Mkikuja Kenya mtapata hii mix yote tutawaimbia . Alafu you mean mliimbia hizi nyimbo zote non-stop? Wow kwanza mmenifurahisha kwa kuimba wimbo wangu niupendao "Mimina"🥰💕❤️
Nafurahi sana sana sana kuona masta Bernard Mukasa hapo akirusha bass nzito kutoka nyuma..hongera Na kongole kwake..jamani naomba nifike Tanzania niwasalmie nyie choir mzuri..lakini uwezo sina
Jamani mpiga ngoma (a k a Kamongo) umetisha 👏👏👏👏
My choir...this is the place I use to praise my God who created me....❤❤
Huyu mpigaji ngoma naye kanishangaza sana....yaani anaelewa kazi yake sana🥰👏👏👏
Greetings from Norway 🎉❤❤❤🎉🎉🎉
KMK MAKUBURI non- stop performance is high quality and unique, Instrumentalists skills top notch
Woow😥u always make me happy..kudos🙏🤝 and how I wish I could be in TZ with this smart choristers
Never break this choir no matter what. Maybe old age...... Kenya and Kenyans love you 🇰🇪
Great choirs are made by great choir masters and enthusiastic singers and talented instrumentalists. This is just a perfect storm we have here
Basi ndugu zangu nawasihi kwa huruma zake Mungu,
Huu wimbo mwenye nao nahitaj jaman
Amazing so cute, am proud to be Catholic love from Uganda 🇺🇬 but
The best choir in Africa. Our all time Catholic Choir of the 21st century. Will my Matia Mulumba Thika Choir ever get to this level???
All choir can do this if only we commit ourselves love one another and be serious we can do this
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa KAMONGO WE NOMA
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Hongera mwana Jimbo
Je vous suis depuis le Congo Brazzaville félicitation a vous. soyez bénis.
Wonderful. Naupenda sana wimbo wa Nimrudishie Bwana nini.
Amazing KMKM. Proud of you Tanzanian Choir.
Wow great choir n Greatchoirmaster
Mkikuja Kenya mtapata hii mix yote tutawaimbia . Alafu you mean mliimbia hizi nyimbo zote non-stop? Wow kwanza mmenifurahisha kwa kuimba wimbo wangu niupendao "Mimina"🥰💕❤️
I was there it was non stop my dear but the editor just minimized the time it was around 40 minutes
Very nice they concluded the function with the song that touches my heart 💓 most." Wewe ni Mungu" God bless you team
Very proud of you. I love the enthusiasm in you towards singing for the Lord. May the Lord bless KMK Makuburi choir. Much love from Kenya
Safi sana mbarikiwe
Hii kwaya 🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏👏
From Kenya with love ❤
Mrs mukasa I can trace you very well,kudos,may God bless the entire group you are such a blessings,good voices🙏
you make me feel i'm running towards the Heaven,thanks a lot.🥰🥰🥰🥰🥰
Mpiga ngoma hodari nakuheshimu jamaa
My dream place❤❤❤
Wow hii ni mix Kali sana hongera sana wana Makuburi🥰👏👏👏👏👏 alafu sauti zenu hamna tofauti na studio. Kazi safi sana🙏🏻
Sifa na utukufu zote ni kwa Mungu
Niliwamis vipenzi vyangu, mmependeza mno na nyimbo ni nzuri sana mbarikiwe
Good.
Wanawake Wakatoliki Tanzania. Sijui huko Kenya mnawapa jina gani
CWA...CATHOLIC WOMEN ASSOCIATION...KENYA
Catholic Women Association (CWA)
Chama Cha wanawake wakatoliki
Akh djs I beg for a mix from this amazing and angelic voices from KMK Makuburi...
Waiting for Lent songs from you people
The beauty of music how i wish to see this choir
Nafurahi sana sana sana kuona masta Bernard Mukasa hapo akirusha bass nzito kutoka nyuma..hongera Na kongole kwake..jamani naomba nifike Tanzania niwasalmie nyie choir mzuri..lakini uwezo sina
Amazing, napenda the energy
Congratulation
Nawapenda sana 🇰🇪
YOUR SONGS ARE REALLY MOVING MY SPIRIT
FOR SURE
Greatness
Kazi safi
Lovely voices
mlikuwa mmepotelea wapi?
Nice
Mzee Morris and his ten drums
Nawaogopa sijui kama nini
😍😍😍😍😍😍
When are coming back to Kenya?
WAWATA namba kuelezwa maana yake
Wanawake Wakatoliki Tanzania
Wanawake wakatoliki tanzania
Wanawake wa katoliki.
Wanawake wakatoliki tanzania
Wanawake wa Catholic Tanzania
🔥
Keep it up guys bt new records hamleti Bona?
Kwanza za hii Lenten season
🤎
@ George ziboni
Hongereni sana KMKM kwa kuonesha na kushirikisha vipaji vya kuimba na kuinjilisha.