Kwanini jambo kubwa kama hili halikupigiwa kura ya ndio na hapana kwa na wananchi ??

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq Месяц назад +1

    Hawa,matumbo,moto,ndio,yanayoiharibu,znz,hai wezekani,bara,wapigekura,sikumoja,znz,tupigekura,siku,mbili,kwakisingizio,Sheria,

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Месяц назад

      Apo ndo mnajichanganya na shida hamjuwi mnachokitaka,umesema tanganyika na zanzibar ivo ni vitu viwili tofauti Sisi tuna maamuzi yetu wenyewe na haya tuliamua sisi hatukuamuliwa na tanganyika

  • @kurwamussa3154
    @kurwamussa3154 Месяц назад

    Hio ilipitishwa baraza la wawakishi ikakubalika n baraza ikawa signed ss hebu isomeni katiba kwnza ndio zije hoja zamalumbano yasiyo na tijaanaeke mtu analamika huko lkn hujasoma katiba kwnz mwisho wa cku unajikusa umei gia makosan

  • @RashidHaroun-c2j
    @RashidHaroun-c2j Месяц назад +1

    Ukiwa una upeo finyu uliotawaliwa na siasa ya upande mmoja huwezi kumuelewa huyu mzee ila ikiwa umebarikiwa akili ya maono utamuelewa mno huyu mzee

  • @Umearhassan-x4t
    @Umearhassan-x4t Месяц назад

    Wacha njaa hizo singasinga
    CCM hawana mpango n ww usijipendekwze

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Месяц назад

    Nice

  • @Suleimanomar-q8g
    @Suleimanomar-q8g Месяц назад +1

    Huna lolote kura ya siku mbili haikubaliki wacheni wizi huo

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Месяц назад

      Shida si kukubalika shida ujiulize imekuja kuja je na ili iondoke inaondoshwaje kelele bila maarifa huwezi kutengeneza

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np Месяц назад

      @@RashidHaroun-c2jimekujaa kihilba ilitakiwa ije kura ya maoni kwanzaa sio kujifanyia tuh huko barazan

  • @KiringoMtemi
    @KiringoMtemi Месяц назад +1

    UCHAGUZI SIKU MBILI WANINI??? WATU WENYEWE MILIONI 2 LAKI TANO WANAVUTA UNGA LAKI TANO WANAFUNZI LAKI TANO WAZEE ENYI VIONGOZI MSITUFANYIE DHULUMA HIZO NZEE MWINYI KUJA WEYE TU KUNAANZISHA KURA ZA MAPEMA

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Месяц назад +1

      SHARIA YA UCHAGUZI NA
      KOLONI YA TANGANYIKA
      Huu Uchaguzi Maalum (Watawala) ni Nguvu za Chama Cha Makanisa (CCM), Sharia za Tume ya Faina na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kulinda Ukoloni wa Tanganyika?
      UHURU WA KIKOLONI✝️

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Месяц назад

      ​@@khatibal-zinjibari6956 wazanzibari hatuna letu kwa ujinga wetu. Jaji nyani .raisi ngendere .waziri tumbili mkurugenzi kima jemedari sokwe. Wachungaji mkono kima punky. Haya hill shamba lako umepata kitu huyo jaji tumbili atakujali wewe.

  • @RashidiHassani-in9rb
    @RashidiHassani-in9rb Месяц назад

    Mbona havifati

  • @AffectionateMountainVolc-vp8bh
    @AffectionateMountainVolc-vp8bh Месяц назад

    Tanzania bado siyasa

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Месяц назад

      Ukizungumzia siasa hasa Tanzania ni namba moja hapa ulimwenguni

  • @AbdulRahim-f4g7y
    @AbdulRahim-f4g7y Месяц назад

    Kwan katiba inapangwa na nani weee mkundu?

  • @alibaba-mc6cf
    @alibaba-mc6cf Месяц назад

    Viongozi mnapaswa muangalie masilahi mapana ya wananchi wenu na wala si masilahi yenu ya kisiasa.kwanini jambo limeshalalamikiwa na kuleta athari nchini muendelee kuling'ang'ania kuwepo?uongozi ni dhima na kwa hakika mtakachokipanda ndicho mtakachokuja kukivuna.Ewe mwenyeezi mungu iepushe na ikinge Zanzibar pamoja watu wake na kila balaa.

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e Месяц назад

    Huyu mzee anaongea Sheria Gani maana ukitaka kubadilisha kifungu lazimaipihwe kura ya maoni na wananchi je ccm wamefanya hivyo

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Месяц назад

      Ilipigwa kura ya maoni kupitia wawakilishi wetu au hukuwepo?

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np Месяц назад

      @@RashidHaroun-c2jwawakilishi gani barazsni mlikua wenyenu tuh ccm

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Месяц назад

      @@fahmysaid-zw4np wenu si hawakushiriki waliambiwa na bwana sefu wasishiriki

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j Месяц назад

      @@fahmysaid-zw4np kwaiyo sisi tusifanye yetu kama nchi inayojitawala kw kusubiri wawakilishi wa cuf na act

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np Месяц назад

      @ sasa ndo mara hii fanyenyeni uo uchaguzi wa siku 2 muone km hamtajemga mnara wa kumbuukumbu ya mauwaji wa wana ccm

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 Месяц назад

    Nonsense 😂😂😂

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo Месяц назад

    Kanyowe midevuuu!bwege wewe Muhindi Pori!

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 29 дней назад

    Kweli kuna wajinga wamezeeka

  • @2002-h6c
    @2002-h6c Месяц назад

    Huyo OMO anafosi kupata Uongozi, kwani yeye hajui umuhimu wa kuheshimu Katiba ?

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman Месяц назад

      Hujitambui

    • @Bmsecret
      @Bmsecret Месяц назад +3

      Hio kura ya siku mbili ilipitishwa na ccm ilitakiwa ije kwa wananchi ipigwe kura ya maoni

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman Месяц назад

      @@Bmsecret walijua kuwa wananchi watakataa. Na kipindi kile wali fanya maksudi kwa sabab Katika baraza walikuwa ni wao na Chama cha Mh. Said

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 Месяц назад

      Huna akili kumbe

    • @jumasuleiman7171
      @jumasuleiman7171 Месяц назад +1

      Mpumbavuuu weeee hakuna kura ya siku 2 hapa wajinga nyiee