Yaani kwa kweli kibao hiki unibariki mno. Sichoki kusikiza na hata kutizama. Kinapokwisha nakiazisha tena. Sauti safi, dance ya kujituma. Najipata nimeamka tayari kwenye dance. Napenda nyimbo zenu sana. yaani Barikiweni tu sana wapenzi wa Mungu. Nafurahia sana jinsi uimbaji wenu unavyotoka ndani ya nafsi. Njina La Bwana Lipewe sifa.
Wimbo bora saana kwangu naupenda sana..nabarikiwa na wimbo huu....hakika mtunzi wake abarikiwe na hongereni saaana watumishi na Mungu alie juu awabarikie ninyi pamoja na kaz zenu....nawapenda saana
Barikiwa kwa kutazama
Wow wimbo mzuri mtamu na wenye maadili mema....Hongera na pongezi kwenu watumishi wenzangu......nawata sana huku Kenya ,sijui niwapate vipi
Kutoka Narobi Kenya....Pokea Pongezi Kede kede Nawafuatilia tangu 2014 . Na Choir Xa TZ kwa jumla tangu 1977....Barikiweni sana.
Amina Mpendwa wetu, Karibu sana Tz Ili tuieneze injiri ya Bwana.
Tunakushukuru Mpendwa wetu Tom kwa ufatiliaji wako juu ya huduma yetu, Ibariki we na Bwana, Karibu Mwanza Tz
Ubarikiwe sana
mungu haka wabariki kwa kazi zuri ya mungu na watu
Buzuruga nawapenda tu saana... Zidini kunyenyekea naye Mungu awapandishe🎉
Yoka mabina ya Lola❤
Nawapenda
Mungu awabariki
Mbarikiwe
atari sana huu wimbi ni noma wapendwa barikiwen sanaa injili na iendelee
Watumishi
Paschal nakuona
Nimependezwa na huduma yenu hapa A.I.C Kibra Kenya
Napenda san huu wimbo ongera
Wimbo mzuri
bhabha songoi nagubhona bhabha ,,,,,😀😀
Wow!what a song,,
mungu ni mwema u guys God bless u
Hongeren sana hakika ni baraka tu nawapenda sana ❤️❤️💐
Watumishi wa Mungu mbarikiwe sana kazi yenu nzuri sana nabarikiwa sana
Nyiee
nice performance
Yajenga ,na kuinua kiroho,Mungu awape nguvu mzidi kumtumikia kwa haki
Hongereni sana watumishi
Huu wimbo nau penda sana unabariki sana mbarikiwe watumishi was mungu
Nyimbo hot sanaa hii Mungu, Azidi kuwainua zaidi 🔥🔥🔥chama Langu la nguvu Buzuruga
Aminaaa
Sifa na utukufu ni za Bwana.
Yaani kwa kweli kibao hiki unibariki mno. Sichoki kusikiza na hata kutizama. Kinapokwisha nakiazisha tena. Sauti safi, dance ya kujituma. Najipata nimeamka tayari kwenye dance. Napenda nyimbo zenu sana. yaani Barikiweni tu sana wapenzi wa Mungu. Nafurahia sana jinsi uimbaji wenu unavyotoka ndani ya nafsi. Njina La Bwana Lipewe sifa.
M'barikiwe kwa kaz nzur
Wimbo pendwa inland fm
Saaaafii kbsaaa
Wimbo unanibariki sana hongereni buzuruga
Hongereni sana
Safi sana watumishi..
Safi sana sanaa wana wa Mungu
Tafuteni mema wala si mabaya : big up sana buzuluga choir ujumbe mzuri
Kazi nzur sana ❤
Amen Amen watumishiii
🔥
Naupenda sana huu wimbo,Mungu wa Mbinguni awabariki sana Buzuruga
Amina mtu wa mungu!!
Aminaaaaaa.
Nawapenda hadi kesho❤
MUNGU azidi kuwa bariki sana watumishi
Iko njema
Aminaaaaa
Ameen,mbarikiwe sana watumishi wa MUNGU 🙏
Asante, kwa niaba ya kwaya- yetu tunakushukuru sana.
🎉🎉
Kazi nzui imenibariki ❤❤
Aminaaaa.
Mungu wa Mbinguni azidi kuwatumia jinsi yeye apendavyo hakika kazi 🔥🔥hongereni sana buzuruga kwaya penda sana nyie.
Amina kaka endelea kutuombea,endelea kutufuatilia katka hii page yetu!
Aminaaa Mpendwa wetu.
Oooh my God be blessed!! 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mungu awabariki kwa huduma hiyo ya uimbaji 2:18
Mbarikiwe sana watumishi kazi njema sana
Aminaaaa
Mungu awabariki sana❤
Nawapongeza watumishi kwa uinjishaji kwa njia ya nyimbo. Mwenyezi Mungu awabariki.
Amina sana endelea kutufuatili ktk pegi yetu.
🙏
More fire 🔥🔥🔥🔥🔥👏
Love it , kweli neema inatosha sana.
Now my anthem
Kazi njema sana hii Mungu azidi sana kuwainua wapendwa katika kazi yake 🙏
Wabeja saana!!
Mungu awabarki mmefanya kaz njema
Amina watumishi mungu awainue zaid
Aminaaa Mpendwa wetu Paulina
Wimbo bora saana kwangu naupenda sana..nabarikiwa na wimbo huu....hakika mtunzi wake abarikiwe na hongereni saaana watumishi na Mungu alie juu awabarikie ninyi pamoja na kaz zenu....nawapenda saana
Amina Mpendwa wetu, Karibu sana Buzuruga Kwaya.
@@ReubenMeshack-ox3oq Ahsanten sana ety bt kuna ngd yangu hapo ety
Safi sana,mungu azidi kuwainua kwa kazi yenu nzuri,
Asnte mama ngasa endelea kutufuatia huku youtube!
Aminaa dadangu, endelea kutuombea Ili kazi ya Mungu izonge mbele.
Hello niliomba maelekezo ya namna ya kuipata album yenu but sikupata..please nahitaji album Niko Kisesa Mwanza. Hongeren kwa kazi njema!
Pole sana Mpendwa, Nazani Kiongozi wetu alikupatia mawasiliano pia Namna gani ukiweza kuipata Flash yetu, wewe uko wapi?
ooh sawa nimepata mawasiriano tayar
Soo blessed with yuh guys
Amen
❤❤❤❤❤❤❤
❤
Amina mungu awabalik
Frola, Aksante sana.
Mung ni mwema
❤❤
sina comment kazi imeisha
Amina broo endelea kufuatilia!
Pamoja Mpendwa.
Nawapenda
❤❤
🎉🎉
Kazi nzui imenibariki ❤❤
Aminaaa Daud
❤❤❤❤