Israel Mbonyi - Uwe Hai
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Keep up with Israel Mbonyi at
israelmbonyi.com
/ israelmbonyi
/ israelmbonyii
/ israembonyi
/ israelmbonyi
Contacts :
Informations : Info@Israelmbonyi.com
Bookings : Booking@israelmbonyi.com
UWE HAI
Verse
Mbali ninayatupa hayo yote yakushirakiyo
Maana Mii Ni Mwenyezi Mungu, Usinzie nakufunika
Tena Mimi Niko Naweza kukutunza
kwa Neno la Kinywani mwangu
Na utayalalia haya Maneno
Kisha na mkono wangu
utakandamiza malengo ya wabaya
Maana Mimi Niko
Nitakulinda kwa gongo la Upendo wangu
Uwe hai, natamka, uwe hai.
Chorus :
Uwe hai, eweee Uwe hai
Uwe hai, eweee Uwe hai
Wee mifupa ilio kauka , Ewe uwe hai
Wee mifupa mikavu ewe uwe hai
Akanitazama kwa utele wa upendo wake,
Eti uwe hai
Akanitazama, kwa utele wa Rehema Zake,
Eti uwe hai.
Bridge :
Uko na alama ya damu yake mpenzi
We ni wangu mi wako ooh
Hayo ninayasema.
©12stonesRecord
Wakenya wenzangu sijawai fika like hata 50 ningongee please this song the best ya kufungia mwaka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na Mimi nilikua nikifilia hivo hivo
Swa nita kugongea
Mutumishi wa Mungu @israelmbonyii❤
Mutumishi wa Mungu @israelmbonyii❤
@@GilbertSambaya 😅😅
Listening from Lebanon, naamini ntarudi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 salama, munipitie pia mm na likes kumi tu ntashukuru sana
May the almighty God keep you safe in these trials 🫂
Listening From Saudia too dear. Tuamini ipo siku Na tuzidi kuomba sana. @felisternasike553
Blessings
Unafanya kazi safi sana mtu. Wa Mungu.Haikua bure ww kuteuliwa na Mungu. Naombeni likes zenu ata ka ni 70 from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nitakua hai!
Every aspect of my life that's dead, I say, uwe hai!
Team Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani wakenya tusitupatane naomba like zenu...team uhai..🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇯🇲🇯🇲🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From Tanzania 🇹🇿 nakuombeni like basi wakenya jirani zangu to show much love kwa Israel mbonyi
Chukua like hizo
Blessed
Wakenya tunakupenda.
blessed
Tuko pamoja
KENYANS🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 GATHER HERE. Wapi likes jameni
Team Israel Mbonyi Kenya branch mpo?🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tupoooo
Rwandan muko wapi ❤
tuko
Full swing
Nipo
Kutoka Tanzania nakupenda sana man of God na mm hata like moja jamn
BAHO en Swahili UWE HAI 🙌🙌🙌🥰🥰🥰 💃💃💃💃💃🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuwe Hai katika Jina la Jesu Christo 🙏🙏🙏
Tuwe hai kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪, watching from Lebanon,ninaamini mungu atanirudisha nyumbani 🇰🇪 salama Amen
Tuwee hai
Ameeen
Tuwehai dada tutarudi mungu yupo
Amen🙏
Amen 🙏
Wangapi tunataka Israel arudi kenya likes hapa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Anarudi 31st december check his status for crossover
Is coming back❤
Anglia posters,anarudi cross over kesha 31st December
Feeling blessed from kayole Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mnipee likes watu wangu.
wewe niwa mtaa wangu ...ndio hio like yangu ♥️
akanitazama kwa utele wake akasema niwe Hai.....................................
This song is prophetic..... chochote kilichozama, ideas zilizokufa, biashara zilizodidimia ziwe hai kwa maana mimi niko na alama ya damu Yesu.....amen
Team Kenya Halleluya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kwa jina la Yesu kristo vipaji vilivyo zimwa na nguvu za giza natabiri na viwe hai sasa Amen
Ohhhh kwa mara yakwanza kukoment israel mbony laik zangu jaman from tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wow Nyingine kali inakuja wapi like za wakenya 🇰🇪🇰🇪apa tukisubiria 🔥🔥🔥🔥🙏
Na kweli Kenya tunapenda uyu jama ndio ujue angalia comments zimejaaa wakenya pia nigongeeni like wakenya wenzangu nawapenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ruclips.net/video/I3yE3Gak3lA/видео.htmlsi=yQ-Gysc6nUhuV6IP
ukweli kabisa
He is just God's minister we ❤ him
Wengine ni wasanii tu😂😂
Lazima awe damu ya mkenya ,juu ule upendo tunampenda nao Iko another level .
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Sisi kama waKenya tunaburudishwa na kubarikiwa saana na hii injili ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My fellow Kenyans give me those likes as we get blessed together by this great man of God.
Am the first one today, Kenyans like zenu ziko wapi.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakenya mlifa Sasa ngapi huku🇰🇪🇰🇪🇰🇪..hii worship song ni moto🔥🔥sana"UWE HAI"LIKE ZI COME 🙏🏿🙏🏿
Exactly 34 minutes am here, Kenyan fans nipeeni likes, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aki Wakenya simubarikiwe sana kwa kupenda neno la MUNGU kupitia gospel song ❤
Natamani wa congomani woote wawe hai🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩,mwenyezi mungu azidi kukupaka mafuta Israel
Mifupa mikafu ndani yangu pokea huai katika jina ra yesu 🙌🙌🔥🔥likes kumi tu kwa mtumishi wangu israel mbonyi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Leo nimefika mapema from🇰🇪🇰🇪nipeeni ata kama ni tano😢
kama unapenda hii nyimbo nipe like. from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unapewa like kwani wimbo niyako
❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 niwe hai Mungu ni wangu na mimi wake,
WaKenya wamefika hapa December 2024 tumpe Israel likes zake tukisonga. God bless and keep you Israel. Endelea kutubariki kwa nyimbo zako, so annointed. Uwe hai!
Thanks God you've answered my prayer baho in Swahili wakenya tuwe hai nipe likes jamani hallelujah hallelujah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakenyaa nipeeni likes 50k kama kawaida yetu show love to our brother
Waiting patiently from Kenya 🇰🇪 nipeni likes please
Wakenya tuko alama ya damu ya yesu wapi likes
Team Israel mbonyi here were🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 so proud of much love💕💕💕
Israel Kenyans we love you so much keep burning and burning till the coming of the king this side 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tupeane likes tukirudia rudia huu wimbo
Team Israel mbonyi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪n mnipitie aki
Wakenya mpo naomba likes representing kenyan 🇰🇪 and all over Africa
Mungu yupo nawewe... please ndugu zangu nipeni like tafadhali
Mbona Husemi watokea wapi huo ndo mtindo
Israel mbonyi to the world 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥.
Uwe hai by Israel mbonye nice song oh my god abanyarwanda bayirebye mubambere mumpe like 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi kama Murwanda na Shukuru sana Wakenya🇰🇪 kwaku support Israel mbonyi Much ❤️ from Kigali Rwanda
We love you brethren from Rwanda. Your gospel.music is a blessing
Kenya tunawapenda warwanda sana na you are lucky to have mbonyi as you son
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@@Janeth-y5m🫶🏽
Tunakuja #Icyambu🙌
Had really waited for the song.Kenyans let's show love by hitting the like button 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sure i heard the revelation after they prayed for the sick person and in the process he heard the song feel blessed
Ezekiel 37:4-6 Acha mifupa zangu ziwe hai ❤❤❤ Thank you for this Israel. Team Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Uwe hai ,wee mifupa iliyokauka, ewe uwe hai, wee mifupa mikavu, ewe uwe hai, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
How many Rwandans are here to support our best gospel artist.🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Kenyan supporting 100% 🇰🇪 he is a blessing
@@wakonyoceeGod bless all of them 🫶🏽
Israel Mbonyi fan's let's gather here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕
Huku mlisema likes huja kwa kujuana au vipi wenzangu 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tunabarikiwa sana
Akanutazama kwa utele wa rehema Zake, ety uwe Hai. Much love frm kenya ❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nisaindie natamani nimurete Kenya 🇰🇪 kwa kanisa yangu mtaniunga ngufu I love here My God bless this man
As Kenyans notification hukuwa on lk always 😂❤🇰🇪 sai unafaa kuwa n ID ya huku 🤌😂😂
😂😂😂
sure
😂😂😂 kbs
😂😂😂my dear uv'e nailed it anakosaje I'd ali
hakika
Team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪piga like ..tukisubiri this banger ❤❤..Na ombi letu kila siku ni kuwa Mungu awe Hai katika maisha yetu...na pia tukawe Hai katika imani yetu🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Finally imetoka Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 iwe hai kama mifupa mikavu tuitabirie
hapo sasa
Akanitazama Kwa utele wa upendo wake uwe hai🙏🏾🙏🏾 team Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪watching in 🇬🇧
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love you my fellow Kenyan's, let's spread the love of Jesus that our nation maybe healed...we speak live to Kenya, Kenya ooh Kenya hear ee the word of God,... receive healing in Jesus Name 🙏🙏🙏🙏
Natamka nchi yetu ya Kenya 🇰🇪 iwe hai tena katika jina la yesu🤲🙏kama hii ndo maombi yako kwa nchi yetu ya 🇰🇪 pita tu na like 👍
Amen ❤
Amen
In Jesus name amen
Kikeron my heavenly Father en chongindap rirenoshekyik kole shosop.kumbuka wokofu haikua yetu but the children of Israel but kwa uwingi wa rehema zake baba akasema tuwe hai sisi wa mataifa,it makes me cry uwepo wa roho mtakatifu is just here
amen...Kenya uwe hai in Jesus name
Fellow kenyans gather here and show Israel Mbonyi some love tell a friend to tell a friend blessings 🇰🇪 mmmmh the song is a blessing to us who can understand Kiswahili TZ join hands here🇹🇿 Kenyans we are always excited we do know how to keep quiet
My fellow kenyan's piga like tukingoja Mungi azifi kuwa Hai kwa maisha yetu n kaz zetuu
Ati tukingoja? 😅
Jamani wakenya ,wakiamua kussupport they support in full force ...much love my country people 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤
More grace Israel 🙏🏻❤
Kila alie andika hapa nakutabiria kila kitu kilichokufa maishani mwako kiwe hai katika Jina la Yesu Kristo.
Amen
We now accept that mbonyi origin is Kenya the love is too much❤... We kenyan our business is supporting everyone one who preaching the true gospel. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 💃💃💃 Yu dry bones uwe Hai... N I say live🙌🙌🙌🙌 be blessed Mbonyi
This song iko loop mode since..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 niko na alama ya damu mpenzi
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪peperusha bendera hadi shetani akufe
Wa Kenya 🇰🇪🇰🇪 wa Tanzania 🇹🇿 likes zenu muhimu kwa Kijana wetu Israel
Congratulations Kenyans for the ❤️ ❤❤ you have shown to Mbonyi songs 🎵 wapi likes hapa kwetu ...
Wue kidogo nichelewe, back again with another hit UWE HAI can't afford to miss this one, hello kenyans hii ni yetu sasa😂😂♥️💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Where are my kenyan people 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 like as we go
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunakupenda sana Israel mbonyi inchi yetu iwe hai Mungu 🙏🙏
I love Israel and the songs they really blesses my soul. Maisha yangu iwe katika jina la yesu
Kenyans our boy is coming back again 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ewe🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 uwe hai nakataa vifo in Jesus name 🙏🙏🙏
Israel Mbonyi is a gift
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huu wimbo ni Mkali Sana.Uwe Hai.Have life.... 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Wanakambi wa Kenya
God bless you Israel...
Mungu u hai...
Nipeni likes from Kenya
Go go go Israel Mbonyi to the World 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wewe ni wetu hayo tunanjua ,,,,,
Uwe hai akanitanzama kwa utele wa upendo wake ,,
Kenya tumpee likes zetu hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
BAHO in Swahili, finally!!!!🥳🥳🎉🎉 . Huu wimbo tumeungoja kweli. Our tongues 🇰🇪 have really suffered singing this song in Kinyarwanda 😂😂, finally we can sing without stummering, from next week 😂....EDIT: Thank you Israel and your team for translating these songs for us non-natives.…and Rwandans 🇷🇼, thank you for being patient. (I'm assuming you guys are being patient with these songs being translated for us 😂), if not you will need to learn patience coz we're not moving from this mountain until we have all the songs in a language we understand, you will learn to live with us, sincerely Kenyans 🇰🇪 😂.
"Uri wanjye ndi uwawe eeh..." 🎶 Wee ni Wangu, Mi Wako ooh...." 🎶- (Wimbo Ulio Bora 2 :16), My Beloved is mine and i am His (Song of Songs 2 :16)...I have been sealed with His blood 🙏🏽
Mifupa mikavu sikieni neno la Bwana "Nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtakuwa hai, ndipo mtakapo jua kuwa mimi ni BWANA."- Ezekiel 37:4-6
@@mwflossy yes that's my guess too...Ezekiel37,amagufa yumagaee...😊😊😊😊 ewe kendu beho❤❤❤
@phoebyn-j Aranyitegereza urukundo ruramusanga eti gend'ubeho, Aranyitegereza imbabazi ziramusanga eti gend'ubehoo... 🎶 🎶
It is ,you don't have to guess 😄,the lyrics are in the description box....I have listened this song so many times hadi I can sing it in Kinyarwanda 😅, glad we will have it in Swahili as well.
@@mwflossyexactly she shouldn't be in doubt coz it's the one🥳🥳thank you for being on the track
Hahaha! Exactly 😂😂 from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Umenichekesha sana
Wakenya hata likes kumi sijafikisha
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Pia wewe like mine
Karibu tena kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🎉 tunakupenda sanasana😀
Late comers ndio tunaingia Mko ,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Niwe hai Amina Amina ,,,Team Kenya gongq like 🎉🎉🎉
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 we are hia to stay we love how you bless us... amazing songs.. gonga like.
I thought I will be the first 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenyan kube mumelala hapa may this song bring glory to JESUS may he revival our Kenyan worshippers so we may worship HIM with true and HIS Spirit thenk you JESUS thenk you LORD for your Mercy
Eeh mwenyezi mungu yeyote anayesoma ujumbe huu mpe uzima na afya bora aweze kuvuka mwaka salama🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kenyans we really love and support ,others Nation artists ,i love the passion lets continue with the spirit
Wapi likes za kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 na Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Neema ya Mungu izidi kukubeba unaakilisha East Africa vizuri kwa injili, nyimbo Zina upako, zinatupa tumaini, kututia nguvu, kutuinua kiroho, na kutufanya tuwe na imani maishani......
Mungu akutunze zaidi aongoze hatua zako.....
Yeyote anayesoma hii comment chochote umekuwa ukiombea Mungu akujibu....
Uhai uwe kwa kila jambo ufanyalo
Kutoka Kenya 🇰🇪 😍 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ezekiel 37:1-14 uwe hai ❤❤❤ Kenya pitieni hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
AMEN ❤
Amen
You're blessed and Chosen..
Feel loved from kenya 🇰🇪
If you believe your life is being restored piga like
I think there's something special kwenye nyimbo za huyu kaketu. Receive love and maximum support from Kenya my brother, we love you ❤🇰🇪🕊️✌️
From Kenya 🇰🇪 Fons of Israel mboyi uwe hai juu ukiniamini unakaa haii weka like hapa zote Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ❤❤❤❤
Learn to type correctly,,your statement is barely coming out
Here I am to wait
lllike if❤ you love the Song
MUNGU ni mkuu kwako sauti ya kujua kingereza AAFU kiswahili unainua wengi
Correct a name not mboyi" say mbonyi
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 natabiria inchi yangu iwe hai
Mungu abariki nchi ya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪na atukinge wale ambao tuko lebanon,turudi nyumbani salama Amen
Muwe hai huko Mliko❤
Kenya tunakupenda Israel comments zote ni kenyans❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo wangu huu nitaishi Mimi nitakuwa hai na afya njema naweka maagano na huu wimbo kwa haya maneno nitaishi nizeeke nifurahie mema ya nchi❤❤❤
Team mbonyi Kenya tumewasiri🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👋👋👋👋🙌
This Prophesy❤natuwe hai Milele,much love Israel Mbonyi from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪people we are never late in supporting our favorite artist ❤
Akanitazama Kwa utele wa rehema zake eti uwe hai❤....Amen to these words🙏
Nice song with well thought and organized lyrics. May God bless Israel
Nyimbo zako zimekuwa zikisikilizwa pande zote za KENYA.
KENYANS like and love your songs