Jaman hy dada love apewe mauwa yake n bonge la mwigizaji ❤ya nimependa san alivyoeleza hisia zake kwa braun hk akilia 😭naludia huy dada n balaaa nipen mwendelezo wake ❤❤❤❤❤❤
Jaman ucheni masihara uyuu loveness kwenye nafasi yakuigiza neno mapenz anajuwa Sana dah nimemkubali Sana kwenye hii move loveness saluti Sana dada unajuwa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yaani hapa mm nilikua sijui kukatia mdada yetote loveness kanifunzaa mm 😂😂😂😂 Nampenda Bure ama nijiunge na Donta TV nikue tunaingiza wote .....anyways guys kazi zenu safi ...
Wana donta tv,naombeni kitu kimoja mkiwa kwenye scene mjaribu kuwa mnawafukuza kama hao kunguru coz they are making a lot of noise,wananidanya nisikie sauti zenu I love your movies❤❤❤❤
For real Lovness ni Mwanamke pekee alieruka kwenye Safina ya Nuhu akaogelea mpaka nchi kavu na ndo alobaki wengine walienda na gharika 😂 Maua yake Love 🌹 icho kimdomo cha Love sasa na macho 😂😜😋
Siku zote huwa nikimuona love huwa nafurahi san huyu dada pisi kwa kweli nimempenda bure huyu dada mzuri kabarikiwa like zak love
Ukiachana na uzur uigizaji wake ni Htr🔥🔥🔥
Utakuja mwenyewe
sana
Daaah hata me na Mwelewa sana Lisa aberi
Jaman hy dada love apewe mauwa yake n bonge la mwigizaji ❤ya nimependa san alivyoeleza hisia zake kwa braun hk akilia 😭naludia huy dada n balaaa nipen mwendelezo wake ❤❤❤❤❤❤
Loveness unasauti mamah inayokonga moyo hata kama mtu hana up3ndo atakuja kwako bila kugeuka nyuma sauti yako ni saraha kwangu one love ❤❤❤❤❤❤
Kaz nzul wote
Nmechelewa lakini nimefika naombeni like zenu wadau wenzangu Kama mwakubali uwepo wa brown ❤❤❤
Mambo
Af uzipeleke wapi???
Much love from Kenya❤ guys like back
Wa sita nimewahi jamani nipeni links Kelvin kha leo katukumbuka tulikua nasiku mbili hatuoni movi zake tulikua tumezi missi❤
Kazi zao nzuri sana Donta tv shida yao tu hawamalizi filam zao
Ni kweli
Tunawapenda Sana, alafu mnatuacha nusu nusu jamni,,, shemeji iko api from Kenya ❤❤❤
Hapiness iko wapi????????
Loveness nmependa sana musimamo wako pokea maua yngu lei ❤❤❤🎉
Sweet voice my dear loveness you did a good job God bless you 🙏🙏
loveness ww nimzur sana 🎉❤🎉❤🎉
Niliwamis Sana donta waooo ❤❤❤❤
Tina muache love ampende brown kumbuk ww ulimpend brown ktk movie ile alkuw kibaka muuza mchicha🤣😂😂
Wakwanza Leo,,msinipe likes from Kenya ❤❤
😂
Namupenda lavu nese❤❤❤ kwakweli nimetokeya kukupenda sana
Haijalishi unafanya kazi Gani ajuaye ya kesho n mungu love is blind 😂
Love hujawahi kosea kwenye nafasi yako nawapenda wote donta tv
Love umeniliza namimi kweli Mapenzi yakweli yako❤❤❤❤❤
Leo nimekuwa wa saba jamani naombeni like zangu
Nimeipenda sana
loves from saudia nawapenda sana big up brownee
Jaman ucheni masihara uyuu loveness kwenye nafasi yakuigiza neno mapenz anajuwa Sana dah nimemkubali Sana kwenye hii move loveness saluti Sana dada unajuwa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wakwanza leo watching from Kenya❤❤❤❤
We love unajua sana nakupenda bule❤❤❤❤❤
Mm nmepend uigizaj wa kelvin Yan sikupingi kaka uko fresh sana yan mm naangalia movie kwajil yako yan kaka umetisha sana
Akh mapenzi wewe😂😂afu hakuna MTU anasema kuhusu kashirt ka brown😂much love❤❤❤❤
😂😂
Nice movie ❤❤❤
Yaani hapa mm nilikua sijui kukatia mdada yetote loveness kanifunzaa mm 😂😂😂😂 Nampenda Bure ama nijiunge na Donta TV nikue tunaingiza wote .....anyways guys kazi zenu safi ...
Me wewe kidjana una katala mapenzi 😱😱 me kame if you don't have the money you still have to love ❤❤
Alaf tina kuwa serious na hili jambo😂😂😂nampenda muokota makopo 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ila Huyu Binti yupo vizur sana
Loveness nakupenda bure
Loveness bhn ahh hapo mwisho umenifanya na mm nimelia
Kelvin na team yko tulikuwa tumekumic kiukwel❤❤
Jamani love umebarikiwa kwa sura, sauti na shepu nzuri dhaaaa, napenda kukuona love ❤❤❤❤❤❤
Next episode please
Hongereni watu wangu❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Fr kenia bt lam n saudi job ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ to mch
love from burundi ila mjitahidi kumaliza seson mnaacha vipande 😙😙😙
Kweli kabisa
Dada apewe maua mengi anajua kuigiza sana lov sanaaaa muvie
Dah nashukuru mungu nyie akina love mnamapenz ya dhati Maan hata me napendwa kwel afu wazuri sanaaa❤
Mnakaz nzur san na inaelimisha san donta🎉🎉🎉🎉
Nakupenda sana tina ❤❤❤
Mapenzi yatatuua ❤❤❤
Loveness na brown nawapenda sana❤🎉🎉🤴👸more love from kenya❤
Much ❤ loveness...nkukubali cna lovenessmapenz yana nafsi yke 🎉Brown pesa co lolote kwenye mapenz
Lovenes uko vzr sana penzi sio pesa kiukweli unaonyesha hisia za kweli hongera sana penda ww sana
Loveneeees 👏👏👏👏unaweza aki mistari nayo unaumiza mama
Nimekupenda Bure dada❤❤❤❤
Big Guys Your Doing A Good Job
Niko hapa jana, niko hapa leo na niko hapa kesho tazama series hii🇸🇸🇸🇸
Wapi like ❤❤❤❤❤😂🎉 sijachelewa sana
Love ww unajua Dada ang nawakubali sana wana donta
Amazing 😍 n shemeji iko wapi
Nyie huyu loveness😂😂😂❤❤❤❤❤ akikuganda huchomoki 😂😂😂
Wana donta tv,naombeni kitu kimoja mkiwa kwenye scene mjaribu kuwa mnawafukuza kama hao kunguru coz they are making a lot of noise,wananidanya nisikie sauti zenu I love your movies❤❤❤❤
Love nakupenda san❤ darling una upendo wa dhati na maskin
Pongezi Kwa loveness kwakweli anajua kuigiza😅😅😅
Mbona cku hizi Zari kama hizi hamna jaman, Siku hizi Wana angalia pesa tu hata kama una sura kama Mgongoni kwao safi tu😅😅😅
Donta tv kwel wana kazi nzur ubaya wao hawamalizi filamu ndicho kinachonikela
Love umezingua kidogo tuu ulivyojitambua kuwa wew nimzur si uta yanyasa watu
Congratulation loveness your so beautifully mamiiii
Love don't cost things ❤.
La vie de star Tanzanie ce cool vraiment belle fille laveness ce très belle vraiment
Wow!
kweli❤❤😂
Na huyo kendi mnatishaga sana nawakubali sana
choo love nikuhowe.nakupendasaana kwakweli.unanihuwagasaaanatu.
❤❤❤❤❤ mnajuwa sn
love apewemaua yake jaman❤❤❤
Duh 🔥🔥🔥🔥🔥🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀Kwa kazinjema mauwayenu
For real Lovness ni Mwanamke pekee alieruka kwenye Safina ya Nuhu akaogelea mpaka nchi kavu na ndo alobaki wengine walienda na gharika 😂 Maua yake Love 🌹 icho kimdomo cha Love sasa na macho 😂😜😋
kiukweli jamani mimi nampenda sana loveness hasa muonekano anavyo ongea dah nampenda sana mimi❤❤❤❤❤
Brown nimeipenda iyo
Waa Loveless sauti unayo mama mi shabiki wenu uku kenya
Good job bown❤❤❤
Team strong nipitieni
Mko poa san jmn hongeleni san🎉
Wewe ni kiboko yake ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Una saut nzuriii Sana loveness
Leo Ni mm wa mwixho likes zangu from team strong
Mungu awabariki kwakazi zao nzur nawapenda
Kazi nzuri kabisa 🇨🇩
Lovenes una sauti nzuri dd❤❤
Jamn mi dont tv bila love xionag raha
Kelvin tunazipenda movie zenu ila k2 kimoja hammalizi episode zenu hebu jaribuni bs mumalize zilizobkia mnatuacha njia panda
Love Yuko vzr jaman anaushaur mzuri
nime penda sana uyi movies
Aaah ila mnatukosea donta tv,,mr handsom ep 3 story nzur kabsaa yan iko wap,,shemeji iko wap na yenyewe,?kwnn hamumalizii muviiiiii,!??
Uko vzr kelvn una😮
Daaaah umenigusa lovenesss
kilanikimuona love nafulahi sana yuko fiti sana uyudada
Tina et Mungu ni wekee😊
Jamani loveness nakubali jatariiiiiiii
Hayo maneno ngoja kwanza nicheke mana tunaanzaga kama utan ilambele mhh😊
Malizieni ya mr handsome bhana
Good job 👍
Tina mpenzi hayana mwenyewe,waweza penda kijana au ............malizieni
Ongera love ila Maisha bila pesa utumwa na penzi lenye nguvu ni upendo wa dhat kama anaojaribu kuonesha love
I come from Kumamoto at Japan,,good work
Dah🔥🔥🔥
Hiii moves kali kinyama mr khan ndo ndo haooo