MSIKITI WAFUNGWA WAISLAMU WAKOSA HAMASA YA DINI WILAYA YA KALIUWA TABORA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 153

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 3 года назад +5

    Mashaallaah yarab tuhifadh na utulinde pamoja na viongoz wetu....hongera ust mwaipopo Allah akuhifadh amiin unaweza

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 3 года назад +4

    Maashaallah shekhe Allah akuongoze

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 3 года назад +6

    ALLAH akuhifadhi,akulinde, akusitiri, AKUPE ikhilas na ISTIQAMA.

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 3 года назад +5

    M/mungu atakulipa shekhe

  • @husseinhuseni9349
    @husseinhuseni9349 3 года назад +4

    Mashaallah shkhe Allah akuhifadh na akulind nakila lashari

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 3 года назад +4

    Mashallah shekhe mungu akujaze umli wenye kher nyigi

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 года назад +1

    Manshallah Allah akulinde na hasadi za wanadam pia akusimie kwenye kheri amiina

  • @mohammedyabdalah3244
    @mohammedyabdalah3244 3 года назад +1

    Isha alah shee mungu akuongoze kwayote mema pia akuepushe nayote mabaya

  • @mufid707
    @mufid707 3 года назад

    Sheikh: Mwaipopo Allah akupe Subra na Afya njema Ameen. Sheikh wangu nakupenda kwa jili ya Allah. Msimamo wako uko Sawa. Haki isemwe tukinyamaza tutangamiya Sote.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 года назад +1

    Inshallah Shekhe wangu tuko pamoja nitatuma kidogo nilicho jaliwa. Uyo mtoto umejizaa.

  • @samihasan1883
    @samihasan1883 3 года назад

    Mashallah shekh umejizaa dah,,

  • @zainarashid1024
    @zainarashid1024 3 года назад +1

    M.mungu awahifadhi watu wetu wa Zanzibar isifikie hatua hiyo yarab.In shaa Allah

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 года назад

      Mtihani kwa kweli Allah atunusuru

  • @asuasu658
    @asuasu658 3 года назад

    Yoooo maskini sheih wangu pole sana kaka allah atakulipa iyo siku ya malipo insha allah endeleleya kutangaza dini yetu ya haki mungu atakulipa ukweli ni ukweli tu (ina uma sana)

  • @emmy85sweetie99
    @emmy85sweetie99 3 года назад +1

    Maashalah Allah awape kheri na afya inshaalah

  • @rahakesho5550
    @rahakesho5550 3 года назад +2

    Mashaallah sheikh umeongea maneno kuntu kabisa mungu akupe umri mrefu kweli kabisa wengine wanafanya dili katika misaada ya kidini.

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 3 года назад

    Allahumma Aammiin.. Allah Atupe Taufiq Ya Rabb

  • @mirajisalehe742
    @mirajisalehe742 3 года назад +1

    Kuwa na Yesu Kiristo ni tamu Sana Kaka Mwaipopo , kumbuka kipindi ulipokuwa ukimtumainia Bwana Yesu,Mimi naenda kubatizwa.nakushauli mrudie masihi wa Mungu ,nikumbushe ule wimbo wao, unaosema,Kumtegemea mwokozi kwangu Tamu kabisa kukubali neno lake, ludi Kaka yangu Yesu anakuita njoo, mbo mna unawaombea Wana wa Ibrahim mabaya

    • @furahandabadugitse2659
      @furahandabadugitse2659 3 года назад

      Wewe baki na yesu kula mikatee ushibe hujuwi mungu wako una ambiwa husiki allah anasema atawa adhibu nyie mnasema mungu anamtoto uliona wapi mungu akazaa wajinga nyie mungu anamesema atawapeni moto usio ishia milele na milele wewe badilika angalia mungu wako wa ukwelii

    • @bahatisaleh6445
      @bahatisaleh6445 3 года назад

      Inalilahiwainailahirajiun
      Diniyahakiniuwislamtu
      Dinizilzobakizotenibiashara.

    • @furahandabadugitse2659
      @furahandabadugitse2659 3 года назад

      @@bahatisaleh6445 kabisa uyo mwana kondoo alio laniwaa muache aone raha apa duniani unajuwa hao wa kristo hawajioni uruma kaziyao ubishiii tu wasubiri bora sisi tulio ahidiwa namtume wetu ataombea maghifira siku ya mwisho allah anipe mwisho mwema nife niko mwilsam alhamndulilah

    • @jamilaalfarsi7712
      @jamilaalfarsi7712 3 года назад

      Amakweli makafiri mnamacho lkn hamuoni mna masikio lkn hamsikii iviww unaakili kweli kumuabudu binaadamu mwenzio khaa nawashangaa Sana makafiri

  • @nininahazweally7793
    @nininahazweally7793 3 года назад +1

    Kwer kabisa ukwer unauma mungu akulinde n'a mabara yawanafiki🇧🇮

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 3 года назад +2

    Tunamuomba Allah Subhaanahu waTaala akupe Tawfiq na istiqaama usimame katika Swiraatul Mustaqeem wewe na watoto wako muusimamishe Uisilamu Afrika nzima mpaka Ulaya na Marekani.
    Aamin Aamin Aamin
    Yaa Rabb Al'Aalamiyn

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 года назад +3

    Amiiina Amiiina Amiiina yaaaaaabii

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 3 года назад +3

    Mashaalah sheki

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 3 года назад +2

    Allah atuhifadhi ishaallah

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 года назад

    Wewe fundisha waislamu wenzio,jihurumie wewe na nafsi yako. Kristo amekuwepo mamia ya miaka kabla ya uislamu,so hiyo dini uliyomo muulize Yesu vizuri,pole sana

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 3 года назад

    shekh mwaipopo ilo la matajiri kutokuchangua hela lizungumze kila siku inshaallah allaah akuafikishe kulisema iloo

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 3 года назад

    Allah akulinde sheikh

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад

    Mashaallah mashaallah

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 3 года назад

    MUNGU akupe kheri sheikh wetu

  • @fatwimatzahrau2327
    @fatwimatzahrau2327 3 года назад

    Ameen

  • @moasitymemo9894
    @moasitymemo9894 3 года назад +1

    مشا الله تبارك الرحمن الله يحفظكم

  • @fauzakassim2271
    @fauzakassim2271 3 года назад +3

    Allah atusaidie znz maneno yako sadakta na allah atakulipa kwa kheri zako inshaallah

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 года назад

    Shekhe umepata mtoto uliefanana naye Allah akukuzie na awe shekhe Kama mwenyewe manshallaah

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 года назад +1

    uko sahihi sana sheikh mwaipopo,ujumbe umefika

    • @barnabasmajige8473
      @barnabasmajige8473 3 года назад

      Huyu fala haina ishu zaid ya kujifanya et yuko karibu sana Mungu na wakati anateshwa na majini na mapepo

    • @barnabasmajige8473
      @barnabasmajige8473 3 года назад

      Ww fala ujumbe wa kisenge huo tatizo ni kupenda kusimuliwa habari za kijinga.

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 3 года назад +1

    Umeongea kweli kabisa shekhe

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 Год назад

    Swadacta ya sheikh sahihi

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 года назад +3

    Mtoto kafanana na ww kabisa Masha"Allah

  • @azzaazza3686
    @azzaazza3686 3 года назад +1

    Mashaallah

  • @michaeljoseph4517
    @michaeljoseph4517 3 года назад +2

    Shekhe Yesu kristo wanazareti ndio njia ya ukombozi ya kwel na uzima wala uwez kwenda kwa Allah pasipo kupitia kwake,Wokovu/Kuokoka tu ndio njia pekee ya kwenda peponi;

    • @mwalimameir4305
      @mwalimameir4305 3 года назад +1

      Ndugu nakutakia mema.Silimu ili uchoke kuambiwa uongo na makafiri

    • @neemafatu7885
      @neemafatu7885 3 года назад

      Pole sana! Huyo unaemfundisha hayo biblia kama vile kuimezanenda akakusomeshe Bible yako.

    • @furahandabadugitse2659
      @furahandabadugitse2659 3 года назад

      Wewe mwana zeleti 😆😆mwana kondo umeshiba mikatee ya yesu eti naku shauri badilikaa angalia mungu wako wa haki yesu haja muumba mtu unamwitaje mungu allah anasema atawepane adhabu kaliii

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 3 года назад

      Yesu kristo ni mtume wa mwenyezi mungu na alitenda miujiza kwa uwezo wa mwenyezi mungu kwahiyo ndugu jitambue,huyu unaye musema kasoma biblia vyakutosha lakini kaona ukweli na haki ilipo kaifuata.

    • @jamilaalfarsi7712
      @jamilaalfarsi7712 3 года назад

      Uyokafiri mwenzio kiongozi wawajinga ndio alivo kuambieni ivo kwani uyo yesu yy kaubwa nanani??? Napia katumwa nanani nawapi na kwawatugani ?? Nyie mnao jihashua yesu yesu wakati atahawajui maguruwe nyie yy alitumwamwa kwakondoo walio potea wanyumba ya izrail sasa nyie niwaizraili ?? Wajinga amkeni basi mnapelekwa pabaya na viongoziwenu waujinga mtaenda kuchomwa nyote naunafkiwenu hao viongozi njaa na nyie wajinga mnao washibisha pesa nyie mkishibishwa ujinga nyote jahannam

  • @shabanmaulana8594
    @shabanmaulana8594 3 года назад

    Assallamu aleykum warahma tull lahi wabarakatull, ndio Dunia ilivyo Mwaipopo wanafiki wapo wameja tele, wana Adam hawataki ukweli isipokua Tama .unasema kweli nakufahamu vizuri sana 😢 Lakini ujuwe utachukiwa na watakupiga vita manake wao niwanafiki Mungu akuwezeshe Shekhe wangu

  • @ksttv1735
    @ksttv1735 3 года назад +1

    NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH

  • @halfanibongojo9413
    @halfanibongojo9413 3 года назад +1

    Mashallaah

  • @sadabahla7120
    @sadabahla7120 3 года назад +1

    Kweli maneno yk zanzibar ya Zaman tofaut na ya sasa

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 года назад

      Sana tu ila na sisi wenyewe ni wazinifu sana hasa vijana wa sasa

  • @emilyshooga6319
    @emilyshooga6319 3 года назад +1

    Kweli mwaipopo

  • @ahmedstza2900
    @ahmedstza2900 3 года назад +5

    Mpo wachache sana sheikh wenye kuongea ukweli

  • @ahmedstza2900
    @ahmedstza2900 3 года назад

    Fact mkuu

  • @zubedasoud9204
    @zubedasoud9204 3 года назад +1

    Namba ya simu ya kutuma sadaka haionekani vizuri

    • @hamisimfaumenamwewe193
      @hamisimfaumenamwewe193 3 года назад

      Mimi naitwa Khalfani napatikana Mtwara. Ki ukweli nimepoteza nguvu za kiume. Msuri umeregea. Nilikuwa na tabia yakujichua sehemu za siri ndani ya miaka 14. Dawa zipo gharama zake elfu 75000. Doctor kaniambia na nitakuwa imara. Utakayojaaliwa insha,Allah number yangu 0787132922) Jina Said omari. Naumia sana kwakukosa utulivu wa mke. Allah ndo mlipaji.

  • @justinesteven1036
    @justinesteven1036 3 года назад

    mimi ndimi njia ukweli na uzima hakuna mtu awezaye kwenda kwa Baba ila kupitia kwangu.(Yesu kaisha maliza hatutaki na hatuwezi kuwaamini kama wewe umekengeuka ni wewe usitake na sisi tupotee kama wewe)

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 3 года назад

    Mungu ndio judge mkuu binadamu hatuja kamilika

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 3 года назад +1

    Sodakta shekhe usilamu dio dini ya haki

  • @balyyusuf7394
    @balyyusuf7394 3 года назад +1

    Swadakta

    • @abdillahseidan8584
      @abdillahseidan8584 3 года назад

      Asalam aleikum sheikh naitwa abdilah juma nipo zanzibar asante kwa waadh yako.

    • @nooroman2535
      @nooroman2535 3 года назад

      MashaAllah Mwenyezi Mungu hatakusaidia

    • @nooroman2535
      @nooroman2535 3 года назад

      Shelkh sema ukweri

  • @aliissahongerababanazenjit6824
    @aliissahongerababanazenjit6824 3 года назад +1

    Uko vyema

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 года назад

    SISI TUNAHUBIRI WATU WANAOKOKA HATUWACHINJI WALA KUWALAZIMISHA

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 года назад +2

    Maskini njaa ilikufanya ukamkana Yesu! Umeshashiba?

    • @neemafatu7885
      @neemafatu7885 3 года назад

      Ukristo ndio kwenye shibe huku kwetu ni njaa tu.sasa jiulize wewe na yeye nani kakimbia njaa?

    • @furahandabadugitse2659
      @furahandabadugitse2659 3 года назад

      Hamna akili hajakimbia nja kaona dini ya haki wewe kama unashiba uku hujuwi mungu wako bora kuwa nanjo lakini ufaham mungu wako yesu huo hajamuumba mtu

    • @habibahadithi5080
      @habibahadithi5080 3 года назад

      Alokudanganya Uislam unauzwa akurudishe darasani ukausome Uislam vzr na huo ukristo wako

  • @michaelsimeo3946
    @michaelsimeo3946 3 года назад

    Hakuna muislam thomas

  • @mathiasngomango2570
    @mathiasngomango2570 3 года назад

    Unajua mwaipopo huujui wisilam Ila umeingia kwa ushambiki.Quran.33.56.kwann mna msalia muhamadi anakosa gani?mbona hukujibu?

  • @saidshuda5557
    @saidshuda5557 3 года назад

    Mbona msikiti hujatuonyesha?

  • @munimuni3365
    @munimuni3365 3 года назад

    Ao wakiristo wache wakutukane wasubiria siku yakiama njowataona kama wislam nidini yahaki

  • @vincentashiembi
    @vincentashiembi 3 года назад

    mwaipopo umewahi soma QURAN 9:123 PIGA MAKAFIRI? AMA QURAN 47:4 UWA KAFIRI (MKRISTO)

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 года назад

    Sheikh Muipopo sisi Waislamu tunaokufuatilia tunakupenda na hufurahia njia yako ya kuelimisha watu tofauti baina ya Uislamu na Ukristo tangu zamani lakini kuna mambo hayakubaliwi kwa Waislamu. Elimu ya kutabiri kwa kutumia nyota. Je wewe unatenda mambo hayo? Mtume Muhammad hakufundisha watu kutabiri kwa Kutumia Nyota bali amewafundisha kufuata mafundisho yake.

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 3 года назад +2

    Nikweli usemayo wiki hii nimetoka kuangalia vidio za manabii wengi hao walioigiza wanaonyesha jins manabii walivyokua ktk hali ngumu na mayahudi wakiwa na afya na mavazi mazuri kabisa

  • @aminaabdallah9602
    @aminaabdallah9602 3 года назад

    Q3

  • @joezeno8
    @joezeno8 3 года назад

    Dini ni kama timu ya mpira ao chama cha Siasa

    • @fadhilikawambwa5159
      @fadhilikawambwa5159 3 года назад +1

      labda dini yenu

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 года назад

      @@fadhilikawambwa5159 unaposema wewe ni muislamu ao mkristo Mara moja utamuona mwenye dini nyingine kuwa hafai, hii ndio tatizo ya dini

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 года назад

      @@mwalimameir4305 kila dini kuna ubaya na uzuri, tulia

    • @rummaysawamt9395
      @rummaysawamt9395 3 года назад

      Sio kwa waislam nikwaupande wenu tu huwa kama timu ya mpira umeskiaaa

  • @utafitiimanitv6641
    @utafitiimanitv6641 3 года назад

    Umefirisika una mpango ww we ukristo ulikuwepo upo na utauacha uwezi kupinga ukristo duniani

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 года назад

    Njaa ilimfanya mamako akaslim!

    • @mwalimameir4305
      @mwalimameir4305 3 года назад +1

      Acha kutukana wewe.Unatakiwa usilimi haraka ili usije ukafa kafiri,itakuwa in hasara kubwa kwako

    • @rummaysawamt9395
      @rummaysawamt9395 3 года назад

      Ndio makafiri walivo hawana hoja wanakimbilia matuc tu polen sana

    • @furahandabadugitse2659
      @furahandabadugitse2659 3 года назад

      Adhabu kali ziko kwenu wa kristo ila sisi wa islam hatumo allah njo kasema hatak tukiingia sio milele
      Ju tunamwamini
      Ila nyie mnasema mungu kaza yesu allah ame ahadi mtaka milele motooni bila msamahaa badilika guy's ukifa kafiri pole sana.

    • @jamilaalfarsi7712
      @jamilaalfarsi7712 3 года назад

      Viongoziwenu ndio wenyenjaa mn kila j2 lazima mukawapelekee pesa zakuendesha maishayo na familiazao nyiewajinga mnaishia mlommoja kwasiku ayooooo mijinga inatajirisha wengine yenyewe yana lalanyaa

    • @salehmussa9371
      @salehmussa9371 3 года назад

      Tangulini Uislam ukampa mtu pesa ili awe muislam, hapa fikiria vizuri

  • @michaelsimeo3946
    @michaelsimeo3946 3 года назад

    Nilichokiona ni njaaaaa hakuna muislam hapo

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 3 года назад

      Hujaelewa anachokiongea ww

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 года назад

      Kwani wewe peter unafanya nini hapa kwani wewe ni milionea au

    • @saidswalehe2807
      @saidswalehe2807 3 года назад

      We Michael acha ushabaki ckiliza maneno we wadhan pepo na moto nan ataingia

  • @barnabasmajige8473
    @barnabasmajige8473 3 года назад

    Et Unawahurumia sana wakristo hii dunia kuna vituko ww nani uisilamu sio dini bali ni chuo cha majin na mapepo.

    • @barnabasmajige8473
      @barnabasmajige8473 3 года назад

      Uislamu sio dini na ya kuokoa maisha ya watu zaidi unafiki na ukunda

    • @mursalsaid3327
      @mursalsaid3327 3 года назад +1

      @@barnabasmajige8473 Wacha kuongea pumba Soma historia ya uislam uislam ndio dini sahihi pekee Uislam ndio dini pekee inayoeleza lengo la kuumbwa kwa mwanadam yesu sio mkomboz Mungu pekee ndio mkomboz,nikupe taarifa hao masahaba wakubwa asili yake walitoka kwenye ukiristo baada ya kuamini uislam ni dini sahihi walitoka kwenye ukiristo, Soma historia,ya uislam,,

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 3 года назад

      Ww hujui lolote make ukisema uislamu ni chuo cha majini,kwani majini wameumbwa na nani?na mapepo wametokea wapi?Hacha lugha za kashifa inawezekana hata imani yako ina mashaka sana!

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 3 года назад

      Kama hata biblia inathibitisha yakuwa hapo hawali yaani zamani dunia haikuwepo baadae mwenyezi mungu akaiumba kwa kuweka kila kitu unacho kiona na husivyoweza kuviona kwa macho yako vyenyekuchukiza na vyenyekufurahisha sasa ww kwa akili yako unazani majini kaweka babu yetu Waislamu?

    • @barnabasmajige8473
      @barnabasmajige8473 3 года назад

      Zungumzia kurani sio kukurupuka kuongelee kitu usichokijua kazi ya uisilamu kusoma bibilia ni kutaka kujua yesu ni Mungu au ni nabii na kuleta ubishi wa kijinga

  • @emmy85sweetie99
    @emmy85sweetie99 3 года назад

    Maashalah Allah awape kheri na afya inshaalah

  • @madinkeymadinkeymcn1681
    @madinkeymadinkeymcn1681 3 года назад +2

    Mashallah

  • @Zuwena-jq7jf
    @Zuwena-jq7jf 3 года назад

    Mashallaah

  • @barnabasmajige8473
    @barnabasmajige8473 3 года назад

    Et Unawahurumia sana wakristo hii dunia kuna vituko ww nani uisilamu sio dini bali ni chuo cha majin na mapepo.

    • @lileoh3893
      @lileoh3893 3 года назад

      Kama unampenda kilisto kasali msikitini ww wap

    • @rummaysawamt9395
      @rummaysawamt9395 3 года назад

      Ukweli unaumaga lkn huwezi kua bondia hahaa

    • @barnabasmajige8473
      @barnabasmajige8473 3 года назад

      Utakula jeuri yako

    • @jamilaalfarsi7712
      @jamilaalfarsi7712 3 года назад

      Kwakua majini walisilimu Waka wakaamuni sioshida shida nikwenunyie Na mshetali wenzenu mnao igia makanisani uchi nawakezenu wadogozenu wakike wazaziwenu wakike nakiume aibu zimewatoka jinsi shetani alivo wavaa mnaona nisawatu ava kuziniana ndugu mnaona nisawatu kwakua shetani katawala nyoyozenu kila mnachofanya mnaona mmepatia mnamridhisha shetani ila kwawaisilamu huyakutihayo na ukimuoma muisilamu anatembea nusuuchi ujue nimuisilamu jinatu nasioimani