NANDY ANANICHUKULIA POA | ALINITAKA MIMI NIKAKATAA - JAY MELODY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 114

  • @evaristshauri
    @evaristshauri 3 года назад +51

    Huyu jamaa ni mtu cool sana hana maringo hata ukimtumia DM anajibu fresh tu...Mungu amfungulie milango afike mbali

  • @theresiadominick2449
    @theresiadominick2449 Год назад +2

    Yaani ww nakupenda sana endelea na moyo huo huo wa upendo🤓🥰🤗❤️🙏🏾👍

  • @drizzlesly6009
    @drizzlesly6009 3 года назад +10

    The guy is cool..matured amehandle swali directed towards the issues with nandy really well..

  • @allylameck6165
    @allylameck6165 3 года назад +2

    Mwamba yupo cool nouma xana kidume ndoinatakiwa uwe ivoo man uxhindi kwko mzee✌️✌️

  • @Ahmad-yo9pk
    @Ahmad-yo9pk 3 месяца назад +2

    Nipo hapa 2024 na jamaa alisema siku zitafika na Kwa sasa bonge la mtu ktk kiwanda 🎉🎉🎉

  • @suleshsultan2587
    @suleshsultan2587 3 года назад +11

    Dah! Ana discipline xnaaa uyu mwamba🔥🔥🔥

  • @aryanarolande476
    @aryanarolande476 3 года назад +9

    We really really loved love you bro from ug

  • @beckasalum2620
    @beckasalum2620 2 года назад +2

    Ww cyo mdogo Jay unatunga Sana unaimba vizur Sana uko juu jay

  • @shamsaghally1780
    @shamsaghally1780 2 года назад +1

    Seriously me jay m nalike nyimbo zake ni mtu cool sn

  • @EstherNkundwa
    @EstherNkundwa Год назад +1

    Jay melody nakuukenda sana na mungu akubariki❤️❤️❤️❤️

  • @pendomacha3253
    @pendomacha3253 3 года назад +4

    Much love for you brother

  • @feicuk8672
    @feicuk8672 3 года назад +3

    dahh respect Jay Melody mwanangu sana 👍👍👍

  • @ashaabdallah3075
    @ashaabdallah3075 2 года назад +1

    Masha allah masha allah umeonge yavizur sana

  • @maryboniface2818
    @maryboniface2818 3 года назад +6

    Nakukubali jay miaka miaaaaa

  • @nersonjoseph5369
    @nersonjoseph5369 3 года назад +4

    Jay kama jay Melody 💞💥💥💥

  • @gladysrodrick8239
    @gladysrodrick8239 3 года назад +4

    Ww jamaa unajitambua sanaa bigup kwako

  • @brianmunich5116
    @brianmunich5116 Год назад +1

    love you me melody

  • @bahatihanna7782
    @bahatihanna7782 7 месяцев назад +1

    Anajibu vizuri sana

  • @rosella9984
    @rosella9984 2 года назад +1

    I love this guy aky💞💞🔥🔥

  • @luckyzamu1358
    @luckyzamu1358 3 года назад +3

    Jay melody mkali

  • @lucymoris1707
    @lucymoris1707 3 года назад +4

    Uyu kaka HB

  • @lucymoris1707
    @lucymoris1707 3 года назад +4

    Daaah jay one day

    • @zephasixchannel5532
      @zephasixchannel5532 3 года назад

      One day Nini Tena Lucy au ndio ivyooo Tena😂😂😂😂

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 3 года назад +1

    Jay Melody Tunamkubali bala

  • @futuretv1739
    @futuretv1739 3 года назад +4

    jay🔥🔥

  • @mwanahawa6362
    @mwanahawa6362 3 года назад +5

    Sound mshaanz kufeliiiii ssa jamniiii

  • @FatumaBaraka-i6p
    @FatumaBaraka-i6p Год назад

    Nice br

  • @KassimuKiponda
    @KassimuKiponda 4 месяца назад

    Saf Sana ongeza juhudi ufike mbali zaidi

  • @revnaaugustino9000
    @revnaaugustino9000 2 года назад

    big up kaka jah blessing u

  • @hazjay4671
    @hazjay4671 3 года назад +11

    Mgeni Rasmi Na Host Ingependeza Wangekua Na Mic Za Kweny Shati Au Fulana Hizo Za Mkononi Wangeachiwa Audience!!

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 2 года назад

    Mfundisheni jay melody kushika mic 🎤🎶🎶🎶🎶

  • @kevahshineboy
    @kevahshineboy 3 года назад +3

    Big up bro🔥🔥🔥

  • @idrisalimapema2539
    @idrisalimapema2539 Год назад

    Sound is not clear

  • @martinapiuskayanda5341
    @martinapiuskayanda5341 2 года назад +1

    Uachage mashauzi wasanii mnatakiwa msapotiane Leo nandy la kibali kesho ww wakubali nandy

  • @stevewesco6669
    @stevewesco6669 3 года назад +3

    Jay melody 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @NoelKihegulo-yu6nt
    @NoelKihegulo-yu6nt Год назад

    🙏🙏🙏🙏

  • @songoclassic4840
    @songoclassic4840 3 года назад +3

    Hakika naweza kuimba Kama Jay Melody angalia

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 2 года назад +2

    Wow...umeenda kuwa mkubwa sasa

  • @aristidesmtui6593
    @aristidesmtui6593 3 года назад +4

    Sema Jay Melody umeanza kuvimba huyo sister ndio nn si utaje tu jina lake

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 года назад +3

    Jay 💪

  • @josephjulius3327
    @josephjulius3327 Год назад

    woow

  • @godblessjunior2010
    @godblessjunior2010 3 года назад

    Bless man

  • @mwanahawa6362
    @mwanahawa6362 3 года назад +9

    Mshkaj atakuja kuwa noumaaa

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад

    Ndio halingi ata mimi kipindi kabla hajatoka wakati uwo alikuwa anatafuta sapoti jaman alipiga jitaa paka tulimpenda na mama mdogo walitowa na namba zake nikamcheki akajibu vizur tu nilimwambia tukijaliwa nitakusapiti ata kununuwa sidii nikaja shangaa badaye akaja kuwa star

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 3 года назад +3

    💯👌

  • @saumuimeda5181
    @saumuimeda5181 3 года назад +3

    💯❤️

  • @nassorseif2706
    @nassorseif2706 3 года назад +2

    Dignity

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 3 года назад +13

    Uyu kka anaimba sana ila wanamchukulia poa sijui tatzo nyota

  • @valliantobriendelafwenteee9783
    @valliantobriendelafwenteee9783 3 года назад

    Dis guy is very cool

  • @mteswalutema6202
    @mteswalutema6202 3 года назад +1

    Nakumix

  • @officialkimaro5001
    @officialkimaro5001 3 года назад +4

    Mwamba mpolee sana yan dah

  • @RAAJMELODY
    @RAAJMELODY 3 года назад +5

    Jay Melody 💯🔥💯

  • @deogratiasyagomba287
    @deogratiasyagomba287 3 года назад +1

    Kuna sumu ipo kwa jmerody ka ongea ki kubwa sana

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 3 года назад +4

    🔥🔥🔥

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 3 года назад +2

    Huyo jamaa Alie uliza swali ni choko ni mshamba et muonekano wa kinyamwezi mbona huchori tatuu..

  • @DalhaFiya
    @DalhaFiya 6 месяцев назад

    Wewe jame achauchiz

  • @mwanahawa6362
    @mwanahawa6362 3 года назад +4

    Hellow

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 3 года назад

    Jama Iko Poa Hana Dharau Namkubali

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 3 года назад +4

    Alikutaka kvp

  • @edwardsamilee2330
    @edwardsamilee2330 2 года назад +1

    Sijaskia akitaja mahali ati Alimtaka akakataa ama ilikuwa clickbait ?

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Год назад

    Huyu jamaa ana jielewa sana na sijawahi ona skendo yake yeye ana deal na music

  • @allyhalima4277
    @allyhalima4277 2 года назад +1

    Yani sio kwa kujiamini uko

  • @enjoomaliya1399
    @enjoomaliya1399 3 года назад +1

    Umeongea point xn

  • @hyklem2037
    @hyklem2037 3 года назад

    Kana aibu nimekapenda

  • @arynakidory
    @arynakidory 2 года назад

    Penda Sana brooo ck niwe ata video vikx wako tyu jmn

  • @abduligumbo1254
    @abduligumbo1254 3 года назад +1

    Sharap

  • @screensceenOG
    @screensceenOG 3 года назад +4

    mshikaji anavimba kiasi flani

  • @NafisaJuma-p8e
    @NafisaJuma-p8e 6 месяцев назад

    Kuwataga

  • @chrisnzilankoma4236
    @chrisnzilankoma4236 3 года назад +1

    By

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад

    Halafu kivuruge ya nandy aliitungaga yeye

  • @JanethMcharo
    @JanethMcharo 10 месяцев назад

    Hakika

  • @munirahmed7753
    @munirahmed7753 3 года назад +1

    Wee acha zako ungetakiwa ungekataa ww ? Acha fix

  • @khytripled8491
    @khytripled8491 3 года назад +3

    Jay Melody kwanini unamuogopa uyu mwamba😂😂😂😂👇👇
    ruclips.net/video/O5634PzqVNs/видео.html

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 3 года назад +2

      Mmmh amna ata atayefungua link uongo tu nyooooooooo

  • @be_sqwenga9174
    @be_sqwenga9174 2 года назад

    ruclips.net/video/Jp2P5xhqWFc/видео.html
    Karibu usikilize wimbo wako kwani huyu jamaa anamaajabu. Ni mtu wako wa nyumbani. Usiache🔥🔥🔥

  • @upendomremi3000
    @upendomremi3000 3 года назад +2

    Kwauzuri gni adi nandy akutake

    • @footballnews6129
      @footballnews6129 3 года назад +2

      kwan billnass ni mzuri kumzid?

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 3 года назад +2

      Kwan nandy ni nani Yani..kwamba Nandi ni mzuri Sana mbona wa kawaida tu..Halafu umeielewa interview?..Mana mana mbona kama umehisi mapenzi wakat mwenzio walikuwa wanajadili kuhusu kazi.

    • @sadnamomari6462
      @sadnamomari6462 3 года назад +1

      Mi hat cjali melody kafanya nin as long as anaimba vizur ananikosh hat awe n skendo mbay nitampend yey n muziki wake

    • @gwassajonaschotero1422
      @gwassajonaschotero1422 3 года назад

      We hujielewi ndio maana mnaachwa kwan uzur ndo kigezo cha kupendwa tumia akili watu huangalia mtu wa kutimiza ndoto nae

    • @zephasixchannel5532
      @zephasixchannel5532 3 года назад

      Pendo unaferi.uzuri anaweza kuwa Hana lakini kwa mambo mengine je?

  • @kondegangmusic5866
    @kondegangmusic5866 3 года назад +1

    Zuchu kapata ajali tumuombeeruclips.net/video/jdISDiWGE7g/видео.html

  • @Nassprince
    @Nassprince 3 года назад +5

    Mmefeli sound leo

  • @didahlabia4876
    @didahlabia4876 3 года назад +1

    🔥🔥