This choir believe me or not. It is one of its own. It has gone beyond boundaries. The uniqueness and the consistency. You've opened up my eyes. Am not limited!!!❤❤❤
Solo guitar nilimuona zamani mnoooooo... kipindi akilichalaza gitaa ktk album ya kwaya Living Water Kawe.....labda macho yangu mabovuuu.....ILA duuuuuu mmetishaaa
kijitonyama mbarikiwe sana, mnazidi kubuni namna nzuri ya kumsifu mungu kwa ustadi kikubwa sisi tubarikiwe, sebene kama ndo tumefika mbinguni,
Kwa kweli hakuna kwenda zaidi ya kwa Yesu maana kwake kuna maneno ya uzima. Mungu awabariki sana kwa wimbo wenye baraka
❤
Brother Mwombeki never disappoints❤❤🎉🎉
Mungu anawatumia vyema pongezi kwake
Arusha nawapa saluti❤❤❤
Mbarikiwe sana Kwa kaxi ya MUNGU
Hongera Kwa kuifanikisha siku yenu ya baraka Tumsifu Yesu Kristo
Kutoka Dodoma nasema bigup sana.Wimbo mzuri sauti zimepangika vizuri mziki mzuri picha ziko vizuri.yaani niraha tupu
Hongereni sana kwaya yetu❤❤❤
Lakn jambo moja ....... mpiga filimbi amepiga lakn voice over ya filimbi kwenye wimbo haijasikikaa
Mathew kifilimbi ..... ni humu tuuuu❤❤❤❤
Aisee mnazidi kuinuliwa tuu na hiii miaka mia kama simba wa yuda
Mungu Awatunze watumishi wa Mungu. Kazi yenu ni njema na Mungu aukumbuke utumishi wenu. Amen
Baba fungua malango ya mbingu inyeshe mvua ya baraka Ameeeeeen
Mungu awabariki. Nawapenda sana
Hawa hawajai kukosea ata sikumoja nawakubar wana wa Jehova
Mbarikiwe sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hamjawai kutuangusha kijitonhama ❤❤❤
Mungu nimwema sana.
Acha malango ya mbingu yafunguke mvua ya BARAKA inyeshe❤❤❤❤❤❤❤
Nang'hang'hana kwa YESU Kwa YESU
Hakika Mungu atafungua malango tunyeshewe mvua ya BARAKA yake Amen
🔥🔥🔥 hongera sana watumishi
Hongereni sana Mungu awabariki kwa huduma hiyo
Hongereni sana Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama🙏🙏🙏 💐💐💐🎉🎉🎉🎉
Tuliwamiss sana kijitonyama hongereni kwa Kaz nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwa Yesu kuna raha. Tutang'ang'ana na Yesu daima
Yaani nabarikiwa sana na wimbo huu na performance hii ya Kwaya yetu yenye viwango vikubwa sana!
Very nice, hongereni sana Uinjilist Kijito
Sifa na utukufu apewe Mungu juu Mbunguni. Nice song kwakweli. Na mvuwa ya baraka ikawanyeshee wote.
Hongeraa sana Wana kijito..
MUNGU awainue kwa viwango vya juu zaidi👏👏👏
Mbarikiwe sana
Mbarikiwe watumishi wa Mungu
Weweeeeeeeee hatariiiiiiii hii niyawajanja weweee
AMINA❤❤❤
❤❤nilivyo kuwa naungoja wimbo Kwa ham asanteni🎉
Nimekubali anayejua anajua tu mkovizili sana
Kwaya yangu pendwa❤
Amina Amina
This choir believe me or not. It is one of its own. It has gone beyond boundaries. The uniqueness and the consistency. You've opened up my eyes.
Am not limited!!!❤❤❤
Thanks for listening
kazi nzuri mbarikiwe na yesu
Congratulations
All the way from Zambia
❤❤nimebarikiwa sana
Mungu Awabariki mnoo🙏
❤❤❤❤❤Uinjilisti kwaya yangu
❤❤❤ we are proudly lutheran
Kazi ipo...kongorizoe church in
AMAIZINGGGGGGG
Hiii kwaya ni bongo bahati mbaya
Very much relevant and meaningful song and very inspiring indeed keep it up
Baraka juu ya Baraka
Hiii ndo kwaya kubwa tz
AMEEÈEEEEN
Glory to God
Mpiga solooo 🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🔥
Mnapiga sebene kali mnoooo.....ila mbona kama hamlotendei haki wapendwa.....show show show...sioni mweee😃
BASS GUITAR EEISHHHHH
Ameeeeen 🎉
Solo guitar nilimuona zamani mnoooooo... kipindi akilichalaza gitaa ktk album ya kwaya Living Water Kawe.....labda macho yangu mabovuuu.....ILA duuuuuu mmetishaaa
Ndiye yeye lakini kwenye huu wimbo amepiga rhythm. Lakini upo wimbo amepiga solo
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hallelujah 🎉💃🏻💃🏻
❤❤❤❤
The drummer men😮
🙏🔥
Kazi yenu ni njema sana Wapendwa. Mungu azidi kuwaweka juu na kuwa bariki kwenye kila jambo..
❤️❤️❤️🙏🏽
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Sauti uku youtube inakwaruza tofauti na tulivokuwa live pale
Wonderful rendition 🎉❤❤❤Well done! God bless you, Team Uinjilisti!👏👏👏👏🙏
@juliusmwombek Keep shining as you lead the Choir. All for God's Glory 🙏🙌
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤