Hili huwa nikolo pamoja na salimu kikeke mmiliki wa hii chanel haliwezi kuchambua really football ila utalisikia tu linalalia upande ndo maana linasema tulicheza na pamba tukwafunga
@yona.altech Kwel aisee, yan me nilikuw nashangaa wakirud kipind cha pili wanakuw moto balaaa, na ukifuatilia mechi zao nyingi wanashinda magoli mengi kipind cha pili, bora Azam waliwaumbua aisee 😀
Team imemiliki mpira imetengeneza nafasi walicho kosa ni goal mpk dk za mwisho ilkuw ikishambulia utasemaji imechoka? Walicho wa winn ni kwamba Ahl imetumia vyema nafasi chache walizozpata wameahinda mechi hizo zingine ni porojo tu
NDUGU MTANGAZAJI ILE MECHI NA AZAM YANGA WALIKUWA PUNGUFU NA WAKACHEZA VIZUR KWA SABABU WALICHOMA ZILE SINDANO... BAADA YA HAPO KUNA WATU WANAWAFUATILIA NDIO MAANA WANAOGOPA KUCHOMA TENA NDIO TIMU INAZIDI KUPOROMOKA
Sahihi wachezaji hawajitowi azizi linaanguka t akatwe mshahara bila ya ivo watalete ujinga na dube na kibabage wasicheze au waondoke aswa
Siyo hawajitoi ila sindano
Hili huwa nikolo pamoja na salimu kikeke mmiliki wa hii chanel haliwezi kuchambua really football ila utalisikia tu linalalia upande ndo maana linasema tulicheza na pamba tukwafunga
Kidoogoo kaungea la maana Jemedari
Hayo ni madhara ya kuwachoma sindano wachezaji, waache janjajanja😅
😂😂😂
Hilo kwer si unaona wanavyo devera😂😂 bila sindano hapo ndio utajua kwamba Hawa n wazee au sio wazee
Washapewa chochote kufukia ile kashfa
Yanga walikua wanatumia madawa,maana ule ufit haukua wa kawaida.
@yona.altech Kwel aisee, yan me nilikuw nashangaa wakirud kipind cha pili wanakuw moto balaaa, na ukifuatilia mechi zao nyingi wanashinda magoli mengi kipind cha pili, bora Azam waliwaumbua aisee 😀
@AnuaryShedafa Kwel aisee 😀 Bora Azam waliawaumbua tungeteseka sana
Hv vitoto vichambuzi vinetokea wapi 😅😅😅wekeni watu wa mpira wachezaj waliocheza mpira wapo kibao
Kaka hiki kituo chenyewe ni cha Salim kikeke ambaye ni simba hivyo kigezo cha kuajiliwa wanachoangalia ni lazima uwe simba basi
Tulikuwa hatujuwi Sasa tunajuwa vya nyuma ya paziya hiyo ndo yanga tunayo ijuwa sisi.yanyuma Ile ya janjajanja.Sindano zimewaumbuwa.wasubutu waone 😅
Umri ;wengi wao ni miaka 30+waendelee kudungwa
Team imemiliki mpira imetengeneza nafasi walicho kosa ni goal mpk dk za mwisho ilkuw ikishambulia utasemaji imechoka? Walicho wa winn ni kwamba Ahl imetumia vyema nafasi chache walizozpata wameahinda mechi hizo zingine ni porojo tu
Ukosawa kabisa
NDUGU MTANGAZAJI ILE MECHI NA AZAM YANGA WALIKUWA PUNGUFU NA WAKACHEZA VIZUR KWA SABABU WALICHOMA ZILE SINDANO... BAADA YA HAPO KUNA WATU WANAWAFUATILIA NDIO MAANA WANAOGOPA KUCHOMA TENA NDIO TIMU INAZIDI KUPOROMOKA
Semeni tu ukweli sio mnakwepeshakwepesha,
Hii timu ilikua inatumia madawa ya kuongeza nguvu
Tumewaelewa mawakala wa simba
Mzee wa masters yupo wapi sbbu kwa research wazima awe na phd ha ha ha ha maneno mengi sana hans
Hahahahah Hans is typing
LABDA KWASABABU YA SHISHA.
Ndo muache utabir utabir
Tuna wapata tukiwa Durban
Hili lenyewe ni genge la wahuni wote ni simba Makolo kuanzia mmiliki wa crown ambaye ni salim kikeke unafikiri wataisema vzr yanga?
Yanga timu Bora alimfinga simb 5 juzi
Alimfinga ndo kiswahili Gan tena😅😅
NI KWELI YANGA HII NDIO ILIYOMFUNGA SIMBA GOLI 5.. NYUMA YA PAZIA UNAJUA NINI KILIFANYIKA..?
HAYA NDIO MADHARA SASA UTAVUNA ULICHOPANDA...
@msusasandali HUYO UTOPWAX WAMESHENYENTWA MPAKA WANAANZA KUONGEA KILUGA SASA ..
Nguvu ya ndano
Msimu huu ni ubaya ubwela
Ilikuwa Novemba 05'2023 ni mwaka sasa siyo juzi'viwango vimeshuka'
Kocha wa viungo anatakiwa apge kazi kwelikweli
Michezo mi5 iliyobaki ni mingi wanaweza kuvuka na kwenda robo lkn kaz ya ziada inatakiwa
CLOWNS RADIO😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂