Hii qaswida hua naimba kila inaponijia kwenye akili Ustath amani hii imekaa sawa inahitaji marekebisho madogo tu Maana kuna vipande ustadh beka anaitikia na wengine wanaitikia ukiskiliza unapata kujua kuna utofautu mfano Wanna muhibi beka yeye anasema muhibu pale kuna mchanganyo kidogo. Na naomba ifanyiwe tena recording hii wengi wanaitikia kwa umoja ila wanashindwa kuisoma ili sisi tufaham nn kimesomwa wanunyamunya sana midomo Iliwezekana hii kiukweli IRUDIWEEE INSHAALLAH ziara ya mwaka wowote ule na ALLAH ajaalie niwepo kwenye uwanja wa KAMJADA
Hii qaswida hua naimba kila inaponijia kwenye akili Ustath amani hii imekaa sawa inahitaji marekebisho madogo tu
Maana kuna vipande ustadh beka anaitikia na wengine wanaitikia ukiskiliza unapata kujua kuna utofautu mfano
Wanna muhibi beka yeye anasema muhibu pale kuna mchanganyo kidogo.
Na naomba ifanyiwe tena recording hii wengi wanaitikia kwa umoja ila wanashindwa kuisoma ili sisi tufaham nn kimesomwa wanunyamunya sana midomo
Iliwezekana hii kiukweli IRUDIWEEE INSHAALLAH ziara ya mwaka wowote ule na ALLAH ajaalie niwepo kwenye uwanja wa KAMJADA
Mashaallah❤
Ahsante kwa kufuatilia Hesmin TV
Mashaallaaaaaah
Masha Allah