😢❤Mwanadamu kumbuka kuwa u mavumbi wewe na mavumbuni utarudi😢💔Kweli sisi ni mavumbi,hakika tutarudi mavumbini😢ni miaka 20 sasa ya kifo cha mpendwa mama ..wimbo huu unanidhihirishia kwamba hakika lazima nirudi mavumbi 💔🥲🙏E Mungu nijalie mwisho mwema nifariki katika wewe 😢🙏🙏🥲

wimbo wenye tafakar ya hali ya juu.Mungu awabarik waimbaji
Ahsanteni
Nahitaji wote kbsa naupataje