Whenever I listen to fenny.. I feel encouraged ready to move on to a higher place... May the Almighty God bless you for such an awesome song full of God's Annoiting
Waaah! Nitapenya kati yao na niangaze . I had these song today performed by ada moraa in south b church I was blessed and promised myself to look for it on RUclips
Enda mbele bhaba na neema ya Mungu ikubebe kutoka kiwango hadi viwango vya juuuuuu zaidi
Amina mum, nashukuru kwa kunishika mkono Mungu akubariki sana Kwa moyo huo🙏
Enna. . m elephant ❤❤❤❣️🎸🎸
@@aswa3338
SULTANA TOMORROW NIGHT
God bless u Moraa.u wa songs huwa zinanigusa sana.Amen
Mipango ya adui yako haitafaulu katika jina la Yesu, Utapita kati yao wapende wasipende ,wakubali wasikibali kama unaamini utapita kati yao sema AMINA
Mambo imechemka hapa 🎉🎉 adui hawezi faulu kamwe...aki hii ni kali Adah Moraa
Ameeen 🙏
Amen
Amina
Amen
Venny mkisii mwenzangu nitamunyinya aje like ❣️💝
Minto this is great work indeed, Wimbo mtamu... We!!! Kali sana
Amina sifa kwa Mungu
Hak unanipalik nakunifulaisha mungu akuongesee❤❤❤ kutok sauid
@Adah moraa amazing keep it up my dear🌹🔥🔥🔥🔥hiii dance authomatic omoika bwomosiki🤼♂️🤼♂️🤼♂️🤼♂️
Amina
A blessing song sister… it’s really amazing for sure… God bless ur ministry
Amen
@@AdahMoraa 🙏
Nitapenyea katikati yao walai.... congratulations
Penya kwa jina la Yesuy sister
Wow nitapita kati yao arirririri in Jesus nice song Keep it up my sister
Wherever you see fenny kerubo ni mwalimu wa nyimbo jamani hongereni sana 🔥🔥💯💯💯
Congratulations 🎉🎉wow
Thank you
Kweli mumepiga hatuwa mumeenda mbere mungu awabariki ametosha mlima mbere zenu munapiga muziki safi mumefika mbari nawakaribisha kwenye kanisa langu hapa mericani thank you 🙏 ❤ ❤🎉
Thank you we are humbled🙏
Addah congratulations,this is no nice of another level
Thank you
Wow wonderful hawa warembo wetu wameamua..God bless them
Amen
@@AdahMoraa thank yu so much proud of yu gals we love n salute yu kazi safi
hii Iko sawa, guitar man pia ameenda shule. Congratulation Once again
Amen Amen
Congratulations funny kazi poa unafanya
Nice song baba songa mbele na yesu
Amina
Amazing work, my friend. Love you
Apostle lameck monari MOMANYI was here 20 like as we go
Wow, tutapita kati Yao.
Kabisaaa
❤❤❤❤❤ hongera Hongera hongera Hongera dada❤❤❤mipango ya mungu haisuiliwi na yeyote❤❤❤❤kanyaga shetani kabisa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
🙏🙏
best encouragement love it.
Thank you
Nice song tutapita kati ya Mahadui zetu Hallelujah nice song Indeed
Pita na upenye Kwa jina la Yesu 🙏
Ukiwa na yesu mbona uta enjoy ❤❤😂😂
Congratulations dear🎉 Kweli nitapita kati Yao hataniona❤️🌺🔥🔥
Amen dear pita na upenye katika jina la Yesu
Amen my sister fenny God bless you Kwa wimbo iyo wimbo imeniguza moto ,❤️❤️💖💖💕💕💓💓💓👏👏👏🙏🙏👏👏
Amina
Kazi nzuri sana. Pongezi
Amina
Pongezi❤❤❤❤
More grace mtumishi
Amen
Nitapita katikati yao In JESUS NAME.NITAPENYA.AMEN❤.
Amen penya Kwa jina la Yesu
Kazi nzuri ekiababa tochie motwe
Amina
Haleluyaa.atukuzwe.mungu.milele.namilele
Amina
Haleluyaa🙏🙏☑️☑️uhakika
Sawa.kabisa👍
Nimetumiwa na lasty tik tok
Nice msg....i really like your songs FK....nakupenda tu bureeee
Hallelujah yes nitapenya lazima 💃💃💃💃💃🎤👏👏
Amina
Nzuri sana. 🔥 sema shaking it 😅, hata ibilisi ameshindwa
Ashindwe kabisaaa😊
Hii Iko sawa kabisa naipenda
Asante
Kazi safi 🎉
Woooow my lovely sister with another hit song❤❤❤❤
Thanks my darling sister, l love may God bless you and open more doors for you
Gaki mwanyagetinge,Mungu anatupenda sana,shukrani kwa hii masterpiece,nseka south c hoiyee
Oooh my God, nitapita kati yao😢😢😢🙏🙏🙏 katika jina kuu la Yesu Kristo
Amen
Nitapenya Kati Yao ahsante Yesu,nice song 🙌🙌🙌
Thank you
Congrats my frnds nyc song acha nyota yenu ingae katika jina la bwana yesu
Amina
Nitapenya kwa jina la yesu thanks for a good song
🙏🙏🙏
Hawataniona ❤pongezi sisters
Asante
Oh yes yeeeeees. Oh hallelujah
This one is mine 💃💃💃💃💃💃🎤🎤🎤🎸🎸🎸🎤🎤🎤
Amen pita kati Yao na upenye katika jina la Yesu🙏
Wow hiyo dance ya maboys n fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥
SHALOM, that energy waah kisii mtafanya kiuno yangu ikatike kwa vibande, Neema tu, more blessings
Kazi nzuri neema itoshe watu wangu🎉🎉🎉
Amina Simon
❤❤❤wow, great message with lots of hopes
Wow 👌 👏 😍 Amina Amina be blessed dear sister 🙏 ❤️
Amen amen true siz moraa 🙏🙏🙏🙏 fanya kazi ya mungu amekuita dada
Amina
Nice song Adui kaa mbali mm ni mbarikiwa 👏👏👏👏
Amina
Moto kama pasi...you going far
Amen to God be glory
Penya kati yao ata mm nime penya aisee❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Upenye Kwa jina la Yesu
Hatari sana aisee 🔥🔥🔥.Hawataniona ❤️❤️Good work. nawapenda sana wa kwetu😍❤️
Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏 nitapita kati ya adui yangu hawataniona in Jesus name 🙏🙏🙏🙏
Amen
🔥 🔥 songa mbele baba
Amina mum🙏
@adah moraa, congratulations girl toto continue pressing on,quite amazing
wow good work nitapenya hawataniona
Amina penya Kwa jina la Yesu
Ntapita kati yao hawataniona ❤❤
Kiwango adi kiwango in jesus name 🙏🙏🙏🙏
This is more than fire, dancers, and instrumentalists operation is on high level
Ndio ndio ndio ndio💃💃💃💃❤
Amina mum
Woow💞
Ni vile hii ni gospel lakini Kuna kitu nmeona nkapenda😊😊
Wapi likes za fenny
Thank you
@@AdahMoraa❤❤❤
Nice song ...Nimepeda hizo nguo
Asante
Nice song nitapita Kati hawataniona glory to God
Amen
Weeh!ada,si unadance!❤❤❤❤
Goli, kasi nzuri mungu awe nawe
Nampenda sana huyu mwanadada aki natengeza show akuje na kikozi
Beautiful song I have heard in this year. Keep on preaching the gospel.
Amen
Whenever I listen to fenny.. I feel encouraged ready to move on to a higher place... May the Almighty God bless you for such an awesome song full of God's Annoiting
Amen
Nice one the song is powerful i can not hear it but i can deel it
she is always on vibe and inspiring . i like her dance moves God bless her abundantly
Amen
Hiii nayo ni🔥🔥🔥🔥🔥
Amen 🙏 nitapita kati yao in Jesus name Amen
Amen
Beautiful work of art 🎉
Keep up with the good work you guys are doing of praising the most high.
Song is fire 🔥 🔥
Thanks so much be blessed
Chairman #EGMGROUPKENYA always proud of Our sisters.good work.wapi likes za wakenya???
Thank you God
Na Mungu akubariki sana Femmy
Asante mama kwa nyimbozako nimezipenda
Safi sana unaiimba bibilia
Waaah! Nitapenya kati yao na niangaze . I had these song today performed by ada moraa in south b church I was blessed and promised myself to look for it on RUclips
Thank you so much penya Kwa jina la Yesu
Amen siz, nitapita kati yao hao watezi
Amina
Love this
Sawa. Ime barikiwa
Kazi mzuri siz keep it
Thank you
Finally am here,first one to watch, congratulations
Amen mum barikiwa sana
Amazing 😍, Good music 🎶 keep it up 👏
Thank you
Hongera fenny
Powerful wow God bless you nitapita salama
Amen na upenye Kwa jina la Yesu kristo
Wow....
Imetosha Sasa.👏👏👏👏
Amen
Kweli no Kali sana well done
Thank you 🙏
Congratulations 👏👏👏 Adah be Blessed
Amen
Napenda fenny iyo energy hudance nayo twende kazi mamaa
Very nice... congratulations Adah na Fenny
Thank you 🙏
Congratulations sister kazi mzuri sana 🙏🙏
Asante
Congratulation sister moraa my dear umetoka mbail sana wacha mungu akupiganie
@@lydiahnyaboke5489 Amen
@@AdahMoraa adah moraa unanijua kweil
Nyimbo nzuri Sana Mungu akubaliki.
Amen
Nice one our queen's b blessed 🙏👏
Amen