@@ROUGHRIDERGAMINGTMKenya vp, kwangu bado inasumbua. Kuna error message "additional data (OBB) is missing/ corrupt, please try installing again from playstore..." Please help. Thanks
@@paperchainzentertainment unatafuta password kwa video ya tutorial?? Password iko kwa video umetoa link. Normalise reading the description to have an easier and faster time
Awesome ndugu, nimestruggle kujua kuinstall hii kitu
Karibu
@@ROUGHRIDERGAMINGTMKenya vp, kwangu bado inasumbua. Kuna error message "additional data (OBB) is missing/ corrupt, please try installing again from playstore..." Please help. Thanks
@@Okothium Rename your OBB. If 200635 is not working rename iwe 100635
pole bro lakini kwangu inakata.
Safi brother 👊👊
Uli pata aje ps
cwezi imagine ilifanya kazi waalai.....thanks bro
Karibu
Password ni nn sky nmewatch the whole video sioni password
@@paperchainzentertainment unatafuta password kwa video ya tutorial??
Password iko kwa video umetoa link. Normalise reading the description to have an easier and faster time
Thanks mkuu 💪🙌
Karibu Kaka
Bro si unisaidie password
Hey
Naeza download obb #7 kama sina maybe 6?
What if I don't have ur obb
Oya thanks sana Kwa hii Vida nauliza naeza pata Map mpya aje nimechoka na hii ya Indonesia ama ku update pia
Bro si unisaidie password
Mimi hupata basi ni same garage ndio huh change na traffic mbona
We use the original bus
Hiyo obb iko
Chambua chambua channel
Mm hapo kwa rename ndo nmeshindwa n ganna rename walai juu iko same
Thanks mkuu
thanks mkuu
Apo last place haunge malizia tu
Please Tusaidie na Horn Ya Feelanga Free
Detox?
Eeh ya detox
Mi yangu inakubali iko kata
Oya bro yangu ukiingia apo kwa obb then bus simulator aileti iyo file😢
Hiyo obb wai download wap?
Oy bro nakuitaji Whatsapp
Obb inadownloadiwa wapi man sielewi
Mi cjui kidownload obb file
Link iko wapi mkuu
Mkuu cjaona link ya obb yako
link
watched full video but password sioni
Itakua kwa video yenye umepata download link
Ata mimi sijaona password
What is the password
What is password bro pleasee
Wapi password bana
Mkuu si unisave password
Nada kuenjoy hii game vle wengine wanaenjoy
NO SIRVE
Sioni password mkuu niokolee akii
Password nu
Password bana
No sirve
NO SIRVE
NO SIRVE