Niliona kuna game walicheza mahali..vile derrick alisema akupea mwalimu wake number ya babake waliagaliana wakacheka that means Derrick na babake wanajua chenye kinaedelea😢
DIRECTOR JAY WATCH YOUR STEPS YOU DON'T KNOW WHOM YOU ARE DEALING WITH, THIS IS MASTER OF MASTERS ,HAKI MWENYE NAHURUMIA NI MAMA DEREK COZ AKO KWA GÌZA
You remember this. Man didn't want to commend Jay good work mama akimwambia jay ndiye amefanya kazi kubwa but he didn't want to recognize what he has done. Ndio kitoo akipigwa alikuwa anaambiwa wai ni watu wakufuatilia maisha ya watu.
@pamela I said it kumbuka governor wakati walikua wanaongea na mwalimu walisema wamefanya kazi mingi xana. Huyu governor pesa yake ni ya kusacrifice watoto wawenyewe.
Oh No end of the world so this mzee his all about this governor master kiongozi woi innocent Mwangi and kitoo you will live long our brothers. Jay jihathali Sana na huyo mzee ni hatari kwa usalama kama Kuna pesa ulipewa rudisha nisha ushetani. Mama Derrick hii ni maombi yako imefanya kazi.
@JacksonMutinda-jw5qw hahaaaaa usinileteee xako hapa ingekua mwangi ama kitoo ni your relative ungesikia aje)???we are talking about sacrifice innocent souls,,we are not talking about kuoa side chick here,,,EXCUSE ME MR😏😏
Mama hungejua ni nani unaongea nae ugekimbia bali sana this is MASTER AND I NOW AM RIGHT HUYU NDIO MASTER TRUST ME DEVIL 😈 IN HUMANS MWENYENZI MUNGU SAINDIA WATU WAKO HAWA MASHETANI WAMEPATA PESA KUANGAISHA WANYONGE NOT EVEN JAIL CAN HOLD THEM COS OF MONEY THEY HAVE O GOD PLEASE BRING THEM DOWN IN FOVOUR OF YOUR INNOCENT PEOPLE
Dr j, kuna kitu ulimrequest mzee eti uko na watu wawili wamuomba akuandikie kazi, plz plz plz,don't let somebody's sons to come ad suffer in the hands of that mzee shakaholkah. Watafute kazi kwingine
Ngai kuna watu na viatu yani unaona mze kma huyu ako smart hadsome wakuheshumika arafu muishowe ni empty ndembesi bona 😢😢mama drick kaba uguo wahonokire maombi yko ndio yameshikilia ur family Gods blessed u so much lkini mzae simuoni vizuri
The world is wicked God heal mwangi and give mama Derrick grace it is not easy. And for DirvJay and the team may God protect you always not forgetting our own DCI may God cover you with his blood that was shead on the cross
This sanitisation has really helped alot to know the kind of people that are are so evil 😭😭...may God gives you guys more energy and wisdom to do more..and protect you from them.. giving up is not an option 🙏
Baba Derrick ndie master wa mamaster,,,,but mama Derrick ako innocent,,Heti governor""""ndio nilishangaa tangu lini company ikawa na governor 😢😢😢😢, ,hyu mxee ameamua kuua mama Derrick na stress na vile ako smart yawah 😢😢😢😢😢
So my guess was right all along,so he wanted to get rid if mwangi so they can share the widow the son?he should be arrested and shown dust master of evil,God will expose them with their crazy mouthed mwalimu
Hello Mama Darick. Don't panic about anything God is with you. Just ask Mezee what you want about your future. Because everything has gone into a mess. There is a better life after this. Hii sio mwisho wa maisha. Start a new life 😢 with your God start a fresh 🎉😢😮
This Governor is the master . God be with Mama Derrick and Mwangi. J ask mama Derrick about the ring Derrick has last time. This man have registered his son to cults. 😊
@@Mzalendo-l6b it's true , if you watch about Wangwana pepo. Those ladies who Derrick had that day maybe they wanted to sacrifices them. God who used J and the DCI helps them
I suspected this man from day one, ati ako na kampuni, kumbe shakahola ndiyo kampuni wake😮😮may God wrap up this world, we have nothing to live for. We are in the end times.
I remember one prophet said all evil been in Kenya will be exposed one by one and all will be finished completely now I agree....tazama hii Kwa senior Dave na Kwa Samaritan TV pia pasta show mambo ni haya Tu..God wanikwe wote na nguvu za giza shishindwe katika jina la yesu kristu
Wakati wa Mungu umefika sasa mabayayote hazarani uyo mzee somtu mzuri hatakidogo nayeye njo master. Mzee dam zawatu mnatowa bila hatiya utaenda kuulizwa na Mungu kwamungine umri umekuwanawo ungekachini nakutubu kwasababu umri unakwenda.
I knew it!! How can a normal man share a woman with his own teenage son? How then could he be comfortable planning for the future with a lady who's husband has been missing under unclear circumstances?😢 This governor could be the master of the cult practice 😴😴
Nothing will happen to you Dr Jay, you’ve opened lots of people’s eyes to know what’s going on. You are covered in Jesus blood. Keep up the good job. Never give up.
Huyu ata labdah ni yeye mukuu wa hawa majabazi wote..jay Inaonekana wee itabidi uwachane na hii familiar ...cz ata wewe utaenda missing ukicheza..kama mukuu anakunywa damu ndiyo afiche evidence kwa serikali..kenya kwisha
Just assume if it was your mother you wouldn't want her to know the truth or you would be happy to find your mum missing one day never to be seen again and you have no idea it's your dad who is behind that hello . They were done with the family it's this man who sent the thugs to get kito
Kumbe pesa ya baba Denis ni Haram.😢 Yaeza kua yeye ndio master anae semekana kwa hio cult Halafu anajiita pastor. Kumbe mapastor wengi wanatumia nguvu za giza kupumbaza watu . Wooooi
Woiye mama derick 😢but God atakupigania mum dnt worry..i love how courageous you are mamaa .na umesahau kumuuliza supermarket anamuekea by this end month wap 😢tutajifikisha uko na hatutalipa😂😂
The name of the company is shakahola big people we can search the company even innocent souls working in the company labda kuwa wanakufa na hatunjui.pls jay achana na maneno yake kabisa.
So huyu mzee ndio boss waah hata hana huruma hata chembe moja? DAMU ya hao watu iko mikononi mwake mtu ana share mwanamke na mtoto wake? Kwanini yeye hawachukui simu yake waone iko na mambo ngani? Sasa kitamramba pole pole tu and at the end of the day kila kitu itajulikana tu .
Someone commented on this platform and said this man is wicked she knows him well he hides behind the church but very wicked man now time exposure has come all those innocent people killed for riches their plea has reached heaven
What?? Dunia weeee! Kidnap mwangi ndo achukuwe bibi ya mwangi forever? Nina maswali sina majibu nayo but God is above all ,,baba Derrick ndo master????🏃🏃🏃
Jay and ur team...beware of false satanic creatures like this governor and this tr.remember when tr said ameweka mwangi kwa palm yake...na akasema na governor mtajua mnadeal na kina nani....we cover u with the blood of jesus....
MAMA DENIS, JUST TAKE YOURSELF OUT OF THE EQUATION, WALK AWAY OUT OF THAT HOME, OUT OF THAT LIFE, OUT OF THAT MZEE LIFE. JUST WALK AWAY NOW WHEN YOU CAN. JUST KEEP WALKING MADAM. THIS MAN DOESN'T LOVE YOU, HE DOESN'T VALUE YOU, HE DOESN'T RESPECT YOU AS HIS WIFE. JUST WALK AWAY MAMA. Your children need you together with your family 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Jay jihadhari huyo governor na mushuku ni wa hiyo kikudi bona alimtoa nwalimu dani pengine ata ile ulikua ukiambiwa utatengenezewa ofisi wanataka kukuingiza kwa hiyo kikudi
Baba derick mwangi alikosea wapi kusema ukweli si buree mwalimu akishikwa hua anawachiliwa mungu naye halali atawanikaa nyote pesa nyingi za kutoa watu kafara lord have mercy 😢😢mwangi pole sana
This governor planned na teacher ndiyo mwangi akufe ,huyu alisema ataongea na Derick ampea pesa ndiyo akumbali ku unlock account ,this man know everything happened
Mungu alitaka mambo ya huyu mzee ijulikane ndio maana akatuma kitoo achukuliwe mateka halafu uchafu wake uonekane na mwangi apatikane na watu tujue kumbe huyu mzee anatoa watu kafara riswaa
Jay take care....!!this governor is a dangerous Saitan!
Very true 😢😢😢😢
Yes saitani
Akose amani
Hapo niukweli hawa jamaa wawe careful 😢
Woooiiiii, Director Jay, take care aki, ni yeye najua kidnap Kito pia, he must be the one
Dennis was beating kitoo telling him nyinyi ndio watu wakufuatilia maisha ya watu. Sasa kinaeleweka
I think he targeted Jay not kitoo. Watching this how mama amemkunjia juu that's the reason he was so angry with akina Jay.
Jay was the target. I believe so huyu Mzee alikasirika sana
Niliona kuna game walicheza mahali..vile derrick alisema akupea mwalimu wake number ya babake waliagaliana wakacheka that means Derrick na babake wanajua chenye kinaedelea😢
They it very well. Poor boy being misled by the father and his teacher 😢😢
Ama dio alikua asema atapeana hizo millions juu ya kijana maybe walikua kwa mpango kijana adanganye watoto wa wenyewe wawauze
DIRECTOR JAY WATCH YOUR STEPS YOU DON'T KNOW WHOM YOU ARE DEALING WITH, THIS IS MASTER OF MASTERS ,HAKI MWENYE NAHURUMIA NI MAMA DEREK COZ AKO KWA GÌZA
Imgn,ad i guess huyu mzee ndiye anaitwa master 😢😢😢
You remember this. Man didn't want to commend Jay good work mama akimwambia jay ndiye amefanya kazi kubwa but he didn't want to recognize what he has done. Ndio kitoo akipigwa alikuwa anaambiwa wai ni watu wakufuatilia maisha ya watu.
@@mercimerci9540He must be the one. He's the master of masters. Derrick atolewe hiyo Pete n.a. necklace. Ni ya chetani
Uyu mama ndo yuaumia ajui kitu lkn deck n babake wanajua mambo
God’s the Master of Masters the King of Kings
Lets pray for Mwangi to recover n go back at work
Mm nikiwa Mwangi narundi kazi nani sahau na huyo mwanamke mpaka watoto
Naweka mungu mbele siku Moja nitakutana na watito wangu mungu akipenda
Yes and Amen
Mwangi will recover fully, God will complete what he started, healing is his portion in Jesus mighty name🙏
@@dorcaswairimu697watoto hawana makosa...that woman is so evil Hadi anaeza kill watoto. Best thing n kuenda na watoto wake
God is exposing them one by one through Director Jay. Its God's marvelous doings
Be careful Jay na Dci , you are there next victim. 😮
This governor is rich through sacrificing other people 😢😢😢😢😢 what Mr MWANGI Did to you NKT 😢😢😢 justice for MWANGI and KITOO 😢😢😢 very weaked man 😭😭💔
In kenya no justice for the poor
Anataka akufe ndio abaki na bibi
Kenya hakuna justice ya poor person my friend, iki kupata pambana nayo na ukiomba mungu akusaidi, la sivyo unakufa na usahaulike my dear!!😪😪
Only God he will be justice for them not Kenya
Bora kwa Jesus with the little I have.
He governs the cults and dark 🌑 Kingdom ya kutoa kafala watoto wa wenyewe.He will be defeated in Jesus name
Amen
Very true
Uyu mama anarusharusha Mzee aje?? Heshima amekosa kwa bwana
Woi Jesus of Nazareth Mama derick may the blood of Jesus cover you in Jesus name
Amen 🙏 in Jesus name
People at risk of being kidnapped, Mwangi's brother, mama Derrick pls take care coz Derrick tayari wamemharibu.
Baba derick ndio master wa hii group is .I swear you will go down baba 😮😮😮
@pamela I said it kumbuka governor wakati walikua wanaongea na mwalimu walisema wamefanya kazi mingi xana. Huyu governor pesa yake ni ya kusacrifice watoto wawenyewe.
@@peninagateti eeh tena alikataa simu wasiangalie
😢ni governor wa wapi
@@emillynanyama wa wa awake😅😅
Nampeda Bure tuu,Mzee mwenye respect yke Bila maneno mob
Oh No end of the world so this mzee his all about this governor master kiongozi woi innocent Mwangi and kitoo you will live long our brothers. Jay jihathali Sana na huyo mzee ni hatari kwa usalama kama Kuna pesa ulipewa rudisha nisha ushetani. Mama Derrick hii ni maombi yako imefanya kazi.
Kumbe upole wake niwakujifunikia maovu
God, if it's to bless me please,I want pure money,clean money😢😢😢
Mnipitie pia guys❤
Your own sweat
@@beaticeMwani everytime 🙏
This guy ni gavana wa wapi? Ama ni gavana wa illuminati
He has heard you prayers
@@geospeenterprises8286illuminate
Ama yeye ndio master ? Jay be careful with this man
ni yeye
We cover jay and his entire team and family by the blood of jesus
Baba Derrick ndio master hizo pesa ako nazo huwa anatowa wapi jameni
Very true ,huyu ndiye master
Very true master wa kumwanga damu za watu watajilike
Master na vile anajifanya mpole
True
Master wa kumwaga damu za watu ndo wapate utajiri kizee kifupi kama nyundo
Mama Derrick enda Ulaya kwa wasichana wako,,ajana na ako kamxee kamaster kajikufie😢😢😢be strong always mamma 💪 💖
I said it,she should secure her properties and leave the country
Acha kuogea chafu APA,eti kakufe? Aezi kufa ju kuwa na mwanamke mwegne sio kosa,alah
@@JacksonMutinda-jw5qw are you serious,huyo tchr mwenye analala na baba na mwanae.Angekua na heshima ni sawa na reason za kuoa 2nd zieleweke
@@magdalenemutio very good mamaaa for your unswer,
@JacksonMutinda-jw5qw hahaaaaa usinileteee xako hapa ingekua mwangi ama kitoo ni your relative ungesikia aje)???we are talking about sacrifice innocent souls,,we are not talking about kuoa side chick here,,,EXCUSE ME MR😏😏
Mzee governs the criminals.Mama Derrick is a strong woman let her handle the case with no sympathy
I rebuke the devil's work over my family and everyone reading this. No weapon shall prosper in Jesus Name 🙏. Amen
Amen
Master ni huyo baba derick, ju huo utajiri wake anao jisifu nao sio wa halali
How do you know?
@@JacksonMutinda-jw5qw ngoja utapata habari, ndi utajua ukweli
master of devil 😈, we serve the living God
ma Derick continue PUSHING
Mama hungejua ni nani unaongea nae ugekimbia bali sana this is MASTER AND I NOW AM RIGHT HUYU NDIO MASTER TRUST ME DEVIL 😈 IN HUMANS MWENYENZI MUNGU SAINDIA WATU WAKO HAWA MASHETANI WAMEPATA PESA KUANGAISHA WANYONGE NOT EVEN JAIL CAN HOLD THEM COS OF MONEY THEY HAVE O GOD PLEASE BRING THEM DOWN IN FOVOUR OF YOUR INNOCENT PEOPLE
Jay please jichunge sana na huyu mzee, atatuma jeshi yake kwako
Huyu governor pia Devil worshiper na yeye na Teacher ndio wametuma hawa watu kwa Mr mwangi Ghai kenya hii aki 😢
Surely that's why ako napesa mingi lakini nipesa hasinjambalikiwa. Bora kwa Jesus with the little I have.
Mzee ata yeye gaidi mkumbwa ,,wanamuita master wamasters
Dr j, kuna kitu ulimrequest mzee eti uko na watu wawili wamuomba akuandikie kazi, plz plz plz,don't let somebody's sons to come ad suffer in the hands of that mzee shakaholkah. Watafute kazi kwingine
Wakimbie mbio director alidhani ni kampuni hakujua ni kichinjio
I have a deep feeling he's the master n my instinct can't lie
He's the one,instinct don't lie my dear
Your thouts tuu,uyu mzee aez fanya ayo
@@JacksonMutinda-jw5qw ama wewe ni mwenzao 🥱🥱
Ngai kuna watu na viatu yani unaona mze kma huyu ako smart hadsome wakuheshumika arafu muishowe ni empty ndembesi bona 😢😢mama drick kaba uguo wahonokire maombi yko ndio yameshikilia ur family Gods blessed u so much lkini mzae simuoni vizuri
It is not a handsome he is evil man in the eyes of the Lord.
Who is handsome 😂😂😂😂, mzee muuwaji na Meole wa kufunikia maovu anayotenda
Nadio mungu kamfungua macho na her son
The world is wicked God heal mwangi and give mama Derrick grace it is not easy. And for DirvJay and the team may God protect you always not forgetting our own DCI may God cover you with his blood that was shead on the cross
Mama derrick atembeze kiatu anaishi na mnyama
Jay na team yako be careful, this so called.governor is evil.deep.in the cult. Wacha damu ya Yesu iwafinike and protect you.
I pity Mama Derrick who has been in the darkness alone for all this saga. God's protection upon her
Mom pray and let the blood of Jesus protect you
Ameen🙏🙏🙏
Very true and Amen
This sanitisation has really helped alot to know the kind of people that are are so evil 😭😭...may God gives you guys more energy and wisdom to do more..and protect you from them.. giving up is not an option 🙏
Naheshimu hii sanitization
Sanitize his phones
Jay Wacha kufuata huyu governor sana Mwangi Ako mikononi mizuri apatiwe mali yke ama asahau na arudi job Mungu atamupigania
Baba Derrick ndie master wa mamaster,,,,but mama Derrick ako innocent,,Heti governor""""ndio nilishangaa tangu lini company ikawa na governor 😢😢😢😢, ,hyu mxee ameamua kuua mama Derrick na stress na vile ako smart yawah 😢😢😢😢😢
May God give mama Derrick spiritual eyes to see
Na vile mama Derrick alikuwa anamuhurumia ati pressure itapanda 😢😢
Huyu awekwe uhuru park raia wamushughulikie
@@wambui185kamzee kanajifanya kampole kumbe ni simba.pressure pengine ipande 30 virgins wasipopatikana😂😂😂🎉
😂😂😂😂😂😂😂 utaniua@@MagdaleneMaingi-p7c
How he became rich still amaizes me, the kind of thickness in him...... God
By sacrificing innocent Kenyans. God have mercy 🥺
So my guess was right all along,so he wanted to get rid if mwangi so they can share the widow the son?he should be arrested and shown dust master of evil,God will expose them with their crazy mouthed mwalimu
Mama Derikk keep on serving God and gving yur tighth
I feel life ya jay iko on danger after this God protect him his doing good job to safe innocent souls
Hello Mama Darick.
Don't panic about anything God is with you. Just ask Mezee what you want about your future.
Because everything has gone into a mess.
There is a better life after this.
Hii sio mwisho wa maisha.
Start a new life 😢 with your God start a fresh 🎉😢😮
This Governor is the master . God be with Mama Derrick and Mwangi. J ask mama Derrick about the ring Derrick has last time. This man have registered his son to cults. 😊
It's possible the son is already initiated.
@@Mzalendo-l6b it's true , if you watch about Wangwana pepo. Those ladies who Derrick had that day maybe they wanted to sacrifices them. God who used J and the DCI helps them
I suspected this man from day one, ati ako na kampuni, kumbe shakahola ndiyo kampuni wake😮😮may God wrap up this world, we have nothing to live for. We are in the end times.
Surely is heaven the goal???God is watching
So do I then all the time I have money money same with wife na KUMBE sio ata Governor ni wa illuminati
Huyu ni governor wa shetani
@@immaculatemushira8192 thank you
Kampuni ya river Yala 😮
I remember one prophet said all evil been in Kenya will be exposed one by one and all will be finished completely now I agree....tazama hii Kwa senior Dave na Kwa Samaritan TV pia pasta show mambo ni haya Tu..God wanikwe wote na nguvu za giza shishindwe katika jina la yesu kristu
Governor na mwalimu tafadhali msifanye Director J kuenda missing
Wakati wa Mungu umefika sasa mabayayote hazarani uyo mzee somtu mzuri hatakidogo nayeye njo master. Mzee dam zawatu mnatowa bila hatiya utaenda kuulizwa na Mungu kwamungine umri umekuwanawo ungekachini nakutubu kwasababu umri unakwenda.
I knew it!! How can a normal man share a woman with his own teenage son? How then could he be comfortable planning for the future with a lady who's husband has been missing under unclear circumstances?😢 This governor could be the master of the cult practice 😴😴
My thinking too
Exactly 💯
Nothing will happen to you Dr Jay, you’ve opened lots of people’s eyes to know what’s going on. You are covered in Jesus blood. Keep up the good job. Never give up.
Mama delick pole sana
Shukuru mungu amejua unaishi 👿 of mamaster
Mungu akuzingiile na damu yake
Even if the governor is an evil man,he makes ma day by reminding me of Kibaki with the way he talks😂😂😂😂
Am praying mwangi and kitoo wapone haraka,, ni wao ndio watatuambia everything
Mr mwangi quick recovery ! But one thing forget about that mwalim
Huyu ata labdah ni yeye mukuu wa hawa majabazi wote..jay Inaonekana wee itabidi uwachane na hii familiar ...cz ata wewe utaenda missing ukicheza..kama mukuu anakunywa damu ndiyo afiche evidence kwa serikali..kenya kwisha
Just assume if it was your mother you wouldn't want her to know the truth or you would be happy to find your mum missing one day never to be seen again and you have no idea it's your dad who is behind that hello . They were done with the family it's this man who sent the thugs to get kito
Lilynjenga ,maybe vile Jay alimwambia amsaidie na offisi mpya,governor akaona amtoe kitoo kama kafara
May God interven haki it's so painful. This governor is so wicked
Mzee ndio master of the Masterss duuhhh pole sana mama derik😢
Kumbe pesa ya baba Denis ni Haram.😢
Yaeza kua yeye ndio master anae semekana kwa hio cult
Halafu anajiita pastor.
Kumbe mapastor wengi wanatumia nguvu za giza kupumbaza watu .
Wooooi
Baba Denis ndio mgani huyu ni baba Deric
Ukweli kabisa
Huyu ndio gaidi mkumbwa na mtu wakutumana watu watolewe kafara apate pesa
Woiye mama derick 😢but God atakupigania mum dnt worry..i love how courageous you are mamaa .na umesahau kumuuliza supermarket anamuekea by this end month wap 😢tutajifikisha uko na hatutalipa😂😂
Ama baba Derrick ndio MASTER??????
@mercymumbi2510 of course he is the one ....hawa watu wako na pesa ni tricky sana
Ni yeye juu Denis alisema Master alisema mwangi ashikwe😰
Yeeees 😮who else 😈 him self
Ee ndiyo yeye 👿 Master
Yap ni yeye 👿
We plead for the blood of Jesus Christ to cover mama D
Sanitize huyu mzee please
The name of the company is shakahola big people we can search the company even innocent souls working in the company labda kuwa wanakufa na hatunjui.pls jay achana na maneno yake kabisa.
Kumbe pia yeye ako kwa Hiyo cult?? This is too much for Mama Derrick to carry!
Mom Derrick it's only that you are prayerful woman. You could be surcrificed long time ago. To God be the Glory
Guy's as mama hve mentioned that Jay ni kiboko Yao.. Salute duruuuuuuuu.
Mama Derrik keep on praying.Your prayers have revealed everything.Keep on praying dada.Your are covered by blood of Jesus.
Juy,please take care, this things may change again to you,because secréte is out😮😮😮😢😢😢😢
Which secret?
I say you are blest Jay,thanks for a good work you are doing may God bless you and your family
So huyu mzee ndio boss waah hata hana huruma hata chembe moja? DAMU ya hao watu iko mikononi mwake mtu ana share mwanamke na mtoto wake? Kwanini yeye hawachukui simu yake waone iko na mambo ngani? Sasa kitamramba pole pole tu and at the end of the day kila kitu itajulikana tu .
Someone commented on this platform and said this man is wicked she knows him well he hides behind the church but very wicked man now time exposure has come all those innocent people killed for riches their plea has reached heaven
Mr Mwangi we wish you full recovery kama ni pesa God is going to bless 100firthfirget that cult woman so called wife.
Wooii baba Derick ni devil worship.he is the master.
GOD of Israel 🙆🙆🙆 GOD have mercy to mama Derrick
God ATI mzee wa kanisa.... Ppl are hiding in churches.... God have mercy
I said so ile time alikuwa na teacher
Ngai, this is a hell of a man. Master wa mashetani. Mama derrick ogopa bwana yako.
Akimbie kabla apelekwe huko River yala ya kiambu
What?? Dunia weeee! Kidnap mwangi ndo achukuwe bibi ya mwangi forever? Nina maswali sina majibu nayo but God is above all ,,baba Derrick ndo master????🏃🏃🏃
Hapa ndio walimu wako😂😂😂,uliza maswali jibu utapata😅😅😅😅
@@MagdaleneMaingi-p7cso inakaa walimu wote wa.hiyo environment wako hapo?? Mama yangu weeeee!!!😢
God of Elija, expose these people, sacrificing lives for riches
Mom pliz be strong Hawa wanaume hata ukijinyima aje mwishowe watakuaibisha
Ukweli
Jay and ur team...beware of false satanic creatures like this governor and this tr.remember when tr said ameweka mwangi kwa palm yake...na akasema na governor mtajua mnadeal na kina nani....we cover u with the blood of jesus....
Those who submitted resumes for job opportunities chungeni sana hunger won't kill u bt sacrifice will 😢😢😢😢😢
Sure, well spoken
JAY ,NEXT TIME BADALA UENDE MSITUNI NI KUBAYA ,SANITIZE WAPENDWA WAKITOKA CHURCH..HATA MA PASTORS 😊
Governor muuaji!!! Shame on you!! Hii cult yako imefika mwisho utajuta YESU Ni Bwana
Mama u r a vibe. Fear God only. Behind u mama
Navile alikuwa anajifanya mpole kumbe ni shetani😮😮😮
😮😮
MAMA DENIS, JUST TAKE YOURSELF OUT OF THE EQUATION, WALK AWAY OUT OF THAT HOME, OUT OF THAT LIFE, OUT OF THAT MZEE LIFE. JUST WALK AWAY NOW WHEN YOU CAN. JUST KEEP WALKING MADAM. THIS MAN DOESN'T LOVE YOU, HE DOESN'T VALUE YOU, HE DOESN'T RESPECT YOU AS HIS WIFE. JUST WALK AWAY MAMA. Your children need you together with your family 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Our God is faithful.
Wacha mungu a deal na huyu governor Sawa Sawa...machozi ya wote umewathulumu yakurudie na hao goons wako.
Huyu muzee nimuaji baka mwalimu nawanajuana biashala ya kuuwa watu
Jay jihadhari huyo governor na mushuku ni wa hiyo kikudi bona alimtoa nwalimu dani pengine ata ile ulikua ukiambiwa utatengenezewa ofisi wanataka kukuingiza kwa hiyo kikudi
Mwalimu n kiburi kwa sababu ya baba derrick na master wao
True
My God, so Baba derrick ndie Master coz the gal said the group consists of big people in the government
Kitu ya kushangaza hawa watu wanashikwa within no time wanaachiliwa😢😢😢
Even this stupid government is involved. Cult government, we are finished. 😢😢😢
Mama Derick you have to pray alot and be careful plz abt these pple and jay too take care
Kwani ni governor wa wapi huyu mchawi mkubwa huyu aki
Governor wa giza kua watu
😮
Jay i think ulichukua Number ya master,angalia kama ni huyu mzee,then mniabie ni governor wa wapi please?
Alisemekana ni governor wa makampuni zake ...eti wake WA kazi employees ndio huwa wanamuita ....pesaaaaaaaa weweeeeee 😮
We wavinya uyu ti gavana wa County, ni gavana wa company yake. Kwani hukufuatilia kutoka mwanzo? Basi umejua leo. Nimekupa jibu kwa Kikamba😂😂😂😂
Not all glitters is gold, English pple said it.
Be careful Jay and watch ur move this man is silent but dangerous
Haki this mwangi is cute❤q❤❤❤❤❤
Tufanye mpango😢😢
Ayiah😂😂😂😂
Ukweli usemwe😊😊😊
Baba derick mwangi alikosea wapi kusema ukweli si buree mwalimu akishikwa hua anawachiliwa mungu naye halali atawanikaa nyote pesa nyingi za kutoa watu kafara lord have mercy 😢😢mwangi pole sana
Imagine Mwangi suffering kwa makosa hajafanya😢😢😢😢.May the Lord heal him in Jesus name 🙏🙏
Imagine amejelewa kwa kazi yake,hata passport na visa najua walitupa ipebwe na maji
This governor planned na teacher ndiyo mwangi akufe ,huyu alisema ataongea na Derick ampea pesa ndiyo akumbali ku unlock account ,this man know everything happened
Pole sana mama Derick aky, nakuomba tu uende ng'ambo kwa wasichana wako coz huyo mzee atakumaliza
Mungu alitaka mambo ya huyu mzee ijulikane ndio maana akatuma kitoo achukuliwe mateka halafu uchafu wake uonekane na mwangi apatikane na watu tujue kumbe huyu mzee anatoa watu kafara riswaa
Kumbe alisema ata wa surprised na hamukuelewa njia za surprise ninyingi,asidwe kabisa kukulia bakuri moja na kijana wake
Woi he must be the one who kidnapped Kitoo,, Director Jay take care please your family needs you 😢
Dci please arrest this.governer, ye n muuaji